NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 7,639

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Vazi katika linabeba utambulisho wa mtu, ndio maana kuna watu kutokana tu na namna walivyovaa unaweza kuwatambua ninsatunwa aina gani na wana tabia za aina gani.Hii ni katika ulimwengu wa mwili na wa roho pia. Kuna aina fulani ya vazi ukiwa nalo utafuatwa na aina fulani ya watu, vilevile kuna aina fulani ya vazi ukiwa nalo utafuatwa na roho za aina fulani.Na vazi ulilovalishwa katika ulimwengu wa roho lina_control mfumo wa maisha yako katika ulimwengu wa mwili, na vazi unalovishwa rohoni huvuta roho fulani kufuatilia.Kuna watu wamevishwa mavazi ya kukataliwa,Hawa watu popote wanapoenda watu wanawachukia bila hata sababu na kuna wengine Mungu amewavisha mavazi ya kibali, popote wanapoenda wanapendwa na watu bila hata kufanya chochote. Ukiwa na mtu huyu karibu na wewe umevishwa vazi la kukataliwa ni rahisi sana kuona anapendelewa.
Kwenye hii vita roho ya mauti ilikuwa inatafuta aliyevaa vazi la kifalme ndio maana mfalme wa Israeli alipotafutwa kuuawa hawakumuona maana alibadili vazi na badala yake ikamtafuta Yehoshafati (mfalme wa Yuda) kwa kuwa yeye alikuwa na vazi la kifalme, roho ya mauti haikumtambua mtu bali ilikuwa inatambua vazi na ikabidi Mungu aingilie kati.
Ndio maana ni muhimu sana kabla hujaanza kukemea roho ya kukataliwa ondoa kwanza vazi la kukataliwa ulilovishwa katika ulimwengu wa roho.

Пікірлер: 7
@joycekaje8755
@joycekaje8755 2 жыл бұрын
Amen Amen
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
Hallelujah
@blandinehategekimana6831
@blandinehategekimana6831 Жыл бұрын
Asante saaana mtumishi wa Mungu
@martinmusoni607
@martinmusoni607 Жыл бұрын
Amen 🙏past
@VioletShikoli
@VioletShikoli 11 ай бұрын
Amen
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 жыл бұрын
Amen
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
16:05
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 49 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 6 М.
MATEKA WA KIROHO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
46:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 3,7 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienve Ministries online
Рет қаралды 2,7 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 79 М.
Uelewe Ulimwengu Wa Roho Ili Ufanikiwe Katika Ulimwengu Wa Mwili - IV
37:57
Reality of Christ Church
Рет қаралды 22 М.
FINANCIAL FREEDOM -1
32:44
Reality of Christ Church
Рет қаралды 9 М.
NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:23
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 2,2 М.
MAVAZI YA KIKAHABA | EV DANIELY JOSHUAN
3:38
RGC MINISTRY
Рет қаралды 6 М.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 16 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН