Nandy Apata mtoto wa kike na Billnass ashindwa kujizuia Ahsante mke wangu

  Рет қаралды 69,139

BINGO TV ONLINE

BINGO TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@josephinemsaki8327
@josephinemsaki8327 2 жыл бұрын
Hii ndo nmeamini sasa hongera sana dada nandy mungu awalindie mtoto wenu akue vyema nawapenda🙏💓💓💓💓💓💓💓💗💗💗💕
@adventinamubezi8956
@adventinamubezi8956 2 жыл бұрын
Wow hongera Sana nandy na billinas mungu awatangulie nyie na familia yenu hongeren Kwa kuwa baba na mama🙏nawapenda💕💕💕💕
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 2 жыл бұрын
Ongereni sana mr and mrs billnass kwa kutuletea chombo kipya wa kichaga Mungu awape afya njema familia nzima na awatunze sanaaa luv u sanaa🥰
@barakaissa7739
@barakaissa7739 2 жыл бұрын
Hongela sana kwa zawadi nzuri
@jemaleatayari5435
@jemaleatayari5435 2 жыл бұрын
hongera Sana nandy mungu akutunze na mtoto wako tunawapenda sana
@kingideo4032
@kingideo4032 2 жыл бұрын
I like that couple Mungu awalinde kuishi pamoja milele na mtoto awe kama ninyi
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 жыл бұрын
Waoo so amazing jamani hongera sanaaaa nandy hiyo ilikua tamanio langu mtoto wa kike kutoka kwako so happy 😊
@happinessnzasule5297
@happinessnzasule5297 2 жыл бұрын
Hongera Sana kipenzi MUNGU amkuze katika maadili mema yakumpendeza yeye 🙏
@aggyassenga8284
@aggyassenga8284 2 жыл бұрын
Waooooo jmn am so happy jmn ongereni my lovely couple mnapendezeana jmn msije kuachana nenga vs nandy enjoyed new mamy and new dady in town.....
@aishaidi2825
@aishaidi2825 2 жыл бұрын
Mungu awalinde
@aggyassenga8284
@aggyassenga8284 2 жыл бұрын
Yes of courses
@neemahassan2450
@neemahassan2450 2 жыл бұрын
Waooo jaman hongera sana
@TarsilaMarseli-k8r
@TarsilaMarseli-k8r Жыл бұрын
Mambo nandy na billinas munijibu😂🎉
@TarsilaMarseli-k8r
@TarsilaMarseli-k8r Жыл бұрын
Nijibu basi eeeeh msiwehivyo😢😮
@mwanajumanduni3375
@mwanajumanduni3375 2 жыл бұрын
Hongera sana Dada Nandy mungu amkuze salama salimin pole kwa maumivu penda ww
@eunicemdee1066
@eunicemdee1066 2 жыл бұрын
Wow 🥰 congratulations mpare wetu, Mungu akulinde wew PAMOJA na mtoto na baba , Mungu awape maisha marefu na mumlee mtoto katika maadili mema ya kumpendeza Mungu.
@ashuraabdully6017
@ashuraabdully6017 2 жыл бұрын
Hongera Sana mamy MUNGU awalindiye mtoto wenu jaman hongera Sana nandera and billl nenga
@sophiamazoya3985
@sophiamazoya3985 2 жыл бұрын
Congratulation 🥰🥰 dada
@melisanguma57
@melisanguma57 2 жыл бұрын
Hongera sana nandi mungu akubaliki
@firdausrajabu6822
@firdausrajabu6822 2 жыл бұрын
M/munguu awakuzie jamn hongeren
@naomikibuta300
@naomikibuta300 2 жыл бұрын
Ongera San nandy MUNGU akubaliki San mam na amlinde na mtoto wenu pia nawapendeni San jamab
@berthajoshua3175
@berthajoshua3175 2 жыл бұрын
Mungu awatunze vyema mkawe wazazi bora kwa mtoto wenu nawapenda sana
@janethjohnmrsjoseph2171
@janethjohnmrsjoseph2171 2 жыл бұрын
Hongera sana Nandy
@elizabethnziku1123
@elizabethnziku1123 2 жыл бұрын
My lovely couple hongeren sanaaa
@traciegabriel8327
@traciegabriel8327 2 жыл бұрын
Karibu sana mchaga wetuu...hatimae mpare katuletea mtoto WA kichaga
@ellvinkerubo6365
@ellvinkerubo6365 2 жыл бұрын
kalibu sana kuwa mama💖🌷254
@asiajuma8086
@asiajuma8086 2 жыл бұрын
Hongera sana dada yetu nand
@zuhuramohamed507
@zuhuramohamed507 2 жыл бұрын
Hongera Sana Allah awakuzie
@nuwayirally1725
@nuwayirally1725 2 жыл бұрын
Hongereni
@javietteluselwanzambe2719
@javietteluselwanzambe2719 2 жыл бұрын
Bien dada Nandy
@metrinewesonga2418
@metrinewesonga2418 2 жыл бұрын
Wow new mum hongera
@irenekitaa5845
@irenekitaa5845 2 жыл бұрын
Hongera sana Nandy na Billnas
@TarsilaMarseli-k8r
@TarsilaMarseli-k8r Жыл бұрын
Kama amutaki haya😢
@ethanethan4437
@ethanethan4437 2 жыл бұрын
Wa kwanza kuview
@maissarabibi5894
@maissarabibi5894 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰💓💋
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 жыл бұрын
Do!!! Mnakazi ndio kazaliwa tu tusubiri sherehe za akiota jino sijui itakuwaje?
@chidymedia7051
@chidymedia7051 2 жыл бұрын
BAADA YA KUJIFUNGUA, NANDY AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA | ICU CHUMBA CHA UMBEA👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 kzbin.info/www/bejne/r6SWlJiDZqxqjK8 #SHARE NA WENGINE
@ruthtarimo7125
@ruthtarimo7125 2 жыл бұрын
Hongera Nandy mungu amkuze
@anchidasastony6107
@anchidasastony6107 2 жыл бұрын
Mama ni shujaa sasa wewe ni shujaa,
MAZITO YA MRISHO GAMBO BAADA YA KUCHANWA HADHARANI NA MAKONDA
5:14
Wasafi Media
Рет қаралды 2,9 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
چطوری بدون میکاپ خوشگل باشیم؟
15:36
Gisoodiba
Рет қаралды 43 М.
AHMED ALLY YULE KAGOMA ANAWALIZA YANGA, WANAKUMBUKA ZILE KARATASI
16:39
Անմարդաբնակ գյուղի ամանորը
13:12
Ankyun gumarats 3
Рет қаралды 218 М.