Nauliza Walimwengu - Night Star

  Рет қаралды 20,649

Tamu za KALE

Tamu za KALE

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@uzuriwabure6204
@uzuriwabure6204 3 жыл бұрын
Mwanaharakati mambo bado vitu vingi bado mzee jagwa Yohana , buti kubwa chepi mama, atomic zaina, sauti jabari
@shemsakessy9592
@shemsakessy9592 4 жыл бұрын
Maashallah nice voice ya babangu mzazi haidari kessy Allah amtunze
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
Noma sana!
@dullahmmebela5624
@dullahmmebela5624 2 жыл бұрын
Amina!!!
@mzeemudy8905
@mzeemudy8905 5 жыл бұрын
Watoto wa Kariakoo wananikosha sana
@iddykhamis4722
@iddykhamis4722 3 жыл бұрын
Mziki huu unanikumbusha mbari sana timu hiyo ya mkwama shapu hapa kuna alfani wamizoga.misondo mussa guruwe hapa kuna kinyusi.corasi haidary kessy. Hapa kuna Addy boy hatariii tupu nnapanga langu mgongoni maisha story ndefu mwenyezi mungu hawaweke mahara pema peponi ameen
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Hatari kaka. Wakati haurudi nyuma!
@dullahmmebela5624
@dullahmmebela5624 2 жыл бұрын
Ameen!!!
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Sio mchezo kaka,ilikuwa hatari sana . pa1.
@mzeemudy8905
@mzeemudy8905 5 жыл бұрын
Hard boy alitulia sana kwenye kinanda
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Huyo sio mtu bali jini!
@NabiiMullah-fk4rs
@NabiiMullah-fk4rs 7 ай бұрын
Daaaah leo nimerud zaman sanna hisia zazaman
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Asante sana Kaka , aisee Hatari sana 🇹🇼
@selemanimtowa1066
@selemanimtowa1066 3 жыл бұрын
Kaka naomba utuwekee ngoma zote za Urahibu buti kubwa kama vile chepi na nyingine nyingi chini ya kinanda cha Issa kihange
@muddysangaraza7963
@muddysangaraza7963 3 жыл бұрын
Amanii kwako mkuu
@mzeemudy8905
@mzeemudy8905 5 жыл бұрын
Kaka leo unafanya siku yangu iwe nzuri
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Hahahahahaha
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Kuna ile mrema fagio la chuma night star muddyb simchezo
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Ipo kaka... Icheki humuhumu kwangu nimeiweka!
@alliwazir1767
@alliwazir1767 5 жыл бұрын
Enzi za Commando yosso
@mussamalugu1793
@mussamalugu1793 5 жыл бұрын
Yani kamkubwa ukituwekea buti kubwa utakuwa ushamaliza mchezo nakubali sana harakati zako
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Pamoja mwamba!
@selemanimtowa1066
@selemanimtowa1066 3 жыл бұрын
Buti kubwa chepi isabkihange kwenye kinanda
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 3 жыл бұрын
Enzi zetu mtaa wa kibambawe ndani ya kalikoo du kama juzi kweli miaka inakatuka
@athumaniathumani3082
@athumaniathumani3082 2 жыл бұрын
Anahitwa baba shemsa, au Ahidari kesi,
@athumaniathumani3082
@athumaniathumani3082 2 жыл бұрын
Kisi kwenye ubora wake Enzi hizo Jiji la Dee salami , Asikali mwamba mama shapu , Alo Atali sana , ya duna, eti Leo, cngeri Ina tamba, uuhaha mziki auchuji,
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Kunaile ya mrema fagio la chuma night star muddyb
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Ipo kaka... Icheki.. NIliweka kitambo tu!
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Safii night star haidari kesi simchezo kipindi hiki
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Hivi bado yuko hai? Kama una namba zake naziomba kaka...
@abdallahcooper3111
@abdallahcooper3111 5 жыл бұрын
Haidary yuko hai ila umepata stroke yuko Buza
@shemsakessy9592
@shemsakessy9592 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale .na Mimi ndo mwanae naitwa shemsa haidary kessy
@shemsakessy9592
@shemsakessy9592 4 жыл бұрын
@@abdallahcooper3111 nimekumbuka mbali
@shemsakessy9592
@shemsakessy9592 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale 0717276341
@mzeemudy8905
@mzeemudy8905 5 жыл бұрын
Sijui yuko wapi huyu jamaa siku hizi
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Ntafuta habari zake...
@nassorolikoko9191
@nassorolikoko9191 5 жыл бұрын
Watafute kk maana nawapenda sana night star
@mohamedmakwega4594
@mohamedmakwega4594 5 жыл бұрын
Tufanye harakati angalau Siku moja I we maalum ya mchiriku.
@zainabumohamedy6131
@zainabumohamedy6131 3 жыл бұрын
Buza
@zainabumohamedy6131
@zainabumohamedy6131 3 жыл бұрын
Buza
@zainabumohamedy6131
@zainabumohamedy6131 3 жыл бұрын
Nimelia
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Pole sana jamanI!
Hujafa Hujaumbika - Night Star
6:10
Tamu za KALE
Рет қаралды 12 М.
Mwanangu Kalawa - Night Star
7:25
Tamu za KALE
Рет қаралды 21 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
Mchiriku | Omari Omari | Beach Boy
7:42
Simulizi za Mwanaupwa
Рет қаралды 31 М.
MADILU SYSTEM - Sansa Ya Papier
15:07
Kegnaste
Рет қаралды 13 МЛН
Akaddingano Super by Fred Ssebaale ft Irene Nakitto
8:29
Kimuli Joel Kadongo Kamu's finest
Рет қаралды 1,1 М.
Tukacheze - Night Star
7:00
Tamu za KALE
Рет қаралды 8 М.
MBARAKA MSHEE-moro jazz
5:02
MAKINYA TV
Рет қаралды 56 М.
Kondakta
9:55
7 survival - Topic
Рет қаралды 1 М.
Maya - Mafumu Bilal (RIP)
8:55
Tamu za KALE
Рет қаралды 11 М.
Candidat Na Biso Mobutu - Luambo Makiadi & le T.P .O.K. Jazz 1984
19:32
AboubacarSiddikh
Рет қаралды 4 МЛН
Mtaa wa Kongo - Night Star
7:00
Tamu za KALE
Рет қаралды 15 М.
Easy man Kasoro wewe 1)
4:45
jackson david
Рет қаралды 196 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН