NABII TB JOSHUWA NI MBAKAJI? EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 6,188

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@Saidi1581
@Saidi1581 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Paschal Cassian nakupenda sana pia hata mahubiri yako maana unasema ukweli , Amen 🙏
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 8 ай бұрын
Nikweli kakaangu mungu akubariki endelea hvyo hvyo mungu akutie nguvu
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 9 ай бұрын
Ulivaa vizuri sana ubarikiwe.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 9 ай бұрын
Mimi nilishika neno mmoja tu!! Yakwamba si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana atakayeingia katika ufalme wa Mungu bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu. Wengi siku ile wataniambia Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako? Au kutoa pepo kwa jina lako? Ndipo Yesu atawaambia siwajui ninyi, ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu Mathayo7:21-23. Kwahiyo mimi sishangai kusikia huyu TB Joshua kuwa alikuwa anafanya maovu. Mimi huwa nasikiliza neno la Mungu tu. Ni hivo. Bwana Yesu asifiwe sana!! Naitwa Michael!! Nampenda Yesu. Amen!!
@joephmaukilo
@joephmaukilo 9 ай бұрын
Ameen
@EasterEmanuel-wh9dz
@EasterEmanuel-wh9dz 9 ай бұрын
HAKIKA
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 9 ай бұрын
Walokole wafunguke macho jameni, mpaka lini watakataa kweli ya Kristo na kufuata miujiza. Ni huruma sana... makanisa mengi yapo tu na kuweka misalaba bali yanaabudu sanamu. Kwa meonekano na kwa kunena utasema ni wakristo ilihali mioyoni mwao wamemkana Bwana Yesu....!
@neemamarko176
@neemamarko176 9 ай бұрын
AMEN, Uzuri hawa victims walishasema hata yeye marehemu kabla ajafa,lakini watu wameona bbc na wakati ni vitu vipo mda mreefu sana ,Mungu yeye ni yote katika yote,na amesema tushukuru kwa kila jambo maana yote ni mapenzi yake,bado anasema mtaifahamu kweli na kweli itawaweka huru...tusome Neno la Mungu,tumuombe Roho Mtakatifu atufunulie kweli ya Mungu
@alphonceshayo1726
@alphonceshayo1726 9 ай бұрын
Sijaona umeongea chochote. Kama Wewe ni Mtumishi wa kweli wa Mungu ungeujua ukweli. Lakini Wewe naona unatumika kama hao BBC. Tatizo ni kwamba hujitambui. Your days are numbered Man of God!
@edwinalkady9353
@edwinalkady9353 9 ай бұрын
Prophet Tb Joshua NIMTUMISHI WA MUNGU mwenye upendo,amani,Huruma.Na haya yote yanayosemwa ni mambo ya watu waduniani hivyo sisi kama wakristu Muulize Mungu ni mwaminifu naye atakupa ufunuo..Binafsi namshukuru Mungu nikishuhudia amemtumia vyema kwa mafundisho yake nimezaliwa katika roho na kuishi katika upendo..Prophet angali yupo hai aliwai kutabiri kwamba wafanyakazi wake watamsaliti....TUNAONA YUDA ALIVYO MSALITI YESU KWA VIPANDE 5 VYA FEDHA. Ndivyo ilivyotokea...Hivyo wanaotaka kuokoka mfatilie mafundisho ya Prophet mtabarikiwa sana..God bless you..Sisi kama wakristu tuishi kwa imani ya kristu nasio kwa yale tunayosikia au tunayoona..Mungu awabariki..
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 9 ай бұрын
Ubarikkiwe mtumishi
@elizabethndozelo9316
@elizabethndozelo9316 6 ай бұрын
Well said, he is the most humble man of GOD have ever known
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 9 ай бұрын
Amina Amina Mtumishi umenena kweli kabisa. Nasema ubarikiwe sana na mwenyezi Mungu. Kila mtu anafaa atetee imani yake na sio kumtetea Mtu... la kweli ni kwamba alikuwa nabii wa uongo aliyekubali kutumia nguvu za giza kutende miujiza na wala sio nguvu za Mungu. Lakini mwisho wake hatujui kama alitubu na kutegeneza na Bwana. Bali ukweli ni kama alikufa kama hajatubu hata watu wakamtetea vip hawawezi mtoa mahali matendo yake yalimwelekeza. Ni heri kumkimbilia Bwana kuliko kuwatumainia wanadamu. Jambo la muhimu ni wakristo wajue kwamba kutafuta miujiza hakutawasaidia, watafute Yesu pekee. Watu wameamini watumishi wao kuliko Mungu ole wao maana wataangamia pamoja nao. Ubarikiwe mtumishi. 🙏
@HappyBassetHound-ce9cg
@HappyBassetHound-ce9cg 9 ай бұрын
wakristo wengi wanaamini Bibic kumchafua Tb Joshua lakini kwasababu Aliwabadilisha mashoga nandiomaana wanamuandama
@mamyneytariq8458
@mamyneytariq8458 9 ай бұрын
Na ww usimtetee Mimi na ww hatujui ukweli wake anayejua ni Mungu. Hizi ni siku za mwisho uharibifu ushaingia patakatifu. Au ww hujui Siku ya mwisho wengi watalia kuwa Mimi nilikuwa muhubiri, muimbaji n.k lkn Yesu atasema tokeni siwajui. Usimuamini mwanadamu mwenzio mwamini Mungu
@NeemaPaul-k2h
@NeemaPaul-k2h 9 ай бұрын
Me siwezi kuhukum MUTUMISHI nanilipenda mahubili yake ❤ maan sijui anaejua ni Mungu pekee
@georgekauma6432
@georgekauma6432 9 ай бұрын
shalom shalom. nadhani Kwa ujumbe huu umeweka sawa juu ya Imani ya wanadamu Kwa wanadamu na sio Kwa Yesu Kristo mwana wa Mungu mdhamini na mwanzilishi wa Imani yetu. lakini mtumishi kumbuka kwamba wanaopingwa ni watumishi, hata wewe mwenyewe ni Shahidi jinsi gani unapingwa na watu wananena makuu sana juu yako na hata wanataka wakukuue. kama unakumbukumbu kwamba mwalimu mwakasege pia mwaka Fulani alizushiwa Mambo mengi na zikarushwa kila Kona kwamba mwakasege ni freemason, Moses kulola aliitwa kuwa ni free mason, na wengine kama bonke, Benny, Moses serulo, maboya, na wengine wengi. niwaambie kwamba omba Bwana akwambie au akupe ufunuo na Bwana ajidhihirishe kweli kweli. tusiwe sawa na mtumishi maliyamungu ambaye KAZI yake ni kushambulia watumishi wa Kenya na Tanzania lakini yeye ni mkongomani na huwezi kusikia akikemea manabii wa Congo nchi yake ya asili. je! Congo hakuna manabii feki hata mmoja?? hubirini injili ya toba na ufalme wa Mungu maana kila mmoja atatoa hesabu ya KAZI ya matendo yake.. wahubiri kumbukeni linalokuja ni Baya sana kuliko wahubiri mnayoyapotezea muda mwingi pasipo na faida.
@sakakajouf5900
@sakakajouf5900 8 ай бұрын
Mm nakubaliana na injili yako
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 9 ай бұрын
Mungu tusaidie Mungu ww ndio jaji mkuu tusaidie tuvuke salama kulingana na mapenzi yako ss ni wakosefu ndimi zetu zinapotoka kila kuchapo Yesu tuongoze
@neemashuma4302
@neemashuma4302 9 ай бұрын
Watu wa Mungu msijiusishe kusema chochote kuhusu TB JOSHUA MTAJIKWAA
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 9 ай бұрын
Amina yesu akutunze uwe na afya njema ❤ mtumishi
@fantasticbmp5587
@fantasticbmp5587 3 ай бұрын
Kwa suala la kusema watumishi wa Mungu wakati wanaitwa haukuwepo nime ku disqualify hubiri ukuu wa Mungu acha kuhubiri watu jipime watu wanataka kusikia habari za Kristo hayo nani wa uongo nani wa ukweli acha Mungu anene mwenyewe watumishi wengi wameingia kwenye kumtumikia shetani bila kujua ndo maana mpo bize kutaja watu badala ya kuhubiri ukuu wa Mungu. Saivi wakristo wengi kazi imebaki kupigana wao kwa wao kwa hili shetani amebeba wainjilist na wachungaji wengi mbaya zaidi wanatumikishwa na shetani hata wao hawajui kama wanatumikishwa. Ufike muda tuache kuendeshwa na mihemko.
@VLADDYNDANZI
@VLADDYNDANZI 5 ай бұрын
Kwann huo muda ungeutumia kuhubiri habari za Yesu Kristo unamuhubiri mtumishi wa Mungu badala ya kumhubiri Mungu na ukuu wake
@RedentaMahessa
@RedentaMahessa 5 ай бұрын
SEMA mtumishi wa Mungu tupone. Alikua tapeli. Anatofaut na mwamposa na jodev
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 9 ай бұрын
Siku moja mwalimu wangu alinifundisha jambo. Alisema mwanadamu kwa asili yake ya anguko lililompata Eden, mpaka leo linamsumbua. Anapenda kusikiliza mabaya kuliko mema. Ufahamu wake una asilimia nyingi ya kusikiliza mabaya, kutenda mabaya na kuishi nayo. Hata kama ni mtu wa dini, tatizo hilo ni lake.
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 9 ай бұрын
Amem Amen Amen Mtumishi WaMungu Mimi Pia Nakuunga Mkono.
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 9 ай бұрын
Amen Amen Amen
@sekelamwakalindile9339
@sekelamwakalindile9339 9 ай бұрын
Umenena,umeeleweka mtumishi
@margarethjoseph5242
@margarethjoseph5242 9 ай бұрын
Issue hapa ni ukristo wetu siyo TB Joshua. Ombeni msije mkaingia majaribunii kwa kushabikia mambo usiyoyajua. Bwana Yesu alitakase kanise
@feilymusa3925
@feilymusa3925 9 ай бұрын
Wasipokuelewa hapo basi wamelogwa, wakumbushe kisa cha mfalme daudi na kamanda wake mkuu wa vita
@El9a
@El9a 9 ай бұрын
Kama haujui ni bora kunyamaza kuliko kusema mengi pasipo maarifa juu ya Ukweli. Usiweke imani yako kwa Mwanadamu hapo umesema Kweli... lakini usitumie watu kuhubiri Kweli. KWELI HAICHANGANYWI.
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 9 ай бұрын
Kumbe inatakiwa kunyamaza Maana ni kazi ya Mungu.
@DicksonBuramba
@DicksonBuramba 9 ай бұрын
Kaka usipende kuwa mropokaji, injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu, wewe hauna lolote unalofundisha, mimi nahisi ile roho ya freemason bado haijakuacha, umetumwakupoteza watu, jitahidi kulitafakari neno la MUNGU, Mungu akusaidie.
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 9 ай бұрын
Ni kweli, kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu siku ya hukumu iwadiapo.
@simonikalinga8883
@simonikalinga8883 9 ай бұрын
Hatuweki imani kwa mutumishi tuna tathimini katika ubinadamu wake ni kwanini wazungumze wakati hawezi kujibu Mimi hajawahi nisaidia chochote lkn nina wasi wasi sana na BBC kwa sasa mtumishi kasome biblia tena Paulo anasema munifuate Mimi kama vile Mimi navyo mufuata kristo
@simonikalinga8883
@simonikalinga8883 9 ай бұрын
Yesu haonekani Rohoni mbona unakemeaga mavazi ukweli watumishi wanapaswa kuwa vielelezo sio fuata maneno yangu na si matendo yangu tunakufuata kama ulivyomufuata kristo hili swala la tbjoshwa wewe mutumishi liache endelea na mahubiri mengine lita kushushia heshima yako huu ni mkakati wa shetani kwa mwili wa kristo halihitaji muhemko linahitaji utulivu
@simonikalinga8883
@simonikalinga8883 9 ай бұрын
Mitume walikuwa vielelezo muonekano wako wa nje ndio unaofanya tumjue kristo aliye ndani yako tunakuamini wewe ndipo tunampokea Yesu Yesu aliye ndani yako wafundishe watu kutokuhukumu maiti sio kutokuamini watumishi
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 9 ай бұрын
"And whoever shall speak a word against the Son of Man, it shall be forgiven him; but whoever shall speak against the Holy Spirit, it shall not be forgiven him, either in this age, or in the age to come." Mathew 12:31-32. Hupambani na Tb Joshua, wewe ni chombo cha kijanjajanja cha Shetani... Unapambana no Roho Mtakatifu aliyetenda kazi ndani ya Tb Joshua, na HAUNA KAMWE SEHEMU YAKO KTK UFALME.
@LucyTesha
@LucyTesha 9 ай бұрын
Lakini wewe mtumishi pasko kwanini wewe kila nikikusikiliza wewe nasema tu maneno ya watu mbona use I maneno ya mungu wewe kazi yako ni kuponda watumishi wa mungu Acha mungu aukumu peke yake wewe ninani una hukumu subiri mungu Acha kumuubiri barikiwa
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 9 ай бұрын
Napenda sana mahubili ya TB Joshua ❤ alikuwa Mwalimu sahihi kwng kwasababu yeye alidili kwenye neno na kutuhasa tumjue Mungu , sijawai kuona Muhubiri wa VIWANGO WA neno la Mungu km TB JOSHUA , alikuwa anahubiri pole pole bila ya makelele na kwa mifano hai yani lazima uwe na note book pemben maana alikuwa ana mwaga madini kweli kweli , Judge wa mwisho ni Mungu ,,, TB JOSHUA Sio mchezo kwenye neno ukiachana na hiyo miujiza mnayosemea Watu tulinufaika na neno zuri ,, poleni sana wapenda miujiza 🙏
@wamisangi2801
@wamisangi2801 9 ай бұрын
Pole na wewe kwa kutokujua Neno la Mungu lasema shetani na mawakala wake hujifanya kuwa ni Malaika wa Nuru. Hapa akajifanya Malaika wa Nuru wa kuhubiri kwa sifa hizo ulizo mpa.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 9 ай бұрын
Shetani alikuweko hata kabla ya Bibi wa bibi wa bibi wa Mama na Baba yako. Shetani maandiko anayajua vizuri mno. Ndio maana unapata wachawi wengi wanatumia bibilia pia. Lakini sababu wana wa mungu walipenda sana kuabudu Mungu mwilini na wala sio rohoni ndio maana haya yote yanatokea. Wewe mwenyewe hapo ungekuwa na Roho wa Mungu angekufunulia kila kitu lakini kwa sasa hamjui maandiko kila roho mnadhani inatoka kwa Mungu whereas roho nyingi ni mapepo yanaogoza watu wapenda vya dunia ambao hawana hofu ya Mungu.
@florafrancis1598
@florafrancis1598 9 ай бұрын
Na wewe ni mtu gani?
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 9 ай бұрын
jitoe kwanza boliti iliyopo jichon kwako ndipo utoe kibanz ktk jicho la mwenzako ,,,
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 9 ай бұрын
@@wamisangi2801 boss ujui chochote nitajie bac muhubiri gani au mtumishi wako wa Mungu unayeona kashushwa na Mungu
@barakamachard1944
@barakamachard1944 9 ай бұрын
Punguza kutaja taja watu hubiri vizuri tu watu watasikiliza 😊
@georgekauma6432
@georgekauma6432 9 ай бұрын
haiwezekani miujiza ya tit for tat ikaeditiwa Kwa jinsi watu walioshindwa kuonyesha mfano wa Kristo katika maisha Yao, hata injili walio nayo ni wakiihubiri haiwezi hata kuhamisha sisimizi mlangoni na huyu alionyesha mfano. hubirini toba iletayo wokovu na watu washuka na mtakuwa wakubwa sana kuliko hata wao. jifunzeni Kwa Moses kulola mwakasege, Billy Graham na wengi neo na hapo mtakuwa mmeubomoa ufalme wa shetani na sio kama sasa wahubiri wengi mitume, manabii wainjilisti na waalimu wanavyofanya Leo. Kwa nguvu nyingi mnajenga ufalme wa shetani Kwa kusingiziana na kuneneana mabaya na kuchafuana. ole ole ole. itakuwa ni uchungu sana siku Ile.
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 8 ай бұрын
Hawa hawasikii,hata hawajiulizi nikwanini mungu alimtwaa mapema mungu alikuzudia hivo ili wengi wafunguke macho
@elizabethndozelo9316
@elizabethndozelo9316 6 ай бұрын
Usichokijua bora usikiongee, Yesu alimaliza kazi yake ma kurud mbingun akiwa bado na umri mdogo sana, its about finishing the asdignment that count na sio miaka ming mtu anayoishi .mpunguze kuhukum msivovijua ili msije hukumiwa
@elizabethndozelo9316
@elizabethndozelo9316 6 ай бұрын
N manabii wangap wa uongo wana mamilioni ya watu wanawadanganya na mbna hawajafa ili watu wafunguliwe macho, achen hukumu sio kaz enu
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 9 ай бұрын
Ipi kazi ya Roho Mtakatifu
@lameckwilliam8311
@lameckwilliam8311 9 ай бұрын
Hapana Elisha bila kuwa na Eliya so Tb Joshua ameacha akina Elisha wengi kazi ya Mungu iendelee zingine ni kelele tu
@raissamunezero6076
@raissamunezero6076 4 ай бұрын
Jamani watumishi wakisasa, hubirini inji lakuokowa watu, nasiyo hukumu bila ushaidi, TB joshua alikuwa ni Mtumishi, izizote habari ni agenda za shetani kuharibu mwili wa christo. Funguweni macho.
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 3 ай бұрын
Si Kila msalaba unamwinua kristo
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 9 ай бұрын
Amen🎉
@IsakaMwozya
@IsakaMwozya 9 ай бұрын
Amina🎉🎉
@PaulKaisi
@PaulKaisi 9 ай бұрын
Kazi kweli mmmmmh ww ni nani basi unyosheaye vidole watumishi wa wengine?.tuogope sana hizi injili za kukosoa wengine Kila siku ww uko safi tu ila wengine wachafu,je mtumishi wa Mungu anayetoa ahadi bila kutekeleza je hiyo nayo siyo dhambi ondoeni vibanzi vyenu kwanza
@JuliaLumande-r4p
@JuliaLumande-r4p 7 ай бұрын
❤❤🤔🙏
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 9 ай бұрын
Acheni upumbavu hao watu wanamchafua kwann hawakusema akiwa hai.. Mbona wewe watu wanasema ni shoga na sisi tunapinga au ni kweli?
@AverinaShirati
@AverinaShirati 9 ай бұрын
Alivyokuwa hai ukimsema alikuwa anakuua
@josephwaweru-fu4ux
@josephwaweru-fu4ux 9 ай бұрын
Hapa ni wazi kama pascho wewe kweli umetumwa na Mungu unastahili kuwa na jawabu kwa maana sio ni kama mmekutana lakini roho yako inastahili kusema ndio au la kwa staka.Mimi Wacha nikwambie wazi karibu niamini mafunzo yako lakini sasa nimekushuku bado ungali unatumikia freemason kwa njia fiche sana na watu wanaompenda Mungu wanastahili kujichunga na mafunzo yako.
@rachellukonge
@rachellukonge 9 ай бұрын
kabisa nakubaliana na ww, huyu hayupo sawa, anatumika na nguvu za giza kuutaabisha ukristo
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 9 ай бұрын
Mh sijui nifate lipi hata ww unayeongea ni binadamu na MTU huyo alishafariki
@DicksonBuramba
@DicksonBuramba 9 ай бұрын
Unahitaji kufunguliwa wewe, bado kuna shida ndani yako mtumishi nitafute nikusaidie kiroho, MUNGU akutie NGUVU.
@floramlay9375
@floramlay9375 9 ай бұрын
Nyamazaaaaaaaaaaaaa
@manassemike6048
@manassemike6048 9 ай бұрын
acagucafuwa mtumishi wamungu sasa ww tunajuwa unatafuta umalefu..
@Anza_tz
@Anza_tz 9 ай бұрын
Paschal Kasian ni wazi haumjui TB Joshua labda nikwakua haujawahi kuyaona matunda ya Roho ndani yake ... Tunacho kiangalia sisi sio kwakua TB Joshua amechafuliwa ni kwakua Kristo amechafuliwa haujaelewa Paschal nikwasababu najua wazi wewe kwako nabii ni kama mhuni tuu nikama hua unafurahia ukiona mtu anaitwa nabii then anakashfa mbaya ..nikama kwako hua ni deal ya kupata topic yakuongelea
@neematemba6579
@neematemba6579 9 ай бұрын
Ivi kuna mtu mzima anabakwa au walikubaliana? Amekufa ndo mnatoa siri zenu mlizokubaliana na mnasema amewabaka.Kwa nini hawakupiga kelele kama walibakwa?
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
Ameeen
@EasterEmanuel-wh9dz
@EasterEmanuel-wh9dz 9 ай бұрын
Hubiri na SABATO yakweli ipo katika juma lipi??
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 8 ай бұрын
Yesu ni bwana wa sabato kwa hivo Yesu ni yote katika yote
@faithwangari4130
@faithwangari4130 9 ай бұрын
It would have been good to expose that false prophet when he was alive.
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 9 ай бұрын
Binadamu hana mipakaya Dhambi awe nacheo gani.Rais wamchi Rais kiongozi.awe wadunia awe anarusha apolo zakwenda sayarizingine.badoni binadamutu nashangaa kulumbana kwenye mitandao mukijaribu kumusafishabinsdamu eti hawezi fanya hayo maovu basi munachukua utukufu wamungu au mamlaka yaMunhu.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 9 ай бұрын
Mimi Nawaombea Watumishi Wote Wa MUNGU injili isonge Mbele mwendo wakuomba ,kujitakasa kuacha Zambi
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 9 ай бұрын
Hata wewe suala la kusema huyu nabii WA uongo siyo kazi YAKO na huna ushahidi hivyo acha na sisi tufanye KILE tunacho kuamini
@mosesngosi4138
@mosesngosi4138 9 ай бұрын
SoMo lako la Leo ni Gumu watakielewa waliokomaa kiroho. Wengine watachukulia unakubaliana huenda tuhuma ni zakweli. Najua ur not talking about Joshua only. Yaani unamaanisha kusemwa vibaya ni kawaida kwa binadamu. Pili itambuliwe tb nae ni binadamu. ILA NAO WAMEVURUNDA WALIKUWA WAPI AKIWA HAI. Mbona ka picha la Gwajiboy na bashite kwenye mchongo wa SHILAWADU
@gehazgg5801
@gehazgg5801 9 ай бұрын
Da
@israelimarco6465
@israelimarco6465 9 ай бұрын
kaka kama hutaki tumtetee kwa nn wewe unamponda
@FestoNyagawa
@FestoNyagawa 9 ай бұрын
Acha kuingelea mtu huyo Alisha kufa hayupo duniani
@wamisangi2801
@wamisangi2801 9 ай бұрын
Acha ujinga wa kujificha kwenye kufa. Paulo, Daudi, Isaya nk wamekufa na bado tuna hubiriwa na kusoma mambo yao kwenye Biblia.
@RoseMkuu
@RoseMkuu 9 ай бұрын
Lakini wewe Paskali mbona unaponda wenzako Acha Acha Tb Joshua alishakufa una matatizo makubwa Kwa nini lakini sipendezwi na maneno yako hakuna mtu aliye mksmilifu Fuata yako
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 9 ай бұрын
Hapo kwenye kufoji miujiza kwa kuedit ni uongo, kwani mikutano yake ya Korea, Indonesia, Peru, Paraguay alikuwa akiombea watu live kwenye mikutano yake na inarushwa pia live, na miujiza ilikuwa live. Saa ngapi kwenye live editing inafanyika? Let us brainstorm?
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 9 ай бұрын
Alikuwa anatumia roho gani mana shida sio muujiza
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 9 ай бұрын
@@sarahgaula2220 alikuwa anatumia jina la Yesu kristo kuombea watu ma wakapona. Hakuna cha nguvu za giza, wanawa skewa walishambuliwa na mapepo pale walipokuwa wakimuiga paulo kufanya miujiza kwa kutumia jina la yesu. Watu wakiendaga kwa waganga na wakapewa dawa huwa wanaambiwa wawe wakiomba pia kwa jina la yesu?? Ebu tafakari
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 9 ай бұрын
@@sarahgaula2220 alikuwa anatumia jina la yesu kristo. Angekuwa anatumia nguvu za giza, mapepo yangekuwa yanamhoji kuwa yeye ni nani, kama kwenye biblia wana wa skeva walikuwa wakimuiga paulo na kutoa mapepo, mapepo yaliwaambia paulo tunamjua ninyi ni wakina nani?? Kisha mapepo yale yaliwashambulia wale wana wa skeva.
@Stewart-l6t
@Stewart-l6t 9 ай бұрын
Pasco bwana ww sio mungu muache mungu afanye kazi yake maana kila muhubili kwako ww ni waibilisi ss yupi wa kweli ww au ni yupi wa kweli tuambie mungu mtu akimuinua wa kuzimu hapana we hubiri neno acha kuwasema wenzio ni laana wangekuepo wakina kulola ungesema pia ni wa shetani wazungu kwa ss watumishi wao wamepoteza mvuto na ndio maana wanajaribu kumchafua TB Joshua kwasababu wanaona amekufa na bado Kanisa lake halijateteleka muache mungu afanye kazi yake bwana hizo hukumu sio zako ww sio hakimu
@Stewart-l6t
@Stewart-l6t 9 ай бұрын
Pasco bwana ww sio mungu muache mungu afanye kazi yake maana kila muhubili kwako ww ni waibilisi ss yupi wa kweli ww au ni yupi wa kweli tuambie mungu mtu akimuinua wa kuzimu hapana we hubiri neno acha kuwasema wenzio ni laana wangekuepo wakina kulola ungesema pia ni wa shetani wazungu kwa ss watumishi wao wamepoteza mvuto na ndio maana wanajaribu kumchafua TB Joshua kwasababu wanaona amekufa na bado Kanisa lake halijateteleka muache mungu afanye kazi yake bwana hizo hukumu sio zako ww sio hakimu
@tumainipauli4020
@tumainipauli4020 9 ай бұрын
sasa unataka pesa ya nini
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 9 ай бұрын
Wote ni wachumia matumbo lakin mungu ndio hakimu mwema
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 9 ай бұрын
Kama hujui alafu unasema kabda sasa unaongea nini wakati hujui ? afadhari u ngenyamaza . Usiongee yale usiyoyajua
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 9 ай бұрын
Jamani muwe mnaelewa
@ShallinRotich
@ShallinRotich 9 ай бұрын
Wazimu shetani,ulaan iwe kabisa, mwongo wewe.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 9 ай бұрын
Ulishachanganyikiwa wewe umebaki kuropoka tu kwa kumchafua kila mtu,,kawahi milembe vitanda havijaisha!.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 9 ай бұрын
Hivi umemuelewa au wewe ndiyo mirembe inakusubiria
@wamisangi2801
@wamisangi2801 9 ай бұрын
Akinyamaza Mungu wa Mbinguni atanyanyua mawe mahali pake. Biashara ya,kuuza maji na mafuta ya majini na mapepo imetishiwa.
@tumainipauli4020
@tumainipauli4020 9 ай бұрын
sema lako
@philipshitohi4455
@philipshitohi4455 9 ай бұрын
You have no idea who TB Joshua was.He was a dear and beloved prophet of God
@wamisangi2801
@wamisangi2801 9 ай бұрын
Yale maji yake bado yame kushikia akili wewe. Omba kwa Bwana Yesu ufunguliwe ufahamu wako. Wenzako wamezinduka wanaweka wazi maovu yake,. Wewe umekomaza shingo yako.
@Bambagatz
@Bambagatz 9 ай бұрын
@@wamisangi2801 😂😂😂Maji gani Mzee Tena
@wamisangi2801
@wamisangi2801 9 ай бұрын
@@Bambagatz Ngoja nikupigie kachupa picha uone. Niliuziwa dola 50. Hii ni kabla ya kuusikia huu ushuhuda wake wa majabali/miamba ya milimani huko Nigeria.🤣
@El9a
@El9a 9 ай бұрын
Kuna viwango huwezi kufika ukiwa mchanganyo...
@Bambagatz
@Bambagatz 9 ай бұрын
@@wamisangi2801 😂😂😂😂😂Daaah Mzee sio mchezo hii Sayari ina mambo mengi sana
@rhodrickmkandawire4701
@rhodrickmkandawire4701 9 ай бұрын
I gave enough of my time and other resources to listen to your attacks against your fellow man of God believing that your allegations were valid but i just find out that it was a waistage of my time and resources I also realised that you are one of those people who lead people astray Remember, you are among the souls to face jadgement. Stop making money and fame by denouncing other man of God. It was Mwamposa, christina Shusho and now now tb joshua. If TB Joshua is or was unGodly, so do you because he preached the words and lived in the world of God. He led so many people to Christ than you would possibly do. SOUL REST IN INTERNAL PEACE
CASSINA ARUDI KWA MKE WAKE ALIE MSALITI UJANANI EV PASCHAL CASSIAN
23:43
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
CASSIAN ATOA ONYO KUU KWA KILA KANISA WAJIAHAZALI NA ROHO HUYU
52:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 35 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 12 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 14 МЛН
MAMA CASSIAN YUPO TAABANI MOYO UMETOBOKA MATUNDU EV PASCHAL CASSIAN
36:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,9 М.
NABII  MKUU  KUCHUKUWA NAFASI YA MUNGU  DUNIANI KUFURU EV PASCHAL 🇹🇿 CASSIAN
53:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
CASSIAN AMJIA JUU TENA CHIRSTINA SHUSHO ANAPOTOSHA KANISA EV PASCHAL CASSIAN
53:10
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 27 М.
CASSIAN  NA NABII MKUU VITA YA PAMBA MOTO MADHABAHUNI EV PASCHAL CASSINA
1:10:46
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
BILA KUWA NA SIFA HII WEWE SIO MKSTO EV PASCHAL CASSIAN
30:56
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,4 М.
HOFU YA DUNIA NA TAIFA LA YESU
56:08
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 33 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН