Narejesha madhabahu ya Mungu kwanza. Leo Nimefunga na kuomba Nashukuru Mungu nimepata majibu
@queenessiekenya68696 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Hii imenugusa sana eeeh Yahweh mungu wa Eliya ninyeshee mvua nakuhitaji sana eeeh Mungu mwenye nguvu
@NeemaaliceK25467 ай бұрын
Amen pastor mahubiri yako yananitia nguvu sana, Mungu mwenyewe aliyekupaka mafuta akuongezee hekima na maarifa zaidi
@atinaminzani13726 жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa Baba aliye mbinguni, kiukweli unatubariki na wewe ubarikiwe sana.
@mariyashadiashadia7144 жыл бұрын
nabarikwa baba asante sana mungu aku hepushe na mitihani ya dunia
@rosemarywawira35803 жыл бұрын
Amina.umenipaliki Sana mchunganji umekuwa wa baraka kwangu na jamii yangu.Bwana Yesu akubariki sana pamoja na jamii yako.
@rusimombeo72733 жыл бұрын
Amen pastor ,maombi yangu kwa Mungu ni kuniongezea imani .
@florenceboniface46395 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hakika nmebarikiwa
@asooraaasooraa48164 жыл бұрын
Amina sana nabarikiwa na masomo mazuri
@naomumutula70342 жыл бұрын
Nimejifunza Mambo mengi ambayu sikukuwa na fahamu atika mahubiri Yako.mungu akubariki pastor.
@OlviaSelungo3 ай бұрын
Aminaa barikiwa sana maana mahubiri yako yananibariki mno
@markomis-yj4bu10 ай бұрын
Mungu akusahidiye sana ili kwamba uzidi kutowa mafundisho kama ayo
@musaijulius65446 жыл бұрын
nashukuru mchungaji kuwaelekeza watoto wa MUNGU ~natamani kukua kiroho nataman sana nimoja kubwa sana ya lengo langu lakini NAAMINI nitaibofya batani yakukua kiroho kwausahihi naifanyia imani mazoezi
@nasiekutarishi32926 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa mno, mungu azidi kukutunza mtumishi
@nouratana64636 жыл бұрын
Nasieku Tarishi Wewe ni Wakristo? Wote unasema ni nzuri lakini wewe ni Wakristo? Kwa sababu leo, kama unamkataa nabii Kacou Philippe basi ni Shetani kwamba umemwita Yesu Kristo na kuabudu bila kujua. goo. gl/ s1X3WY
@nkwembacharles86764 жыл бұрын
Ahimidiwe bwana wa majeshi litukuzwe jina lake
@joycemashikolo90966 жыл бұрын
Barikiwe sana pr kwa ukweli wa Biblia naona shetani na jeshi lake anatetemeka mpaka tunaonyeshwa blog humu humu.
@kaloutrayetv86546 жыл бұрын
40. Lakini namna ya Mungu inabaki ile ile. Musa ndiye alianzisha ukuhani wakati wake. Na kama uko mtumishi ya kweli ya Mungu, uta kuja ngambu ya Musa kama Jéthro, kuani ya Madian. Yohana Mbatizaji aliwachagua mitume na wafwasi wake. Bwana Yesu Kristo ndiye aliwachagua mitume na wafwasi wake. Ni Paulo aliyewachagua mitume na wafwasi wake. Na Mungu atakapotuma nabii duniani itakuwa tu hivyo hivyo. Na hili ndilo jambo moja tu linalo kubaliwa na Mungu. Huduma ni uchaguzi wa uungu, silo jambo la akili au la pesa au la upako. Ninajua kufundisha halafu mimi ni hiki au kile. Nina upako mkubwa, ninafanya miujiza kwa hiyo mimi ni hiki au kile. Yote ile ni shetani toka mwanzo hadi mwisho. Na kama Israeli, jambo lile lile lilipitika upande huu.
@naomumutula70342 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor
@hellenratemo28133 жыл бұрын
Amen nice message , GOD 🙏 bless u pastor .
@رزقكينيدا3 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji ubarikiwe sana
@gospolmwanahawa73845 жыл бұрын
mchungaji naomba ufafanuzi ntajengaje madhabau ya bwana,
@nancypretty75766 жыл бұрын
Watching online i feel so blessed Amen
@roselyneminayo9585 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen be blessed pastor
@mipawatambu71466 жыл бұрын
ubarikiwe pastor
@lameckmwita62875 жыл бұрын
Full Enjoyment to live in Jesus hope.
@samueljr91056 жыл бұрын
Amen Amen be blessed pastor
@swaumpastertutembelee90145 жыл бұрын
Paster karibu mkoa watanga kilindi
@chachamagige80956 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Baba
@hondenisonmagufulinyabaro39236 жыл бұрын
Ubarikiwe pr Mmbaga-Tz, Ulisema unakuja nakuru na Nairobi Kenya??? Welcome we mtu wa maana,,,Niko Nairobi Kenya Westland Kangemi SDA Church 0711192114
@sabbathyusto59436 жыл бұрын
amina mtumishi wa mungu
@babydragonfogo73933 жыл бұрын
Amina mtumishi
@neemaezekiel1996 жыл бұрын
napenda sana mafundisho yako kwann ukuhubiri na kwenye maisha hatimaye??
@peninasnyamhanga48606 жыл бұрын
Amen
@eliphasecatherizawadi9745 жыл бұрын
Nini maana ya kujenga madhabahu? Naomba Nisaidie
@aichatoukone40976 жыл бұрын
8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. goo.gl/s1X3WY
@happylaizer37922 жыл бұрын
Amina
@nadiakida58856 жыл бұрын
Sasa tunaishi sehemu ya maana sana ya uamsho wa Kanisa la mataifa, kwa kuwa uamsho Ni kwanza Neno, kisha ishara zakuja kwa kuthibitisha Neno. Tupo tunasikia yale Kelele ya usiku wa manane ilisema. Ni Kelele hii ndiyo wateule walikuwa wakingojea. goo.gl/s1X3WY
@linetokuku5390 Жыл бұрын
Amina link ya part 2
@muokidavid45345 жыл бұрын
AMEN
@judithgmukagihana43796 жыл бұрын
Amen
@davidmdee5594 жыл бұрын
👏
@francomukumu3 жыл бұрын
@Mahubiri Tv I cant locate part two
@Afrohousex6 жыл бұрын
Amen sana
@ChristopherSigira Жыл бұрын
Amen 🇰🇪
@hasanmagawa15816 жыл бұрын
amin
@peninadunda63483 жыл бұрын
Amina
@nouratana64636 жыл бұрын
Yesu Kristo ndiye Mungu Mwenye Nguvu na Kacou Philippe ndiye nabii peke yake hapa duniani katika kizazi hiki. www. philippekacou. Org
@swaumpastertutembelee90145 жыл бұрын
Asante paster
@hakizimanabelyse32135 жыл бұрын
Nimebalikiwa Sana'a nilikua napenda munitie mu group+06560438366
@francomukumu3 жыл бұрын
link to part two please
@jeanbertrandphilippe5866 жыл бұрын
9. Wakati adhabu inakuja juu ya inchi, ni hasa dhidi ya makanisa ndipo hiyo adhabu ina anguka kama vile zamani juu ya miungu ya Misri. Mnaona ? Mimi Kacou Philippe, mtumwa wa Yesu Kristo, siwakate tamaa lakini ni kwa bure munaomba. Mungu amejifanyia watumishi kwa kutimiza hukumu kama vile alivyo fanya mtumishi wake Nebukadreza dhidi ya Israeli katika siku za kale. Je ! Sio Mungu anayeamuru yote yanayotokea duniani ? [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "]. www.philippekacou.org