Nashukuru sana ndugu yangu kwa somo zuri,nimelielewa vizuri kabisa.ila kuna jambo nililo kuuliza kwenye somo lililopita ulilokuwa una zungumzia kuhusu mbuzi aina ya Galla.nilikuuliza hivi,je nikihitaji mbuzi wa kufuga aina ya Galla je nitawapata kwako
@kiruaranch6 ай бұрын
Wanapatikana karibu sana
@AntonyShirima-bm8yo5 ай бұрын
Nimekusoma mkuu
@homeofvideos88936 ай бұрын
Habari kaka ninavutiwa sana na masomo yako juu ya ufugaji. Ila nina omba utuandile somo kwa sisi tusio na maeneo makubwa pia hatuna sehemu za malisho Mfano: mimi nina eneo la 20m kwa 30m na lipo sehemu iliyozingirwa na makazi ila natamani sana kufuga Mbuzi nafikiria jinsi ya kupata malisho na kwa eneo kama hilo ninaweza tunza mbuzi wangapi na jee ninaweza pata faida. Natamani sana ungetoa hiyo video
@kiruaranch6 ай бұрын
Asante sana kwa kutufwatilia na kutuellwa Nitaandaa hilo somo
@homeofvideos88936 ай бұрын
@@kiruaranch shukrani sana nimekaa chonjo kulisubiria hilo somo.