Nabii Mswahili Part 6 - Madebe Lidai, Hawa Litala, Havit Makoti (Official Bongo Movie)

  Рет қаралды 369,289

Africha Entertainment

Africha Entertainment

Күн бұрын

Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Пікірлер: 227
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 жыл бұрын
Tunao mukubari na bii maswali gonga like hapa 🔥🔥🔥🔥❤❤😍
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 6 жыл бұрын
kuna wavuvi wavua samaki na wavuvi wavua nguo............. nimeipata hiii kuntu. like hapa kama ww unamkubali LIDAI THE FIRE
@sadicksalim6590
@sadicksalim6590 5 жыл бұрын
Kundi LA waafrika ulaya linaitwa wakimbizi ila kundi LA wazungu afrika linaitwa watalii
@sadicksalim6590
@sadicksalim6590 5 жыл бұрын
Kundi LA waafrika ulaya linaitwa wakimbizi ila kundi LA wazungu afrika linaitwa watalii
@simonwaziri2340
@simonwaziri2340 5 жыл бұрын
Nice big up
@yoaburafaeri7807
@yoaburafaeri7807 5 жыл бұрын
Miraji Mwango
@briaitonahadi9963
@briaitonahadi9963 5 жыл бұрын
Umemuona ostadhi mbaruku alichokifnya?????
@rojasramadhany1209
@rojasramadhany1209 5 жыл бұрын
Pole sana mzee were hakika kujitakia ni sawa kutaka we we fudisho namkubari nabii mswahili ni mwanashaili
@prosperkonokono5716
@prosperkonokono5716 5 жыл бұрын
mm sipendi kabisa bongo move. lakn madebe umenishawish sana kuiangalia hii kitu. salute kwa misemo yako
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Hiinizaidi ya bongo mviii.hiinishure toshaaa
@YESHUA967
@YESHUA967 5 жыл бұрын
This guy is a genious.....watching from Kenya
@paulhyera2084
@paulhyera2084 4 жыл бұрын
Pw
@juniormsemwa8952
@juniormsemwa8952 5 жыл бұрын
Najua hawajui kama siku watakayo jua watajua kama wamejua kwasaababu wamejua
@user-kn7ec7tn9c
@user-kn7ec7tn9c 8 ай бұрын
My charm nabii,ulikuwa wapi siku zote mpaka mafikara ya wa afrika ikatekwa nakupelekwa jela? Mungu amekutuma uambiye wa africa wajitambuwe nakurudi kwa Mungu wa mababu zao. Niunge baba. Nipo congo.❤❤❤
@kelvinemajangah3450
@kelvinemajangah3450 5 жыл бұрын
Madebe wewe ndio mkali wao. Nakufatilia Sana kutoka Nairobi
@khareediddy3006
@khareediddy3006 4 жыл бұрын
Maeneo,weni,hatari,mkia,wa,ngombe,hautikisi,ngombe,ilangombe,hutikisa,mkia
@mamuuomanyee7435
@mamuuomanyee7435 5 жыл бұрын
MaShaAllah madebe uko juu juu,,eti ukimuoa mwanamke aliekuzidi umri ni sawa na kununua gazeti jioni🤣🤣🤣🤣🤣maana ishasomwa n wengi....hahahaaa hongera acha nkanawe mikono maana ndipo namaliza kula mie😜..From Kenya
@rashidbashora6369
@rashidbashora6369 2 жыл бұрын
I luv his wisdom kama waafrika tutarudi kama babu zetu we won't suffer
@ellypwondemukhala3969
@ellypwondemukhala3969 Жыл бұрын
Napenda sana filamu za madebe
@graceelias6888
@graceelias6888 5 жыл бұрын
nimekukubari nabii wangu hakuna mfano wako endelea kufundisha waafrika
@editamsigalla187
@editamsigalla187 5 жыл бұрын
nakukubari madebe kwa misemo tu we ninoma
@imusheha1799
@imusheha1799 6 жыл бұрын
Wew madebe mkali sana, juweni kuwa chakula nacho pia ni uchafu mana ukimaliza kula unanawa
@nasaritv1214
@nasaritv1214 5 жыл бұрын
Nice one
@kikuikobe7324
@kikuikobe7324 5 жыл бұрын
Mwenyewe namkubali huyu ndio Msanii hasa
@khadijasultan4648
@khadijasultan4648 5 жыл бұрын
Alafu mwisho anavyo itoa Hy pumbavuu Hadi raha
@vicentthomas4448
@vicentthomas4448 5 жыл бұрын
Chakula nacho kichafu ndo maan ukimaliza kula unanawa..aise unatisha sana
@shabanmnyama2567
@shabanmnyama2567 4 жыл бұрын
Tatizo saut dah
@bahatihassan
@bahatihassan 6 жыл бұрын
Nakukubali sana madebe nakufatilia sana brother
@raphaelmunga547
@raphaelmunga547 5 жыл бұрын
Naipenda kazi yako bwana nabii Mswahili,kwani mlango si mlango hadi ufungwe au ufunguliwe ili ndio utimie kuwa mlango
@atugedion964
@atugedion964 3 жыл бұрын
Madebe nakuelewa unaelimisha sana jamii
@moussanduwimana4305
@moussanduwimana4305 5 жыл бұрын
Mbona sauti inakata sana Madebe
@Bongo1Media
@Bongo1Media 5 жыл бұрын
Ndoivoo yani inanikata mood asee
@erastoyohana1137
@erastoyohana1137 5 жыл бұрын
wewe noma sana madebe komaa ivoivo mpaka mwisho usilegee hata chembe
@ismailymsabaha445
@ismailymsabaha445 5 жыл бұрын
Dunian kuna vitu viwili unaweza kupuleza ile uwake au unaweza kupuleza ile upozi...duuuu...
@cantiomedian7228
@cantiomedian7228 2 жыл бұрын
Fikla zetu fupi umezikuza kaka thanks god bless
@jeanmariemuhirwa6397
@jeanmariemuhirwa6397 5 жыл бұрын
Teacher wangu Madebe Lidai nakupenda saana Mwenyezi Mungu akulinde milele
@denisksylivester7846
@denisksylivester7846 5 жыл бұрын
This guy is geniuos 👑🔥
@zainamsangi2949
@zainamsangi2949 5 жыл бұрын
Hshaha kuna kupuliza ili iwake na kupuliza ili ipoe hahahhhh we balaa jmn mmh
@wilsonsebastian9505
@wilsonsebastian9505 Жыл бұрын
Nakubali madeb lidai
@sheilachepkorir2711
@sheilachepkorir2711 3 жыл бұрын
Mlango sio mlango mradi ifungwe ama ifunguliwe ndo itaonekana mlango
@kasangakabaladiego1276
@kasangakabaladiego1276 Жыл бұрын
Kweli maneno unayo yaonge ni finzo kabisa
@daboeefu1391
@daboeefu1391 6 жыл бұрын
Allah atakujaalia zaid ukuwe na kipaj kiongezeke
@JosephStima
@JosephStima 2 ай бұрын
Namkubalisana jamaa
@nevilquintus1942
@nevilquintus1942 5 жыл бұрын
Mnajijenga kitabia na tabia zinawajenga daa aisee #madebe
@sabinajames6539
@sabinajames6539 5 жыл бұрын
Ubalikiwe madebe
@Alfredmuchai64familyTv
@Alfredmuchai64familyTv 5 жыл бұрын
Kuna vipengele/sehemu zengine sauti inapotea
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Nikweli nilijua mimi tu
@zakayaza4602
@zakayaza4602 4 жыл бұрын
hata kwang alaf najikuta nataman sana kujua kilicho ungeleka
@hadijarashidi8598
@hadijarashidi8598 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@pwanishaolinkungfutv7822
@pwanishaolinkungfutv7822 5 жыл бұрын
Kama unamkubali madebe kama mm like hapa
@azampandundu7913
@azampandundu7913 5 жыл бұрын
Hakika watakuchukia daima. Nashukuru nahema mungu niepushe na tindikali.
@jameskilasa759
@jameskilasa759 5 жыл бұрын
Kwa kazi zako nimejikuta tu nimekuwa mfutialiaji mzur wa movie zako madebe
@barakapb6292
@barakapb6292 4 жыл бұрын
Good representative
@sosanhi4109
@sosanhi4109 5 жыл бұрын
Kaka madebe misemo yako inaniacha jangwani looh! Muendelezo pliz
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Uzungu umekuwa mwingi 2badrice
@remmymasinde4538
@remmymasinde4538 2 жыл бұрын
madebeee,,kweli naelimika sana kutokana na filamu zako
@eliudmburu4408
@eliudmburu4408 6 жыл бұрын
bwana madebe sijui nifafanue vipi utamu ulioko movie hii ila sikosi neno moja tu...Asante kwa mafunzo yakimaisha napia kielimu..
@nchimbimwaulambo8977
@nchimbimwaulambo8977 5 жыл бұрын
Eliud Mburu
@kastulisarwat3024
@kastulisarwat3024 5 жыл бұрын
Nyie mnaoreply kwa majina ya watu badala ya kureply kwa comment tofauti mnamaanisha nn
@barakadeo6369
@barakadeo6369 5 жыл бұрын
Umetisha sana nabii
@waitaramwita8033
@waitaramwita8033 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka mungu akupe maisha maref umnifundisha meng😄😄😁😁😀
@patrickdebe8416
@patrickdebe8416 2 жыл бұрын
Kwakweli nimeangalia episode ya 1--5. Hongera sana kaka madebe na kundi lako wote muliohusika. Big up
@mosesmakokha1150
@mosesmakokha1150 Жыл бұрын
Mungu akuongese nguvu nabii
@kelvinlasway9398
@kelvinlasway9398 3 жыл бұрын
Ii movie ninzur kiukwel tena nzur sana inafunzo ndan yake kama ukiiyelewa vizur zaidi. Ila naona ina tatizo kwenye sauti inakuwa ina kata kata
@soshalukope3138
@soshalukope3138 6 жыл бұрын
kusini kucheleeee safi kaka nakubariii hahaha.... " Dada usiseme unamimba yangu wakati mi teyari nishazaliwa "" nimeipenda hii
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Uriwawaa
@christophavahaye811
@christophavahaye811 4 жыл бұрын
Sosha Lukope .
@skelatonx2696
@skelatonx2696 5 жыл бұрын
Madebe mm ni mwanafunz kwa movie zako umenipa moyo wa kusoma but is the best director in bongo
@martinmhando8351
@martinmhando8351 4 жыл бұрын
Ukikusanya machozi ya wahusika wa tamthiliya hii unajaza lita 5
@omarimtamajika5646
@omarimtamajika5646 5 жыл бұрын
Nakubali sana kazi yako bloo unaelimisha vyema jamii mungu akuongezee kipaji chako
@ericosongol1195
@ericosongol1195 4 жыл бұрын
Inaelimishaa sanaaa mungu akuzidishie nabii na zanaa yako
@salamatwahiru8089
@salamatwahiru8089 5 жыл бұрын
mnazingua katika sauti
@shummylove1084
@shummylove1084 5 жыл бұрын
😂😂😂😂 Madebe Eti ata kula niuchafu maana Ukimaliza kula unanawa😀😀😀
@sheilachepkorir2711
@sheilachepkorir2711 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lavendahmkubwa1671
@lavendahmkubwa1671 2 жыл бұрын
Genius nabii mswahili congratulation bro
@abdallahnguzo1180
@abdallahnguzo1180 5 жыл бұрын
Upo vizuri nabii mswahili
@lovenessibrahimu6730
@lovenessibrahimu6730 5 жыл бұрын
Mashikoro mageni
@antonyabieka6028
@antonyabieka6028 5 жыл бұрын
Ningependa kukutana nawe hapa nchini Kenya nitaongea na bwana Churchill akuhost kwenye jukuwa lake maana ww n bwana Lumumba kweli jumbe zenu mihadhara munayotoa kwenye jamii kweli yafaa +254 karibu kenya
@harithhaitham64
@harithhaitham64 5 жыл бұрын
Wa Kenya hawatamuelewa hususani watu wa kwanza Nairobi kwenda juu huko kiswahili chake ni kigumu sana samahani
@rajmatola8611
@rajmatola8611 4 жыл бұрын
P1 sana nabii wa bongo ✌
@barakamapunda2937
@barakamapunda2937 4 жыл бұрын
Madebe ukojuu sana akuna atakey nyenyua bongo movie kama wewe kwa tz
@emmykennedy7164
@emmykennedy7164 5 жыл бұрын
Mi sisemi jamanii we fundi madebe
@yussufpeter4169
@yussufpeter4169 5 жыл бұрын
Vzri xna bro Mungu akzdxhie
@rakshiabdallah5840
@rakshiabdallah5840 5 жыл бұрын
Bwana madebe kwer wewe unaweza ila unpo kua siyo chizi sikukubar kwakua ile misemo sihipati wewe nichizi msomi tumekubar
@abdulrazakabdallah3336
@abdulrazakabdallah3336 5 жыл бұрын
Kama ndo unaiona 2019 tujuane
@imanimwangoka2656
@imanimwangoka2656 5 жыл бұрын
Naomba Nielekezwe wapi lipo duka linalo uza Katiba ya Nchi Na kama Nibule Nielekeze zina patikana wapi? Mwe Mwe Mwe Madebe weeeeeeee*%
@fettyomy4429
@fettyomy4429 6 жыл бұрын
we madebe ww.unamisemo adi naumwaaaaa..kwenye maisha unatakiwa uchague..uishi wamoto au wabaridi,.utakiwi kuishi wavuguvugu .yani unatisha kakaa.😁😁😁😁
@mwanahamismfaume1289
@mwanahamismfaume1289 6 жыл бұрын
Asante pia mungu akubariki
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Safi sanaaa
@KATIBUSTAR
@KATIBUSTAR 5 жыл бұрын
Ati kio akidanganyi...na huku kio hicho cha jamii kishandanganya jamii yake..sai kinaangalia kio cha nchi jirani
@khamismafia7335
@khamismafia7335 5 жыл бұрын
Ubarikiwe madebe
@maulidigado3120
@maulidigado3120 4 жыл бұрын
Kusini kucheleeeeee shikamoooo madebe lidai
@suleymansuleyman4438
@suleymansuleyman4438 6 жыл бұрын
nabiiii uko good
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
Hatar sana
@scholajuma614
@scholajuma614 5 жыл бұрын
uko sawa nabii
@naftalisima3943
@naftalisima3943 6 жыл бұрын
nakukubali Sana madebe salute kwako
@eliudchubwa6277
@eliudchubwa6277 5 жыл бұрын
Msiba hauna kadi
@malachiotieno3225
@malachiotieno3225 5 жыл бұрын
Wimbo wao Hata mie siimbi kaka, Kudos Nabii
@anuurizogonjobe4476
@anuurizogonjobe4476 5 жыл бұрын
Namkubali Nabii Mswahili
@hossenimohamedi2419
@hossenimohamedi2419 5 жыл бұрын
good job nabii mswahili
@fanuelysebestianfanuelyseb7957
@fanuelysebestianfanuelyseb7957 6 жыл бұрын
nimekubali sana nabii mswahili kaza but unaweza sana
@ombenikisunga5059
@ombenikisunga5059 5 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@wilmarts04
@wilmarts04 6 жыл бұрын
salute kwako madebe....ila tu,,tufuatilizie epics zingine bana umeniacha nikiwa na hamu ya kuendelea epic baada ya epic.......kazi nzuri
@AbdallahSwabz-bd4nl
@AbdallahSwabz-bd4nl Жыл бұрын
Nice
@husseinissa4988
@husseinissa4988 5 жыл бұрын
Unatixha sana
@user-pe7ge2jw1c
@user-pe7ge2jw1c 4 жыл бұрын
Umutu anaagalia pak akancanganikigwa
@zephaniakilalo8251
@zephaniakilalo8251 4 жыл бұрын
Well done aisee
@shabanmfangavo9643
@shabanmfangavo9643 5 жыл бұрын
Salute sana madebe you made ma day......mwanasiasa akikwambia usiku mwema lazima uthibitishe kua usiku kweli umeingia...hahahahaha.....we noma mademe sijaona mfano wako
@karliusmazwile6618
@karliusmazwile6618 5 жыл бұрын
kiukwel sina neno babah, mi nipo naiandika misemo yako afu badae ndio naipitia kujua maana yake, dyuuuu
@dissrugwebhe5361
@dissrugwebhe5361 5 жыл бұрын
Tz vipaji 2navyoo
@jafaraimarangu1112
@jafaraimarangu1112 Жыл бұрын
Tatizo sauti zinakata mara kwa mara sijui shida ni nini
@valentinospriani3804
@valentinospriani3804 2 жыл бұрын
Kak unatosa napend cn kufatilia filamu Zak mung hakulid
@shomarysechambo3119
@shomarysechambo3119 4 жыл бұрын
Kutoka TZ kama umeona mifuko ya Rambo iliyofungiwa gonga like twende sawa
@zakayaza4602
@zakayaza4602 4 жыл бұрын
ukiona ivyo movie ni ya muda
@zakayaza4602
@zakayaza4602 4 жыл бұрын
ukiona ivyo movie ni ya muda
@elineokusiluka9683
@elineokusiluka9683 6 жыл бұрын
kazi nzuri sana
@jamalchambo4752
@jamalchambo4752 6 жыл бұрын
ukojuu nabii mswahili
@amurymuhaji6997
@amurymuhaji6997 5 жыл бұрын
wallah unakichwa acheeeeeee
@muhammadabdow683
@muhammadabdow683 5 жыл бұрын
Kwli ww n fndi wa kwswahili
@isayageka1176
@isayageka1176 5 жыл бұрын
raha sana
@fikiraselemani7054
@fikiraselemani7054 4 жыл бұрын
Ama kwel Madebe anastahiki kuigwa kwenye jamii
@floramathew7316
@floramathew7316 5 жыл бұрын
Kiukweli nimeipenda hii
@danieluzia6404
@danieluzia6404 5 жыл бұрын
Nakubali kazi yako
@majaliwachamphene6976
@majaliwachamphene6976 5 жыл бұрын
Endelea hivyo hivyo utafika mbali. Kila nikiangalia natamani kurudia
@athumanishabani473
@athumanishabani473 5 жыл бұрын
hongera sana kwa kz nzuri uifanyanyo nadii
@barakadeo6369
@barakadeo6369 5 жыл бұрын
Mungu aikuze kaz yako upo vzr
@alihakizimana7206
@alihakizimana7206 5 жыл бұрын
Papa asant kbs
@elinamatabula9703
@elinamatabula9703 5 жыл бұрын
Vzr bwana madebe
Nabii Mswahili Part 9 - Madebe Lidai, Havit Makoti (New Bongo Movie)
30:01
Africha Entertainment
Рет қаралды 107 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 26 МЛН
NABII MSWAHILI (Mali ya marehemu).
0:37
NJENGE TV
Рет қаралды 33 М.
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
NYANCHOKA THE HOUSEGIRL (Full movie)
1:50:40
GUSII MAGIC SHOWS
Рет қаралды 45 М.
Namadingo RM5 Lucius Banda part 2
15:29
NAMADINGO
Рет қаралды 4 МЛН
Dawa - Madebe Lidai, Nusra Mbegu, Ally Njenje (Official Bongo Movie)
1:02:26
Africha Entertainment
Рет қаралды 1 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН