Рет қаралды 72,354
Subscribe to Nasaha Crew KZbin Channel
/ @nasahacrew2497
Singer: Maryam Hamdun
Composition (Lahn): Sharif Koba
Music Arrangement: Sharif Koba
Lyrics: Sharif Koba
"MAMA"
Mama anaponung'unika
Na mambo hayatanyooka,
Lakini akifurahika,
Elewa huwezi anguka.
Swali sunna na faradhi,
Subhana hakupi hadhi,
Mpaka wazazi waridhi,
Rudi uombe yao radhi.
Utukufu wako ni wazazi,
Zisikudanganye pumzi,
Hata ukiwa ni azizi,
Mbele yao we mfagizi.
Kila umuonae bora,
Kwenye dunia gharara,
Juwa wazee wake surura,
Kwa mwana wao ni fakhira.
Elewa huwezi anguka,
Wazazi wakifurahika.
@ Nasaha Crew