Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@kulthumkimaro96687 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu
@roqayaro94397 ай бұрын
ASSALAM ALYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU NAOMBA KULIZA RAMADHANI ILIOPITA NILIKUWA NADAIWA SIKU ZANGU NILIZOKULA ZA HEDHI SIKUZILIPA NA RAMADHANI NYINGINE IMEFIKA JE NAWEZA KUFUNGA AMA HAIFAI
@eternallyhappy46677 ай бұрын
Ustadh kuhusu nia ya kufunga pls fafanua. Watia nia kila usiku au ndani ya roho yatosha kwa mara moja mwezi mzima. Shukran
@hamidahamidu167 ай бұрын
Ame fafanua kwenye hiyo link
@halimakunary88027 ай бұрын
Mashallah napenda sana kukusikiliza. Allah akulipe kheri.
@Absalam-i1j7 ай бұрын
Mara 313 ustazi hadithi gani isemao hvo
@AishaAishaathuman-ov5pk7 ай бұрын
Mashallah nimependa Sana mafunzo yako
@mbaroukali83967 ай бұрын
Assalam Alaykum Ustadh, Ukitia nia utafunga mwezi mzima wa Ramadhani au ni laźima utie nia kila usiku?