KASWIDA YA "MAMA" ILIVYOWATOA MACHOZI VIONGOZI, VIJANA WA NASAHA CREW LAYLATUL HELWA 2024

  Рет қаралды 94,303

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

3 ай бұрын

KASWIDA YA "MAMA" ILIVYOWATOA MACHOZI VIONGOZI ILIYOIMBWA NA VIJANA WA NASAHA CREW LAYLATUL HELWA APRIL 21 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE DSM
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 161
@habibamhina9075
@habibamhina9075 2 ай бұрын
Watu na sitara zetu, tumetulia, na tunapendeza,tutamsimu,tutamswalia,swala milioni na matirioni🙏 mtume wetu s,a,w popote🙏
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 2 ай бұрын
Vijana mashaallah, Allah awaongoze kwa hekma zenu pia Allah awalinde❤❤
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
mashaAllah kaswida nzuri sana inafurahisha na kuhuzunisha ❤ alhamdulilah maneno mazuri sana
@habibamhina9075
@habibamhina9075 2 ай бұрын
Mashallah🙏wtt wetu, vipenzi vya mtume s,a,w🙏 mungu awabifadhi,
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 2 ай бұрын
Maashalla Mungu awazidishie watoto wapo vzr hata kama kuna watu hawajapendezewa kwa roho zao mbaya
@saadasuleiman1427
@saadasuleiman1427 2 ай бұрын
Mashallah kaswida nzur na wanasaut nzur
@Ismailhan33Khamis-rs9eo
@Ismailhan33Khamis-rs9eo 2 ай бұрын
mama ni mama hakun kam kam love youuuu mamaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AnifaMaulidi-lk5ho
@AnifaMaulidi-lk5ho 2 ай бұрын
Mashaallah Mungu awabariki❤❤❤
@SirajuKhalidi-sz6gu
@SirajuKhalidi-sz6gu Ай бұрын
Masha Allah fanyahima mtoto umeugusa moyo wangu Allah akuzidishie kipaji chak kizid kupanda
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
Hongera sana vijana wetu
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x 3 ай бұрын
Mashaallah mama atabaki kua mama tu mama shkamooo
@aidasalingwa976
@aidasalingwa976 Ай бұрын
MashaAllah watoto wetu wazidi kubarikiwa
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Ай бұрын
mashaAllah hongera sana kaswida nzuri sana
@habibaamiri7740
@habibaamiri7740 2 ай бұрын
Masha Allah qasida nzuri
@RahmaSaggaf-r2n
@RahmaSaggaf-r2n 5 сағат бұрын
MashaAllah
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Mama apumzike peponi amatuvusha kweli kutoka pabaya alipotuweka wtz kikwete Mungu ambariki mama Mungu atudaidie tena. 2025 Mungu mwenye tuhurumie
@iptsamipt7886
@iptsamipt7886 2 ай бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ mashallah
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 2 ай бұрын
Mashallah kaswida ya mama nzuri wamependeza vijana.
@shamimumussa3568
@shamimumussa3568 2 ай бұрын
Masha,Allah
@medyahmed4529
@medyahmed4529 3 ай бұрын
Masha-Allah wanajua hawa wapewe pongezi yao
@SabraMapande-ul1mj
@SabraMapande-ul1mj 3 ай бұрын
Kuna watu wajinga, hapa nini kinachowaonesha upotoshaji Wadini, ama mmesikia matusi humu,, acheni ujinga huo, tuachieni qaswida yetu. Maashallwa mmeweza
@nassleydady5783
@nassleydady5783 2 ай бұрын
Hata waimba tarab hawana matuc mbna unawatia kundi la moton acha kuzarau wtu au unawez nipa tofaut ya hiii nyimbo na tarab?
@muu_hijama_tz
@muu_hijama_tz 3 ай бұрын
Kaka tupandishie qaswida ya yule mwamba mweupe hivi ana kiduku kwa mbaali ivi. Anaimba huku ananesa nesa.
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 2 ай бұрын
Allhamdullillah mungu akutabalie yaani nimelia🤲✅
@ashachanja8087
@ashachanja8087 3 ай бұрын
MashaaAllah
@ag-rabbitzenj1379
@ag-rabbitzenj1379 3 ай бұрын
Dahh Mashallaah ❤🎉
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 3 ай бұрын
mashallah. watoto wako vizuri
@TheSeifahmad1
@TheSeifahmad1 3 ай бұрын
Mashallah
@SaotmAlohtm
@SaotmAlohtm 2 ай бұрын
Mashaala Mungu awazidishiye🎉
@salumally663
@salumally663 3 ай бұрын
Kwahio sheikh yahya anatoka kariako!!! Hajii acha zako..
@GULIELMAS
@GULIELMAS 2 ай бұрын
Mama ni mama
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 2 ай бұрын
I like kwa kweli hivi tunafarajika kuona vijana wanafanya kitu kikubwa watunzeni hao maana mna sauti zote hapo waoooo
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 2 ай бұрын
Nikikumbuka Ushoga tu'Yarabbi tunusuru watoto wetuu
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 2 ай бұрын
Mashaa Allah tabarakallah
@abdallahkassim7602
@abdallahkassim7602 3 ай бұрын
Ma shaa llah
@AbdallahOthman-fy1gl
@AbdallahOthman-fy1gl 3 ай бұрын
Mashaallah ❤❤
@shabanikabaraza9255
@shabanikabaraza9255 2 ай бұрын
Mama kwetu nitunda lisilo shuka thamani. Ambae haelewi maneno mazuri kama haya inamaana yeye hana mama alikotoka ni wapi acheni jamani mama ndio kila kitu
@user-gh8py4og9k
@user-gh8py4og9k 2 ай бұрын
Mashaa allah ❤❤
@meowzna
@meowzna 2 ай бұрын
Masha'Allah🙏🌹
@RamaMkongwe
@RamaMkongwe 2 ай бұрын
Allah Awakuze ktk maadili Bora ya Dini
@ashabakary1462
@ashabakary1462 2 ай бұрын
Hawa watoto nahisi wanatokea zanzibari kama sjakosea
@abalhisan4265
@abalhisan4265 2 ай бұрын
Duuh kwamba bara hamna vijana wenye vipaji na wenye sauti nzuri au?
@allyzanzibar8983
@allyzanzibar8983 Ай бұрын
​@@abalhisan4265Muonekano wao ndio na Kiswahili chao na wanajua kughani haya mambo ya vswani
@saadasuleiman1427
@saadasuleiman1427 2 ай бұрын
Mashallah mmung awalinde na hasad
@uchidahmaster2834
@uchidahmaster2834 3 ай бұрын
Vittaah 🌹🌹🌹
@AbdulRazack-cv7ft
@AbdulRazack-cv7ft Ай бұрын
Maasha allah
@MirajiAlhajj
@MirajiAlhajj 2 ай бұрын
Mihdhari nakubali wakinasaadi wako maashaallh jitahidi
@OmanOman-ty6ef
@OmanOman-ty6ef 2 ай бұрын
Mashaallah watt
@LemkiHamadi
@LemkiHamadi 3 ай бұрын
Maashallah, vijana wako viziri
@arebdyjorginho8154
@arebdyjorginho8154 3 ай бұрын
Mashllh
@cutedidah
@cutedidah 3 ай бұрын
❤❤❤
@mabdi108
@mabdi108 3 ай бұрын
MashaAllah. Vijana wametulia
@user-wc9vd7dg9o
@user-wc9vd7dg9o Ай бұрын
Maradhi ya kimajini huyu Dr Mkali wao Pemba anakutibu hatajam upo mbali pesa ndogo tuu😊
@fatmajuma-ug1pj
@fatmajuma-ug1pj 3 ай бұрын
mashaallah ilikua burudani❤
@nassorali1034
@nassorali1034 2 ай бұрын
Msikae rohoni sie twajua mmemsakama kwakua ni mzanzibari 😭😭😭😭ndomana mnamnyanyasa kupindukia hebu basini inatosha
@nassorali1034
@nassorali1034 2 ай бұрын
Jamani ataondoka kaa kwa dharura yakuziba pengo la hayati maremu magufuli 😭😭😭😭
@ContentHouses-po3mh
@ContentHouses-po3mh 3 ай бұрын
Hamna tofaut na BONGO FROVER hii din tunaipeleka pabaya sana
@AbdulwahdMbahu
@AbdulwahdMbahu 2 ай бұрын
Una teseka ukiwa pahala gani
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 2 ай бұрын
Kumbe bongo flavour unazisikiliza ila kaswda zinakutia kichefchef
@khadijamohamedkibabi3625
@khadijamohamedkibabi3625 2 ай бұрын
​@@AlfarouqIslamicha ha ha a a a Jmn dah 😂😂😂😂
@joharithabiti334
@joharithabiti334 2 ай бұрын
Subhanallah na suti kabisa wamevaa mtihani😢
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Sio bongo flavour ni taarabu
@yearbah1
@yearbah1 2 ай бұрын
@babdeo twaomba ya mastia....bado sijaona mfano wako habibi
@nassorali1034
@nassorali1034 2 ай бұрын
Swmia jamaa yangu mzanzibari mwenzangu ukimaliza ondoka walqhi ondoka kwasababu km waliweza kumuuwa jamaa yao magufuli hakika hawashindwi kukuuwa nawewe .......au jiudhulu bora walahi inaniuma kuona kashfa chungumzima
@nassorali1034
@nassorali1034 2 ай бұрын
Bora jiudhulu mana niliwahikuona klip m.bara anaonesha kaburi nakusema utakufa tu 😭😭😭
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 2 ай бұрын
KWANI WW UTABAKIA KTK HII DUNIA?AU MWENZETU PIA IMEANGALIA ANGANI?ACHA MANENO YAKO JE UNAIJUA KESHO YAKO?UNAWEZA UKATANGULIA UKAMWACHA JE UNAIJUA HILO
@RukiaJuma-nv3fu
@RukiaJuma-nv3fu 3 ай бұрын
Mabrouk
@hatibuathumani3839
@hatibuathumani3839 3 ай бұрын
Maashallah,,, mzuri mnooo👏
@jayhassan3906
@jayhassan3906 3 ай бұрын
Qaswida tam sana
@KhaalidiJumaa-yt4lo
@KhaalidiJumaa-yt4lo 3 ай бұрын
Yaasalaam
@user-mk9gc5nk1t
@user-mk9gc5nk1t 3 ай бұрын
@abdulhafidh7749
@abdulhafidh7749 3 ай бұрын
Uchawa kila sekta daah taifa sijui litakua la vizazi vya aina gan baadaae hili
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 2 ай бұрын
Makafiri hamna jema
@FATMAMOHAMED-ss4wn
@FATMAMOHAMED-ss4wn 2 ай бұрын
Mungu mwenyewe anawaruzuku Kila kitu hawamshukuru atashukuriwa Samia kiumbe dhaifu sio rahisi tunakijua kinachowauma ila tulieni kutesa kwa zamu nulitunyanyasa na kutudhulimu siku nyingi Samia piga kazi hai no nyau TU na kelele za mlango hazimfanyi mwenye nyumba akose usingizi
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Ай бұрын
Hata Nabii alipigwa mawe, Yesu alipangiwa mipango ya kumuuwa. Huwezi kupendwa na wote.
@salehemohamed2937
@salehemohamed2937 3 ай бұрын
Wallahy, vittah
@alawi6796
@alawi6796 3 ай бұрын
Taarabu au kaswida jaman
@user-oh7gv8zg5y
@user-oh7gv8zg5y 3 ай бұрын
Taarabu hii, si kaswida
@user-oh7gv8zg5y
@user-oh7gv8zg5y 3 ай бұрын
Huoni, pia waimbaji wamevaa, suti, wamenyoa viduku,, ndo matatizo ya mashekh WA bidaaaya
@AbdulwahdMbahu
@AbdulwahdMbahu 2 ай бұрын
​@@user-oh7gv8zg5ywew vaa msuli usiteseke
@ummuarham6070
@ummuarham6070 2 ай бұрын
Kiukweli Hiyo mikato ya nywele si sahihi katika deen yetu
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Taarab ikhwan swaafa wadogo hawa kutoka Zanzibar
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 2 ай бұрын
Tz yani mna kila kitu mkitaka kumbe
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Ай бұрын
Hata Balkis alitawala wanaume hadithi Iko ndani ya Quran. Alikuwa mwanamke. Mamlaka zinatolewa na Mungu.
@FATMAMOHAMED-ss4wn
@FATMAMOHAMED-ss4wn 2 ай бұрын
Kalamu nnasi la yantahi (maneno ya watu hayamaliki hata awara mbe mkundu watasema TU mama piga kazi
@shabanikabaraza9255
@shabanikabaraza9255 2 ай бұрын
Koba koba koba kobaa wewe koba allah akulinde huwa kunakaswaida unaimba wallah ujumbe unatufikia.
@shabanikabaraza9255
@shabanikabaraza9255 2 ай бұрын
Unajua kunawatu wenyewe kila kitu hupinga ukiwaangalia wao huwa ni wakorofi sana,Tuachieni burudani zetu hutaki kusikiliza qaswaida acha tuachie mambo yetu wewe endelea kutuibia ndala zetu msikitini na tukikuona utajuta
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x 3 ай бұрын
Hii kaswida imesimwa hapa Tanzania au nchigani?
@alikidungura9419
@alikidungura9419 3 ай бұрын
Nyimbo iyo
@aluishabani627
@aluishabani627 3 ай бұрын
koba nifannani mkubwa twamwaamini lakini nyimbo njiwa aliaaribu pale alipoleta maneno alivyo endelea nayo akunyamaza ikaanza biti akakosana nabiti biti ikawa kivyake navinanda kivyake amewapa tabu sana aache kupaga nakuengeza navitu watu awakuvichukulia mazoezi lakini uwezi kundua kwa ubingwa wake ila ladha ilipungua kwenje nyimbo yanjiwa biti inapendezesha ilekaswida jamani
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 2 ай бұрын
Uki chelewa kufa uta yaona mengi😢😢😢😢😢
@tahirabdalla7189
@tahirabdalla7189 2 ай бұрын
Mashalla 😂
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 3 ай бұрын
Masalafi wana kosa raha wana taman waje ila hubakia kufunguwa cm wakasikilza tu
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 3 ай бұрын
Sisi masalafi tunasema ,haya mambo ni ya wanawake, kwao Halali haswaaaa,lakini hii minibaba na medevu Yao hapa wanafata nini.
@alikidungura9419
@alikidungura9419 3 ай бұрын
Mungu hapendi zumar wala mananda niharamu ilio kubwa
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 3 ай бұрын
Salafi mutakuwa nyinyi nyinyi ni wanafiki tu nyinyi ni mayahud tu
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 2 ай бұрын
@@user-gc3ec9wx6z ndugu yangu ,kasome dini ,acha jazba ,hii sio Simba na yanga,hii ni dini,unaweza ukamtakia mwenzio maneno yakaishia kutafuna dini yako,kasome ili ujue mipaka ya kizungumza na dini yako pia
@user-du9kd9ks3b
@user-du9kd9ks3b 3 ай бұрын
Acha upumbavu watu wache wastarehe wakifanya wasaudia na vilemba vyai Mbona husemi kwa......!!!
@Harunery
@Harunery Ай бұрын
ALLAH awanusuru hawa watt na mambo haya ya haramu
@abuuqamar58
@abuuqamar58 3 ай бұрын
Hiyo cheni shingoni ndio nini
@user-os3ed2nl2k
@user-os3ed2nl2k 2 ай бұрын
Mashaallah. Watoto wetu ......hizo pesa ziwekeni hapo chini .mnawazonga
@user-oh7gv8zg5y
@user-oh7gv8zg5y 3 ай бұрын
SASA, mbona waimbaji wenyewe wamevaa, suit Kama wako kanisani, hizi nguo si wanavaaga waimba kwaya makanisani mambo ya ajabu, kweli n
@sulej2023
@sulej2023 3 ай бұрын
Suit ni vazi kama vazi lingine na wala si vazi la wakristo
@FathiyaAlshidhani
@FathiyaAlshidhani 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JokhaSimba
@JokhaSimba 2 ай бұрын
Yani kuna watu wanatauonekane mgumu kama yeye hapendi atwache tunaopenda wewe unafanya dhambi kibao mbona watu hawakwambii wanaona hiyari yako
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 2 ай бұрын
Haki kitabakia kuwa haki na batil itabakia kuwabatil2 kelele za bure kila kitu kiko wazi
@Saumuhosseni
@Saumuhosseni Ай бұрын
Mayahudi nyiyi
@user-os3ed2nl2k
@user-os3ed2nl2k 2 ай бұрын
Inanikumbusha sauti ya mariam Hamdun
@Muhammed-km3er
@Muhammed-km3er 3 ай бұрын
Tutumie shughuli yt mzm
@BABDEOMILADU
@BABDEOMILADU 3 ай бұрын
Ingia katika akaunti ya Nasaha Crew ya KZbin ipo shughuli nzima
@ahmedmwinyi-pl1cn
@ahmedmwinyi-pl1cn 2 ай бұрын
Tuwaambie pole hao ndugu 😂 zetu. Napia tuwaombee mwenyezi awaondoshee tabia za kusema wenzao.
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Ай бұрын
Muuuuu!
@habibamhina9075
@habibamhina9075 2 ай бұрын
Tusonge mbele waislam, hao wanaobeza tamasha hili ni roho mbaya zao na chuki zilizo wajaa,
@abdundimbo5170
@abdundimbo5170 2 ай бұрын
Safisana
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Bayyat au taarabu babu weye
@abuuissa1642
@abuuissa1642 2 ай бұрын
Hii ni music yenye mahdhi ya kiarab nyimbo za Lebanon
@SirajuKhalidi-sz6gu
@SirajuKhalidi-sz6gu Ай бұрын
Acheni watu waburuke ktk majambo ya kheri
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Hawa ndo waimbaji taarabu wa baadae mark my words..Omar kopa katokea huku huku..Mzee Yussuf huku huku
@riyadhelbakry6375
@riyadhelbakry6375 Ай бұрын
Hahaha sasa hii kasida au tarabu 🤣
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 3 ай бұрын
Hakika huu nimda wa wapimbavu na wajinga sasa huuu ndio uislam kunatofauti gani kt ya kwaya za wakristo na hawa wanaojiita waislam ? Sasa uisilam wasut nabado mvvaaa misalaba 😅😅😅 someni din ya kiisilam muelewe hahaha😅😅
@lalytele3353
@lalytele3353 Ай бұрын
Kila kabila lina mila na dasturi. Hawa ni waswahili,misalaba yaingiana vipi?
@user-yv3qi1yf3j
@user-yv3qi1yf3j 2 ай бұрын
Taarab
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 2 ай бұрын
Mziki unatokamana na Sheitwan,hakuna qaswida za dini wala nn huu mziki tu kama mziki mwengine, Alafu wengine wanadai kuwa ni Mashekhe pembeni wanawake hakuna pazia hakuna tafauti na Manaswara.Allah Atunusuru. Maswahaba walifanya kazi kubwa mpaka dini imetufikia mwafanya masikhara mumekaa mwatumbuizwa na sounds za mziki Wakati Maswahaba Sounds zao zilikua mapanga. Mwafanya mchezo.
@fatmaurwa3849
@fatmaurwa3849 Ай бұрын
Mziki haukutona na sheitwani, rudi darasani. Sema nini kimekukera ama kuna mapungufu gani,usikimbilie kuropoka kw kuharamisha vitu ambavyo huna mafhum yake. Na ngoma nayo ni haramu ? Ama imeundwa na Sheitwani? Someni acheni kukurupuka kw fatwa za halmashauri za bongo zenu. Inaonekana mna uwezo hata wa kumuingiza mtume motoni basi kw fatawa zenu falyaudhubillah...,.
@abdalahaby3658
@abdalahaby3658 2 ай бұрын
Kuna vijitu vinajifanya vinaijua dini humu looooh. 😂😂😂 ajabu wanasema haifai halafu wame subcribe ili wasipitwe na hivyo wanavovisema haramu.
@FATMAMOHAMED-ss4wn
@FATMAMOHAMED-ss4wn 2 ай бұрын
Kizazi kitakua Cha komba
AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
18:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 74 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
Nasaha Crew (Anayo Alama) Sharif Koba.
5:50
Nasaha Crew
Рет қаралды 268 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 74 МЛН