Fix You: Mwanaume anayependa sana ngono amekosa sifa ya kuwa mume anayefaa - Deo Sukambi

  Рет қаралды 59,244

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@John-vn4pp
@John-vn4pp Жыл бұрын
Kuanzia 1:06:00 hapo amejichanganya sana. Unasema umempaje mtu mamlaka ya kukunyanyasa. Aondoke ushamzalisha watoto aende wapi. Aende wapi?? Hapo kwanini usizungumzie namna ya kusuluhisha. Hapo umepotosha sana😢
@AIMANAURONU
@AIMANAURONU Жыл бұрын
Nashukuru kwa masomo mazuri tunaomba mtuleteee masomo namna ya kuishi mume au mke aliyepoteza wazazi wote.
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 23 күн бұрын
Hapo big up, ke wengi wana taswira hizo azisemazo pastor Deo.
@bibishejuma2272
@bibishejuma2272 11 ай бұрын
Pst kweli mimi ninayapitiya nilisaidiya akanionasifai mpakapesayangu sijaiona ikowapi mungu atusaidiye wanawake
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Ngoja nifanye hitimisho,,,kama mwanamke anakila kitu kikubwa akiwa na dini na hofu ya mungu bila shaka atakupa nafasi yako kama mwanaume
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Thanks kwa kumrudisha,anaweza rudi tena na tena ikikupendeza 😉🇨🇭🇹🇿❤
@vulstanandrea523
@vulstanandrea523 Ай бұрын
Ni Kamreen na sukambi tena😊😊
@joycesethmwangonda8088
@joycesethmwangonda8088 Жыл бұрын
Topics zimekuwa nzuri sana,mbarikiwe sana I have learned alot.Lkn nina swali,je mwanamke anaweza kuzungumza na mumewake kuhusu mada hii?Au itakuwa mbaya kwa mwanaume?
@norahmajaliwa3841
@norahmajaliwa3841 7 ай бұрын
Wanaume walee watoto wanaowazaa
@gaddafimohd4129
@gaddafimohd4129 2 жыл бұрын
👋👋👋 Ndio tunazidi kusoma day by day.
@puremagic633
@puremagic633 Жыл бұрын
Nimekuta maswali yangu yamejibiwa vizuri na Pastor Sikambi tena ni maswali ambayo yalikuwa yananitatiza kwa muda mrefu sana asante Dada Irene kwa kutuwakilisha vizuri kupitia maswali 🙏🏾🙏🏾
@lumbawenichimalilo1086
@lumbawenichimalilo1086 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi. Ila kupangiwa matumizi ya pesa yangu.hiyo nooo.not now.
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 23 күн бұрын
Airine unaona au unayasoma hayo madini toka mr Deo pastor, mentor, Author and Counsellor?
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Wapo wanaume ukiwasaidia wanajua kuregesha wema kwa kweli, yaani sio wote
@simonpeterz9179
@simonpeterz9179 Жыл бұрын
Shukrani mchungagi je swali langu ni ivi ikiwa mwanaume alikau na kanzi akaja kaipoteza. Sasa Hana uwenzo waku mdu jamii ni vimbaya kusaidiwa na mke wee
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 Жыл бұрын
Ahsante sana nimejifunza ambavyo sikuvijua.
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Tatizo wanaume wengi wa sasa wamesahau majukumu yao mwanamke kila kitu unafanya mwenyew utaacha kupambania maisha na family
@azizakombo376
@azizakombo376 Жыл бұрын
Yaan kka nikupe hongera mashallah mashallh uko vizuri kila swali upo sahhi
@vicknessngenzi6146
@vicknessngenzi6146 Жыл бұрын
very helpful japo tunatamani sana Dr. Ellie aje plzzzzzz
@zainazaina8711
@zainazaina8711 Жыл бұрын
Asante Sana umenigusa kabisa hapo ulivyo uliposema mwanaume akijufanyia matukio kukusaliti na na mpaka kuzaa nnje ndio yanitokea kwa SASA mm hata simpendi na hata nikijitadi moyo hautaki kabisaaaaa
@kitengealmas4085
@kitengealmas4085 Жыл бұрын
Pole mimi pia ni kama wewe ni kujipenda wewe mwenyewe
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 23 күн бұрын
Mm sikuchukii, ila nafurahi pamoja nanyi hapo mtandaoni.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Kipindi kizuli sana,,kiendelee Ili tujifunze Zaid,, innshaala,
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 2 жыл бұрын
Thanks Irene for your content
@sharifamohammed9955
@sharifamohammed9955 2 жыл бұрын
Please elaborate more kuhusu wanaume waliolelewa na mama zao tu. Nineipenda hio topic. I have a guy who is been raised by a single mother, I do really wanna know him in deep.
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
Asante Sana nimejifunza mengi
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 2 жыл бұрын
Asante sana dr nimejifunza mm pia muhanga ktk hilo
@baby16mariki48
@baby16mariki48 Жыл бұрын
Asante kwasomo zuri,
@elizabethoigoro1937
@elizabethoigoro1937 Жыл бұрын
I'm totally satisfied
@mercykabuu2411
@mercykabuu2411 Жыл бұрын
Mawaidha mazuri kweli@🇺🇸🇰🇪🇰🇪🇰🇪💘❤️
@adamj9723
@adamj9723 2 жыл бұрын
Fix you muko vizuri. Sukambi ni mtu na nusu endelea kutuletea.
@latifahud4336
@latifahud4336 Жыл бұрын
Baadh ya vitu ni sahihi,lkn sasa mwnamke mnamshusha sanaaa aiseee
@hedayajamada7039
@hedayajamada7039 Жыл бұрын
Kipindi kizuri sana. Nimevuka sana. Mungu awabariki.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mchungaji mungu akubariki,weka no yake
@bonamaxnicholauskopatu1188
@bonamaxnicholauskopatu1188 2 жыл бұрын
hilo ni kweli kabisa 100%mood change .kiburi.kisasi hashauliki.yupo sahihi wakati wote.msamaaa haombi.usikiliza mama yake na mume kuwa muathirika .single parent (mother)wao ni wabahiri ila wanapenda kutumia mali za wengine hata kama anawazidi wengine
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Nimefalijika Sana nimejifunza mengi,Niko bukoba naomba no zenu,nawalea watot oeke yangu,
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 жыл бұрын
Aaa,kumbe ndo maana!!!!!!!.
@lesusi7872
@lesusi7872 2 жыл бұрын
Asante kwa kumrudisha
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 Жыл бұрын
SAwa menoyako baba doo chariya za dini zowote niha unasema ndiyoukwe
@bisibozuberi4727
@bisibozuberi4727 Жыл бұрын
Umenigusa Irene!!!
@superstuwart2434
@superstuwart2434 2 жыл бұрын
Imagine mwanaume mmoja anasema matwaka ya wanaume wote wa duniani. Ni hatari sana. Swala la ngono ni hisia za mtu anaweza asipende ngono na pia akawa sio mume sahihi na akapenda ngono akawa mume sahihi na pia anaweza akawa kwa namna anayosema. Ndoa haina fundi kamwe. Tunawajua watu makahaba na wana miaka 20 ya ndoa saivi na tunawajua watu wema na hawakuweza kukaa hata miezi miwili kwenye ndoa. Mfano mzuri billy gates ndoa imemshinda ila amber rutty bado yupo kwenye ndoa. Ndoa ni mtihani mkubwa sana na hauna fundi kabisa
@gabrielmshiu6719
@gabrielmshiu6719 Жыл бұрын
Lakini hapa hazungumzii ufundi wa kukaa kwenye. Anazungumzia kanuni. Usipozingatia kanuni fulani, katika Jambo lolote lile, na ukafanikiwa, haina maana uko sawa. Mfano, meza hizi dawa siku 5. Wewe ukameza siku 3, na ukapona. Haina maana uko sawa. wala haimaanishi hii kanuni ya siku 5 ipuuzwe.
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Kweli kabisa nakuunga mkono
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 2 жыл бұрын
Shukran kun vit najitunza San
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
Mbona me napenda sana lakin mwanamke tofauti na mwanamke wangu naona kinyaa naona kama anakuwa mchafu hv mana nimemzoea mke wangu msafi sanaa na napenda sana kumfulia nguo zake za ndani yani nazipenda sana ila kulala na mwanmke mwingine yani kwanza nakosa amani afu nakuwa na stress so muda mwingi nakuwa namke wangu tu now tuna miaka mitatu
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 жыл бұрын
tabia uliyonayo ni kama mimi tu, labda kwa vile na mimi naitwa Adam
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
@@adamdaudi6191 ukimpenda mtu anaekuelewa raha sana
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 2 жыл бұрын
MUNGU azidi kukupa upendo ktk ndowa yako jmn
@antusajoseph9360
@antusajoseph9360 2 жыл бұрын
hongera upo machuaf
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Lait mkeo Ange ya sikia hayo angejivunia wewe ! Maisha yake yote hongera Sanaa Adam kwa ku mheshimisha mkeo
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 2 жыл бұрын
Kwa kiasi chake the man speaks reality kwa mnaobishana someni kitabu kinaitwa men are from mars and women are from venus 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️ mtanishukuru baadae go and read psychological differences btn women and men
@rogath_silayo
@rogath_silayo Жыл бұрын
Nimekisoma nikiwa na miaka 17 nakumbuka niliona suggestion kutoka kwa mwanasaikologia wa MWECAU. Christian Bwaya... Kitabu NI kizuri sana. Mtu akikisoma ataelewa mengi Sana.
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 Жыл бұрын
Hao wanaume wa kukulisha, kukuvisha wako wapi? Kwenye Chumi zetu hizi za Africa wanaume wana-struggle na kutoboa ni ngumu sana je swala hili sijui unalichukuliaje. Hapo ndo mmependana na mmeoana. Huko makanisani ndo wamejaa wasio na kazi wala biashara, na wakifika umri wa kuoa ndo hao wanatia tabu tupu cause hawa kipato cha kutunza familia. Utakuta binti kabla hajaolewa alikuwa vizuri sana wakati yupo kwa wazazi wake, akiolewa tu anaanza kuchujuka.
@valentinadaud5122
@valentinadaud5122 2 жыл бұрын
Kaka upo sawa mm ninaomba msaada
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 23 күн бұрын
Kwa kweli wewe mtangazaji nakupenda kwa utangulizi wako huo bomba.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
This man talks facts
@MonicaDedu
@MonicaDedu Жыл бұрын
Madini ❤️
@leahwambui5608
@leahwambui5608 Жыл бұрын
Hii imenisaidia
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 Жыл бұрын
Hiyo 7.59 sidhani ni kweli, wanaume wenye uwezo wa kifedha au kibiashara ni wachache sana wakitokea 2 wanagombewa kama mpira wa kona
@BizimunguAdolphe-vp7xp
@BizimunguAdolphe-vp7xp 10 ай бұрын
Good man💪
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 жыл бұрын
Bas acha nibaki single niish maisha yangu ambayo nataka maana ni kweli unakuwa na mtu anaona unapambana unapanga mambo yako ya msingi mtu yansonga kias chake mtu anakupa mashart kibao daah mapenz na mahusiano jaman Yana mambo mengi 👐👐
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Hapana dear uwezi kusema ubaki single huo ni uongo isipokuwa haujapata bahati ya kupendwa the problem is unapendaga ambao sio size yako ndomaana inatokea kutendwa ila ukimpata wa ndoto yako utainjoy
@VailethVedastus
@VailethVedastus 11 ай бұрын
Wanaume wengi wanakwepa majukum Yao na kupenda anasa
@joniajohn4716
@joniajohn4716 Жыл бұрын
Very deep
@abelasilas8302
@abelasilas8302 Жыл бұрын
Da Irine nakupenda ❤️😁
@irenekamugisha
@irenekamugisha Жыл бұрын
Nakupenda piaa
@mdubashella2913
@mdubashella2913 Жыл бұрын
Nimependa hoja za malezi ya watoto, ni kweli kulelewa na mzazi mmoja kuna athari sana katika maisha ya baadae. Lakini hata kulelewa na baba na mama wenye migogoro isiyoisha tena na watoto wanajua inaharibu maisha ya baadae ya watoto
@kitambaramafuru1142
@kitambaramafuru1142 6 ай бұрын
Nikweli. Mungu. Atusaidie
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 2 жыл бұрын
Asanteni sana
@rayahamisi118
@rayahamisi118 11 ай бұрын
Ongeza sauti maana wanataka kulelewa mimi ndio maana nipo mwenyewe
@mamanabii_online5491
@mamanabii_online5491 Жыл бұрын
Naomba namba za pastor deo tafadhali
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 Жыл бұрын
Yaani kabisa 🤝
@joneshelberth1025
@joneshelberth1025 2 жыл бұрын
Samahani! Hivi huyu Pastor Deo, o'level hajasoma Makuyuni Boys (Monduli - Arusha) kweli?
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 Жыл бұрын
Deo Deo Deo nimekuita mara tatu ujue hayo mapenzi ya tv ndio Meng na ndio yanasabisha mahusiano Meng kuvunjika
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 2 жыл бұрын
Shukran kwa muendelezo
@naomienana1412
@naomienana1412 Жыл бұрын
Nakusikia asili mia mia asante pasta
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Masanja Mkandamizaji alisema mwanamke wa nini anajua kila kitu magrupu yote yupo timu zote za mpira anajua la Wambeya waliomkana Yesu wanaupatu yupo Mwanamke huyu wa nini?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
@irene kamugisha nakuelewaga sana,natamani ningebahatika kupata rafiki kama wewe
@omarmahirizi-km8dc
@omarmahirizi-km8dc Жыл бұрын
Huyu mwalimu ni moto sana
@markoghambi4176
@markoghambi4176 Жыл бұрын
Vitabu vyake vinapatikana wapi Na title zake
@neemabaker3738
@neemabaker3738 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana🇹🇿🇺🇸
@mussaathumani7595
@mussaathumani7595 11 ай бұрын
Nani Kuanza kuuliza tendo ya ndoa?
@haskao77
@haskao77 2 жыл бұрын
Wsnawake Kupenda bad boys hiyo ipo tangu enzi kabla ya Google/social media, good giys wanaitwa boring. Wanapenda wanaume wanaowapa hekaheka
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 2 жыл бұрын
Watu if they are single not when they are married
@amissinzeyimana6944
@amissinzeyimana6944 Жыл бұрын
ebhana huu jamaa namkubali kinoma yani niseme tu tumekuelewa vizuri sana
@lucyemichael7814
@lucyemichael7814 2 жыл бұрын
Kipnd pendwa 🌝
@gracenizigama695
@gracenizigama695 2 жыл бұрын
Nikweli lakini mwanaume wa hivo lazima umkimbie
@sarahkimaro857
@sarahkimaro857 2 жыл бұрын
Classmate deo nengung'u primary
@mariamabdulazizi7987
@mariamabdulazizi7987 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa kipindi hiki, mm ningependa kushauria sababu naona Leo aneningusa Sana tu, kwanza nililelewa na single parent ambaye ni mama Kisha nikaja nikaolewa na mume ambae alininyanyasa vibaya Sana nitasema I have sexaul trauma coz sahi naongopa Sana uolewa Tena napia kwa hivi Sasa nalea watoto wangu mwenyewe nahofia wanangu Kuja kupitia the somethings nimepitia n, nifanye nini ili nilee wanangu kwa malezi yalio bora?
@bonamaxnicholauskopatu1188
@bonamaxnicholauskopatu1188 2 жыл бұрын
pitia hizo comment zicopy na jitahidi kuzihishi kwa kuyaepuka yanayokuletea uanga
@nsiadawson7633
@nsiadawson7633 Жыл бұрын
Bado haujaelewa somo ww
@billmkushi849
@billmkushi849 Жыл бұрын
Mtumikiye Mungu, vunja laana kuanzia vizazi 3 vilivyopita na wewe Cha 4. Maana ukiona umelelewa na single mum, wewe single mum huenda ni suala la spirit ndani yenu. Fanya jambo! Msilaumu waume zenu! Wasamehe
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 Жыл бұрын
Jitahidi upate therapy maana Hilo ni tatizo la kisaikolojia so unaweza mtafuta pastor mwenyewe atakusaidia
@thomsanga7956
@thomsanga7956 2 жыл бұрын
Tunamuomba Dr. Ellie jamani!
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 2 жыл бұрын
Sure👏👏👏
@kennethmichael5758
@kennethmichael5758 2 жыл бұрын
upo kwenye akili YANGU...sijawahi kuona mtu kama Dr. Ellie...he is the GOAT
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asanteni sana.
@benedictsanga6149
@benedictsanga6149 Жыл бұрын
Pastor amebarikiwa na Bwana
@saidatyusuphu849
@saidatyusuphu849 Жыл бұрын
Mashallah kipindi
@PENINAMORORO
@PENINAMORORO 11 ай бұрын
Asee huyu mwamba kaongea ukweli
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 2 жыл бұрын
Hata mm nilioa mwanamke wa aina hiyo. Nasikitika kuona tunaenda kupeana talaka soon. Naumia ila sina namna inabid nikubari yaishe
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Usikate tamaa,hope Moto wa kutulia kwanza uone uko lazi kutoa taraka au ni msisimuko?
@chrissg4026
@chrissg4026 6 ай бұрын
Je mlifunga ndoa? Kama mlifunga ndoa piga goti Mungu atam'badilisha!
@zawadianagabriel9768
@zawadianagabriel9768 2 жыл бұрын
Daah fact jamani Hadi bac
@latifahud4336
@latifahud4336 Жыл бұрын
Kwa mantiki hyo waume n waoga
@margaretm5070
@margaretm5070 Жыл бұрын
Suffered because of man who was threaten because of my level of way of thinking and achieving leveled his education and formed company & instead of supporting my dreams he decided to sleep with women regardless of legal (marriage 20yrs marriage), not one but couple of them. Ambitious Women dont get married to thick headed men
@beatricewerimo1719
@beatricewerimo1719 Жыл бұрын
Nilikuwa zuzu Sasa hivi nimefunga macho Kwa mambo mengine,,. shukurani... but nyinyi watu si kila mawaidha kuweka akilini utapotea bore changua ya maana
@stelambezi9971
@stelambezi9971 Жыл бұрын
Dada nisaidie kuuliza kwenye kipengele Cha mawasiliano na mwanaume Kuna watu wanaosema mwanaume anaekucheck every time anakuuliza kila saa upo wapi na mwanaume ambaye anakaa anakuja kuwasiliana na wewe baada ya kipindi kirefu let's say miezi mitatu au minne and your in distance relationship, yupi ni sahihi?
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 2 жыл бұрын
Naaam kweli yaan
@priscangimba6194
@priscangimba6194 Жыл бұрын
Leo kipindik kipo vizuri saana namwomba tena
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Bayo mtoto wa mwanajeshi amelelewa na mama peke yake tusisahau
@dayakaahtz
@dayakaahtz 2 жыл бұрын
Haya ngoja nisikilize
@mhabimina4023
@mhabimina4023 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👌
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 2 жыл бұрын
Single and whole
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 Жыл бұрын
Nadhani ukisimamia sheria ya ndoa siyo kila sheria ni nzuri kama wanawake wameshikilia njia kuu za uchumi wao ndio mawaziri makatibu wakuu wabunge na maraisi hawa watu fedha zao zitatumika wapi
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ukiweka pesa kwenya account zinaweza fika hata million 300 huku unadai mume akuvishe, basi kama ni hivyo wanawake asilimia zaidi ya 50 wangekuwa wanavaa nguo kuu kuu.
@chrissg4026
@chrissg4026 6 ай бұрын
Mwanamke anayejitambua kama kaolewa na mwanaume anayejitambua anatakiwa kumpa mme wake mamlaka ya namna gani hizo pesa zitumike! Mwanamke atatoa ushauri kulingana maamuzi atakayokuwa anafanya mme! Kwa mwanamke anayejitambua wala hili siyo tatizo! Ila kwa wengine wataona hii ni kama unyanyasaji! Angalizo: hapa lazima mwanaume awe anajitambua vizuri! Asiwe mwanaume ambaye ni m'binafsi au mlevimlevi huko!
@SonySony-hx5yd
@SonySony-hx5yd 2 жыл бұрын
Nmekukubli dada namchungaji
@yusuphkidoto6766
@yusuphkidoto6766 2 жыл бұрын
Hiki kipindi nilikuwa nakichukulia poa sana asee kumbe bonge la kipindi
@kutailass6671
@kutailass6671 2 жыл бұрын
Kuna tabia zinyingine kutoka Kwa wanaume yaan ukiingia Nae Kwenye mahusiano hupenda sana kutumiwa Picha Za uch na Unakuta Kweli Mwanamke anania YA kuolewa na hapend kujidhalilisha Sasa inapotokea kumnyima Picha hizo mnagombana NA inafikia kuachana Sasa hii nayo imekua tatizo Kwa Upande Wa Wanawake Jamani hii nayo tutasovu vipi hili tatizo? ningeomba usaidiz Wa hili, Maana nitatizo sana
@marcomandari
@marcomandari Жыл бұрын
Hivi unamtumiaje mtu picha yako ya utupu wewe utakuwa una akili kweli
@upendoloondokalembekela7748
@upendoloondokalembekela7748 Жыл бұрын
Usimtumii na uachane naye maana Hana lengo nzuri na wewe, that is the principle
@AverinaShirati
@AverinaShirati Жыл бұрын
Badaye atakudhalilisha
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 23 күн бұрын
Single parenthood, ni tatizo sana kwani kimsingi, malezi ni ya wazazi wote wawili yani baba na mama, kwn kila mzazi ana jukumu lake maalumu, natural ones.
@dikodikson559
@dikodikson559 2 жыл бұрын
Mlete tena
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri
@stellarunyoro9167
@stellarunyoro9167 2 жыл бұрын
Vitabu tunapataje?
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 2 жыл бұрын
nyinyi danganyaneniiiweeeee mkimaliza huoupuuz mkalale
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 2 жыл бұрын
Wewe ndio ukalale au katazame mpira
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Pole Sana,aaaaah
@zawadianagabriel9768
@zawadianagabriel9768 2 жыл бұрын
Mmmh we unashida!!
Aina 5 za Wanaume kwenye Ndoa | Uponyaji wa Familia | Deo Sukambi
1:00:36
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
Fix You: Ni Bora Mwanamke akosee kuolewa kuliko Mwanaume akosee KUOA!
1:03:55
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,7 М.
SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI
55:00
Deo Sukambi
Рет қаралды 49 М.
TOFAUTI YA MKE NA MSAIDIZI | DEO SUKAMBI
53:50
Deo Sukambi
Рет қаралды 6 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН