Kongole Sana Bw.Madebe Kwa kazi yako nzuri inanigusa mimi binafsi kama mpenda lugha ya kiswahili
@eppiemodest3 жыл бұрын
Mtangazaji huyu anajua kazi yake. Hongera sana.
@zumbeshauri81143 жыл бұрын
Aisee pole sana hakika niliyajua haya kuwa kuna kitu juuyako ndio mana hata move zako zina fundisha
@rokiroki18253 жыл бұрын
Pole san madebe ALLAH awarahemu wote njia mmoja
@abdulbogoyo12433 жыл бұрын
KWANZA POLE SANA MH; ILA MANENO YAKO UNAYOYATUMIA KWENYE SANAA YANA MAANA KUBWA KWENYE UHALISIA WA MAISHA: YOU'RE THE BEST.
@mariamyoyote81723 жыл бұрын
Masha Allah balikiwa Sanaa mpendwa wetu NAKUPENDA kwaajil ya Allah ,,,,,,,,mungu akupe umri mrefu na muish Kwa upendo na furaha Amin yaraby ♥️♥️♥️💖♥️🇹🇿
@sadamuchodo91173 жыл бұрын
👍
@yussufuss91742 жыл бұрын
Eee
@chance07093 жыл бұрын
kumbe iyo muvi ya msungo nimatokeo yakweli yamaisha ya msani wetu Lidai. aaaah pole sana. kwenye muvizote napendaga sana msungo. pole bro Lidai
@imitechgsmsolution56042 жыл бұрын
Nawafata kutoka Congo Drc npenda Sana #_Mbengo_TV Sana kabisa piya mm mshabiki Wa Na bihi Mswahili
@Sevendroptv12 жыл бұрын
All the way from Rwanda ! Kazi ndema mziwanda!! Naomba unikutanushe na madebe
@EugenJoseph-dl2jw Жыл бұрын
Mov zako zur sana na zinafundixha kwa kias kikubwa sana mungu akulinde sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zaitunehussein78782 жыл бұрын
Allah akupe Subra na nguvu Kaka.Mm huwa napenda movie zako sana,zinanipa ushujaa maishani.👉 From Kenya
@kachalemielias36833 жыл бұрын
Pole sana ndugu kupoteza wazazi wote wawili tena kwa siku moja hayo ni maumivu makubwa sana
@kbhisiakali43282 жыл бұрын
Hatar xana
@mathayomlewa45992 жыл бұрын
pole san ndugu yangu madebe
@AsdOo-fs1jd10 ай бұрын
Pole sana brother Allah akufanyie wepes Inshaallah 🎉🎉🎉
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Heee pole 🎣 Sanaa mpendwa wangu ndio njia yetu sote sisi niwa Allah na kwake tutarejea hakika
@rukaiyaahmadsuleiman39513 жыл бұрын
Tunampenda sanaa Madebe💓💓🏪
@salmakaratta14203 жыл бұрын
Hongera sana nabii mswahili.Umetisha.
@IreneMangoina4 ай бұрын
Following from Beirut Lebanon ❤
@christophermrema52773 жыл бұрын
Namkubali Sana madebe lidai (nabii mswahili)
@issubajaji79243 жыл бұрын
Ongera sana madebe osmani lidai. wadau wako hawajuwi kabila lako ila mimi nawajibu ili nijuwe kuwa wewe ni mmwera wa lindi wilaya ya ruangwa kata ya mnacho nandagala. Mimi ni mdau namba 1 wa madebe lidai. naitwa issu bajaji wa mnarani mtwara. Big up Benjamin kizota chikongwe wa nandagala ruangwa
@kasmirmwaja17333 жыл бұрын
Pole sana madebe lidai kwa kufiwa na wazizi wawili kwa siku m'moja
@christerbell3603 жыл бұрын
Huyu Dem anamaswal yametulia,,,,
@taharamohd25153 жыл бұрын
Oyeeeeee tupo hapa timu Lind😂😂😂
@richgambi66943 жыл бұрын
Pole Sana ndugu kwa kuapoteza wazazi wako wote wawili
@mwanaharakatimukoyaaywahma19402 жыл бұрын
Hewala shujaa. Nakutambua Sana KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@farijalambaga96003 жыл бұрын
Big up bro.naweza sema maisha uliyopitia Mungu huwenda alikupitisha huko ili uwe kma ulivyo.kwamaana usingepita huko, huwenda ucngekuw ulivyo.Hongera sana kka
@samsonchima6532 жыл бұрын
Upo sawa mziwanda
@mulshidiabbas7512 жыл бұрын
Ongera sana Mr Madebe mimi nitaishi kama baba yako maana yaliyo mkuta baba yako Ni sawa kabisa na yangu
@SwaumuHamisi-h4p Жыл бұрын
Pole sana ridai
@JeremahiBaba-dy8hm Жыл бұрын
Pole madebe napenda kazi yako
@hassanbinally71273 жыл бұрын
Kama sio mtaalamu wa dini bora tu ukae kimya
@deborahchacha2006 Жыл бұрын
😢😢😢pole sana kaka madebe kwa kuwapoteza wazazi aisee
@saidimtera99352 жыл бұрын
Safi sana madebe lidai plz turudishie shilingi series
@shukuruclement18822 жыл бұрын
Madebe emb Okoka, ndio k2 nlichokiona umekosa, Mpe Yesu Maisha
@خسنموس3 жыл бұрын
Jamaa anakuaga na maneno magumu Namkubal sana Madebe
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Pia anatufundisha sana anatuelimisha sana kama tamthilia ya matusi ilikuwa poa sana
@selemaniakombe9929 Жыл бұрын
Daah! Akika brother nakupa pole sn akika, kuzika wazazi wako kwa siku moj
@mwanaharakatimukoyaaywahma19402 жыл бұрын
Masha Allah. Nafurahi kukusikia .
@janethkomba44852 жыл бұрын
pole Sanaa kwakupoteza wazazi ,pia ongera Sanaa kwakazi zako dhuri, nautakapoitaji kuongeza mke wa4 iyo nafac naomba Mimi hili tuweze kutimiza amri yamaandiko,sitaki kuwa mke wa3 zingatiya ilo👆
@nikizagloria28553 жыл бұрын
Mtangazaji unajua big up
@katotokazuri74123 жыл бұрын
Nakupenda Bure mimi uwiiiiiiiiii
@ramadhankabila37143 жыл бұрын
MkemiaAaaaaaa,,,unaulizia maswali 10 Kwa wakati Hadi madebe anashindwa swali la kujibu ni lipi
@halimasulaiman32293 жыл бұрын
Yani wewe dada nakupenda bure 💞💞😍😘
@mamunote35073 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Tunakupenda sana
@salmaseif62842 жыл бұрын
Pole nabii mswahili kwa kufiwa na wazazi wako cku moja
@ayshazambia65093 жыл бұрын
Oohoooo pole sana madebe
@omaryboby32453 жыл бұрын
Dar respect mwanangu lidai nakuku bari sana na pole sana
@mulshidiabbas7512 жыл бұрын
Uko sahii hasa ukizungumzia maswala ya wanawake, ninge pata huongozi Tz ningefundisha wanandoa ili idumu ili wawezwe kudumisha ndoa zao na kulea watoto kwa haki za mzingi kwa baba na mama
@janetgunga94512 жыл бұрын
Pole sana kaka madebe kwa msiba wa wazazi wako
@SIMON-hb2 жыл бұрын
Mungu akusidishie usima na ujasiri
@davianofficial69722 жыл бұрын
Mungu akujalie uzima na afya madebe
@anithabahimana-hp8en Жыл бұрын
Hongera sana kwenye kazi zako
@QueenNgai10 ай бұрын
Mashallaah kk Allaah akuzidishie inshallaah
@EveliusEdwin Жыл бұрын
Daaaah baba ang pole san
@asiamohd55163 жыл бұрын
K mziwanda unajuwa sn mwanamke mwenzangu ❤️
@TheSalma19993 жыл бұрын
Love you Madebe muhenga
@juliuswazungu15593 жыл бұрын
Hakika kubwa madebe
@kadejahh40363 жыл бұрын
Namkubali sn uyu kaka alafu wakwetu lindi
@muhammedokussa79333 жыл бұрын
Muziwanda napenda sauti lako Nyoro kwangu
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Nyumba sasa mnayoonyesha ju kuwa ndo yakwake! Hata kama angeuza movie miaka 100! Hawezi kuijenga! Mwacheni mauongo!
@priscanyika59632 жыл бұрын
Mtangazaji uko powa sana 👏👏👏👏👏
@novartforodhan30473 жыл бұрын
Hivi kwann watu ambao hawajasoma madarasa mengi huzani kuwa walio soma miaka ya hivi karibuni kuwa elimu yetu n nyepesi wakati cc tunayajua tuliyoyapitia
@theopistachialo103 жыл бұрын
Umeonaee alafu ukimuuliza kwann hajafik hapo hanajib
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
@@theopistachialo10 Utandawazi umeharibu mfumo wa elimu kwa asilimia kubwa usipingane na hilo......elimu ya sasa hivi ni ya makarat tu.
@theopistachialo103 жыл бұрын
@@mohamedsuleiman7215 yes lakin elimu ya mtu iheshimiwe👏