Asante Mchungaji kwa somo Zuri. Mungu akupe haja ya moyo wako.
@estherkusaga91813 жыл бұрын
Ninabarukiwa saaanaa na somo hili mlefi be blessed
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Ameen
@DaveOndiekAaron853 жыл бұрын
Hallelujah! Hallelujah! 🤲🤲🤲
@marycheupe86135 жыл бұрын
Haki barikiwa sana mtoto wa mungu unanifunza mambo makuu mno
@ashurasimon2262 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@danielsamwel57434 жыл бұрын
Amina nimeyapenda mafundisho yako mtu wa mungu
@izzylyrics22405 жыл бұрын
Nimebarikiwa tena mtumishi kwa tunaofuatilia nimetambua somo hili lilirushwa mwezi moja uliopita na sasa limerushwa tena kwa uzito wa somo lenyewe! 🙏🙏🙏🙏 Ubarikiwe mno pastor
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana pastor🙏
@mn94845 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Tuzidi kuwa na Imani.
@imangregory83925 жыл бұрын
Mungu atusaidie kwakweli,somo likirudiwa ujue Kuna ujumbe uliokusudiwa na Bwana!
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuzidi kuanaimani
@johnhaule78634 жыл бұрын
Amen
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Niki soma fungo sielewe lakini ukinisomea ninasikia kwaundani Amina nnabarikiwa sana pastor mungu akulinde siku zote hallelujah
@nyaburumamasige18945 жыл бұрын
Majani ya papai
@esternaftari45535 жыл бұрын
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu
@abishaibigarama74245 жыл бұрын
Tunajengeka kiimani kupitia masomo yako mtu wa mungu hivyo tia nanga xaaaaaana amina
@leonardlucas99045 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi.
@captainbosingwa72263 жыл бұрын
Ishara ni dalili ya upungufu wa Imani"2Wakorintho5:7 Maana twaenenda kwa Imani,si kwa kuona".
@quintonadonis81853 жыл бұрын
You all prolly dont care but does someone know of a tool to log back into an instagram account..? I stupidly forgot my login password. I would appreciate any help you can give me!
@jamesmedard55384 жыл бұрын
Amina.
@augustmakyao99365 жыл бұрын
Sexaphon ni nzuri sana, je Daudi alipiga chombo gani kilichomfariji Sauli?
@yohananyabu40405 жыл бұрын
Amina
@rehemamhagama47335 жыл бұрын
Amina kwa ninitia nguvu
@imgracesamwel39994 жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa na bwana na sisi pia tubarikiwe pamoja nawe
@unclejj35815 жыл бұрын
Naomba niulize huyu Licovege alieuliwa Kwa risasi tano alikuwa muumini wa kanisa gani? Na huyo askari alieokoka akabatizwa ana akawa mchungaji akafariki akifa mchungaji mufitafu alikuwa kwenye kanisa gani? Naomba nijibiwe Mchungaji.
@sindabahabwoyaanacret6605 жыл бұрын
Pastor how about Trinity, come up wth ths lesson b'cause it's a challenge to our faith nowadays
@jacquestibasima57273 жыл бұрын
Mm
@jacquestibasima57273 жыл бұрын
...... Mkk . Nnmmmoovmokknoll mlo j.
@nundabe5 жыл бұрын
Ubalikiwe🙌🏾 ila izo namba +255 755 932 283 nizanini?? Mbona siko zote tukijalibu kuzipigia hazipatikani????
@habaritv63645 жыл бұрын
Fazike Mix Tumia whatspp zaidi,mchungaji anazidiwa na majukumu,kama sasa hivi inapatikana
@nemaodhiambo72745 жыл бұрын
Imani halisi inamalipo baada ya majaribio Amen
@barakaungenge9395 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana🙏
@cocoadacoco40573 жыл бұрын
Amen
@augustmakyao99365 жыл бұрын
Sexaphon ni nzuri sana, je Daudi alipiga chombo gani kilichomfariji Sauli?