NAMNA RAHISI YA KUANZA KUJIAMINI | Ezden Jumanne

  Рет қаралды 7,514

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Kujiamini ni kila kitu kwenye maisha, na atakayeweza kulifanya hili vizuri basi maeneo mengi zaidi ataheshimika na kupata ushirikiano wa kutosha toka kwa watu wengi kwani watu huvutiwa zaidi na wale wenye kujiamini. Basi kama wewe unasumbuliwa na tatizo hili, somo hili litakusaidia uweze kuanza kujiamini.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
WhatsApp: wa.me/255759191076
Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
.
OUR SPONSOR’S DETAILS:
Al-Rahmah Schools
Location: Mkuranga
Phone: 0673-52-66-44
IG: / alrahmahschools
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
chat.whatsapp.....
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
Instagram: / ezdenjumanne
Twitter: / ezdenjumanne
Facebook: / ezdenjumanne
WhatsApp: wa.me/255759191076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
/ hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
/ @jewajua5506
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
/ voiceovertanzania
.
KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
- Kutengenezewa tangazo zuri
Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
CALLS: (+255) 759 191 076
WHATSAPP: wa.me/255759191076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#kujiamini #confidence #spn

Пікірлер: 16
@mwanaishakama3381
@mwanaishakama3381 11 ай бұрын
Mimi shida yangu ni nusu ya iyo kwenye wanawake zaidi ya mia naongea vizuri lkn penye wanaume hata awe mmoja bora tu awe sio wa kwetu yaani sijamzoea nitashindwa hata kupiga hatua hacha kuzungumza so ili tatizo kwa umri nilio fikia naisi limekua sugu kutoka
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv Жыл бұрын
Mimi ni khatwib wa masjid flan uku kwetu nikiwa mimbalini naongea vzr san ten sana lakin niongea saut yangu ya kawaida nikiwa labda nachangisha mchango nakua sijiamin nakosea manen tatz nini kak ezden
@successpathnetwork
@successpathnetwork 10 ай бұрын
Njoo What'sApp...
@user-ih4mp1ds8k
@user-ih4mp1ds8k 3 ай бұрын
Mm dogo bekatoka njombe nimejalibu kjiamini mbele ya wengi sikupenda kuaminivile baada yakuzungu vizuri kwakujiamin walinipa sifa sanaaa. Big app shekh
@KonshaziKonshazi
@KonshaziKonshazi Жыл бұрын
Sahihi... Kitendo cha kuona hilo nitatizo na kumtafuta mbobevu ni moja ya hatua kubwa ambayo inahitaji juhudi zaidi ili kuondokana na hofu hio. Usipo fanya juhudi nirahisi kuelekea kwenye hatua nyengine mbaya ambayo ni kinyongo na kuanza kuunganisha matukio kwa kuona ni tatizo kubwa sana kwako. Mbaya zaidi nirahisi kuungwa mkono na watu wenye changamoto kama hio. Hongera ndugu yetu kwa kuona hilo nitatizo; hapo nikufanyia kazi tu mbinu kutoka kwa mbobevu.
@bekammika7665
@bekammika7665 Жыл бұрын
I am absolutely right, you are very right, may God increase your wealth to educate the community,,
@fungoamon5858
@fungoamon5858 Жыл бұрын
Matunda damu nayo husaidia kuongeza kujiamin , anapo ongea na watu asitumie mda mwingi kuwaangalia uson kama wanamsikiliza itamwondolea kujiamin hapo awe anatazama juu ya vichwa vya anao ongea nao
@injilitv3104
@injilitv3104 Жыл бұрын
Hiyo hapana!!
@HassaniMohamedi-lk7ow
@HassaniMohamedi-lk7ow Жыл бұрын
😂😂😂 biashara yako
@officialrayob6061
@officialrayob6061 Жыл бұрын
Kweli kaka mimi pia huwa naimba mbele za watu huwa naimba bila hofu
@arafaselemani5033
@arafaselemani5033 Жыл бұрын
Asante kaka,hata mimi ni hivyohivyo
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
Shukran mwalim
@christermbelwa1562
@christermbelwa1562 Жыл бұрын
Be blessed more❤❤❤
@FarajaBuchafwe
@FarajaBuchafwe 4 ай бұрын
Mimi nimwanafunzi wa chuo, leondiomalayakwanza kukusikiliza imependa mafundishoyako najua utanisaidia, Mimi Nina confidence ila ninashidwa kujisimamia mwenyewe yaani natamani niwenauwezo wakujisimamia mwenyewe hatakama hamna mtu wakua namimi kwawakati huo naomba unisaidie
@nadiaali9147
@nadiaali9147 Жыл бұрын
Ata namimi pia sijiamini nahisi Nina aibu sana 😢
@linetshavu
@linetshavu Жыл бұрын
Thanks 😊
UTT AMIS - JINSI YA KUWEKEZA NA MAAJABU YA FAIDA ZAKE
1:06:29
Iringa Talk Show
Рет қаралды 3,4 М.
Jinsi ya Kuongeza Kujiamini Zaidi | Ezden Jumanne
20:38
Success Path Network
Рет қаралды 51 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 161 М.
SAIKOLOJIA YA MWANAMKE
1:05:02
Elmi TV
Рет қаралды 21 М.
SIRI YA KUAMKA BILA UCHOVU KILA SIKU
31:59
Success Path Network
Рет қаралды 202 М.
MAOMBI YA UZAO |EV. IMANI SIMWANZA.
2:10:46
Ev Imani Simwanza (LGM)
Рет қаралды 134
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
8:08
Chris Mauki
Рет қаралды 33 М.
Jinsi Ya Kubadili Mtazamo Na Mawazo Mabaya
12:18
Success Path Network
Рет қаралды 4,5 М.
MAZOEZI YA KUJENGA UWEZO WA KUZUNGUMZA
11:04
Success Path Network
Рет қаралды 5 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 68 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 750 М.