Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web... Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali
Пікірлер: 150
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Ukisikia wasanii wenye sound ya kimataifa kutoka Tz ndio Hawa sasa! Ogopa matapeli! Hawana kiki Hawa Ila mambo yao ni makubwa Sana! Kimziki na kimaisha! Safi Sana! Low key Ni Siri ya mafanikio!
@eliaskalinda7007 Жыл бұрын
Wenyenazo sio kwamba wanazipenda ila wabongo wenyewe ni wanakiki ndio mana wanajifanya hawawaoni #NavyKenzo walivyo wakubwa wanafatilia harmorapa kauza kidole kanunua gar na Zuchu anapanga nyumba kali sio kujenga siku wakijua hupendi huo ujinga hawakufatilii mana hata watanzania asilimia kubwa wanaishi ivo
@LizenMaker Жыл бұрын
Da Navy Kenzo wanakipaji sana, kwangu naweza kusema Africa ni favorite artists number 1 kwangu maana wanajua Sana.
@blackyoungmaestro Жыл бұрын
Wabongo hawajui tu, these guys are a national treasure
@eliaskalinda7007 Жыл бұрын
Woooow let be our responsibility to let em know too oky ur so woow
@betridarashid3395 Жыл бұрын
Nakubaliana na wew 💯
@A1x2real Жыл бұрын
I wish the could represent kenya they would be the best duo in Africa
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Yaani to me this is a shock...zaidi ya kuwa notice na kuwapenda kwenye "KATIKA" wakiwa na Diamond, yaani interview na Muziki wao umenipa shock! Niko Spotify full blast tangu jana usiku na asubuhi hii nikicheza album yao! Hakuna wa level yao Tanzania 🇹🇿...I can bet my soul! Yaani competition yao ni Africa na bado huko itakua shughuli ! Big up sana beautiful couple 💞 💙 🧡💕 JKK 🇨🇦
@2116-n Жыл бұрын
Nime-like kabla hata yakusikiliza, nawajua hawa, hawanaga Mambo hovyoo Wala jambo dogo
@officialkingperfect26 Жыл бұрын
For sure any artist akisikiliza this interview anachakujifunza. This my best since this year Start
@samniza1763 Жыл бұрын
I love this interview so much, talking to real people.
@pillayeriko1192 Жыл бұрын
i just love aika kwa jinsi anaongea vitu you can tell anaeza kua manager mzuri wa msaniii🔥🔥🙌
@issrahayattv1356 Жыл бұрын
This the international people in Tanzania n hawaringii love them alot 🇰🇪🇹🇿❤️ zero kiki full talent period
@hamadiayoub Жыл бұрын
Hawa jamaa ni mindful,hardworking &talented..tuzidi kujifunza tu # Navymob❤🫶🏿🙌
@mckandi12 ай бұрын
Walai there is a reason why I love NAVI KENZO these people are smart
@macdee_tv7622 Жыл бұрын
treasure these guys wapenzi wa mziki mzuri...good music for good people
@ayrunyjtayruny279 Жыл бұрын
Estou adorando este entrevista 🇲🇿nawapenda Bure Navy Kenzo
@mirabelle174 Жыл бұрын
I love how humble they are!!❤️❤️❤️
@maramara5621 Жыл бұрын
Hongera❤️🇰🇪shule ya robot kila moto watoto vijijini wanajua kutengeneza vijigari vya wire au vidoli vya nguo au Ganda la ndizi
@tobicongimelil7573 Жыл бұрын
These guys are very smart,they know what they are doing!!,
@FocusNewsTanzania1994 Жыл бұрын
Very good interview. This guy they know the real music marketing. hongera Uso wa mbuzi kabunyau. Sky baba cameron
@stevewanga957 Жыл бұрын
am from 🇰🇪🇰🇪 hawa jamaa huaga nakubali....sema Bongo wanachukuliwa pouwa tu
@josphatthuo7105 Жыл бұрын
Sky this guy's know where the money is in the music industry big up navy kenzo
@osteenngowi5440 Жыл бұрын
Dah...This guy's are humble.. Yan washikaji balaa
@thelomiart Жыл бұрын
Nimejifunza Mengi Sana kutoka kwa Navy Kenzo. These guys have energy. Real Energy
@gladDaniel-z2z5 ай бұрын
Nawapenda sana ❤❤❤❤
@halimakindamba4883 Жыл бұрын
Love love this Conversation..100% Genuine
@DeboraJulius-w4b22 күн бұрын
I got the idea of coding and robotic schools
@UgandanAllstar Жыл бұрын
I AM RE WATCHING THIS THE SECOND TIME NIKIWA NIMETULIA..... BONGELLA CONVERSATION LENYE DEPTH
@mirabelle174 Жыл бұрын
MOST PEOPLE WANT THIS,🥳🥳❤️
@omaryleonard4264 Жыл бұрын
Mahusiano yenu ni somo tosha Mungu aendelea kuwafanya bora
@letisiamakonda3873 Жыл бұрын
Yaani hawa jamaa ni balaa
@teophilletus8969 Жыл бұрын
Mko vizur ila nakushaurin kuen makin mkifanyiwa enterviews heshimianen mnatuchangany mnapokua mnajibu na kuongea wote kwa pamoj peaneni nafas yakua mud huu anazungumzia huyu mud mwingn anazungumza mwingn na na presenter mnakua mnamp direct nzur ya maswal kwa mmoj mmoj aaah
@rama-sa-4856 Жыл бұрын
Good conversations navymob 💪
@isaacuyera6906 Жыл бұрын
Bro I have done to listen your are album ,big up for talents ,I didn't expect like this on audio but is your sings
@eliaskalinda7007 Жыл бұрын
Wooooow glad for visuals done ❤
@samniza1763 Жыл бұрын
You can tell hawa ni wasomi hakuna kiki wala uongo wala machawa is just hard work, and be creative.
@issrahayattv1356 Жыл бұрын
True 💯
@ashminaabdulla8946 Жыл бұрын
Kweli ❤️❤️❤️🔥🔥🔥💯🙏
@nyotamy3678 Жыл бұрын
Navy wameonyesha ushirikiano mkubwa sana kwenye hii interview.. yani Responding yao ukiicheki hapa ni noma.. alafu wanyenyelevu.🙌✊
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
Hizo Dolby, sijui Atmos hizo ni issues ya sound effects ambapo zaman tulizoe kuona radio/music system ipo na speaker ya kulia na kushoto yaan sterio..so unakuta kuna vionjo vya sound utasikia spika ya kulia na vingine utasikia spika ya kushoto. So mziki unaokua recorded kwenye sterio format yaan left and right ukichukua ukasikiliza kwenye music system ya 5.1 basi utakuta kuna spika kadhaa hazita ongea...so ikiwa ni channel 5.1 na ina Dolby or Dolby atoms na umeweka CD yenye hizo feature basi utaona unapata proper surrounding na kila spika inaongea kwa feature ambayo ilitakiwa isikike kwenye hiyo speaker specific..
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
🙌🏽kafanye sound engineering uko vizuri
@noelmarapachi1808 Жыл бұрын
Very good explanation, mtu wa kawaida anaelewa kirahisi bila complications
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
@@saidabdulkadirmjahid8255 thanks but nipo nafanya finance and investment kwasasa.. but hizi extracurricular ni passion kwakua i do pay attention to every little details when it comes to issues za technology. Mfano kwenye mziki mie sikio lipo vizuri kusikiliza quality..so modern sound technologies zimefanya usikikaji wa audio uwe advanced sana ni vile bongo watu tunakua nyuma ku adapt.. either ni taarifa au interest ai affordability...so mtu akiweka subwoofer ya sipeano anadhani ana mziki kumbe sio... Tafuta either proper hometheater kama Sony zile zinyewe na sio hizi LG zinazouzwa kariakoo, au Zile system proper zaidi kama JBL, Yamaha, ;Bose, Harman Kardon, etc na ziwe na Dolby atoms utaelewa mziki unatakiwa usikike vipi ..yaan ile clarity (Crystal clear sound) na sound effects zote zinasikika proper mpaka una enjoy...kama bass basi bass ipo deep na haina distortion yoyote at any volume, satellite speak zinasikika vizuri bila noise... (But all these come with costs, so ni investment inatikiwa ili upate hizi enjoyment or else siepiano subwoofer ina kuhusu.
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
@@tanzaniacarschannel6975 Still Uko Vizuri I always thought I have a good ear for a hit song only to realize how clueless I am when it comes to Sound ,you are so deep into the technical part of sound production Finance and Sound Production totally different sectors
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
@@tanzaniacarschannel6975 What exactly do you do Finance and investment kindly enlighten
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
All I can say is All the best Navy Kenzo You guys are amazing 🙏🏽
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Big Up to Skywalker as well...very knowledgeable hivyo maswali yako deep 👍🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽
@noelmarapachi1808 Жыл бұрын
The guy is so good, one of the best entertainment's Journalists
@samsonthomas-ep4mv Жыл бұрын
Nimesikiliza hii interview this guys knows alot kuhusu mziki
@jukwaalatech Жыл бұрын
Naombeni mnijibu please navy kenzo ni wasaniii wa Tanzania au naombeni mnjibu please
@wilsong520 Жыл бұрын
Tz ndio, wa kongwe kwenye game
@mirabelle174 Жыл бұрын
28:04 imenichekesha 🤣🤣🤣🤣
@eddybenah Жыл бұрын
Everyone loves this family ❤️🔥🙌
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Achaneni na wasanii Wabongo pigeni Collabo uko nawa Naigeria South Africa inakuwa Good sana
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
I love this couple...naona wako underrated kwa muda mrefu sana...Yaani ningependa wawe wangekua juu sana. Yaani hapa bado sijaisikiliza hii interview. Wishing them the BEST
@nyotamy3678 Жыл бұрын
Na jamaa wanapambana sana hawa, kutoa album sio mchezo... Wasanii wengi wanakwepa album 😁😁💪🏽
@itsbazil5787 Жыл бұрын
Eee katika kundi flan kuna watu lazima wawe wanaenda na njia flan kdg ya tofauti kwa lengo kubwa zaidi. Most people want😍💥💥
@ngwacahnyagwaswa9979 Жыл бұрын
Ukisikia wa kufanana naye basi ndo hawa nice couple to learn from
@The__Lords333 Жыл бұрын
Fans Mnawasifia Sana Kwa maneno, wasupportini na kwenye music platforms basi, ni wakali lkn hawapati support watu wanakua carried away na wasanii wanaopenda trends na Kiki. Navy Kenzo wako tofauti mziki wao ni wakimataifa lkn kwasababu hawa operate kwa zile kiki watu wanawapotezea.
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Safi Kwa kuliona hilo
@wilsong520 Жыл бұрын
Uko sawa.
@Trys6254 Жыл бұрын
Hawa jamaa ni zaid ya wasanii wakubwa mno nawakubali sana Hawa jamaaaa 🥰🥰🥰🥰
@timotv2099 Жыл бұрын
I like dis great group..
@eliaskalinda7007 Жыл бұрын
The album is really insatiable 🔥🔥🔥🔥🔥
@fobibook Жыл бұрын
Nawasikiliza spotify, Thanks for the vibes
@johnsamweli9088 Жыл бұрын
Imeanza Hold on alaf mkatupa nahiki kitu kizito kingine Dont let go🔥🔥🔥🔥🔥
@samniza1763 Жыл бұрын
I like this couple! they are really not fake like some.
@Anzunuly Жыл бұрын
Ila kigomaa like nying kwao👍👍👍👍
@mirabelle174 Жыл бұрын
Kigoma na muziki😂😂🙌
@herrymbishi9170 Жыл бұрын
Nawakubali sana wabishi mno no shobo kaz kaz tu hao respect
@elizabethsakina2306 Жыл бұрын
They so cutee together 😍😍❤️
@goldenjunior_tz Жыл бұрын
I appreciate them much 💪🐐
@hebronkibona6676 Жыл бұрын
Proffessional musician group
@chappagold Жыл бұрын
Classic 🔥🔥🔥💥💥💥
@idmpros Жыл бұрын
Nakubali sana mna mipango mikubwa sanaaaaa
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Jembe zangu hao niliwapikuu sana Na Dj brack coffe na dj subu anakubali
@GamechangerTz Жыл бұрын
Wako Vizuri ila kitu najifunza kila siku biashara ya Muziki na kuwa na kipaji cha Kuimba au kuchana ni vitu viwili Tofauti kabisa wasanii wanahitaji kujifunza ni namna gani unaweza tengeneza pesa kupitia sanaa yako na ikibidi wasiwe watu wa kutaka Kufanya kila kitu wao wawe na team za digital, distribution nk coz si rahisi kwa mtu mmoja kuwa vizuri kwenye ayo Maeneo yote you need a team as an artist ili Kuongeza ufanisi na kupata financial outcome nzuri kwenye art ya Msanii
@joesimba Жыл бұрын
28:04 hahah loved this part.
@JacksonDominicko17 күн бұрын
Nilicho gundua kwenye hi famiry mwanamke kidogo kiuchum yuko vzr kuliko mwananume ila mwanamke anamweshimisha mwanaume kwenye macho yawatu nakuwa aminisha kuwa mwanaume wangu ndio kila kitu nyumbani iyo nimeipenda sio kawaida kwa ma bint wa tabata
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Hawa jamaaa wanajuwa sanaaa
@AlksvJshd7 ай бұрын
❤❤❤
@VesoteTanzania Жыл бұрын
Amaizing
@mytelecom2019 Жыл бұрын
nice intervieuw
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Hawa pia wapewe Udokta wa heshimu kama ule alopewa Babu tale🤣🤣
@innocentchacky6126 Жыл бұрын
The guy is KiDi who did collaboration with Tyga
@lynusjacob6727 Жыл бұрын
Ting, madness, company,malizia na hy manzese choir ni kwere arifu
@Thegoldventure Жыл бұрын
Dahh nomaa
@ottiefx255 Жыл бұрын
My role models
@andrewsalmo-bq4hr Жыл бұрын
🔑👊
@samniza1763 Жыл бұрын
English we call it A Castle.
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
AWGE CAP BY ASAP ROCKY 🔥🔥🔥
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
Navy kenzo x Koffee could be lit🔥
@feisalmombo805 Жыл бұрын
Kiukweli wasanii wetu kama wameifatilia hii interview kuja kitu cha kujifunza kwenye uuzaji wa muziki kwenye digital platforms wanasomo kubwa sana hawa NAVY KENZO ni vile tu tunawadharau. Wanafahamu vitu vingi sana hawa ni lulu kwa taifa letu.
@selemanishabani126 Жыл бұрын
Navy kenzo
@IamTheStore Жыл бұрын
our national and international treasure
@festojuvenalis1656 Жыл бұрын
Oya nimependa vitu vingi kutoka kwao ila na pia heshima yao ni worldwide 🌏
@othmanmusilm Жыл бұрын
Moja ya wasanii wa kujivunia ni hawa.
@musajuma5364 Жыл бұрын
Wow hawa jamaa wako vzr sjui why wabngo hawapean michngo kama hii
@Joenanda493 Жыл бұрын
Shully on the track boe🔥🔥
@yonicdontah6392 Жыл бұрын
Harmonize nenda kawatafute hawa please
@iammaftah Жыл бұрын
Jina la hiyo shule wanaojifundisha robot na coding kwa watoto ni ipi?
@eddybenah Жыл бұрын
❤️❤️🙌
@johnsonelia221 Жыл бұрын
Izo ngoma ni atari
@brendamrema693 Жыл бұрын
Wakishua
@joesimba Жыл бұрын
32:25 "navy kenzo on record labels
@niceone9392 Жыл бұрын
Mm nimekuja apa kwa sabab ya SHULLY
@Odogwu9667 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Hawa ndy wasanii ninao wakubali nankuwaelewa hao wengine makelele mengi sanaaa
@Kevoo_18 Жыл бұрын
High IQ
@geoffreybasesa2015 Жыл бұрын
Mimi ni Mrundi na ninaswali, hawa wanaishi Bongo au SouthAfrica? Mziki wao international... i thought ni watu wa UG kipindi nawaona kwa mara ya kwanza.
@charliestyles5535 Жыл бұрын
bongoo
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Hawa jamaa wafanye kazi na con Boi halafu tu cheki itakuaje international????