Ila Despina Mungu akutunze Dada yangu ❤ hujawahi kukosea..! Hongereni pia kwaya kazi nzuri 🎉
@MikaChacha10 ай бұрын
Kazi nzuri mbalikiwe
@FaustinFaustin-q4x10 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@MoyoMt.waYesu_SumbawangaKMMY10 ай бұрын
Kazi nzuri Sana hongereni Sana Kwaya ya Mt.Cesilia Jimbo katoliki la Morogoro🔥🔥
@Tumaini-mj4fs10 ай бұрын
Nice song...big up
@thelesialazaro10 ай бұрын
Ni wimbo nlotokea kuupenda sana wanakwaya wameimba Kwa hisia Kali sana mungu awabariki sana
@menedorasevelino54498 ай бұрын
🎉Excellent hizi Ni kazi pekee za Mungu Kashusha jamii tunakitegemea Sana kiroho.Usiache hadi utembee na fimbo.Mtumikie Mungu daima.Tunakumisi Mungu akupe hutaji la moyo wakooooo
@veronicaconrad404811 ай бұрын
Hongereni sana ...kwa utume kazi nzuri 🙏🏽💓
@josephkimodoi100510 ай бұрын
Ephraim Kashusha Mwamba saaaana . Great work Kaka🎉🎉🎉🎉🎉Much Respect Msange JKT 823
Tumwimbie bwana katika roho na kwel Mbarikiwe Mt Secilia kwakutuwakilisha vyema 🧎🥳
@reginanankana41611 ай бұрын
Hongereni sana
@avemariaproductions20111 ай бұрын
Hongereni sana wanakwaya 👏👏👏
@thadeikasolo238311 ай бұрын
Mungu atukuzwe daima! Amina Wimbo mzuri hongern🎉
@TYCS_EPIPHANYPARISH11 ай бұрын
Kazi nzuriii sanaaa hongereni sana
@mutongoreprostudios11 ай бұрын
Ujumbe mzuri...hongera mtunzi
@mamanikita202610 ай бұрын
Nice reflection song. I love it🎉🎉🎉
@KesyRamadhani-on2fe11 ай бұрын
Kazi nzuri mungu awabariki ❤❤
@Anitaraymusic10 ай бұрын
Well delivered,,,, congrats❤❤❤
@KwayaYaMtakatifuCecilia10 ай бұрын
Thank you! 🤗
@puritywambua988211 ай бұрын
My love for this song aky❤❤❤ The message well delivered 🙏
@Danielkashatila202411 ай бұрын
Hongereni kwa kuvaa uhusika
@vailethmasawe987811 ай бұрын
Kaz nzuri despina dada mungu akuweke sana
@AsintaMayombo11 ай бұрын
Hongeraa mtunzi,,wimbo unagusa kilindi Cha moyo😢
@KwayayaMtPamboKristuMfalme11 ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri,hongera Sana mwalimu wangu kashusha Kwa uchoraji mzuri mungu azidi kukuongoza
@KwayaYaMtakatifuCecilia11 ай бұрын
Maisha yetu bila Mungu si chochote wala si lolote😢😢
@audasnzige740411 ай бұрын
Nice nimependa ujumbe
@davidkomba38689 ай бұрын
Ila kashusha,, Mungu akutunze sanaa😊
@ephraimkashusha398711 ай бұрын
Hongereni sana Kwaya ya Mt.Cesilia,,,👏👏👏
@norbertsungu392210 ай бұрын
Kwa Kweli nimuimbaji pia na mimi nimesikiliza kila muda narudia Hongereni kwa Nyimbo Nzuri mno muziki wa Katoliki unavuka viwango vya juu kila kukicha Asante sana kwaya ya Mt CESILIA wajina wa kwaya Yetu msimbazi mmbalikiwe mno kwa uinjilishaji hongera kwako dada Despina kwa Utume Mungu Mwenyezi azidi kukuinua uzidi kumtumikia katika Roho na kweli 🎼🙏
@KwayaYaMtakatifuCecilia7 ай бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏
@NeciahVenance11 ай бұрын
God is awesome
@despinae.mdende11 ай бұрын
Sioni msaada nakuja kwako ee Mungu unisaidie😭
@cornelmpanda62411 ай бұрын
Wewe tena huna baya😘🥰
@KwayaYaMtakatifuCecilia10 ай бұрын
😂😂😘😘
@RestusBravoo10 ай бұрын
Good
@claramwambogo82039 ай бұрын
Kashusha🖐️🖐️🖐️
@asuntamvanda800910 ай бұрын
Bravo❤
@monicacheche739211 ай бұрын
God over everything 🤲🏽🙌🏽🙏🏽
@KazikaziPeter8 ай бұрын
Amina
@edinatwalihi595611 ай бұрын
🔥🔥
@severinefuraha780311 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@leonidamasoko340211 ай бұрын
❤❤
@yohanambano87210 ай бұрын
🎉❤❤❤❤
@aureliussinkala445211 ай бұрын
Oya kashu
@Blessedhopefamily8 ай бұрын
Tunalizana tu, barikiwa sana kijana mtunzi na kwaya kiujumla kazi nzurisana