Pastor... Nakuelewa sana. Kazi yako ni njema sana.
@rulemihayo2333 Жыл бұрын
Asante sana nime barikiwa na somo hili,ubarikiwe sana
@elishasoka66922 жыл бұрын
I connect my life with this prayer in Jesus name. Kila vazi lililokinyume na Mapenzi ya Mungu nayavua kwa nguvu ya Roho mtakatifu
@TrifainaMbwamboOfficial2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana nafunguliwa Sana natamani siku nikanyage hapo naamini nitakua huru zaidi Mungu akuinue
@marynjeri3702 жыл бұрын
Mateso ya familia on Sunday. Miguu iliyohamishwa, Dodoma. Nafasi ya vazi.... Following all of them, from Kenya. This is great revelation, especially this series of nafasi ya vazi. Nangoja sana maombi ya kumalizia hii series ya vazi.
@catherinesiame43842 жыл бұрын
Amina saa mtumishi
@blessedtumaini5162 жыл бұрын
Asante Mtumishi leo nimeelewa baba na mama yangu walinikataza sana kuvaliana nguo. Asante Mungu Baba kwa neema hii ya kujifunza. Mbarikiwe watu wa Mungu Baba aliye hai.
@MachineTayc-x3e2 ай бұрын
Kweli kabisa muchungaji
@gloryhumphrey62562 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Bwana
@janettheis37492 жыл бұрын
Ameen, Baba wakiroho mungu azidi kukubariki na Familia yako.Asante kwa chakula Cha kiroho 🙏🏿🙏🏿
@hildaringmmary92972 жыл бұрын
Hatari hii mazabau ni Moto
@rhodakisena64282 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu waliosalia na wewe Mch Ni miongoni mwao, tunashukuru Mungu kwa neema hii kubwa. Mungu akulinde na kukutumia daima .
@michaelmzena2292 жыл бұрын
Amen
@salomemueni1002 жыл бұрын
Kwetu kenya.. Mafazi ya madeni imefunuliwa kwangu leo..asanti mtumishi wa baba wa mbinguni kwa mafunzo ya ufunuo.. Hallelujah. Hallelujah. Hallelujah.. Damu ya jesu imenifungua leo. AMEN
@hoseashibanda7112 жыл бұрын
Nabarikiwa na MAFUNDISHO makubwa ya Ufunuo wa Roho mtakatifu
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Yesu naomba kibari kama cha Ester kupitia ibada hii kazi yako inside bure juu yangu.naomba unibariki
@petermunuo16572 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@latifaonesmo76292 жыл бұрын
Asantee mtumishi mm ndiomana rohoo yang inakataa mambo yakuazima mtu nguo bora nimpe moja kwa moja
@teresiamwandanji6032 жыл бұрын
Ahsante kwa somo nzr pastor
@estherlyatuu84452 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho Mungu anayokufunulia
@elizapeter7822 жыл бұрын
Eee mungu naomba unisaidie
@MachineTayc-x3e2 ай бұрын
Hakika kweli
@maryandason18152 жыл бұрын
Amen Asante Sana Bishop Sanbella 🙏🙏 barikiwa Sana Bishop
@charleskuyeko44002 жыл бұрын
Natamani Serikali ingeusikia ujimbe huu.
@vedastogwido53112 жыл бұрын
Nimekuelewa saaanaa👏👏🙏
@chaseborgia2 жыл бұрын
Amen amen amen Mtumishi Sunbella na watenda kazi wote Mungu azidi kuwabariki
@danielkasongo23642 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafunuo haya Ila mtumishi samaahani saaana huyu unaye mpatia kwendesha maombi rugha anayo isema na haliyo ao viwango vyoko haifai samani aache hivyo aombeshe tu aachane na rugha zake
@danstonecool17342 жыл бұрын
following from nairobi
@christinesavai8842 жыл бұрын
Amen Amen
@shedrackkiluswa59022 жыл бұрын
Asante baba nashukuru umenisaidia sana MUNGU akubariki niyatendea kazi
@scholafelix71676 ай бұрын
Baba ubarikiwe .naomba uniombee mm huwa naumwa kila mwezi nakunywa dawa..ikitoka malaria,,inakuja typhoid,, Mara UTI,,baba haipoi kabisaaa Ni kuumwa tuu baba niombeee ... Nmechoka kunywa dawa...
@jomsafirikajinaki88202 жыл бұрын
Deus te abençoe pastor, gostou muito das suas pregações, Nipo Mozambique.
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Amen asante kwa ufunuo huu mtumishi wa Mungu nimefahamu sasa
@bettybusumba14782 жыл бұрын
We love you pastor
@hemedikulungu922 жыл бұрын
Amen Pastor be blessed masomo yako yanabariki sn.
@anniemoshi65272 жыл бұрын
Amen baba! Mungu akubariki sana.
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
Amen baba mungu akubariki
@MachineTayc-x3e11 күн бұрын
Haya mambo nikweli kabisa muchungaji mimi ni muchungaji Timothy MBULA BWENGE FRANÇOIS
@estermatee48342 жыл бұрын
Amen pastor !! Naomba kujua ARUSHA sehem gani huwa unafanyia ibada?
@isabellarkageha77072 жыл бұрын
Amen
@jordanasadjah84512 жыл бұрын
Powerful word 🙏🙏
@josephinelusambo45932 жыл бұрын
nakufatilia sna kutuka American 🇺🇸 natamani kwawiki 4 niyakute hayo mafuvu ahija malizika
@anniemoshi65272 жыл бұрын
Tunaomba mafundisho ya Tuesday Arusha pls 😭
@realityofchristchurch2 жыл бұрын
Ibada ya Arusha yenye somo MIGUU ILIYOHAMISHWA linapatikana kupitia ukurasa wa KZbin wa Pastor Sunbella Kyando wenye jina PASTOR SUNBELLA KYANDO
@esaiehakizimana57832 жыл бұрын
Mungu niepushe na vazi la Haram ya mauti naomba baba niwe huru kanisa Damu ya Yesu Kristo kanitakase
@frankmshana13312 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa
@victoriakazungu97442 жыл бұрын
Ahsante mtumishi, Ila nipo simiyu, nahitaji msaada wa kuongea na wewe
@ndohoriomsacky4452 жыл бұрын
Ogopa sana kupewa zawadi mtu aliye uchi ukapokea ni hatari sana
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
Watu huwa wanachukulia poa hivi vitu,lkn ndo hali halisi!