Mamlaka yote amepewa yesu na yesu akampa petrol funguo za ufalme was mbinguni
@pekomisegese77246 жыл бұрын
Kwani Sabato Alipewa Nani!? Naomba Jibu LA Swali Hilo.
@pekomisegese77245 жыл бұрын
#Shkopa on the. Nimesoma Kutoka 20 Mbona Sikuiona Jumamosi??????
@benardthobias36243 жыл бұрын
Soma vizuri
@pekomisegese77246 жыл бұрын
Swali Lapili Nataka Andiko Linalosema Sabato Ilikuwa Jumamosi Kutoka Katika Biblia Ili Sisi Tunaosali Jumapili Tuonekane Tumeibadilisha.
@shkopafilmpicture24285 жыл бұрын
Kasome katka kitabu cha kutoka 20 ( ni amri kumi za mungu) kwa icho unaweza kupata jibu lako labda tu kwa angalizo biblia yako I we INA maandiko tofauti.
@rosenyambura165 жыл бұрын
Ukisoma katekisimu ya katoriki jibu na maswali Wana hiyo swali yako.
@akilyemilymsabato82823 жыл бұрын
Amina mtumishi
@akilyemilymsabato82823 жыл бұрын
Uanze kujua yesu alifufuka siku gan? Jumapili jumapili nisiku ya Kwanza Kama nisiku yakwanza esabu jumapili mpaka jumamos uta ikuta sabato ndugu yangu.
@benardthobias36243 жыл бұрын
Soma
@pekomisegese77246 жыл бұрын
Sabato Alipewa Nani Mtumishi?
@rosenyambura165 жыл бұрын
Sabato ni ya kila mwanadamu.Lazima ushike amri za Mungu.Jakobo 2:10-11.Na Sabato ni jumamosi kulingana na Luka 23:54-56,,, Luka 24: 1