Asante kaka, ila nchi yetu Kodi ni kubwa sana bana daaah!!!!
@rtp90108 ай бұрын
Asante sana mtaalamu, umenisaidia sana mimi binafsi. Aisee nikutie moyo unajua kufundisha haswaaa. Huna papara wala huna confusing language. Ubarikiwe sana
@EmmanuelMwakiposa-w4gАй бұрын
Naomba nambayako tuwasiliane
@kmotivation113012 күн бұрын
Hapa hata niki nunua bongo sita pigwa sanaa , nitaanza angalia garama za vat plus usajili then na double price after dat nakadiria nichukue kwa shingapi
@GGGB2011 Жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@petromabindo5515 Жыл бұрын
Ahsante saana
@kelvinwalter5914 Жыл бұрын
Saafi mtaalam, hii elimu ni muhimu sana
@shedyclever9014 Жыл бұрын
Aiseee t.r. a wanazngua
@hosianamosha3899 ай бұрын
Yaani TRA bei yao ni kubwa kuliko ya Gari yenyewe🥱