Sema kiredio na Mr urky ni wanafki sanaa.. Eti message za kutongozana 😂😂😂😂 sema nawakubal sana endeleeni kutembeza dozi
@erieltz6 ай бұрын
Najua like sio hela ila naomba hata moja nitambe❤❤
@WemaRashidmsengule5 ай бұрын
Tamba 😂
@eleonoramanyama64 ай бұрын
❤@@WemaRashidmsengule
@joslinchuwa12986 ай бұрын
Hiyo ni nzuri nimeipenda sana hongera kiredio umeweza ❤❤❤❤
@ZubedaIblahim6 ай бұрын
😂
@eldaddyofficial28126 ай бұрын
mko vizuri cake mmeijazaaa mate
@Shani-xs4tdАй бұрын
😂😂😂
@JolyJoly-v4j11 күн бұрын
😂😂😂 sina hamu nayo
@DidasSaousien6 ай бұрын
Sijawahi kupata likes ata1 naomba ata kumi 10 tu:
@AnissaInes-d1u6 ай бұрын
Uzipeleke wapi😅
@MrsHamadi6 ай бұрын
Mkona ujinga mnaomba likes
@fadya-w5s6 ай бұрын
Haha usiwe mnyonge chukuwa na ❤iyo
@imamhussein11046 ай бұрын
Like
@Shaban_abdallah_shabani6 ай бұрын
❤️
@RahmaAbuu-gh1ij6 ай бұрын
🤣🤣🤣 ila kiredio kweli una penda kazi Yako,, una furah na kufurah kabisa 😂 upew maua Yako tu 🎉
@VelvexRexa6 ай бұрын
kiredio nakupenda sema watakuloga et ufe😂😂😂
@SabbySinganoКүн бұрын
Jmn huyo kaka keki zake tamu balaa ❤
@FedhaLuhunde6 ай бұрын
Jmniii iii kitu isikie tu kwa mwenzio🤣🤣🤣🤣 kiredio nipo n ww adi wakuuwe baba❤️
@NeemaMgala6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@FatumaSaidi-j6x6 ай бұрын
😂😂😂😂
@shamsasaid18216 ай бұрын
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnesngalanda1136 ай бұрын
😂😂😂😂
@rahimaaaaa56826 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@angelyminja79676 ай бұрын
We kiredio mwambie huyo mwanaume anyoe hizo nywele huenda akapata mwilii😅😂 maan si powa
@mayakitambo87806 ай бұрын
Yan kiredio mpaka anajaa mate ya uchu wa umbea...hahahahah....Dah..I love this show yako aiseee
@MariamjumaMariamjuma6 ай бұрын
Hahaa
@AliceAlice-z9d24 күн бұрын
❤❤❤❤kiredio mm ninataka namba Yako NINA kazi YANGU nataka kufanya na wewe❤❤❤❤
@felixmwayeya67166 ай бұрын
Hapa hii nimeipenda sanaaa😂😂😂
@emeldalifa69046 ай бұрын
😅😅😂 et tunasoma mara ya mwisho ila kiredio mnafk sana😂😂
@nakky3796 ай бұрын
Ila michael😂😂😂😂 ebu kaa smart kwanza bana me miwan na nywele hoi😂😂😂😂😂
@AngelMorrice-r7f6 ай бұрын
Kumbe mna miezi miwili😂😂 Hajasahau hata ex zake Kijana huna uvumilivu😂😂
@RachelMwasomola6 ай бұрын
😂
@LucyKashindi6 ай бұрын
Mko vizuri cake mmeijazaa mate😮
@estherbayda76315 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@edinamgina63196 ай бұрын
Mme mwenywe ndo huyo bora kachit Big up sister ,,,,me ningeila na boi wangu nimpendae ndo maan namiliki chombo cha moto kwa matukio kama haya yaan strong dogs
@ChrisRely-qk9jx6 ай бұрын
kiredioo una pigwaa lakn ukomiii 😂😂😂 nime kupendaaa buree 🎉🎉🎉
Wallah hata m ningekuchit nyambuziii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋ usaf wenyew zero🤣👌
@kuruthumahmed30456 ай бұрын
Upate mwanaume gani hutomchiti
@beatricemallya38476 ай бұрын
Uyu kaka wa cake katishaaà🔥🔥
@KidoBanks6 ай бұрын
Kiredio npo na wew mpka wakuuwe ❤❤
@FatmaChezo6 ай бұрын
😅😂😂😂du
@KidoBanks6 ай бұрын
@@FatmaChezo yaaap anafundisha una kuta mwanaume kinganganiz au mwnamke saiz nmwendo wa kuu mbua tuu wasaliti
@nedcopascal46406 ай бұрын
😂😂😂wakimuuwa atutopata umbea
@KidoBanks6 ай бұрын
@@nedcopascal4640 😂😂 hawawez muua bhn
@KidoBanks6 ай бұрын
@@nedcopascal4640 😂😂 apan usiseme hvoo bdo yupo sana atukomeshee wasaliti sugu
@ElishaMacha-t8f2 ай бұрын
Kweli na mm nipeni like ❤❤❤❤ mchepuko hoye
@IgnasJrJr6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ila wadada bhan eti mwanaume mwenyew ndo huyi haki achitiwe uwiiiiiiiii
@FridaThobias6 ай бұрын
Mm mwenye nimesema hivyo hivyo kwa kweli
@FridaThobias6 ай бұрын
Siyo kwa hayo manywele
@lakasid38606 ай бұрын
@@FridaThobias kama hujapenda manywele yake kwann umkubalie muwe kwenye mahusiano halafu badae umchiti huoni kama ni ujinga huo 🤔
@FridaThobias6 ай бұрын
@@lakasid3860 unajua kila mtu na chaguo lake mm kwangu hapana isee
@IneHenry4 ай бұрын
Hata ingekua mimi,mwanaume hana unadhifu
@GodfreyOtto5 ай бұрын
The way wanavyo nesa kwa hiyo gari dah...😅😅😅🙌
@tinajames21526 ай бұрын
Huyu michael mwenyewe kusema screenshot hawezi😂😂😂 dunia hii😅😅😅
@princessshannia42156 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅bora aandike
@IvonaNtinabo6 ай бұрын
Kabsa
@hassankalu5406 ай бұрын
Hujamshow poa lkn 😂😂😂
@hassankalu5406 ай бұрын
Hujamshow poa lkn 😂😂😂
@nadyabahaj6 ай бұрын
😂😂😂 kumbe na wewe ume notice
@HudhleymAly5 ай бұрын
Nakupenda Sana kiredio na mr uky jamani❤❤❤❤❤
@swalharajab83656 ай бұрын
Kijana mwenyewe vituko😂😂hiv wanawake mnapend kuwa na vijan wa hovyo hovyo😂😂😂 ndo maana ana chitiwa shezy kabisa😂😂
@Fx_expertmoneymaker0016 ай бұрын
Ukute yy ndo alikua na upendo wa kweli..
@vumiliarichard93476 ай бұрын
Nipate bwana kam kiredio ninenepe sas😂😂😂maan ni anapenda umbea had raha had anaruk ruka💃💃😄😄😄daah
@SarahStephen-f8b6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 kiredio ujuwe mimi mpaka naogopa mno na anaweza kuelekeza yesu
@Wizzymp6 ай бұрын
Hahahahaha utawauwa baba kiredio
@swahilifashion22066 ай бұрын
Huyo Michael akili mingi sana na ndio wanawake wanapaswa kuachwa hivyo kama hutaki kumbe ndio imeisha hiyo😂😂😂
@kuruthumahmed30456 ай бұрын
Safi kabsaaaa
@swahilifashion22066 ай бұрын
@@kuruthumahmed3045 na inaonekana ni mtu wa karibu
@EmmanuelIbrahim246 ай бұрын
Dah na mimi jamani hizo like dah naombeni
@magrethwambura1316 ай бұрын
Hahahahaha daah hii Kali sicheat tena nimekoma😅😅
@AmhshHdbd6 ай бұрын
😂😂😂😂 kumbe wachiti
@MarryEdward-c7x6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@ErickLeonidasimukiza6 ай бұрын
Jamaa mwenyewe ni mimi😂😂😂
@fatumamwangwale82536 ай бұрын
Ndo mwanaume gani huyo sasa😂😂😂😂mi ningefurahi kwanza kama angeniacha
@HamiduMlula6 ай бұрын
Hahahahh kiledio mnafiki sana 😂😂😂😂😂 eeti una jiamini auna wapenzi wengi 😂😂😂😂 heshimanyako kaka
@lilianelisamehe95866 ай бұрын
Kiredio you are too much mmbea😂😂😂😂
@sanurasagutti55446 ай бұрын
😂😂😂aiseeee kiredio na dylan ni wanafki ety aaaa maiko😂😂😂
@emmashirima74366 ай бұрын
Hyo cake automatic itakuwa chachuuuuuuuuu😂
@urummysamth6356 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@leahsamwel19316 ай бұрын
Yaaan mm ntadili na ww kiredio kwanza alafu baadae ndo uyo ex..,..ntakunyongaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@JoviceEustad-vv1hl6 ай бұрын
😂😂😂😂tunasoma Mara ya mwisho
@FrancisMboya-qp7ed6 ай бұрын
Niwapi kuna nyumba mbili ukuuuu my brother Kiredio nakubali 🙌🙌🙌
@dramakingtv86516 ай бұрын
Noma sana mademu hawajui nini wanapenda na nini wanataka
@shedy_marie6 ай бұрын
Lkn ww ukicheat unasamehewe😅
@fabianmbughi-z2m6 ай бұрын
Kweli
@teddytemu28976 ай бұрын
Umbea mtamuuuuu...ila kiredio kazi yako ngumuuuu mhh ungetumia kazi hii pia kuunganisha mahusiano ya watu aisee ungepiga hela sana😂😂😂😂😂
@irenemassawe47786 ай бұрын
Miez miwil unamfumaniaje mtu kama we nd mchepuko je😂😂
@ziddyziddy25246 ай бұрын
Ndio hapo sasa 😅😅😅
@FestoMasunga6 ай бұрын
Ndo Ilivo Hata mimi nahic jamaa ndo mchepuko ila hajijui 😂
@Zulfath-g3b6 ай бұрын
😂😂😂 kaka umetisha eeh sarun huko tabata hakuna au😮
@SalahLwinga6 ай бұрын
Mitandaoni ni kwa kupotezea stress😂😂😂😂
@Thisisgrace9796 ай бұрын
Kwakweli, mtandaoni una refresh akili.
@Jacklinejohn76 ай бұрын
Miezi miwili tuu unampenda sana unawezaje kumuamini ivo 😂😂 kweli watu wa tabata😂😂
@glorymhanga87186 ай бұрын
Huyo maiko mwenyew sasa😂😂😂😂😂 kweny part 2 huyo demu atuoneshe bwanaake huyo mpya bila shaka atakuwa anaunafuu kdg lkn huyu maiko mhhhhh majanga,minywele kama chizi,haki yako kumchit
@lelekilele26 ай бұрын
Sasa unamcheat wa nimi si uachane na mtu kama humpendi ? Kucheat sifa? Imagine mtu wako anakuambia nina haki yakukucheat? Mmeo utapenda? Anyways hakuna chetu dunia hii
@glorymhanga87186 ай бұрын
@@lelekilele2 yaan kiufupi huyo maiko alionewa huruma,Hana hadh ya kudate na bint nzur kama huyo📌
@lelekilele26 ай бұрын
@@glorymhanga8718 acheni kuonea watu huruma date na unaempenda mtulie mbona simple 😂😂 unamuonea huruma wewe mother terressa ?
@RahmaAbuu-gh1ij6 ай бұрын
😂 jamn kwahy yeye ana nn nywele tu izo 😂😂@@glorymhanga8718
@LydiaStephano6 ай бұрын
Ni u Malaya tuu muonekano hauna shida mbona alimkubali Toka mwanzo
@Ghostte_notte6 ай бұрын
Hahaha, Nyie wazee kwa Matukio. Mmeshindikana. Mbaka mwili unasisimka
@bernadetaemmanuel18246 ай бұрын
Ndg yangu kiredio nipo na ww sambamba kwa kazi zako nzuri Hadi wambea wote tutakapopigwa