NAPIGANA KWAAJILI YA PATRIC

  Рет қаралды 45,530

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Patric amewachanganya wa dada wa wili

Пікірлер: 244
@elizabethchacha8276
@elizabethchacha8276 11 күн бұрын
Ambao hatuwezagi ugomvi like apa😂😂😂😂
@nailamimi20
@nailamimi20 Ай бұрын
Huyu dada mwenye wigi mbona km nilishamuona hapahapa jmn haya maigizo sasa 🤣🤣
@AbdulMagembe
@AbdulMagembe Ай бұрын
Umemfananisha lbda
@peninanelson1380
@peninanelson1380 Ай бұрын
Na wigi lake kama mange kimambi
@GraceRoman-xw7xm
@GraceRoman-xw7xm Ай бұрын
Ndio ht mm nahc
@nailamimi20
@nailamimi20 Ай бұрын
@@peninanelson1380 🤣🤣
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas Ай бұрын
Sioo yy
@SaraJob-wl2iz
@SaraJob-wl2iz 5 күн бұрын
Mmh unapigana na huolewii kheee🤣🤣
@user-xh3fo2du7q
@user-xh3fo2du7q Ай бұрын
Hawa mabint yaan wangeungana wamchape makofi huyo Patrick 😂😂😂😂 ona wanavyogombana
@LuckyKenga-yy8ny
@LuckyKenga-yy8ny 7 күн бұрын
Mmhh😂😂😂apo ni maigizo
@judithnyenga7327
@judithnyenga7327 Ай бұрын
😂😂😂aisee mnaweza kazi zakugombania wanaume ndoa aaaah
@Shufaashabani-u6w
@Shufaashabani-u6w Ай бұрын
Hivi wadada wenzangu mnahisi kuna mwanaume ana mke mmoja msijipe presha buree kama unapendwa enjoy Ila kuwafwatilia hapanaa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Hawana kz hawa za kifanya alafu ukiangalia wote michepuko akuna mke hp wanakuja jizalilisha tu mitandaoni nakuwapa vichwa wanaume yn unapigana kisa mwanaume
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
sasa kwa nini mwanamke kama umetulia usikae peke yako tu? but ninachokuambia mwanaume wa peke yako yupo kama wewe pia huna mwanamume huko pembeni niamini mimi, ila kama unachepuka lazima upate mchepuko mwenzio, life is spritual
@marymanoni5536
@marymanoni5536 22 күн бұрын
Wewe kama wa ndoa ni kupigana tu ukijifanya mtulivu anaondoka jumla na hivi vitoto vya elfu 2 ni vichawi htr
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 22 күн бұрын
Kbs mm mwenyew siwezi yn
@marymanoni5536
@marymanoni5536 21 күн бұрын
@@Shufaashabani-u6w wapo kk labda ww unao wengi na unmasking wenu
@EstherEsamaMagero
@EstherEsamaMagero 3 күн бұрын
Kwann mnajipa presha si mmoja amuachie
@mwaseleerick9715
@mwaseleerick9715 Ай бұрын
Evelyne very beautiful ❤
@user-mg7xx7ty1t
@user-mg7xx7ty1t Ай бұрын
Yan wadada jaman mnakosaga kaz yakufanya ad mnaenda kugombania wanaume yan dah mm jaman cwez cwez kabixaaa kufanya hvyo
@LucyDeo-j1b
@LucyDeo-j1b Ай бұрын
Upumbavu usio na maana kabisa
@LanezShashow
@LanezShashow Ай бұрын
wanaume tuko wachache ..waache watupiganie
@batulymsangi926
@batulymsangi926 Ай бұрын
Part 2 ipo wapi
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m Ай бұрын
Mnalilia mboo for sure 🤣
@julianajoseph4466
@julianajoseph4466 17 күн бұрын
Hizi nguvu mnatoa wap jaman wanawake wenzangu 😂😂 kha
@user-cc1ru5xe1t
@user-cc1ru5xe1t Ай бұрын
Aya bhana uky me nawafatiliaga sana ila mungu anawaona
@user-vk4zh1ij1f
@user-vk4zh1ij1f Ай бұрын
Sasa miaka Sita na miezi saba ipi kubwa wadau😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@dathmakeup9120
@dathmakeup9120 Ай бұрын
Evelne mwanafunz wangu imekuaje tena nakukuta huku si niliwaambia wanaume ni wabaya😔🙌
@anthonysahili9520
@anthonysahili9520 28 күн бұрын
Teacher konde naqbar 😁
@brynahmudy5775
@brynahmudy5775 29 күн бұрын
Kwan watu mnapata nguvu gani ya kugombanian mwanaume😫😫😫mbona mm siwez naibiwa kila siku nawaachia mzigo wao😂😂😂
@AshaKache-nr5fz
@AshaKache-nr5fz 24 күн бұрын
Ndio nashanga 😂😂😂
@queenlinda255
@queenlinda255 21 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@shamsaseleman-i2e
@shamsaseleman-i2e 19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@xadycatoto567
@xadycatoto567 Ай бұрын
Evelyn nawewe upo kwenye mahusiano rafki angu mbona hatuambiani😅😅😅😅😅😅😅
@ZakariaJoseph-r9t
@ZakariaJoseph-r9t Ай бұрын
Huu upuuzi mpaka leo upo kumbe 😂
@witneymwakyusa4195
@witneymwakyusa4195 Ай бұрын
Yaani hakuna mwanamke wala mwanaume mwenye mtu mmoja ukwel huo😅😅😅
@NoelaKamuli
@NoelaKamuli Ай бұрын
Wapo dia
@witneymwakyusa4195
@witneymwakyusa4195 Ай бұрын
@@NoelaKamuli wachache
@shaimaahashim4900
@shaimaahashim4900 Ай бұрын
Kwa mwanamke inawezekana
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 27 күн бұрын
Kwa wanawake tupoo bn
@user-dp1ej6so9i
@user-dp1ej6so9i 24 күн бұрын
Kwa mwanamke inawezekana
@taufiqis-haq536
@taufiqis-haq536 Ай бұрын
Mr UK hatukusikiii unakaaje Mbali na maiki 😂 Tuleteeni Huyo Patrick tumuone
@EkronMasilu-d3j
@EkronMasilu-d3j Ай бұрын
Kwann namm siku moja wasinigombanie 😂😂😂😂😂😂
@Agath45
@Agath45 Ай бұрын
Huyo dada mwenye wigi anamtetea huyo boy 😂😂😂😂
@omanhh2875
@omanhh2875 Ай бұрын
Upo poa
@omanhh2875
@omanhh2875 Ай бұрын
@@Agath45 sorry ntumie namba yko ya wasaph
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 21 күн бұрын
Kwasababu anampenda 😂😂😂😂unajua mtu akishampenda mtu 😂😂😂😂htkm anawatu wengi
@gidoalfred8460
@gidoalfred8460 Ай бұрын
Dah wanataoaga wapi hawa wadada wanawagombania mi sina ata mmoja ni huzuni 😂😂
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw Ай бұрын
Mimi nipo jamani❤
@eddysheddy844
@eddysheddy844 Ай бұрын
Hahahahahaha,ni shida
@Maryam-bv3zx
@Maryam-bv3zx Ай бұрын
Mumekosa kazi zakufany
@JumavJuma
@JumavJuma 12 күн бұрын
Muendelezoooo????
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 23 күн бұрын
cdhan kama hata we una dem mmoja uky 😂
@lovenessfracis
@lovenessfracis Ай бұрын
Yaan Mr uk unakera sehemu ndg tu kwenye hiyo English ya mchongo 😁
@user-xl6ye5xx4j
@user-xl6ye5xx4j Ай бұрын
Yaan mimi ndo nakelek hatar
@mirandahsteves641
@mirandahsteves641 Ай бұрын
Tumuone huyo Patrick kwanza😂 ana nn kwan
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 26 күн бұрын
suraya yashangaziyake 😂😂😂
@ReyDexavier
@ReyDexavier 19 күн бұрын
Kaolewa mpk aseme anaiba mabwana za watu😅
@omanoman2044
@omanoman2044 29 күн бұрын
Miaka 6 linatumika tuy bint jitambuen
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@LeilaJuma-m6k
@LeilaJuma-m6k 21 күн бұрын
Hawana kazi ya kufanya hao
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 21 күн бұрын
😂😂😂😂Unatafuta mchepuko 😂😂😂kumbe wewe ndo mchepuko 😂😂😂😂
@andrewelia6591
@andrewelia6591 Ай бұрын
Unaleta mipango mbele ya mwanaume anaweza kwambia ukitangulia kufa atakusubiri muende wote uko akhera 😂😂😂😂😂
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
Mko na nguvu uwuee😅😅
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin 29 күн бұрын
Mwendelezo 🤔
@lilianelisamehe9586
@lilianelisamehe9586 Ай бұрын
Patrick kawapa nini kwani😂mtuambie na sisi tujoin
@VERONICA-o7n
@VERONICA-o7n Ай бұрын
Unaweza kupigana😂
@JumavJuma
@JumavJuma 12 күн бұрын
Pisi ilivaaa miwani
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl Ай бұрын
Haka kwenye nguo keusi kanaonekana kagomvi kwel mbona Evelyne ni mstaarabu na mzuri pia
@johasaeed391
@johasaeed391 Ай бұрын
Yaani huyo wa nguo nyeupe 😂😂😂 hakiamungu ni kichaaa 😂😂😂😂😂
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Ай бұрын
Alaf mwanaume unakuta anaenda kumuoa mtoto wa shangazi yangu nyie😂😂😂😂😂😂mwanaume anajua mwanamke wa kumuoa
@GetrudaAndrea-ny4ku
@GetrudaAndrea-ny4ku 24 күн бұрын
Kama hamna wakumuoa hapo,,kama alikuwa na Nia ya kuoa huyo wa miaka sita si angeshamuoa,,😂😂
@emanuelmarshal285
@emanuelmarshal285 Ай бұрын
Ntafurahi nkipiganiwa hivii?
@SuzanaLeskar
@SuzanaLeskar Ай бұрын
Wote Amna akili2
@gasperrobert7036
@gasperrobert7036 24 күн бұрын
hii Movie mmeigiza vizuri 😅😅
@AnethKayombo
@AnethKayombo Ай бұрын
Huyu dada nichuzi
@batulymsangi926
@batulymsangi926 Ай бұрын
Tunamtaka huyo kaka tumuone maana anajua kuchagua sana
@mviletv2062
@mviletv2062 Ай бұрын
labda uyo aliyesuka ila uyu mwenye wigi amna kitu af anajkuta mzur anazalau wakat wa kawaida sana😂
@zuleiyahemed8226
@zuleiyahemed8226 Ай бұрын
Nicheke niongeze sku za kuishi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watu manajiweza jamni 😂😂😂😂
@user-eb5fs5od5w
@user-eb5fs5od5w Ай бұрын
Hahahahaha makubwa
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 29 күн бұрын
Mchepuko mrembo uyo
@omanoman2044
@omanoman2044 29 күн бұрын
Muiten huyo mwanaum tujue moja
@mariangaida6584
@mariangaida6584 Ай бұрын
Achana na kingereza ww kaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl Ай бұрын
wanaume jmn mnatunyoosha 😂😂😂
@doricecharles8115
@doricecharles8115 Ай бұрын
Why Patrick lakini😅😂
@JaneJame-ry5xl
@JaneJame-ry5xl Ай бұрын
Wahisha part 2 sitak kupoteza mda af hakikisha saut inatoka vzur
@EkronMasilu-d3j
@EkronMasilu-d3j Ай бұрын
Patrick anasambaza upendo😅😅😅😅😅😅😅😅
@PascalRamboy
@PascalRamboy Ай бұрын
Toa mikono hiyo UK kunakitu nachunguza unaniziba mzee
@WitnessMalobo
@WitnessMalobo Ай бұрын
We nae humalizag story sijui unashida gan ss tunajituma kusabusikilaibu😅 alaf unatuyeyusha na part 1 mbn kiredio anaachia zotee sipendiii
@raayMahmid
@raayMahmid Ай бұрын
Wote wadangaji
@FatmaAli-mk3im
@FatmaAli-mk3im 24 күн бұрын
Miez 7 tu unaona unapeeendwaaa unaona mwanaume ushamjuaa..acheni kuwafatilia wanaume madog hao,tafuta hela m/ke wee
@LydiaAlfred-k2z
@LydiaAlfred-k2z Ай бұрын
Mapenz gani miaka saba kama anasomea udaktari jamani wanaume nyoko
@gracelema2374
@gracelema2374 22 күн бұрын
😂😂😂ad raha
@anneazizi562
@anneazizi562 Ай бұрын
Atapigana milima na mabonde😂
@user-cc1ru5xe1t
@user-cc1ru5xe1t Ай бұрын
Uky jaman unaskika kwashida
@cathynestory
@cathynestory Ай бұрын
sas uy dad mwenyew nguo nyeup analalmik nn kam kun kituh anakipt kwak wew ndo umeachwa man mwenyew mausian yak alikaa kimy wew inkuaj uend kwa UKy 😂😂
@JolesMwachilo
@JolesMwachilo Ай бұрын
Hahaahaa wanachekesha kwakweli😂😂😂
@boniphacesebiziga6064
@boniphacesebiziga6064 25 күн бұрын
😂😂😂😂😊😅😅😅😅
@fatmakhamisussiussi5618
@fatmakhamisussiussi5618 Ай бұрын
Wacha wagombane😂😂 kuna mchepuko mwengine huku😅😅😅
@MaryamKhan-co3yz
@MaryamKhan-co3yz Ай бұрын
Huyu dada kama bondia
@GetrudaAndrea-ny4ku
@GetrudaAndrea-ny4ku 24 күн бұрын
Miaka sita unadate tu duh! Tena na mtu mmoja mhh!😮
@evancemsosa4379
@evancemsosa4379 Ай бұрын
Sasa ww kidume ungekaa katikati yao watapigana hao.
@lee..8888
@lee..8888 Ай бұрын
I like this girl yuko na wigi
@ritharutechura1026
@ritharutechura1026 Ай бұрын
Mapenzi Shikamoo
@Steven-George-es3hg
@Steven-George-es3hg 28 күн бұрын
Mange kimambi😂😂😂wigi😂
@IvanStevenLucas
@IvanStevenLucas Ай бұрын
Nipe namba ya Eveline
@ExcitedBeachVacation-og5lk
@ExcitedBeachVacation-og5lk Ай бұрын
Huyo dada mwenye nguo nyeusi nme appreciate sana ane hana muda 😅
@OmanBarka-f4d
@OmanBarka-f4d Ай бұрын
Mr uky kazi Leo ipo uyu mwenye wigi mchaluko ataliii
@NanahBrown
@NanahBrown Ай бұрын
Suluhisha ni Patrick aletwe tumuone anafaa kuwa na nani😂😂😂
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Ай бұрын
Mr uk hembu usituchanganye hapa, wewe unasema wanachanganywa swali wewe unampenz mmoja??? Au ndo siri yako 😀😀
@JosephineJacob-zo8sq
@JosephineJacob-zo8sq Ай бұрын
Nasubir Patrick aje
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb Ай бұрын
𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚞𝚖𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚑𝚣𝚒 ni 𝚙𝚊𝚜𝚙𝚘𝚝 𝚗𝚊 𝚙𝚎𝚜𝚊 𝚣𝚊 𝚠𝚊𝚊𝚛𝚊𝚋𝚞 𝚊𝚟𝚒𝚠𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚞𝚗𝚒𝚜𝚊𝚕𝚒𝚝 𝚑𝚟𝚢𝚘 𝚊𝚝𝚊 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚖𝚘𝚓𝚊 😂😂
@AbdulMagembe
@AbdulMagembe Ай бұрын
Huyo mwanamke mwenye wigi eti anamtetea😂😂,
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 Ай бұрын
Next plz❤
@RadhiaMlugala
@RadhiaMlugala Ай бұрын
jaman jmn part2 plz
@IvanDavid-p3o
@IvanDavid-p3o Ай бұрын
Okay vizur unipe namba ya miwani uyo
@DemorganMorgan
@DemorganMorgan Ай бұрын
Jamn mwendelezoo
@user-so7sq9tk8e
@user-so7sq9tk8e 19 күн бұрын
Wapuuzi kabisa nyie😂😂😂😂😂😂
@KajalaJenny
@KajalaJenny Ай бұрын
Next please 🙏
@user-rh6qv5up6m
@user-rh6qv5up6m Ай бұрын
NA WIGI LAKO KAMA ASHA BOKO😂😂
@Cosmasndomba
@Cosmasndomba Ай бұрын
Unakomwe mr uky 😂😂
@BeatriceGabriel-m3j
@BeatriceGabriel-m3j 22 күн бұрын
Yaan Yudes unavyojiamini sasa😂😂😂mapenz yatakuua shoga angu
@jamesnkane3
@jamesnkane3 Ай бұрын
Wakwanza likes zangu jemeni😢
@user-mb7vv8lw8e
@user-mb7vv8lw8e Ай бұрын
Hawa wa dada hawapo serious wanaigiza tuu 😂😂
@ReginaMajura-t6u
@ReginaMajura-t6u Ай бұрын
Uyu mr uk,, anatafuta wadada anawalipa kwa ajili ya izo shoo,, mpka nimeishiwa poz lakumfatilia kabisa,, ushaul wangu mr. Uk tafuta shoo za kwel na sio kuigiza
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee Ай бұрын
Wzugu wa nin ?.
@chidychidy7986
@chidychidy7986 Ай бұрын
Sema broo English huwezi ungeacha tu
@SulaimanHaji-l6j
@SulaimanHaji-l6j Ай бұрын
Yaan mwenyew anajiamin atar😅
@DM.2200
@DM.2200 Ай бұрын
Hii comment nlikua naitafta sana 😂😂😂 jamaa arudi shule bhana 😂😂
@cleopamushi2478
@cleopamushi2478 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MayaJoh-u1m
@MayaJoh-u1m Ай бұрын
Yan chiddy una akil sanaaa😅😅😅
@mecksonsanga7413
@mecksonsanga7413 Ай бұрын
Leave 😂😂😂😂😂
@johndemunga2903
@johndemunga2903 Ай бұрын
Bro UK ume jihonea chupi ya huyo dada halafu dada wawatu aka jitengeneza😂😂
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk Ай бұрын
Washenzi nyie wote kwan wanaume wameisha haalaa😂😂😂
@Hanan-bc6ps
@Hanan-bc6ps Ай бұрын
Noma hii
@zainabusaid
@zainabusaid 23 күн бұрын
Part 2 ikwap sasa me namtaka patrick😂
@alpha-os2hi
@alpha-os2hi 25 күн бұрын
Haya maigizo hata video flani kulkuw na mdada analalamika akisema boy wake kamuacha bila sababu alikuwa anaitwa zompah sasa kumbe zompah naye ana youtebe channel yake anajiita ZOMPAH ndo yule yule anafantaga hizi challenge
KAFUMANIWA NA EX WAKE
8:04
Mr Uky
Рет қаралды 20 М.
KATUDANGANYA KISA PENZI
8:22
Mr Uky
Рет қаралды 76 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 58 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 63 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
MIMBA IMELETA UTATA Pt2
9:16
Mr Uky
Рет қаралды 27 М.
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
SHEM NJOO KWANGU TU LALE
15:36
Mr Uky
Рет қаралды 117 М.
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 176 М.
MUME  WAKE  MALAYA  INAUMA SANA😭😭 | PART  01
12:07
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 18 М.
ACHANA NA MWANAUME WANGU
11:17
Mr Uky
Рет қаралды 47 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 58 МЛН