DISEMBA 30, 2024 DARAJA LA J.P. MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) KUANZA KUTUMIKA-ENG PASCHAL AMBROSE

  Рет қаралды 16,955

TANROADS HQ

TANROADS HQ

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@nashonjoel20
@nashonjoel20 3 ай бұрын
Hongera nyingi kwa Muasisi wa Mradi huu JPM pamoja na Mheshimiwa Rais Dr Samia kwa kuendeleza Miradi yote mikubwa ya kimkakati. Kanda ya ziwa tutanufaika sana na Daraja hili.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Magufuri agekuwepo ligeisha siku nyingi tutoleeni utopolo wenu tumewachoka
@yassinkanal
@yassinkanal 21 күн бұрын
Magufuli we baba 😢 😭
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 ай бұрын
Gnga LIKE kwa Hayati JPM
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 3 ай бұрын
Hongera nyingi kwa viongozi wote mlio shiriki ujenzi huu
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 3 ай бұрын
Safi Chama Cha Mapinduzi kutekeleza Irani na kumalizia Miradi ya kimkakati..Mama SSH 2025 tena
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 3 ай бұрын
Hayo Magugu ziwani, tunangojea mpaka wazungu waje kuyaondoa?
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 2 ай бұрын
Eeeeh, kumbe ni magugu! Basi Mimi nikawa nakuuliza, kwanini hizo pile cap zijengewe kwenye maji badala ya kujenga kwenye ardhi hiyo yenye mimea. Asante
@African511
@African511 3 ай бұрын
Akili za mwanaume mmoja aitwaye Magufuri,alooo Mungu alimtumia sana huyu jpm
@worldtechlab
@worldtechlab 3 ай бұрын
Wow beautiful 😻
@loner_wolf
@loner_wolf 21 күн бұрын
Mmh , huyu mama anafanya kazi gn sasa ..... mbona kazi kama zimedelay kwa kiwango kikubwa sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Mimi nachukia mpaka sasa miaka 6 harijaisha
@JayMore-fw5jn
@JayMore-fw5jn Ай бұрын
Story zimukua nyingi kuliko vitendo
@EmanuelWebiro
@EmanuelWebiro 2 ай бұрын
Leo jpm angekuwepo tz ingekuwa na stage gani?
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Hakikisheni mnatoa majani yaliyo ota kwenye maji
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 ай бұрын
Mnatuchosha tunataka barabara liishe tunachukia manenotu acheni hata kutangaza
@ZeProDJay
@ZeProDJay 3 ай бұрын
Hili daraja halijaishaga tu duuh
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 3 ай бұрын
Angelikuwepo duniani mwenyewe kwa sasa magari na waenda kwa miguu wangelikuwa wanapishana juu katika daraja hili.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 3 ай бұрын
Mpaka reo mnaiba tuu cement na nondo hariiishi mrimtoa bure tuuu magufuli mngemuacha atujengeee inchi wajinga nyinyi
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 72 МЛН
#USAFIRIWAKO:  UTENGENEZAJI WA MAGARI YANAYOTUMIA UMEME   UGANDA.
28:45
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 103 М.