Namna ya kuoga janaba kisheria

  Рет қаралды 236,989

SWAFIIR BULBUL

SWAFIIR BULBUL

Күн бұрын

Video hii itakukumbusha namna ya kuondosha hadathi kubwa kisheria..
Hadathi kubwa:
Ni yale yanayomuwajibikia muislamu kuoga.. yaweza kuwa ni Janaba, Hedhi au Nifasi.
Allah anasema katika Qur'an; "Enyi mloamini msiikaribie swala ilhali mmelewa........."
(Rejea sura ya 4 aya ya 43) Suurat An-Nisaa.

Пікірлер: 74
@mswagarajr3954
@mswagarajr3954 3 жыл бұрын
Axant kwa makumbusho hay ALLAH akulipe ndgu yang amiiiiiiiin
@husnamkange219
@husnamkange219 8 күн бұрын
Shukrani
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 5 жыл бұрын
Nilikua sijui kumbe kwanza unatia udhu asante sanna kwa kujua ivo
@rashidysaidy7157
@rashidysaidy7157 5 жыл бұрын
Hapana uwezi Chukua hudhu hali ujaoga janaba alafu uwez Chukua hudhu chooni
@neemasemgaza5317
@neemasemgaza5317 6 жыл бұрын
Mashallah jazakallahu kheir asante kwa kutupa elim
@neemacassandra9597
@neemacassandra9597 5 жыл бұрын
Shukran 👏
@rashidishabani9521
@rashidishabani9521 6 жыл бұрын
Jazakallah khaira
@ibrahimshehuna527
@ibrahimshehuna527 5 жыл бұрын
Shukran kwa somo lako mungu akubarik
@IbrahimJuma-p9y
@IbrahimJuma-p9y 9 ай бұрын
Shukrun kwa kunifunza
@imranabdallahsaid6770
@imranabdallahsaid6770 4 жыл бұрын
Samahan sasa tunasemaje بسم الله الرحمن الرحيم tukiwa chooni
@abbubakarmahmud7866
@abbubakarmahmud7866 4 жыл бұрын
Unasema njee ya choo kama unavyo sema dua ya kutaka kuingia chooni
@Shuugan
@Shuugan 3 жыл бұрын
Apo chacha
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 6 ай бұрын
Unasema kimoyo moyo
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 5 ай бұрын
​@@Shuugan unasema kimoyo moyo ukiwa uko uko chooni yaani usitamke Bismillah kwa sauti sema moyoni Allah anasikia Inshaa llah 🙏
@abdulhafidhy6514
@abdulhafidhy6514 6 жыл бұрын
Jazakallahulkhayr
@mohammedyunus8968
@mohammedyunus8968 Жыл бұрын
Alhamdulillah Rabil Alameen
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Shukran Sana Sheikh.
@aliahmada8646
@aliahmada8646 6 жыл бұрын
asante sanaa Allah akuweke uzidi kutujuza mema
@hssandogoli8446
@hssandogoli8446 4 жыл бұрын
Kawapotosha huyu HUWEZI tamka jina la Allah chooni/masalani .
@abdallahomary2132
@abdallahomary2132 4 жыл бұрын
Twashukuru sana ila ungefafanua vizur mtu kama mtu ndo anakusikiliza anaweza akaenda choo akasema Bismillah kutokana ujamfafanulia vizur alitamke sehemu gani lingine kwenye kujimwagia maji upande wakulia na kushoto ujasema mara ngapi
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
SHUKRAN Akhy.. Nimefuatilia Hii Kadhia.. Nimekuta Kuna Mitazamo Miwili Ya Wanachuo.. Wako Wanaojuzisha Kuleta Bismillah Ambao Ni Katika Wengi Wao.. Na Wapo Ambao Wameonelea Ubaya Juu Ya Jambo Hilo.. LAKINI MWISHO WA YOTE.. NI VYEMA MTU ASIILETE BISMILLAH AKIWA MALIWATO.. Baarakallaahu Fiykum
@annasimlangi5554
@annasimlangi5554 6 жыл бұрын
thanks sana naamin fani yetu tutapata faida sana kutoka kwako
@binameir2719
@binameir2719 6 жыл бұрын
vipi kuhusu ii..bismillah kutamka chooni na kuchukua udhu chooni ina swihi
@chichiabdallah8911
@chichiabdallah8911 6 жыл бұрын
Bin Ameir hivyo vyote wachkulia nje ninavyojuwa mm
@hamadnassor1676
@hamadnassor1676 5 жыл бұрын
udhu unaswihi kutia chooni ila iyo bismillahi mungu ndio ajuae
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Kumekuja Kauli Mbili Za Wanachuo.. WAPO Wanaojuzisha.. Na WAPO Wanakanusha.. ALMUHIMMU Nimeangalia Jambo Lilivyo.. Mwisho Naona HAIFAI Kuletea BISMILLAH Maliwatoni..
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 4 жыл бұрын
Maasha allah
@omarykwasirisana6107
@omarykwasirisana6107 6 жыл бұрын
Ahsanteni allah amilipe
@saidmuhinda6755
@saidmuhinda6755 5 жыл бұрын
Akoshe sehemu zake za siri ungechambua shekh kwa upana
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Shukran
@abdulrahmanalafasy7973
@abdulrahmanalafasy7973 3 жыл бұрын
Màsh àllah
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 5 жыл бұрын
shukrn
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Shkuran
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 6 жыл бұрын
Kila la heli sheikh wangu
@AzizaMohd-f7c
@AzizaMohd-f7c 2 ай бұрын
Ivi ukioga janaba hakuna dua yoyote ya kusoma
@hawaamkala2128
@hawaamkala2128 2 жыл бұрын
Unajimwagia Maji Mara ngapi Huo upande Wa kulia Na kushoto
@rashidysaidy7157
@rashidysaidy7157 5 жыл бұрын
Una nia nzuri kweli ila Bado inamakosa alafu unapeleka haraka mno mm najua jinx ya kuoga janaba ebu kaa na wanadhuoni wenzio mshauriane kitu kimoja ukikosea umepoteza maana mzima ya somo lote
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Shukran Akhuuy.. Mimi bado sijawa Mwanachuoni.. Ngali Bado Natafuta Elimu Baarakallaahu Fiykum
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 6 жыл бұрын
shekh bismillah unaitamka chooni
@humudihajj6034
@humudihajj6034 6 жыл бұрын
Bila shaka kabla ya kuingia chooni maana chooni hakufai kupigwa bismillah........Allah anajua zaidi
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 6 жыл бұрын
+Humudi Hajj me pia hujua hivyo sasa itolewapo darsa nzuri kma hii ni vyema kufaamisha atazamae mana kuna wengne raa ulai waraa huwa
@herbetali3945
@herbetali3945 6 жыл бұрын
Unapokuwa na janaba huruhusiwi kumtaja Allah .... Hiyo bismillahi ni makosa
@rskiabdala4868
@rskiabdala4868 6 жыл бұрын
Baraka Khemedi huwez kutamk coz bismillahi imetaja jina la Allah so ni makosa kumtaja Allah ukiw chooni
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 6 жыл бұрын
+Abduli Viduli me nafaham shekh bali muandaa hskufafanua ndo mana nkawa nashangaa mana video yaanhaliwa na weng wngn hawana elmu hiyo tna wanajua janaba huondoshwa chooni tu
@hassanhamis3363
@hassanhamis3363 5 жыл бұрын
Mm simuelewi huyo katun kabisa
@mayahhajih2636
@mayahhajih2636 4 жыл бұрын
Tuliza akili soma na maneno utaelewa
@bestie255
@bestie255 4 жыл бұрын
Itafaa kusema bismilah maliwatoni?
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Kumekuja Kauli Mbili Za Wanachuo.. WAPO Wanaojuzisha.. Na WAPO Wanakanusha.. ALMUHIMMU Nimeangalia Jambo Lilivyo.. Mwisho Naona HAIFAI Kuletea BISMILLAH Maliwatoni..
@babuufadhili1759
@babuufadhili1759 6 жыл бұрын
Uyu jamaa kazingua bismillahi na chooni wapi na wapi
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁👍👍👍
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Kumekuja Kauli Mbili Za Wanachuo.. WAPO Wanaojuzisha.. Na WAPO Wanakanusha.. ALMUHIMMU Nimeangalia Jambo Lilivyo.. Mwisho Naona HAIFAI Kuletea BISMILLAH Maliwatoni..
@samiramohamed98
@samiramohamed98 6 жыл бұрын
Hote Hayo wafanya choon udhu choon. Waswiqh?? Na je kumtaja Allah choon
@OfficialJouma
@OfficialJouma 6 жыл бұрын
kuchukua udhu chooni inafaa ila kusoma bismillah chooni haifai
@fatmasaid5251
@fatmasaid5251 4 жыл бұрын
Kimoyomoyo
@hamisamaundi5661
@hamisamaundi5661 4 жыл бұрын
Kutia nia na kumtaja mwenyezimungu kabla hujaingia chooni,
@SwediMustafa-mn2ir
@SwediMustafa-mn2ir Жыл бұрын
@@fatmasaid5251 nazani hata kimoyomoyo sizani kama inaswihi kabisa.
@hititv2741
@hititv2741 6 жыл бұрын
Huyu sheikh wa wap.! 😟😟 janaba unatoana udhu na bismillah.! Umetumia kitabu kipi.?
@fatmasaid5251
@fatmasaid5251 4 жыл бұрын
Kosa liko wapi hukuambiwa utoe sauti kimoyomoyo jamanii
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Kumekuja Kauli Mbili Za Wanachuo.. WAPO Wanaojuzisha.. Na WAPO Wanakanusha.. ALMUHIMMU Nimeangalia Jambo Lilivyo.. Mwisho Naona HAIFAI Kuletea BISMILLAH Maliwatoni..
@alhajishebia333
@alhajishebia333 5 жыл бұрын
Udhu unaweka kabla hujaingia chooni
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 жыл бұрын
Unachukulia ukiwa chooni
@SQaedSharaffSQS
@SQaedSharaffSQS 5 жыл бұрын
Huyo Shia wa iran
@muhammadibyabato5491
@muhammadibyabato5491 3 жыл бұрын
Shukrani
@husbandsharif3020
@husbandsharif3020 3 жыл бұрын
Asante
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 349 М.
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba
11:17
Singo Media
Рет қаралды 45 М.
Hukumu ya swala kwa mwanamke alie tia dawa nywele zake.
5:25
UJUMBE WA DINI TV
Рет қаралды 17 М.
12_Namna ya Kuoga Janaba
26:14
IBN TV
Рет қаралды 121 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 289 М.
Get Deep Sleep and Cure Your Insomnia Disease with Beautiful Quran ✦ NOOR
1:10:29
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН