Namna waganga wanavyogeuza karatasi kuwa Pesa na mti unavyoingia ndani ya kichwa - Jaafar

  Рет қаралды 19,520

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@SwaabirMuhammad12
@SwaabirMuhammad12 Жыл бұрын
Subhaanallah...shirk hii Allah atuepushie
@aminaabdallahisa6827
@aminaabdallahisa6827 Жыл бұрын
Subhanna Allah Allah atunusuru na mitihani hii
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 Жыл бұрын
Subhanallah mungu atuogoze
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzaka Allah kheri
@gibsonkabusola6923
@gibsonkabusola6923 Жыл бұрын
Duh kweli waganga Ni matapeli sana
@akimzeli5030
@akimzeli5030 Жыл бұрын
Duuuh, asee! Hatari!
@abubakarially059
@abubakarially059 Жыл бұрын
Mashaallah jazakallahu kheri
@rashidsalim5379
@rashidsalim5379 Жыл бұрын
Sheikh we ni mganga bwana umeyajuwaje hayo...😂😂
@ashuranurudin3239
@ashuranurudin3239 Жыл бұрын
Innalillah Wainnailaih Raajiunna hii kweli balaa
@jasminyabdully499
@jasminyabdully499 Жыл бұрын
Jazakallah kheir
@OmaryMaiga-nd7xg
@OmaryMaiga-nd7xg Жыл бұрын
Jazakallahu khair
@mwarabu55
@mwarabu55 Жыл бұрын
Tupeni na siri za pete wanazovaa mashekh na waganga na wachungaji
@jumangosho7569
@jumangosho7569 Жыл бұрын
Allah awalipe kila la kheri kwa Elimu hii
@tawadudihaji3907
@tawadudihaji3907 Жыл бұрын
umeletwa kwa ajili ya kutanaza dini sio kufatilia kazi za wa2 mbona hautoi aibu za masheik wanapolawiti
@neymarjunior8404
@neymarjunior8404 Жыл бұрын
Naww uliwai kuwa muganga
@J4Mkole
@J4Mkole 10 ай бұрын
angetaj elf2, je
@winnieanyango3951
@winnieanyango3951 Жыл бұрын
Nawale ambao wanarogwa na wanganga inakuaje na inatokea na mtu anaadhirika vibaya sanaa
@Zulkamhaji
@Zulkamhaji 3 ай бұрын
Zidi kusomea ili uwokowe watu ktk kuzugwa akili na Allah sw atakusimamia acha maneno wanosema nawew ndie mchawi
@claudemofi3193
@claudemofi3193 Жыл бұрын
Kwaiyo wewe una maanisha eti akuna ugaga wa kweli
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Atuonyeshe jiti limekwenda wapi?
@sakinafeisal9724
@sakinafeisal9724 Жыл бұрын
Ila waganga jmn
@DaudYussuf-cj9ee
@DaudYussuf-cj9ee Жыл бұрын
Shukran
@winnieanyango3951
@winnieanyango3951 Жыл бұрын
Na wanga kutumia watoto wa watu usiku
@lewissvictor8930
@lewissvictor8930 Жыл бұрын
Huyu jamaa muongo mwe , acha uongo we mhubili mungu peke ake mjiga wewe
@allybobsaith
@allybobsaith 4 ай бұрын
Padre anakusubiri ijumaa pili uende kwake wewe hujui kitu
@dawayao2837
@dawayao2837 Жыл бұрын
Mimi kila siku nawaambia watu kwa waganga mnapigwa hawasikii 😂😂 wajinga hawataisha
@rashidyrashidyjuma414
@rashidyrashidyjuma414 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe mganga mshirikina wewe alafu mnajiita mashekh ..... Nyie ni wakuchinjwa biizini allah nyie sio waislam
@allydavy6919
@allydavy6919 Жыл бұрын
Kwa nini ukasema hivyo na wanatuelimisha
@queenniyonzima8625
@queenniyonzima8625 Жыл бұрын
Unawahakumu wewe ni Allah?
@rashidyrashidyjuma414
@rashidyrashidyjuma414 Жыл бұрын
@@allydavy6919ww umeiyona elimu iyo kwa uwelewa wako. Hiyo ni shilki nani halam kiislam
@rashidyrashidyjuma414
@rashidyrashidyjuma414 Жыл бұрын
@@queenniyonzima8625 Allah ametuluhusu kuwa chinja washilikina na hawa sio waislam ni majina tu ila wamesha toka kwenye uislam. Shekh wa ukwel awezi kufanya upuuz kamauu. hii ni shilki na hawa ni waganga sio mashekh msidanga nyike
@sungitatv9887
@sungitatv9887 Жыл бұрын
Kasome kwanza ndo uje useme hayo maneno nguzo za udhu zenyewe hauzijui alafu unakuja kuropokwa tuuh
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
How Your Gut Can Shape Your Brain | Vantage with Palki Sharma
4:22