"Namuamini Dogo Janja kwa 80% sio 100%" Irene Uwoya ,Interview ya kwanza baada ya Ndoa

  Рет қаралды 462,689

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Baada ya kukwepakwepa Interview nyingi za Media TZ baada ya Ndoa yake na Dogo Janja Irene Uwoya apiga Interview na team LeoTena ya Clouds Fm

Пікірлер: 435
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 жыл бұрын
Kama kuna mtu amemuona huyo Jose mara aliyekazana kumkodolea macho Irene ungana na mamimi hapa
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 жыл бұрын
wilonja hatua namuona namuona😂😂😂
@agnecsanga4131
@agnecsanga4131 6 жыл бұрын
namuonaa
@agnecsanga4131
@agnecsanga4131 6 жыл бұрын
wilonja hatua Hapo anawaza kwann simumliki janja anafaid 😂😂
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 жыл бұрын
agnec sanga sure
@nancymohamedy6411
@nancymohamedy6411 6 жыл бұрын
Anamuangalia uyo dada kiundani zaidi anamchukulia kama ana akili vizuli vile ninavyo hisi mimi kwenye hia zake Jose mara
@raymondmichael7220
@raymondmichael7220 6 жыл бұрын
Love you ireene. Jomba wa r chuga nimekukubali. Irene umfny revolution.........anythng s pssble.....
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 6 жыл бұрын
Dahhh nimempenda sana Irene uwoya anajua kujieleza sana na ni mkweli sio hao wengine. Dahhhh mungu awaongoze ktk maisha yenu yote
@zainabudadi8377
@zainabudadi8377 6 жыл бұрын
Amina Mgaya ukweli kabisa
@lindamwakitawa7493
@lindamwakitawa7493 6 жыл бұрын
She is very beautiful,na hana maringo kama dada wengine,mungu alinde ndoa yenu Irene
@vero.alfonse7083
@vero.alfonse7083 6 жыл бұрын
Wawoooooo nawapenda sana janja & uwoya mt kawekwa kat anaaibu hatariiiiiiii
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mashallah, nawapenda sana, shemela Janjaro nampenda sana kwenye interview yuko vizuri sana.
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 6 жыл бұрын
Mungu awape maisha ya furaha na marefu.
@bonasofficial9116
@bonasofficial9116 6 жыл бұрын
Bariki Karoli HARMORAPA AIPONDA ALBUM YA DIAMOND click hapa kzbin.info/www/bejne/rJTYqHxnm5JqoM0
@mariamsekalutu8385
@mariamsekalutu8385 6 жыл бұрын
asante janjaroo unatuwakilisha chugaaaaa
@theresechristensen8190
@theresechristensen8190 6 жыл бұрын
It's not weird. My boyfriend lives in Tanzania and I live in Denmark but we love each other because we trust each other
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 6 жыл бұрын
Therese Christensen ..good, Am a Tanzanian and my boyfriend is danish😃
@julianajangandu1064
@julianajangandu1064 6 жыл бұрын
Therese Christensen nice wifi
@rosechami649
@rosechami649 6 жыл бұрын
always beautiful nawapenda sana Irene wema hamisa an aunty Ezekiel huniambii kitu
@danielmollel2513
@danielmollel2513 6 жыл бұрын
jmn wifi nakupenda. karibu Ar
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
Big up dogo janja nawapenda sanaa😍😍😍
@user-oh8bn3vg2w
@user-oh8bn3vg2w 6 жыл бұрын
N akupenda sana dada mungu aidumishe ndoa yako
@aminaally93
@aminaally93 6 жыл бұрын
Hahahaaa irine nampenda anampanda mumewe na anamuonea aibu mashallah
@fathermore9772
@fathermore9772 6 жыл бұрын
Amina Ally kwahilo nimempenda pia hata kama itakua anajifanyisha lakini mwanamke anastaili kua hivyo mbele zawatu... sio kama kina shilole na wengine mfano wake. mwanamke jicho kavu hamna hata chembe ya aibu hapo mdomoni nikiredio.. mpaka unajiuliza ikiwa mbele zawatu yuko hivi je huko ndani yanyumba itakuaje.....
@bigwiketti9496
@bigwiketti9496 6 жыл бұрын
True Love .... Wish you all the best!!! From Rwanda
@kimah9855
@kimah9855 6 жыл бұрын
Mama Irene wewe naona vile unafanya macho wewe umependa sana Kadogo" I can see u you are so inlove🤗
@swaleherajabu4662
@swaleherajabu4662 6 жыл бұрын
Dogo Janja umekua sana mdogo wangu HONGERA
@hadijaselemankidunda1516
@hadijaselemankidunda1516 6 жыл бұрын
Tulia mwaya bora ww umeolewa wamesema sasa hivi wametulia endelea na maisha yako na mumeo dada kuolewa na kuoa ni sunah ya Mtume s.w.s
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 жыл бұрын
Hadija Seleman Kidunda, umeona hee wengine wanakesha kutafuta ndoa mwenzangu mwanume mwanaume tu
@bonasofficial9116
@bonasofficial9116 6 жыл бұрын
Hadija Seleman Kidunda HARMORAPA AIPONDA ALBUM YA DIAMOND click hapa kzbin.info/www/bejne/rJTYqHxnm5JqoM0
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 жыл бұрын
kuolewa na mtoto/kumuoa mamayako ni laana
@mariamfabian558
@mariamfabian558 6 жыл бұрын
+Graphix Master kwani ni mama yake au baba yake kwani nani aliyesema lazima mwanaume amzidi mwanamke
@msaflus2492
@msaflus2492 6 жыл бұрын
+Graphix Master 😂😂😂😂 mtume Muhamad alimuoa bi Aysha akiwa mdogo miaka 25 chini ya bi Aysha kiliharibika kipi??
@Rossehunter-uy6ef
@Rossehunter-uy6ef Жыл бұрын
Nakukubali sana dada napenda uchezaj wako mm nimsanii chipukiz naww ndo lory moddle wangu nataman sikumoja tufanye kaz pamoja
@bahatibertha8822
@bahatibertha8822 6 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ailinde ndoa yenu nawapenda Sana Irene na Janjaro
@aaassbb8895
@aaassbb8895 6 жыл бұрын
congratulations mungu.awabariki.kwa.ndoa.yenu.munaoendena sn.mungu.aweoe.mwisho.mwema.mzikane
@janekajange7745
@janekajange7745 6 жыл бұрын
jamani huyo Jose hapo nyumaaa kaaah..! ilo jicho utazani paka mwizi
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@floridahbaltazary2502
@floridahbaltazary2502 Жыл бұрын
Haaaaaa nimechk kifalaaa sanaaaa khaaaaa😅😅😅😅🤣
@neemamwinuka8525
@neemamwinuka8525 6 жыл бұрын
nimefurahi sana nakupenda uwoya
@princesssalmahtz4531
@princesssalmahtz4531 6 жыл бұрын
Nawapenda sanaa Iren na dogo janja
@abumoyo840
@abumoyo840 6 жыл бұрын
Nakukubali m2 wangu wa nguvu janjaro
@godfroidbasubire8355
@godfroidbasubire8355 6 жыл бұрын
Dogo kiwukweli unajuwa kujihereza kushinda wengi apo bongo
@ashamahmoud3895
@ashamahmoud3895 6 жыл бұрын
Godfroid Basubire anajihereza kwelikweli
@moarusha5474
@moarusha5474 6 жыл бұрын
sanaaaa aaiiseee joombaa
@rahimarajab4306
@rahimarajab4306 6 жыл бұрын
Mapenzi hayoo hadiraaa....nice
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 жыл бұрын
Niko hapa 2021.like kwangu ambao yunaitizama huu mwaka..
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Ni kweli umri namba poa sana
@pendorusota2884
@pendorusota2884 6 жыл бұрын
hongera kuolewa suna watu tunakesha tukiomba hta tuolewe tu lkn WAP😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@congratskendy1845
@congratskendy1845 6 жыл бұрын
Wish you happy marriage Irene
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
These people are really making good couple
@MegaMtanzania
@MegaMtanzania 6 жыл бұрын
Namuona kama Jose mara kunakitu anakijua zaidi juu ya huyu Bibi arusi.anyway bigup Janjaro bigup Irine kwa uamuzi mgumu.Ewe mwenyezi bariki haya mahusiano yawe fundisho kwa wengi Amen.
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 жыл бұрын
Kuna lijamaa hapo kushoto kwa Irene limekaa kama bod guard limedindisha kinomaaaa
@claragodfrey6740
@claragodfrey6740 6 жыл бұрын
huyo kaka jicho vpiiii mke wamtu huyo
@graceapolinary4171
@graceapolinary4171 6 жыл бұрын
N kweli mwanaume wa kweli utamjua tu haj kwasababu akueleze gar na nyumba aliyokuwa nayo.....wanaume mjifunze kuwa opens sio sound hatuztak
@benardcharo3860
@benardcharo3860 6 жыл бұрын
I rene unabahati sana....Dada nakuombea uitenze doa yako Tena kwasana usikubali hata ckumoja kueka sikio lako wazi kwawanafiki wandoa yako Dada kuolewa nisuna
@Ukis_
@Ukis_ 6 жыл бұрын
Aaah Dogo Janja ni MJANJA asee. Hii Toto ni Motooo...
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Ongea bc Jaman dada nakupenda pole kwa aibu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Saed Kaoneka 😂😂😂
@rheanmutimanwa7488
@rheanmutimanwa7488 6 жыл бұрын
yan ww 😂😂
@bashirhasan255
@bashirhasan255 6 жыл бұрын
Saed Kaoneka kweli nimeamin irene anampenda dogo
@saidkaoneka2648
@saidkaoneka2648 6 жыл бұрын
Saumu Hassan 😘
@sajeedavirani6331
@sajeedavirani6331 6 жыл бұрын
Dunia sasa imekwisha yaani watu ndio mmefanya mradi mkubwa wa kufuatilia maisha ya watu
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 6 жыл бұрын
Huaga nackia mkiristo akibadili dini anabadili hadi na jina ila kwa Irine hatujui jina lake la kiislamu.
@mojay793
@mojay793 6 жыл бұрын
Mungu aipe maisha marefu ndoa hii
@acruxe5810
@acruxe5810 6 жыл бұрын
Sasa kumbe dogo janja amenunua gazeti jioni
@sikojuma7882
@sikojuma7882 6 жыл бұрын
Consider years interval before marriage, bless u xo much
@mamamagita560
@mamamagita560 6 жыл бұрын
Mbavu zangu jamani, xo Dogo sasa hivi hawezi fanya shooting na demu mwingine, inabidi awe dume jike, daah.
@hadijalihumbo5493
@hadijalihumbo5493 6 жыл бұрын
Jmn nakupenda bure wifi..mpnde mpendane kweli tu n kaka ang.Allah awatangulie Inshallah
@husnamarandu8380
@husnamarandu8380 6 жыл бұрын
Mbna eti huyo mtangazaji anatumbua jicho kma samak Kwa irene! Ata swal alosema atamuulza Irene hakumbuk tena! Hapo ni udenda unamshuka tu
@aishahassan137
@aishahassan137 6 жыл бұрын
mungu awalinde kwenye ndoa yenuuuu
@sarahsamwel3019
@sarahsamwel3019 6 жыл бұрын
Jose jicho hilooo mmmmm kumuangalia mwenzio ivooo veepeee
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
mungu awape maisha marefu
@issasaidi1019
@issasaidi1019 6 жыл бұрын
hamna ndoa hapa mara naitwa sheila mara mungu nimmoja dah hawa hapa ninachokiona ni busness tu tena usishangae huyu janjaro manager wake ni huyu dada so movies inaendelea hapo
@carrenkapia7841
@carrenkapia7841 6 жыл бұрын
Issa Saidi exactly hamna ndoa hapo
@yassinmuhmmed7727
@yassinmuhmmed7727 6 жыл бұрын
Nimependa San majibu yenu
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 жыл бұрын
Aiseee Irene umenichekesha
@mathewstanley4063
@mathewstanley4063 6 жыл бұрын
Interview iko poa sana
@pennystang6065
@pennystang6065 6 жыл бұрын
Shyness ya nini na huo umri utafikiri dada wa 12 years
@mchemungukifokipo4287
@mchemungukifokipo4287 6 жыл бұрын
Uyo jamaa aliekaa pemben ya uwoya namkubali sanaaaaa. jamaa nahic ndio bingwa wa kuimba tanzania......daaa cjui nani alimshawishi aache kuimba akiamunguuuuu......brother rudi aiseeee
@user-sc1hl6zz9f
@user-sc1hl6zz9f 4 ай бұрын
Love you🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤️❤️❤️🌹
@alibinali_
@alibinali_ 6 жыл бұрын
Nawapenda sawa
@audrineniyubahwe4781
@audrineniyubahwe4781 6 жыл бұрын
nice Irene sema tu uyo jama kwa ilo jicho ni balaa
@mimahsaid2326
@mimahsaid2326 6 жыл бұрын
nmpenda iren anajielewaa sanaaa2
@tonynuru435
@tonynuru435 6 жыл бұрын
Hiv katoto vnabemendwa na haya makurubembe lkn havkomi ... mamaee
@melkiadlymgen8486
@melkiadlymgen8486 6 жыл бұрын
nc
@jaclkinejamesmkello5358
@jaclkinejamesmkello5358 6 жыл бұрын
tony nuru hahahaaa
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 6 жыл бұрын
IRENE TULIA SANA MAANA KUOLEWA NI BAHATI HASA HUKO KWENU BONGO WOOOOTE WANAWAKE MWENZAKE WANAKUONEA WIVU SANAAA... KUHUSU UNRI NO SUNNAH YETU YA MTUME TENA ABDUL NI MTOTO ANAONYESHA KWENYE MAPENZI SANA KWAKO.. NAKUOMBEENI DUA MZIDI KUPENDA INSHA ALLAH
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 6 жыл бұрын
I MEANT UMRI NI SUNNA YETU YA MTUME NAWAOMBEA DUA MZIDI I KUPENDANA OMAHA ALLAH..AGE JUST A NUMBER
@nassoroshaweji4719
@nassoroshaweji4719 6 жыл бұрын
nimejikuta naipenda sana hii couple
@modestsanga1495
@modestsanga1495 6 жыл бұрын
Duuuu uyo Jose maraa ayo mochii kama nomaaa
@asmahndagae9420
@asmahndagae9420 6 жыл бұрын
nakupenda sana Irene
@issataslima6280
@issataslima6280 6 жыл бұрын
ninukuuu ktk hili usimchezee mungu sasa jamni harusigaani hainabaraka yamungu nahapo kunakitu kimejificha baadae mtainanini kitahappen
@smillingandfunnytv8008
@smillingandfunnytv8008 6 жыл бұрын
Issa Taslima mbn nyie islamic mnapenda sana watu waje kwa dini yenu?? ndoa kwan nan kasema lazma mbadili dini?? kila mtu anaweza baki dini yake ili mradi kila mtu anafata yale Yaliyopo ktk vitabu vya dini
@sharijohn6207
@sharijohn6207 6 жыл бұрын
Issa Taslima mmmmmmmmh
@areejareej1233
@areejareej1233 6 жыл бұрын
Mungu awakalie maisha mema
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga 6 жыл бұрын
Dahuu usimsemee musa bana kama hajaelewa asisemeee 😂😂😂
@shaniarthur4266
@shaniarthur4266 6 жыл бұрын
Jose punguza kumkata jicho Irene jamani 😳😂😂😂😂
@bantuempress1744
@bantuempress1744 6 жыл бұрын
Jamani hilo jicho vipi😉😉😉
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 6 жыл бұрын
Alafu camerman Yani unakwenda Paka kwenye mapaja Aisee 😂😂😂😂
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 6 жыл бұрын
Janjarooooooooo ni noumahhhh cnaaaaa🔥🔥🔥🔝🔝🔝🔝👏👏👏
@lindasophia1288
@lindasophia1288 6 жыл бұрын
Sasa uyo kaka kwa jicho ilo kwa IRENE vipee??😂😂🙄
@sultanpakia9375
@sultanpakia9375 6 жыл бұрын
Linda Sophia hehhehehe
@nasmafaisaly190
@nasmafaisaly190 6 жыл бұрын
jese macho hayo vip
@mohammedabdallah3786
@mohammedabdallah3786 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@selemanimsukuma5436
@selemanimsukuma5436 6 жыл бұрын
Anamuangalia kama anamdharau flani
@najimamussa6127
@najimamussa6127 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@paschallito656
@paschallito656 6 жыл бұрын
Respect
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
yaan musa hussen mbea jmn😂😂😂😂nimechekaa eti "hisia hisia onesha hisia"😂😂
@kesiamenyaulilaizer392
@kesiamenyaulilaizer392 6 жыл бұрын
Bora uko na mumeo halafu mmependeza.safi sana kipi bora umalaya au kuolewa na dogo.Mahaba niue
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
siku aliyoojiwa janjaro kuhusu ndoa nakumbuka jose alisema anaswali kwa irene mbona leo ajamuuliza kaishia kumkata jicho mpaka basi kulikoni naomba mumuulize jose kuhusu swali lake kwa irene kalifunika kwenye kapu kama anaweza anijibu
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 жыл бұрын
fatma fatma 😂😂😊 itakuwa kasha shoboka kwa mke wa mtu
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
+Abedi Jonas kweli nimeliona ilo mke wa mtu sumu au nyumbani kwa jose kunamaziwa?
@tunubashiri4118
@tunubashiri4118 6 жыл бұрын
nakamkata kweli
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
+Tunu Bashiri 😂😂umeona ee!
@bonasofficial9116
@bonasofficial9116 6 жыл бұрын
fatma fatma HARMORAPA AIPONDA ALBUM YA DIAMOND click hapa kzbin.info/www/bejne/rJTYqHxnm5JqoM0
@fatmaamran9739
@fatmaamran9739 6 жыл бұрын
Nawapenda sana
@hashimujuma3047
@hashimujuma3047 6 жыл бұрын
namkubali janja because he is very Crever ukubwa sio umri ukiwa na akitu good
@sophiakihongo9221
@sophiakihongo9221 6 жыл бұрын
Irene lazima ukubali kazi ya mumeo. hyo cyo sawa
@rechok.k.m.5117
@rechok.k.m.5117 6 жыл бұрын
Honger mamy
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 6 жыл бұрын
Nimtependa story
@hassanmbarouk748
@hassanmbarouk748 6 жыл бұрын
Upo vzr Irene
@muhammadnufailmuhammadnufa4261
@muhammadnufailmuhammadnufa4261 6 жыл бұрын
Irene unayo aibu hataree kitandani unaonekana nimtu sana kwa ma love love
@shanizuberi5355
@shanizuberi5355 6 жыл бұрын
uyo msharati Irene Uwoya alimuua ndikumana ili awe free ipo siku yatakutoka puwani
@MeryNjau
@MeryNjau 18 күн бұрын
Vp bado unasubir yamtokee puani!! Mungu n mwema now yupo viwango vingine we endelea kuhukum😅
@brendaluvanda3289
@brendaluvanda3289 6 жыл бұрын
Hii si kweli yaani mama mzazi kabisa mwanao anaolewa usirudi hata kama uko kwenye sayari ya Pluto iliyopotea hapo umetudanganya hiyo harusi haina baraka kabisa ya wazazi sema ukweli
@brightnessmmuni8081
@brightnessmmuni8081 6 жыл бұрын
nakupenda uwoya
@zeroheroke7042
@zeroheroke7042 6 жыл бұрын
Mi nampenda janjaro tu sana coz si mnafiki
@badhiryakuti7939
@badhiryakuti7939 6 жыл бұрын
kwel
@mahmadougronkjaer8316
@mahmadougronkjaer8316 6 жыл бұрын
DOGO janja kila siku anahubiri hataki kuzin ndo maana ameamua kuoa, leo irene amethibitisha kuwa hajabadili dini so they always still in kuzini hakuna alichokwepa
@manyiguonlinetv5446
@manyiguonlinetv5446 6 жыл бұрын
Nimeipenda, hiyo dogo janga anakupa kitu ambacho kwa wengine hujawahi kukipata
@faridahangedo5554
@faridahangedo5554 6 жыл бұрын
Nawaombeeni ndoa y enye Baraka telee
@hamedalsaadi7350
@hamedalsaadi7350 6 жыл бұрын
asante Dada
@zenaakimaro9063
@zenaakimaro9063 6 жыл бұрын
nampenda sana mke wa janjaro jamani
@mtafutajihachoki5937
@mtafutajihachoki5937 6 жыл бұрын
janjarooo uko powa nakukubali sana
@ummali7942
@ummali7942 6 жыл бұрын
Inna lilahi waina ilehi raji3n Ati Anasema Yy ana dini mbili nyote gora mojaa
@jemima86
@jemima86 6 жыл бұрын
Mukiolewa na vijana wadogo kiumri na mumezaa watoto wakike jamani mutalaumu nani waliokuwa na mababu aka masponsa? Watanzania mumezidi na boychald abuse
@AliHassan-xr3yb
@AliHassan-xr3yb 6 жыл бұрын
Ah hamna kitu Apo ni ndoa gani dini tofauti dogo janja umepotea mtu wangu badilika dunia tunapita tu hii elewa iko siku utakufa jielewe
@fredymwakasege9242
@fredymwakasege9242 6 жыл бұрын
Jose mara jicho linamaswali kbao janjaroo na irine wp na wp yy anatumika vbayo mbona
@asiazuberi2624
@asiazuberi2624 6 жыл бұрын
Mbna iren anashindwa kujieleza
@jiongezetv6896
@jiongezetv6896 6 жыл бұрын
yeah ndoa ya ukweli saaana
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Kwa hiyo kijana hana maamuzi yoyote, bibie ndiye anaendesha maisha yake sasa.
@darriesyvonne7527
@darriesyvonne7527 6 жыл бұрын
I like this couples be blessed
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 50 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 92 М.
Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1
32:44
YahStoneTown
Рет қаралды 169 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 41 М.
Uwoya aongea kwanini hakupost Wema Sepetu alipokamatwa
26:15
Millard Ayo
Рет қаралды 484 М.