NATAMANI WAZAZI WANGU WANGEKUA HAI

  Рет қаралды 10,040

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Жыл бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 25
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
ALLAH awafanyie wepesi na awasikie kilio chenu nyanya na wajukuu wako amiin ,
@huss668
@huss668 Жыл бұрын
Bibi hali yake pia si nzuri maskini mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi Katika kila jambo kwa rahma zake Allahuma Ameen
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
آمين يارب العالمين
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mtihani mkubwa huo mungu atunusuru na maisha hayo ya kuzaa bila ya ndowa watoto 4 mtihani wa dunia na akhera
@mariamsefukhamissi8809
@mariamsefukhamissi8809 Жыл бұрын
subhannallah 😔 😔 ya Allah twakumbushan her
@thuriyabarwani5111
@thuriyabarwani5111 Жыл бұрын
Al afa5ah TV tafadhali tutilieni marjina ya watu kama hawa wahitaji majina yao na pahala walipokuwepo ili tukitaka kuleta msaada tutaje tunaowakusudiya khasa Ahsanteni..
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Na yeye mwenyewe mgonjwa, nahisi kama anatembelewa na baridi ukichungunza mdomo na jicho inshallah tumsaidieni
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
Subhanallah
@AIFOSMUGOTV
@AIFOSMUGOTV Жыл бұрын
Allah awalipe kwa yale mnayoyafnya,,
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajioun 😭😭😭😭Ndugu ktik iimani tujitoleen kuwap faraj hawa watoto ytima hkik tuko n dhima juu leo n wao kesho n vizaz vyetu mm n ww
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Mungu isaidie hii familia
@mwanaidatkhamis5310
@mwanaidatkhamis5310 Жыл бұрын
Allah awape Subra
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
امين
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Maswaaba walikuwa wakitoka kutafuta palipo na shida na ambapo watu wanalia njaa ,n kuchukua majukumu km wao na kuwafanyia maskini
@seifali3893
@seifali3893 Жыл бұрын
Hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kwa huyu bibi , kama yapo naomba namba ya simu tafadhali
@maryamalli9090
@maryamalli9090 Жыл бұрын
Tatizo la alfattah hawaweki namba za mhojiwa binafsi ili tuwasaidie moja kwa moja nadhani wanaweka namba za taasisi na sisi hatulihitaji Hilo tunataka ziwekwe namba za mhojiwa asaidiwe
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Duh, jmn tujitahd kutoa
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Huyu ndie wa kusaidiwa wakata hifadhi watu wana majumba makubwa,wanakula wanashiba mayatima wanadharaulika dhambi kubwa hatar hii
@khaleedsaid4997
@khaleedsaid4997 Жыл бұрын
Yarabwafanyiewepesi
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Waislam muko wapi waislam sote ni swa na mwili mmoja jamani , waislam tunaojiweza ki uwezo , tutokeni tuwatafute wasio jiweza , sio wasio jiweza kutafuta wanaojiweza
@nassorfeisal3853
@nassorfeisal3853 Жыл бұрын
Namba ya simu ipo wapi
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Kwani siku hizi skuli za serikali kujiandikisha mpaka utoe mapesa siyo bure tena.
@smina8226
@smina8226 Жыл бұрын
Kuna huduma za pesa kidogo
@tabiamohamed4971
@tabiamohamed4971 Жыл бұрын
Namba namba yake ya simu
MUME AMTESA NA KUMTELEKEZA NA WATOTO NANE (8)
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
SIRI NZITO YA QUR’AN YAFICHULIWA CHINI YA MTI NA MTOTO ASIYEONA
8:34
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
WANAUME RUHUSA KUOA WAKE WANNE MKITEKELEZA HAYA (HUBBUL HALAL)
18:45
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,1 М.
PEPO YA MWANAMKE NO: 01 ( RADHI ZA ALLAH ZIPO KATIKA RADHI ZA MUME )
5:14
Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
7:13
ZIPA TV
Рет қаралды 6 М.
AMELAANIWA MWANAMKE ANAYEJIPAMBA KWA MAPAMBO HAYA
16:11
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,5 М.
YATIMA SABA WANUSURIKA KUMEZWA NA CHATU
7:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
DUH! BAKHRESA BALAA | ANGALIA ALICHOKIFANYA KATIKA HOTELI ZANZIBAR
5:49
NAMNA YA KUREJESHA LADHA KWA MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA
17:08
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,4 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН