Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe 1.Fanya kile unachokipenda. 2.Jenga mtazamo chanya kwa kile unachokifanya. 3.Punguza matarajio yako, kwenye vitu na kwa watu.( lower your expectation) 4.Tenda wema husijali mazingira.( fanya wema husijali mazimgira yatakufanya nini) 5.Jijali wewe mwenyewe ( self esteem) ( muonekano wako,na kwa namna unavyojiongelesha!
@MichaelTogoro-bo4un Жыл бұрын
Kwer
@mwanahamisiabubakari9586 Жыл бұрын
nice
@stellawillison114810 ай бұрын
Mungu Skype maisha marefu baba,unatuponya wengi
@asnathkimario5771 Жыл бұрын
Asante kaka mauki toka nimeaza kukufatilia nimekuwa na mabadiliko binafsi mahusiano yangu pia mungu aendelee kukutumia stay bless
@darcasgodfrey8082 Жыл бұрын
Madini matupu hayo❤️💪🔥 KRISTO YESU Auzidishie NEEMA yake Mwenyewe Daktari
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
THANKS TUTAYAFANYIA KAZI KWA UMAKIN SABAB NDIO MAZINGIRA YET YALIYO TUZUNGUKA SIKU ZOTE NIMEJIFUNZA💯 KUPITIA DR CHRIS MAUKI👍
@ShubiraCostac3 ай бұрын
Mungu akutunze nilifungwa minyororo ya kutegemea nifuraishwe na mtu,aliponiacha niliumia sana ila kupitia wewe nilipona,asante rafiki yangu ni wewe
@MwanaishaMhomi Жыл бұрын
Asante kaka sijutii kukufatilia. Barikiwa sana
@ConsolathaKicheleri7 ай бұрын
Ubalikiwe sanaa sanaa sana MUNGU AZIDI KUKUINUA DAMU YA YESU IKUFUNIKE
@aash4145 Жыл бұрын
Mbinu no 1,,,,,inanguvu sana,,,,, hasa ukiwa na kipaj, au vipaj,,,,, utafanya kile unachokipenda,,,, big up kaka👍👍👍
@ZuhlphaOmary2 ай бұрын
mwenyez mungu akuwekee muda mlefu
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Yaaan sijui nisemeje brother,,,,,kweli furaha jipe mwenyewe,,,,,,,, barikiwa tu
@aminaluambano Жыл бұрын
Tenda wema usijali mazingira🙏🙏
@PT2016-38 ай бұрын
"Accept EVERYTHING" ❤
@agnessbayona Жыл бұрын
Dahaa kaka umenigusa sana ,barikiwa
@willemdachi6 ай бұрын
Asante kiongozi🙏🏻🙏🏻
@MerlinaKubadesha4 ай бұрын
Asante kwa somo kk❤
@rehemantutufye6818 Жыл бұрын
Daah nashukulu sana do ya kwenye hii na 5 umeniongezea furaha sanaaaa mungu akubaliki
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Asante sana kw SoMo zuri kaka umenielimisha maan nilikua napotea
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Asante Dr mauki ,maaana u aongea ukweli mtupu
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Hapo kwenye kutenda wema 😁😁😁😁 napapenda sana tenda wema kwa mtu asiye na uwezo wa kukupa mrejesho zaidi ya (asante na Mungu akubariki)
@aminaluambano Жыл бұрын
Naam 💯
@OdetteKahambu8 ай бұрын
Aksante.
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Asante Dr
@zuhuramsofe3318 Жыл бұрын
Asante sana. Somo ni zuri sana. Mungu akutunze na akubariki sana
@merylatieno3731 Жыл бұрын
Thanks
@florenciaastariko2113 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri kaka Mauki Mungu akubariki
@imanmartine811 Жыл бұрын
Ujengewe sanamu Doctor... Maeneo ya makumbusho
@diyaosman6268 Жыл бұрын
Asante
@tumpeedward6939 Жыл бұрын
Asante kwa elimu mungu akubariki
@lemaemanuel9618 Жыл бұрын
Barikiwa sana umenitoa mahali fulani
@monicamarunda-si8bc Жыл бұрын
Asante!!!
@rosenessmwendi Жыл бұрын
Dr me naitwa rose Dr me mahucano yngu bn ynachanga Moto sna naomba msaada
@annajulius9940 Жыл бұрын
Mambo waridi pole nataman tuongee japo hatujuan
@evafilipatali1543 Жыл бұрын
Rose hauko pekeako jitie nguvu simama endelea na yako
@philibethnyagawa Жыл бұрын
BARIKIWA SANA BABA
@lucymaku166 Жыл бұрын
Yani umeniongelea mimi kabisa asante sana
@fareskiyogera3370 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@mdmahammed2852 Жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@magekata7229 Жыл бұрын
Asante ubarikiwe sana 🧎♀️🙏
@JenipherKavusha-ff9zj Жыл бұрын
Àsante sana
@sadikipierremasumbuko374011 ай бұрын
Furaha
@MulaAgi2 ай бұрын
🎉
@nancyg8664 Жыл бұрын
Thankyu mauki🥰
@salhatiddy16 күн бұрын
Naomba namba ya wasp
@gracelaizerkisyoki7279 Жыл бұрын
Asantee
@ambelematika5429 Жыл бұрын
Hiyo ya 3, mimi kabisa... Asante bro 😢😢🙏
@jacobkilimba748 Жыл бұрын
Somo Kubwa sana hili nimerudia mara kadhaa
@emmanuelpius7418 Жыл бұрын
Umeniongezea uhaii
@edisitachavalaedisita4 күн бұрын
asat
@pillautv1677 Жыл бұрын
Asante sana Mwalimu nimelielewa somo
@gracebitungwa8921 Жыл бұрын
Asante
@mamtime8891 Жыл бұрын
Shukran kwa somo
@annadaniely3819 Жыл бұрын
🙏
@princessleonard95229 ай бұрын
Bro nimesikiliza hili somo leo na moyo wangu hauna furaha duh 😢😢😢
@aash4145 Жыл бұрын
Kusomea kitu flan sio ishu sana,,, ishu kufanya unachokipenda,,,,
@AgnessDavid-y5e3 ай бұрын
Mimi ubizee umezidi na si kawaida yake haya sms hajibu kwa wakati unaona sms anaisoma ukiuliza anakutafuta kwa mapenzi,nisaidie nifanyeje maana nakata tamaa