NASSARI"NIMEKUJA CCM KWA SABABU NAIPENDA NCHI YANGU"

  Рет қаралды 24,608

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Nasari umejimaliza kisiasa utachekwa na hata walevi wa mbege saaa.
@kelvinmchau8815
@kelvinmchau8815 4 жыл бұрын
NASSARI hauna maajabu
@jacksonlodupo7174
@jacksonlodupo7174 4 жыл бұрын
Ccm oyeeee
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 жыл бұрын
Kweli nchi imeingiliwa unafiki nafiki kibao
@herimfumbulwa5000
@herimfumbulwa5000 4 жыл бұрын
Km wanahama km nyumbu kuna haja gani tukampa magufuli atawale milele amina mpk kufa kwake
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
Uwasalimie huko uendako,,
@nasaelmanya1432
@nasaelmanya1432 4 жыл бұрын
Nenda Nasari chama changu hawakuona umuhimu wako muda wote.
@nipolive..2745
@nipolive..2745 4 жыл бұрын
Ama kweli mwana siasa sio wakuamin hata kidogo
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 4 жыл бұрын
Wooow! I like it
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 жыл бұрын
Muacheni nyerere apumzike wapuuzi wakubwa nyinyi
@tambulaashbah725
@tambulaashbah725 4 жыл бұрын
Uyu mpuuzi katudanganya wana Arumeru mashariki nyambafu atumchagui Kama anataka ubunge Magufuli tutamchaguwa lakini uyu apana anajuwa kujiongelesha muoneni tu hivi njaa mbaya msinge mkubali
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 жыл бұрын
Unafiki katika siasa ndio kwao, Mwanasiasa Hana aibu wala hatunzi kumbukumbu kichwani.Mtendee jema mwanasiasa usisubiri shukrani, maana urafiki kwake ni wa kama kutafuna muwa...!utasikia "siasa haina rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu". Akiongea utafikiri yanatoka moyoni aah, kumbe ni ya kinywani! Kumbe sinema yote ya kukacha vikao vya Bunge Hadi kufukuzwa Bunge ilikuwa ni syndicate iliyoandaliwa... Hongera Sana Mh. Nasali kwa ufunuo Ila kumbuka maafa yaliyowapata wana Arumeru kwa mikono wako au ndo "....ya zamani hayanuki?"
@yusuphhussein4336
@yusuphhussein4336 4 жыл бұрын
Asante nilikuwa simjui ni nani huyu sio kwa jina lkn?ila umenielewesha uliposema alifukuzwa bungeni
@getuswai2405
@getuswai2405 4 жыл бұрын
Siasa mchezo mchafu huyu nilimuelewa tangu kipindi kile aliuza jimbo kistyle yake
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/p5apl3lsfrd8la8 unafiki mkubwa.
@janeyphersuma3982
@janeyphersuma3982 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahhahahahaha tuna heri tusio kuwa kwenye siasa Bali tuko watazamaji
@emanueljinai7613
@emanueljinai7613 4 жыл бұрын
Jaa.kweupee
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 жыл бұрын
Unajua Rais Magufuli anayoyafanya ni mazuri hivyo hawaoni sababu ya kubaki walipo
@ibrahimdavid6219
@ibrahimdavid6219 4 жыл бұрын
Sio kweli#
@hildambaga608
@hildambaga608 4 жыл бұрын
Aiseeee hata huyu????
@danmaganga2501
@danmaganga2501 4 жыл бұрын
Nassari au mwingine ??? !!!
@kenedymbise8097
@kenedymbise8097 4 жыл бұрын
Uwo ni uchu wa madaraka na hatukupi kura term hii
@mwantumubakari2304
@mwantumubakari2304 4 жыл бұрын
Mimi hata sikuamini lazima kunakitu kimekuleta ccm siobure
@edwardlutema6006
@edwardlutema6006 4 жыл бұрын
Waungwana njooni tujenge nchi yetu Tanzania na Ccm ndio Tanzania huko kwingine ni kama wakimbizi unakimbia nchini kwako unaenda kuishi ughaibuni Njoon wote Ccm tuvuke tuchape kazi na tuijenge Tanzania yetu
@eabdabdallah2661
@eabdabdallah2661 4 жыл бұрын
Ila njaa mbaya xana, hata wanaccm hapo pembeni wanasemezana kuwa huyu jamaa hafai. Halaf hata yy mwenyewe Nassary hajui anachokiongea
@mzeesuleiman9612
@mzeesuleiman9612 4 жыл бұрын
Huyu Nasari alivyokua upande ule chadema alikua anafanyakazi kama Ccm tu nakuwatumikia wananchi Alikua ayupo kwenye chama alikua anaangalia Maitaji ya wananchi
@tambulaashbah725
@tambulaashbah725 4 жыл бұрын
Yapi alifanya akuna chochote alienda ulaya kukaa na mkewe akatuachia alumeru mashariki Amna kiktu akaja na kujidai anaflashi chaajabu emte Sasa wanaalumeru mashariki wakimchaguwa Kama anataka ubuge watabugi
@helenamwaipopo967
@helenamwaipopo967 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
@@tambulaashbah725 usijali wenye mikia tunawajua
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 жыл бұрын
mwaka huu tutaona vituko vingi kweli !
@bravosenior475
@bravosenior475 4 жыл бұрын
Nililijua hili
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 4 жыл бұрын
Kitaendelea kudumu ccm ndani vyama vingi na ni chama kubwa
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 жыл бұрын
Sana tu kwakweli
@Jeehd
@Jeehd 4 жыл бұрын
tooop
@mkengej.mkenge2821
@mkengej.mkenge2821 4 жыл бұрын
Hivi ulikwepa kununuliwa kipindi kilee umenunuliwa sasa hivi?.
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
Wanasiasa wanakera... aiseeee
@mzeesuleiman9612
@mzeesuleiman9612 4 жыл бұрын
Umefanya vizuri Sana Kurudi nyumbani
@abumusabmusab3771
@abumusabmusab3771 4 жыл бұрын
Mwaka huu viongoz maslahi mtawajua sana tu
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 4 жыл бұрын
Siamini macho yangu, lakn siasa za bongo
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 жыл бұрын
Kweli upinzani hakuna tz, wote njoon ccm
@justinendizeye714
@justinendizeye714 4 жыл бұрын
Safi sana 👍👍👍👏👏👏
@hildaeliapenda3938
@hildaeliapenda3938 4 жыл бұрын
Mambo ni Moto chezea JPM wewe uchapazi utendaji kazi rafiki wa watu woote hasa wanyonge siasa pembeni maendeleo mbele Nani asimfuate ccm oyeeeeeeeeee karibuuu nasari hapa kazi tuu
@mosescheketela9505
@mosescheketela9505 4 жыл бұрын
Hii nchi imejaa mazwazwa tu,yanendekeza njaa tupu
@bonifacekcharles2324
@bonifacekcharles2324 4 жыл бұрын
Kila mtu kuna maisha anayachagua Mungu niepushe na kikombe cha kutegemea binadamu wenzangu
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 жыл бұрын
MAGUFULI BABA LAO, CCM OYEEEEEE
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
yaani hapa inaonekana kabisa CHADEMA inaning'inia. sidhani kama kuna connection kati ya viongozi wajuu. huwa najiuliza hiyo kamati kuuu ni nani na nani?? isije ikawa chama kimebaki mikononi mwa watu watatu
@mlondagumbiro7890
@mlondagumbiro7890 4 жыл бұрын
Ndio maana nasema haina haja ya kupiga kura maana uhuni tu unafanyika wanasiasa hawaeleweki kama Malaya tu
@albinemilly5382
@albinemilly5382 4 жыл бұрын
Kweli bro wenye wao Wana tabia za kimalaya Malaya. Ni vigeugeu, mandumilakuwili,
@petermtey5508
@petermtey5508 4 жыл бұрын
Nilijua tuu. Wenyewe wanajua walipo hamna amani ila wanakomaa tuu. Wenye akili zao wanarudi ccm ila ni kwa maslahi binafsi.
@EmmanuelMahiya
@EmmanuelMahiya 4 жыл бұрын
That's good
@cuthbertbruce2098
@cuthbertbruce2098 4 жыл бұрын
Nassari haelewi hata aongee nini aibu imemvaa zaidi sio nassari yule tunayemfahamu
@pangdeny
@pangdeny 4 жыл бұрын
uongo bwana unajikuta unazunguka zunguka tuu
@gabrielsawike7327
@gabrielsawike7327 4 жыл бұрын
Toka ametolewa ubunge mbowe hajawahi lisemea hili wala kumtetea popote pale sasa afanyaje
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 4 жыл бұрын
Da! Pumbavu sana yani
@anethshio497
@anethshio497 4 жыл бұрын
WAPINZANI WALIKUWA NI WALE WALIOFUTIWA VYAMA VYAO BAADA YA UHURU MWAKA 1962, HAWA WA SASA NI WASANII WA CCM TU ILI NCHI IPATE MISAADA YA WAFADHILI.
@kobeloashiru2273
@kobeloashiru2273 4 жыл бұрын
Nipe uhai nione mengi.....
@fredrickmanswet3613
@fredrickmanswet3613 4 жыл бұрын
Duh,kweli mwanasiasa siyo mwenzako,we si ndo uliwahi kutoa machozi kuwa ccm haifai kabisa🤔
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
Hivi ni kwel au masikio na macho yangu jamn
@jeniphermassawe3037
@jeniphermassawe3037 4 жыл бұрын
Kyiboo kya nndedee
@divamercdivamerc2666
@divamercdivamerc2666 4 жыл бұрын
Daaaa njaaa mbaya Sana
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 4 жыл бұрын
Wewe baki tu na faru John wako ccm hau fit kabisa..🤨
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 4 жыл бұрын
ccm oyeeeeee
@wilisonjohn8222
@wilisonjohn8222 4 жыл бұрын
Sijamuelewa huyu jamaa. Kalazimishwa hakujipanga au? Mbona anazungumzia elimu yake tuu. Ccm hoyeeeeeeeeeeee
@rajabmlau1668
@rajabmlau1668 4 жыл бұрын
Duuuu noma mm ndiyo mana spendi siasa
@mzeesuleiman9612
@mzeesuleiman9612 4 жыл бұрын
Kwanza mzarendo na kijana vijanawezio wote Wako Ccm wanamsaidia jpm
@athumaniferooz7790
@athumaniferooz7790 4 жыл бұрын
Daaah. Siasa hzi
@josephmasebo6761
@josephmasebo6761 4 жыл бұрын
CCM OYEEEEE
@asharamadhani4641
@asharamadhani4641 4 жыл бұрын
Hahaha
@dominickmassawe7720
@dominickmassawe7720 4 жыл бұрын
Maendeleo kayaona
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 4 жыл бұрын
ndugu yangu kapagawa
@cyprianbernard907
@cyprianbernard907 4 жыл бұрын
Ungewahi mapema xaxa
@alihaan7652
@alihaan7652 4 жыл бұрын
serekali yet ikiwa na viongz vijana itakuw chachu ya maendeleo kutokn na kupta mawazo mapy
@medadiissa324
@medadiissa324 4 жыл бұрын
Duuuh
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
Tobah Siamini Nnacho kiona Mzee wa Flash Anasilimu 😂😂😂😃😃😃😀😀😀😁😁😁 CCM Noma Namuonea Huruma Faru John
@mosescheketela9505
@mosescheketela9505 4 жыл бұрын
Jionee huruma wewe ambae hats kula yako ni shida,mpuuzi wewe
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Faru John anazidi kuchanganikiwa. 😁😁😁😁
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
@@mosescheketela9505 Hebu tueshimiane Neno Mpuuuzi limekujaje? Na kulala na njaa inaingia wapi? Hongera wewe Unaishiba Aliye kupa wewe ndio Aliye ninyima mimi 😂😂😂😃😃😃😀😀😀😁😁😁 inaumaee tulia ikuingie Taratiiiiiiiibu
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
@@mosescheketela9505 Jahazi lina zidi kuzama Sisi tunae kula kwa shida furaha tupu maana Mlo mmoja kwa siku tena wa kugombania tia mchuzi pangu pakavu. 😂😂😂😃😃😃😀😀😀😁😁😁 Tulishazoea Balaa kwa waliokua wamezoea kulazimishwa kunywa Maziwa usipokunywa Unatishiwa kusemewa kwa Baba Akirudi ndio wana kazi Sasa hivi pesa za Bure Bure Kwisha Kula cha halali x Cha jasho Lako ndio hao wanaolia Eti vyuma vimekaza 😂😂😂😃😃😃😀😀😀😁😁😁 sisi walala hoi vikikaza tunaweka vilainishi Kitu taratiiiiibu kinaachia 😂😂😂😃😃😃😀😀😀😁😁😁
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁ndugu umejua kunichekesha kweli😁😁,, tena kilainishi chenyewe mlenda aaah mambo moto
@tambulaashbah725
@tambulaashbah725 4 жыл бұрын
Makubwa
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 4 жыл бұрын
Kwan huyo jamaa bado yupo Au uchaguzi umemfufua
@regiusmaskati9452
@regiusmaskati9452 4 жыл бұрын
Duh hatali sana
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 4 жыл бұрын
S wazee walisema awamtaki kwamba ajafanya chochote na wakamtoa sasa kulikon,?
@abdalahmohamedi1806
@abdalahmohamedi1806 4 жыл бұрын
Hivi nyie makada wa ccm mnakomaa na chama halafu watu wanachukua majimbo kiulaini kazi yenu kuimba nyimbo tu
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
Huyo joshua sindie alie tuzurumu hella zetu
@mosescheketela9505
@mosescheketela9505 4 жыл бұрын
Maccm yanawachekeleaaaaa
@justafredrickmunyoro1097
@justafredrickmunyoro1097 4 жыл бұрын
Eeeh?? Tena??? Dah, CCM OYEEEE
@tajirimichael6242
@tajirimichael6242 4 жыл бұрын
Kwa kweli ni kazi
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 4 жыл бұрын
Tunamsubiri na kubenea tunajua lazima kitaeleweka
@petroshalua4566
@petroshalua4566 4 жыл бұрын
Mmmh yetu macho
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 жыл бұрын
Karibu sana nyumbani CCM mbele kwa mbele.
@goodluckrobart6233
@goodluckrobart6233 4 жыл бұрын
Upuuuzi mtupu
@renathustesha4036
@renathustesha4036 4 жыл бұрын
Na bado
@MaryMary-iw3jh
@MaryMary-iw3jh 4 жыл бұрын
Hahahahah shikamoo siasa duh! Hata siamini
@francojohn8488
@francojohn8488 4 жыл бұрын
mmmh ata mimi siamini
@dativakavishe7393
@dativakavishe7393 4 жыл бұрын
Mmmh kweli siasa.
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 4 жыл бұрын
Aseee
@patrickkambale603
@patrickkambale603 4 жыл бұрын
Hiyo ndo siasa bwana yaani haina kanuni nikama gwaride
@abilibibuka857
@abilibibuka857 4 жыл бұрын
yoo
@kenedymbise8097
@kenedymbise8097 4 жыл бұрын
Nendaaaa tu
@adamumjomba82
@adamumjomba82 4 жыл бұрын
Nassary hana mpango Ni mpuuzi tu heri alivyo ondoka chadema alikua mzigo .wa mwizi ,angeondoka Lema au sauti ya zege halima mdee au Estar bulaya tungetetemeka sio huo mzigo peleka huko Kwa jpm
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
Yamkosaji....
@mohammedmnasi3228
@mohammedmnasi3228 4 жыл бұрын
Watu wanaangalia upopo. Na maendeleo yanavyo kwenda kwa kasi viva jpm mungu akubaliki sab
@salehemsafiri7895
@salehemsafiri7895 4 жыл бұрын
Duu
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
Km vile hadithi ya kwenye Bible ya Mwana mpotevu alivyorudi kwa baba yake
@mwidiniharuna9618
@mwidiniharuna9618 4 жыл бұрын
Biashara hiyoooo🚮
@neemasamwel7900
@neemasamwel7900 4 жыл бұрын
Safiii
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 жыл бұрын
Njaa hizi!ni ngumu sana nchi kama tanzania ya wanasiasa wa aina hii kutoa mchango kwa nchi yetu bali yamejaa wachumia tumbo tu ona hiki kipuuzi!
@andronicomanasemkuyu5333
@andronicomanasemkuyu5333 4 жыл бұрын
Kwakweli wewe umepoteza uelekeoo, hamstahili kuaminika tena.
@bensonhamis3303
@bensonhamis3303 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👉👉
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 жыл бұрын
Bado tu Lema naye yupo njiani wakati wowote anakuja
@kanaelinaiman8889
@kanaelinaiman8889 4 жыл бұрын
Hakika cha kuambiwa changanya na akili yako wana siasa ni wehu yanayotokea akili yangu haipati picha wana siasa ni wapiga dili tu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 жыл бұрын
@@kanaelinaiman8889 Na kweli hapo umenena
@ibrahimdavid6219
@ibrahimdavid6219 4 жыл бұрын
@Hamida Hamadi hawa sio watu wakuwategemea bora mpira wa mguu# Lema awezi kuhama asee nikwambie tu#
@emanuelurio5005
@emanuelurio5005 4 жыл бұрын
Biashara ilifanyika sikunyingi
@joycemwandola4826
@joycemwandola4826 4 жыл бұрын
Ccm oyeee
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 4 жыл бұрын
Ccm oyeeeeee
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 189 М.
What's the difference between morality and ethics?
4:05
Globethics
Рет қаралды 169 М.
The Invasion Russia Doesn’t Want You to Know About
26:09
Johnny Harris
Рет қаралды 2,2 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН