NJIA RAHISI ZA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA

  Рет қаралды 33,870

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@kennedylukose5358
@kennedylukose5358 Жыл бұрын
Pokea salamu kutoka Kenya bro Eden, kiukweli mafunzo yako yamenijenga xana haswaa upande kuwa na descpline ya pesa na matumizi, asante Mungu akuhifadhi
@deboralaiton-ge8mf
@deboralaiton-ge8mf Жыл бұрын
[8/2, 10:44 PM] Frank: Mambo vp [8/3, 9:11 AM] Debora laiton: Safi za wewe [8/3, 11:32 PM] Frank: Nipo poa[8/2, 10:44 PM] Frank: Mambo vp [8/3, 9:11 AM] Debora laiton: Safi za wewe [8/3, 11:32 PM] Frank: Nipo poa4 na wewe kweli ni wakutomba hasa kwa
@AgatahKaranja-x7r
@AgatahKaranja-x7r 9 ай бұрын
​@@deboralaiton-ge8mfBy ni
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Tangu nianze kukuskiliza walau hata kidogo najitahidi kusave asante success
@deohdega8773
@deohdega8773 Жыл бұрын
Naanza leo..
@FaresMganga-m2m
@FaresMganga-m2m 28 күн бұрын
Asante sana kaka kwa mafundisho yako
@burudanitiv324
@burudanitiv324 Жыл бұрын
Kaka ndio naanza naamini mungu atanisaidia kupitia ushauli wako bless you bro
@robertmgori8165
@robertmgori8165 Жыл бұрын
Asante sana bro naona mabadiliko tangu nianze kukusikiliza thanks God bless you 🙏
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie kaka ,mimi nikiwa na hasira naweza nunua kitu bila kutarajia nikinunua naona hakina maana,mwezi ulio pita kuna mtu alinikwaza nika jikuta na nunua mekap naihali simtumiaji ,Mungu Anisaidie niweze kubadilika shukrani sana kaka yangu, Ezden
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 Жыл бұрын
Malengo ya Muda mrefu hapa nimeelewa Sana Asante sana Kaka yangu
@mpendajrtz7460
@mpendajrtz7460 Жыл бұрын
Thanks bro you are my mentor 🙏
@aridjahusain-rv2hu
@aridjahusain-rv2hu Жыл бұрын
Nakufa toka Congo nashukuru Sana M Mungu azidi kuku tumia ❤
@YusuphZubeli
@YusuphZubeli 10 ай бұрын
Nashukulu san kwa ushauri muzuli san
@successpathnetwork
@successpathnetwork 10 ай бұрын
Karibu sana
@AngelKabuje
@AngelKabuje 10 ай бұрын
Nmependa sana
@innocentmushi2721
@innocentmushi2721 Жыл бұрын
Be blessed my brother i have nothing more to explain since you are my mentor right now may Allah bless you more n more 💯💯
@ibrahimmkubwa5015
@ibrahimmkubwa5015 Жыл бұрын
Samahani ni miradi gani boss wangu
@neemaisaya8290
@neemaisaya8290 Жыл бұрын
Asante umenifungua akili ubarikiwe
@VictorSilayo
@VictorSilayo Жыл бұрын
Aiseee mr we ni ticha mzuri sana .unatusanua ngoja tulifanyie kazi 🙌🙌🙌🤝🏾
@shadiyashabankabe5499
@shadiyashabankabe5499 Жыл бұрын
Good,Allah akulipe
@ermmanVennas
@ermmanVennas 2 ай бұрын
Kwel kbsa bro me lilishindwa kuweka akiba kisa chakukosa Bajeti tu lakn sasa mambo mororo iseee Mungu akubariki kwa kutujenga
@PetyJonas
@PetyJonas 3 ай бұрын
Nimekuwa nikiweka akiba ila sikujua najipunja mwenyew ila kuanzia sas nitaanza kufanya saw na mafundisho yako nikipata elf 30 bc elf tatu yote lzma niweke akiba ,,❤❤❤❤
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 ай бұрын
Utajishukuru sana baadaye kama utadumu na hilo zoezi
@IdrissMsakati-p2d
@IdrissMsakati-p2d Жыл бұрын
Nakukubali sana braza unatunga sana allah akufanyie wepes inshaallah
@raajquoteswords7805
@raajquoteswords7805 Жыл бұрын
Through you....broo nimeijua pesa mpka bs yaan mpka familia inadai nimebadilika sana stoi mahitaji kma ilivokuwa before...nilikumbuka usemii wako...nli spend more money than I earned
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 6 ай бұрын
Ahsantee sana kaka angu Mungu akubariki sanaaa,,Umenifungua pale nilipokuwa nimefugwaa 🙏🙏🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 6 ай бұрын
Nashukuru sana kwa Dua njema. Amiin
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 6 ай бұрын
Ameeeen
@FaridaBruno
@FaridaBruno Жыл бұрын
Mungu akubariki nimejifunza mengiiiiii
@batsondeux1173
@batsondeux1173 Жыл бұрын
Naanza kulifanyia kazi naamini nitapiga hatua kubwa sana
@mefaliamikulao9314
@mefaliamikulao9314 7 ай бұрын
Asante kaka.Nitajaribu
@mustafadjuma6504
@mustafadjuma6504 Жыл бұрын
Shukrain sana kaka sahii tupo makini kwakutumia pessa tayari tulisha panga bajeti not like before
@LawrenceKakuba-xe5zm
@LawrenceKakuba-xe5zm Жыл бұрын
Nashukuru sana Mungu akuzidishie aise brother
@dankirunda3368
@dankirunda3368 Жыл бұрын
Thanks bro Ezden 🙏
@OnkyMike-km3jk
@OnkyMike-km3jk 7 ай бұрын
Asante kwa somo
@suraiatarmomade3516
@suraiatarmomade3516 Жыл бұрын
Asante Kaká yangu umenifunza jambo mimi nilikuwa napata lakini siko makini naitumia ovyoo kwanzia sasa nitafanya ivyo asante kwa fundisho
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
karibu sana ukhty..
@GamalieliMakimu
@GamalieliMakimu Жыл бұрын
Mungu akusaidye kaka wewe mwamba kaka kwakufundisha tu
@zakiaally954
@zakiaally954 Жыл бұрын
Mmmh asante sana
@bekamacheni7462
@bekamacheni7462 Жыл бұрын
Thanks brother
@ermmanVennas
@ermmanVennas 2 ай бұрын
Dah naanza leo
@falesbanda7520
@falesbanda7520 Жыл бұрын
Asante sana
@JoyceBoniphace-pz6hs
@JoyceBoniphace-pz6hs 7 ай бұрын
Asante brother kwa usua wako
@successpathnetwork
@successpathnetwork 7 ай бұрын
Karibu
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Well said Mr Ezden. You blessed.
@IbrahmsWambura
@IbrahmsWambura Жыл бұрын
Are you good my dear friend
@YusuphZubeli
@YusuphZubeli 10 ай бұрын
Asante san
@johnmashimbi8662
@johnmashimbi8662 Жыл бұрын
Thank you so much my bro ezden ❤
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Always welcome
@EmmanuelMaghabiro
@EmmanuelMaghabiro 7 ай бұрын
Nice br
@محمد46-ش6ك
@محمد46-ش6ك Жыл бұрын
Umenisaidia sana brother
@nahidahussen5746
@nahidahussen5746 Жыл бұрын
asante sanaaaa
@ZahraAmiri-k1z
@ZahraAmiri-k1z 10 ай бұрын
Asante sana kk❤
@armandocorneliooresteorest8072
@armandocorneliooresteorest8072 Жыл бұрын
aize safisana
@BIGBon-d8e
@BIGBon-d8e Ай бұрын
Bajeti
@successpathnetwork
@successpathnetwork Ай бұрын
YAP
@jhurzynewtonvalourkid8047
@jhurzynewtonvalourkid8047 Жыл бұрын
Big up bro for your advice...
@SabeneNyiga
@SabeneNyiga 9 ай бұрын
Nimesha kuelewa kaka
@RalinPeter-qu3iz
@RalinPeter-qu3iz Жыл бұрын
Asante mungu kwa kunipitisha hapa na Asante kaka nimekula hela nyingi Sana week hii da Asante brother
@merykyungai2551
@merykyungai2551 Жыл бұрын
Mungu akulinde kuliko jana kwa elimu nzuri mwenywe nimefunguka kuhusu akiba
@ismailhpnews4832
@ismailhpnews4832 Жыл бұрын
Sahihi kaka yote unayo yasema ❤
@safinaamutabi2843
@safinaamutabi2843 Жыл бұрын
God bless you I have learned alot
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana
@HassanJumaa-p1u
@HassanJumaa-p1u Жыл бұрын
Nikweli kaka nimekupata vizuli
@CharlesMwaisomola-v9o
@CharlesMwaisomola-v9o 9 ай бұрын
Well mr
@humblelucyjohn
@humblelucyjohn 11 ай бұрын
Big up🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@husseinhamadi-v7w
@husseinhamadi-v7w Жыл бұрын
hussein hamadi
@husseinhamadi-v7w
@husseinhamadi-v7w Жыл бұрын
😂
@GraceBakari-wo8ly
@GraceBakari-wo8ly Жыл бұрын
Kwel kaka me siwezi eka ela najifuza saiv duu namadeni yaajabu tu
@abduldandy3077
@abduldandy3077 Жыл бұрын
8:02 real talk Love that part
@AminaHassan-l7q
@AminaHassan-l7q 4 ай бұрын
Mimi Kila nikiwe akiba shida matatizo ndio yanaongezeka najikuta natumia Ile akiba sijui nifanye Nini ndio nisevu pesa
@dreamtvtz283
@dreamtvtz283 Жыл бұрын
Nakukubali kaka MUNGU akubariki
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Thank 😊
@arafaselemani5033
@arafaselemani5033 Жыл бұрын
Somo hili limenigusa sana kaka nikama unanisema mimi ila nimejifunza kitu.
@JackMwita-e8p
@JackMwita-e8p 8 ай бұрын
Jack Bei poa naptkana mkoa wa geita
@OnkyMike-km3jk
@OnkyMike-km3jk 7 ай бұрын
Mimi nimeanza kutunza akiba baada ya kufatilia mafunzo mbalimbali kwenye mitandao. Bado sina program ya kufatilia matumizi na bado sijaweka malengo ya muda mrefu
@rahmaamgoo7919
@rahmaamgoo7919 Жыл бұрын
Thank you
@IbrahmsWambura
@IbrahmsWambura Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎖️✊✊
@saleheluvanga9929
@saleheluvanga9929 7 ай бұрын
Nashukuru sana lakini mimi mbona kuna muda nanunua vitu sijapanga kabisa Naona naferi mwalimu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 7 ай бұрын
Anza taratibu kubadili namna Yako ya kutumia pesa, katika Kila pesa unayoipata andika ni namna gani utatumia kabla hujaitumia na katika mgawanyo huo Akiba iwe namba Moja, Kisha inayobaki Sasa pangia matumizi kutokana na umuhimu
@GARDEN423
@GARDEN423 Жыл бұрын
Asante mzee
@DeogratiusMwachali-uy1kx
@DeogratiusMwachali-uy1kx 4 ай бұрын
Yaani nafurahia somo na namna unavyoongea kaka mpk nahisi kama tuzungumza tumekaa pamoja
@jullymwaikenda564
@jullymwaikenda564 8 ай бұрын
Yotee umenielimisha
@omarially1812
@omarially1812 Жыл бұрын
Daaah ukwel mtupu
@MatabaJanta
@MatabaJanta 8 ай бұрын
Tangu nilipo kusikiliza nimejifunza san kk
@zaitunimachemba497
@zaitunimachemba497 5 ай бұрын
La akiba nimelichukua japo nimechelewa bro
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 ай бұрын
"You're at the perfect timeline of life". Huu usemi huwa unanikumbusha siku zote kuwa hujachelewa kwenye lolote lile maishani, kikubwa baada ya ufahamu mpya ni mabadiliko gani unaenda kuyafanya katika maisha yako kwa kile ulichojifunza... Na hii ndio unaleta mabadiliko. 🤝🏽
@umojamedia4167
@umojamedia4167 Жыл бұрын
Mbona wakina kalungu na amos atuwaoni jaman
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 Жыл бұрын
Hili la akiba mara nyingi ni rahisi ukiwa na kipato cha uhakika .
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Start small... And have discipline! Au fungua fixed account ambayo utakuwa unaweka na huwezi kutoa kilekile kiwango kidogo kutokana na kipato chako.... Ukitaka kujua inawezekana kuwekeza ukiwa na kipato kidogo kumbuka uliishi vipi siku ambazo ulikua huna pesa kabisa....!
@bestinamaro7645
@bestinamaro7645 Жыл бұрын
Mimi naingiza Kila siku elfu 80 lakin nahitaji kujifunza zaidi maana pesa inapotea
@Rechokadusi
@Rechokadusi 6 ай бұрын
Nimejifunza kuwek akiba
@WanjeCharo-qp2ou
@WanjeCharo-qp2ou Жыл бұрын
Nimejifunza kuweka akiba ni muhimu
@LawrenceKakuba-xe5zm
@LawrenceKakuba-xe5zm Жыл бұрын
Mimi yote yamenigusa ,ukisikiliza unachukulia poa ,lakini pointi zote ni muhimu
@PendoAbel-x9l
@PendoAbel-x9l Жыл бұрын
Me nashdwa kujua ni aina Gani ya biashar ambayo nawez Fanya hivyo naomba ushauli
@mailesmathias2457
@mailesmathias2457 Жыл бұрын
@asherymeshak-go7zy
@asherymeshak-go7zy Жыл бұрын
Kwel
@merykyungai2551
@merykyungai2551 Жыл бұрын
Nimejifuza sana god bless mr
@SadamMmbegere
@SadamMmbegere Жыл бұрын
Mimi najitahidi kufuata zana.ira.nachoferi.kuweka.akiba.siwezi.kira.niki.jitaidi.naikopatu.nifanyeje
@ChrisMustafa-em1zq
@ChrisMustafa-em1zq Жыл бұрын
Mbona wengne wanasema hela haiwekwi
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Tangu nitapeliwe na Mr kuku nilikosa imani na ww nikikuona nahisi nawaona matapeli maana kama sio ww kupromoti Mr kuku mi wala nisingeingia kwenye ile desi
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Kila mtu na upeo wake wa kuelewa mambo. Sio mbaya, kuna huo mtazamo wako halafu kuna uhalisia wangu!
@ashellytimothy9748
@ashellytimothy9748 Жыл бұрын
Balikiwa Kwa mafundixho yako
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Asante sana
@lilianmengere29
@lilianmengere29 Жыл бұрын
Yaan mimi kwenye kuweka ela ndo nishashindikana🥵 cweziiiii kibubu hakifikish hata afu 15 cjui nimelogwa🥺🥺🥺
@rahimaamour2756
@rahimaamour2756 Жыл бұрын
Asante sana broo yani ninakitabia mtu akinambia shinda tu nimeshaenda kukitoa kiakiba .hichi kitu kinanirudisha sana nyuma .katika kukurudishia mtu ndo mtihani hapo .asante umenifunza kitu
@FatumaSalimu-pn4vo
@FatumaSalimu-pn4vo 11 ай бұрын
SoMo zuli sana
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😮😮mi kabla sijawa na familia niliweza kusave pamoja na kumsaidia ndugu zangu but now nashindwa sijui nini, naweka kwa kibubu na badae na kuvunja
@gilbertmatambe2435
@gilbertmatambe2435 Жыл бұрын
Poleee
@aishaathumani7264
@aishaathumani7264 Жыл бұрын
Toka nimeanza kukuckiliza upo vizurisana ,Nina m,kumi nfanye biashara gani,nipo jb ndugu
@alittlemoretime
@alittlemoretime 7 ай бұрын
Nimekulewa kaka nimefanya kaz miaka 14 namwakani nasitaafu sijaweka hats 100 nifanyeje kaka
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 7 күн бұрын
Asante sana 🙏
@neemaisaya8290
@neemaisaya8290 Жыл бұрын
Asante sana
@FrankTwagilayuhi
@FrankTwagilayuhi Жыл бұрын
Thanks bro
@MusuDe-g8s
@MusuDe-g8s 9 ай бұрын
👍👍👍
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 191 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 168 М.
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 99 МЛН
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 6 М.
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
BAJETI BINAFSI - JOEL NANAUKA
6:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 54 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 224 М.
KANUNI MUHIMU ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
11:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 90 М.
JIFUNZE KUANDAA BAJETI YAKO VIZURI
8:56
Success Path Network
Рет қаралды 9 М.
MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 173 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 59 М.
JINSI YA KUJENGA UJASIRI NA KUJIAMINI
11:38
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.