No video

NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU KWA UTARATIBU

  Рет қаралды 38,686

al-imam media

al-imam media

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@HajraSharif
@HajraSharif 3 ай бұрын
Yarabby mpe kipenzi chetu maisha maref maaulan hemedi jalala
@Suleiman-lz3gd
@Suleiman-lz3gd 9 ай бұрын
Maashaallah Allah akupe kheri nyingi
@arafaally2654
@arafaally2654 2 жыл бұрын
MashaAllah Asante sana Sheikh kwa mafundisho haya. Allah akuzidishie inshaAllah 🙏
@zainabmagoga2266
@zainabmagoga2266 2 жыл бұрын
Manshaallah m/mungu afanye wepesi
@sir-lymwethebest1028
@sir-lymwethebest1028 10 ай бұрын
Mche ALLAH
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mashaallah
@LeviTreutel-im4op
@LeviTreutel-im4op 2 жыл бұрын
Masha allah
@munirahmed7753
@munirahmed7753 2 жыл бұрын
Safi sana mashallah
@sheikhaboumahir3744
@sheikhaboumahir3744 2 жыл бұрын
الرجال الذي يتربى على مثل هذا فلا خير فيه. ولا يستحق البقاء
@kisesaashura5202
@kisesaashura5202 4 ай бұрын
Umetowa wapi hayo tunakujuwa weye ni shiya
@habyalmary8132
@habyalmary8132 11 ай бұрын
Je hao waku ombewa katika hio rakaa ya mwisho kama hawafiki arubaini itakuaje?
@sharifakhamis7423
@sharifakhamis7423 2 жыл бұрын
Sheikh nn maana ya kunut nimejicuanganya
@cityhuntermkali2468
@cityhuntermkali2468 Жыл бұрын
Duaah
@Seifan_tiktok
@Seifan_tiktok 11 ай бұрын
​@@cityhuntermkali2468asante umenisaidia na mm
@SimbaSimba-fo9pd
@SimbaSimba-fo9pd 8 ай бұрын
Huyu sheikh si nimshia
@almustafamediajamiumosques7951
@almustafamediajamiumosques7951 Ай бұрын
km ni mshia shoda ninini kwanza mashia ndo waislamu sahihi masunni ni fekki
@AishaAisha-oj1yq
@AishaAisha-oj1yq 5 ай бұрын
Njis ya kunuia ukiwa unasawli suna za usiku
@aishasaid1727
@aishasaid1727 4 ай бұрын
Swala tahajjud
@aishasaid1727
@aishasaid1727 4 ай бұрын
.Swala ya Tahajjud (Qiyaamul-layl). - Huswaliwa rakaa 8 usiku wa manane kwa rakaa mbili mbili na kumalia 3 za witiri na kutimia rakaa 11
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v Жыл бұрын
Wewe mshia huwezi tueleza lolote manake mnafki
@habyalmary8132
@habyalmary8132 11 ай бұрын
eh! Wwwaat??? Are you serious?
@almustafamediajamiumosques7951
@almustafamediajamiumosques7951 Ай бұрын
nawewe kfr mkubwa
@saidisalum1514
@saidisalum1514 Жыл бұрын
huyu ni chizi kunut inasomwa kwenyewitri
@khadijarajabu3626
@khadijarajabu3626 5 ай бұрын
Wewe uliyetimia ufahamu uctuc watu..
@almustafamediajamiumosques7951
@almustafamediajamiumosques7951 Ай бұрын
sasa wajua ushabiki tu
@ramadhanirashidi3401
@ramadhanirashidi3401 2 жыл бұрын
hawa ndio mashia sio?
@abuuhuzayl6549
@abuuhuzayl6549 2 жыл бұрын
Ndugu yangu Hawa ndio mashi'ah
@bilalven1421
@bilalven1421 2 жыл бұрын
Mashia sio waislamu ni makafiri kwa dalili ya kitabu ya ambayo ni usuul kaafiyy wanasema ya kwamba mtume ambaye khalifah wake ni abuu bakar si mtume wetu { upande wa mashia } na mungu ambaye mtume wake na khalifah baada yake ambaye ni abuu bakar sio mungu wetu na hii inaonyesha ya kwamba ni makafiri na tena mungu wao si allah na maneno kama haya ni mengi ndani ya kitabu chao cha usuulul kaafiy na zenginezo nyingi iliyotafsiriwa kwa kiswahili na kiarabu. na la pili ambayo inawatoa ndani ya uislamu wahaamini kuraan wanatwaan quran wakisema ya kwamba imepunguzwa na imeongezwa na imebedelishwa wakisema imepunguzwa aya ya ukhalifa wa aliyy ibna abii twalib wanaongojea quran yao iko pangoni anayekuja nayo ni imaam miongoni mwa imaam na hawa imaam wao na hawa imaam wote kumi na mbili ni wa ahluss nnati waljamaa wallahu a'alam
@nyatya199
@nyatya199 2 жыл бұрын
Ndo mashia hawa mtihani kwelikwel
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 жыл бұрын
Ndio mashia hawa kundi linalofuata Quran na kizazi cha mtume kitwaharifu km maelekezo ya mtume alivyotuachia,ni haq isiyofahamika
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@almurajjabuaswabbu250 Ndo mashiah makufar na dalili ziko wazi
@Zabahan9248
@Zabahan9248 3 ай бұрын
This shia is talking to himself. No audience.😊
@zaharahassan7873
@zaharahassan7873 2 жыл бұрын
Huyu niwazimu2 Aende akasome Kwa masalafi kwanza Ndio awe shekh.
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 жыл бұрын
Masafi gani sheeehe hawa wehu au?
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@almurajjabuaswabbu250 Wehu wao ni upi, Lete dalili kwaajili ya Allah, Bismillah.....
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 жыл бұрын
@@abuushaymaatz wehu kwa sababu wao kila kukicha kugawa waumini leo baada kuona wale wanaowaita maghurafi hawashughuliki nao sasa wameanzana wenyewe kwa wenyewe ili kuendelea kuudhoofisha uislamu Sasa si wehu huu au wanatumiwa?
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@almurajjabuaswabbu250 hio sio Dalili, unajua maana ya Dalili?, Pili unaweza ukataja ambao ni wenyewe kwa wenyewe, make Mimi siwajui, uhalisia ulivyo ni kuwa Salafi wako dhidi ya Kila kikundi ambacho kimepinda, na sio kuwa wanatimiza matamanio yao Bali, ni Dalili za asili ndo zaonesha huyu Yuko sawa na huyu hayuko sawa. Tatu Marafidhwa hawawezi shughulika nao sana Sababu Jambo lao liko wazi walillahi lihamdu kwa asilimia kubwa ya watu, nne lengo la kutahadharisha hatari ya makundi na wasimamizi wao kuwaweka sawa, sio kutaka washughulike lengo ni waislamu waelewe kuwa hiyo njia waliopo hakuipitia Rasuul alaih swalaatu wa salaam, Tano kutahadharisha makhurafi hakuwezi Isha Leo hata wasipo ongea, ilihali wanaendelea kuzusha ktk diyni Radd dhidi Yao ni mpaka infinity biidhinillah
@almustafamediajamiumosques7951
@almustafamediajamiumosques7951 Ай бұрын
kazi kweli
@m.kvideoproduction5271
@m.kvideoproduction5271 2 жыл бұрын
Kunnuti sheigh hujaibainisha
@allyissa1174
@allyissa1174 2 жыл бұрын
Mashia haoo
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 жыл бұрын
Kunut fupi hata kusema,Rabanaa aatina fiduniyaa hasana wafilaakhirat hasana waqina adhaaba nnaar
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Hawa ni mashia, ni diyni ya ushia hii sio uislam, hawajawahi kuwa na dalili yoyote ya sawa, hawa ni maadui wa Allah, Mtume wake na waumini
@almurajjabuaswabbu250
@almurajjabuaswabbu250 2 жыл бұрын
@@abuushaymaatz wacha kuropoka kama sio waislam mnawaruhusu waende hijja mamilion kila mwaka kwa nini? Wakatazeni basi inamaana hata mayahudi na wakristo wakitaka kwenda hijja mtawaruhusu, tumieni akili waislamu msetekwe na propaganda
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
@@almurajjabuaswabbu250 mmeenda hija lini na wapi?, Mashia wanaendaga hijja hawawezi kutusi maswahaba, na ibada zao sio za vituko Kama akina jalala, Sasa kwa swala zenu mfano mnavyo Sali, mwaweza Sali na waislamu kweli? Pili Huwezi mkufurisha muayyani mpaka asimamishiwe hoja, ndio Ushia ni ukafiri lkn sheria hainiruhusu nikuite wewe awamu asiyejua lolote, anayetapatapa maskini kuwa ni Kafiri, ila Kama Ungekuwa wewe ni kiongozi wa itiqad ya kishia na umesimamishiwa hoja ukabaki na itiqad hiyo, sheria inaruhusu kukuita Kafiri.
JINSI YA KUSALI SALA YA MAOMBI KUJIBIWA HARAKA (SALAT HAJA)
50:25
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 378 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 85 МЛН
HII NDIO FAIDA YA KUSEMA TAMKO HILI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
21:02
Fauz Production
Рет қаралды 67 М.
SWALA ZA USIKU-SULUHISHO LA MATATIZO
40:25
Asadiqmedia
Рет қаралды 233 М.
IKIWA SHIDA YAKO NI MALI SOMA SURA HIZI 2 TU UTATAJIRIKA, MDENI HATOKUDAI
31:13
USIKU SAA9 SWALI HIZI RAKAA2 KISHA OMBA DUA HII INSHALLAH MAMBO MAZURI
47:28
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 107 М.
Kusoma Sura Ndogo Katika Swala Za Usiku - Dr Islam Muhammad Salim
6:42
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 50 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН