NAIBU WAZIRI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA AJIUZULU ATUMA BARUA KWA SPIKA

  Рет қаралды 26,471

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 43
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 2 ай бұрын
Ni vizuri ho ni uwajibikaji
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Hataki ujinga. Anajielewa sana.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Ooh sawa tajiri
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 ай бұрын
Hakuna mtu makini na mzalendo anaweza kufanya kazi na Serikali dhurumati ya Samia, Serikali ambayo haijali wanyonge.
@mohdkhamis2914
@mohdkhamis2914 2 ай бұрын
Wewe ukipewa Uwaziri unaweza kujiuzulu?
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 ай бұрын
Hivi wewe serikali gani ilikujali?? Ina maana hii miaka mitatu ya Samia ndio umekuwa MNYONGE? Kama awamu zilizopita zilikuwa zinajali wanyonge basi miaka mitatu hii usingekua anyone. Fanya tena UTAFITI wako.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni tajir sana anataka kusimamia biashara zake
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 2 ай бұрын
Umejuaje mkundu wako wewe
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
@@Peterchila-un2lx😂😂😂😂😂😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 ай бұрын
​@@Peterchila-un2lx watu mna akili sasa umetukana wa nn
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
​@@Peterchila-un2lxPeter, unafedhehesha na kudhalilisha jina lako Peter. Zingatia maadili na mafundusho ya imani na jamii.Hupungukiwi kitu kwa kuwa muungwana na mwadilifu!
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
@@raydanfrenk sijui ni Peter Chila ninaemjua, maana tuko nae kanisani KKKT na yuko ktk huduma hapo kanisani
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 2 ай бұрын
Balozi Mbarouk ni kiongozi ambae mwenye Hofu kubwa sana ya Mungu
@atupeleMbughi
@atupeleMbughi 2 ай бұрын
Ccm sio watu wazur
@hamisidale2704
@hamisidale2704 2 ай бұрын
Big blow to Madam President it seems like Kuna njama za makusudi za kumchafua Raisi au kumdhalilisha katika maamuzi yake! Samia just be careful umezungukwa na asilimia 55 si wakweli kwako! Silaa alikueshimisha kila kona huyo kavutwa shati ardhi inaenda kudorora kama zamani! Kama kuna ulazima wa silaa kuchukua Nafasi ya Nape Mpe makonda viti maalum(Mbunge) then Mtupe ardhi ili kazi nzuri sana sana alioifanya Silaa ardhi ikaendelee" Ebu ikawe Kweli Mh Raisi "
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 ай бұрын
alijua atatolewa kwenye mkeka wa mama akawahi maana wizara yao mawaziri wote wametoka hivyo kajihami kuachia ubunge atoke siasa kabisa lipo jambo kwenye hiyo wizara sio bure
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Mhuuuu makubwa haya mungu ibariki Tanzania tunaomba amani tu Tanzania
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 2 ай бұрын
Atoke yeye nani aende
@franktangeki9342
@franktangeki9342 2 ай бұрын
mbunge wa kuteuliwa na rais ajihudhuru.Kuna watoto wa maskini mngekuwa mnawapa hizo nafasi,mnajipendekeza kuwapa matajiri hawazitaki mnaona wanajiudhuru, tajiri anaingiza milioni 10 kwa siku umpeleke kwenye changamoto na mshahara wa millioni 12 kwa mwezi inaingia akilini kweli? kuna vijana wengi ni wazalendo wasomi hawana kazi mngekuwa mnawapa hizo nafasi
@enziseme4712
@enziseme4712 2 ай бұрын
Kweli kuongoza serikali ni kama jalala, sasa huyu mtanzania mwenzetu kuteuliwa kuna nongwa kwasababu ya hali yake uchumi!!! Hapana huo ni unaguzi kumjadiri mtu kwa hali yake labda kwasababu ya uhuru wa mawazo nachelea kulaumu
@Man_of_valor
@Man_of_valor 2 ай бұрын
Kuwapa nafasi watu wenye njaa kali ndiko kunakopelekea au kuchangia kutokea kwa ufisadi na mambo mengine yasiyo ya kizalendo!!
@cgsbj7052
@cgsbj7052 2 ай бұрын
Unamaanisha matajiri tu NDO waajiriwe?je ikiwa watoto wako wamesoma na Hali Yako ya kiuchumi SIO nzuri unamaanisha wasiajiriwe vinginevyo WEWE ni tajiri na unautaka uongozi SAMAHANI JIRUDI WEWE ni Binadamu kama wengine​@@Man_of_valor
@Robust78
@Robust78 2 ай бұрын
Hapanaaa. Huyu mheshimiwa siyo kwamba anajiuzulu kwakua ni tajiri na hivyo nafasi aliyopewa ni kama anapoteza muda. La hasha. Siyo hivyo. Mimi ninavyomuelewa huyu jamaa ni mtu mzalendo, mchapakazi, mkweli asiyependa figisu. Ameteuliwa kufanya kazi pamoja na Mheshimiwa January Makamba wengi mnajua January ni mtu wa haiba gani. Huyu kilichomshinda nikufanya kazi karibu na Makamba huku wote wakiwa wateule wa Rais Samia. Kwamtu anayezingatia principles katika utumishi wa umma hawezi kufanya kazi na mtu anayetumia njia za kujipendekeza ili adumu katika uongozi au nafasi aliyonayo. UCHAWA ni style mbaya katika uongozi.
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 2 ай бұрын
Kuna jambo nyuma
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Ni haki yake kila la kheri
@bazarakimayenga3572
@bazarakimayenga3572 2 ай бұрын
Karma wakasimamie walivyotupora
@aminattai2676
@aminattai2676 2 ай бұрын
Kwani huyu munamjua anatokea familia gani? Ata yeye katokea familia masikini sana tu kwa hiyo nafasi alistahili pia
@hassanMahmoud-i4l
@hassanMahmoud-i4l 2 ай бұрын
😮accountability
@husseinhcube1310
@husseinhcube1310 2 ай бұрын
Maono yanaonesha huyo kaanza ila wapo wengi tusubiri tuone
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 2 ай бұрын
Kujihuzuri ni uwajibikaji hongera
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 2 ай бұрын
Kuna jambo amelifanya
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 2 ай бұрын
Mmmmmhhhh
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Umeshiba tayari.
@leinaamos
@leinaamos 2 ай бұрын
Umeona
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 2 ай бұрын
Hahahaha kbsaa
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 2 ай бұрын
Serikali inawaamini watumishi bali baadhi ya watumishi ambao ndio wanaaminiwa sana wana uroho uliopitilza
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 ай бұрын
Achunguzwe uraia wake huenda huyu ni miongoni mwa wale ambao Cdf aliwasema kuwa wapo serikalini kashamaliza kazi yake anataka kusepa asiachiwe hata dk 01
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 2 ай бұрын
Fikra potofu hizo
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 2 ай бұрын
Usenge uoo km kitu hujui kukaa kimya pia sio vby hanisi wewe
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 29 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 29 МЛН
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Kũmuramura magathĩti; #iNooroRũciinĩ
19:34
Inooro TV
Рет қаралды 15 М.
MSTAAFU KIKWETE ASIMULIA WALIVYOGOMEA IKULU KUHAMISHIWA DODOMA.....
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 191 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН