Unasema hutoi namba ya simu eti kwa sababu ya kutotaka usumbufu. Bro unaelewa maana na umuhimu wa elimu unayotoa? Kama unajua lengo lako why hutaki mawasiliano ya wateja hutaki? Location yenyewe haiko clear.
@DastanMgina-j3l4 ай бұрын
Naomba nimelekeze shambani kwako nije nikutembelee
@isayakitowa62383 ай бұрын
Beigani hao watoto
@LEINDOYLEKIDAS16 күн бұрын
Nahitaji mbuzi mmoja wa mbegu
@issaali13213 ай бұрын
Hongera sana broo kwa elimu nzuri . Jee unapatika a wapi
@mulapfarm96643 ай бұрын
@@issaali1321 kibaha
@FadhililyMaganga4 ай бұрын
Bei gani hao chotara ?
@robertsanare52924 ай бұрын
Naomba namba zenu
@Fapo19984 ай бұрын
🙏🙏
@DianaNdossiАй бұрын
Nawezaje kupata Boer goat please
@ProphetJofreyKaigarula3 ай бұрын
Miaka mitano ni mingi sana. Nakuelewa vema kabisa. Hata miaka 2 bado ni mingi, tunatamani hata ingekuwa miezi 6 tu.
@mulapfarm96643 ай бұрын
@@ProphetJofreyKaigarula tutafika huko
@dilliwa4 ай бұрын
Hongera sana ila kabla hujatengeneza video fanya mazoezi ya kitu unachotaka kusema maana una msg ila hujaipangilia vzr.
@mulapfarm96644 ай бұрын
Hicho ndio tulitaka kusema kwa mpangilio huo. Asante sana kwa ushauri mzuri mkuu 😊
@ProphetJofreyKaigarula3 ай бұрын
Mbuzi ambaye ni chotara wa Boer Goat na Kienyeji ukuaji wake ukoje! Anasogea haraka kama Boer Goat au ?
@claudjohn4 ай бұрын
Mbuzi mmoja anauzwa shingapi
@AncentyStanslauseАй бұрын
Unapatiakana wapi, niko DSM mbezi
@mulapfarm9664Ай бұрын
@@AncentyStanslause kibaha
@TinahG-t2u3 ай бұрын
Je anapatikanaje huyo mbuzi aina ya boer goat
@mulapfarm96643 ай бұрын
@@TinahG-t2u anapatikana shambani kwetu
@ALIALI-s3k8o4 ай бұрын
MIMI NAOMBA MBUZI 2
@mulapfarm96644 ай бұрын
@@ALIALI-s3k8o tucheki
@mulapfarm96644 ай бұрын
@@ALIALI-s3k8o 0659770886 tucheki
@ProphetJofreyKaigarula3 ай бұрын
Kalahali Red mnao pia?
@mulapfarm96643 ай бұрын
@@ProphetJofreyKaigarula bado tunajikita kwanza kwenye Boer goat kwa sasa tuwe wabobezi
@ProphetJofreyKaigarula3 ай бұрын
@@mulapfarm9664 Asante sana. Utaratibu wa kukutembelea shambani ukoje