Рет қаралды 3,541
Askofu mkuu wa makanisa ya SEIC ameendelea kulileta kanisa lake kwa wananchi ili kupitia huduma inayotolewa na makanisa yote ya SEIC watu wahudumiwe bila kulipishwa na wala longolongo. Inatia moyo kwa makanisa ya SEIC yanazidi kupaa si kwa Tanzania pekee bali hata nje ya nchi