NAY WA MITEGO AFUNGUKA SABABU ZA KUJITOA TUZO ZA MUZIKI BONGO, AMTAKA FID Q KUJIUZULU

  Рет қаралды 33,944

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@GaudenceRaphael
@GaudenceRaphael 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea Facts tupu anajua Sana ndo maana Marehemu Dr.Magu alimkubali akamuita White House 🏠!!
@jameschilongo4975
@jameschilongo4975 2 жыл бұрын
Namkubari mwamba
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 2 жыл бұрын
Ney me nakuwelewa sana upo very fact ✍️ br ya uwoga point of view
@tabureykobaba6955
@tabureykobaba6955 2 жыл бұрын
Big up sana.
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 жыл бұрын
Ney ni mtu poa siwezi kuishi kwa sababu ya watu nampenda Sana uyu jamaa ajui kunyenyekea mtu🔥🔥
@doreenkaiza9930
@doreenkaiza9930 2 жыл бұрын
Mungu ame kubaliki sauti kaka
@muafricaog5273
@muafricaog5273 2 жыл бұрын
True boy
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Free nation 💪. Huyu ndio msanii anayeelimisha jamii kuliko wasanii wote tz. Maana mwananchi ambaye ni kama tabaka tawaliwa linaloonewa. Tena bila kujali makundi au viongoz ambao ni tabaka tawala pind wanapotumia madaraka vibaya kwa kumkandamiza tabaka tawaliwa la chini/mwananchi. Wasanii wengine wapuuzi wanasifia2 hadi yasiofaa kwa tabaka tawala kwa ajili ya maslahi tu. Wamesahau kwamba kazi ya msanii ni kuisemea jamii.
@binhabib5949
@binhabib5949 2 жыл бұрын
Namkubali saana huyu jamaa ni kweli kabisa Hana matabaka
@antonianyambuka4860
@antonianyambuka4860 2 жыл бұрын
Point
@abdyridhiwan8779
@abdyridhiwan8779 2 жыл бұрын
True bway
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 2 жыл бұрын
Media zinapromote bifu wanadhani wanakuza mziki.The real Fid q
@luciajohn2395
@luciajohn2395 2 жыл бұрын
Umeona eee fdq Alisha sema kitambo
@kelembumolel8638
@kelembumolel8638 2 жыл бұрын
Big mind brooo
@emmanuelmajura5054
@emmanuelmajura5054 2 жыл бұрын
Brother nay tunakuelewa unacho imba sana, ucje kuwa kama Kala jeremia tunamuona muoga na snichi
@richardamina9810
@richardamina9810 2 жыл бұрын
Nakubali ney
@allybulushi624
@allybulushi624 2 жыл бұрын
Good nay
@paulombay6884
@paulombay6884 2 жыл бұрын
Safi Sana ney utaenda mbingun
@richardburengengwa6998
@richardburengengwa6998 2 жыл бұрын
Nayo noma bwana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Ila Ney unamadini 😀😀😀😀
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Ney apangwi ngwi tushasema🤣
@edgermwaitenda7539
@edgermwaitenda7539 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Huyu Ney ni Noma sana jamanii Gombea Ubunge tunakupa kura
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Wajumbe ni wajuba
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 2 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪 tuko na kibe Tanzania ni ney this 2 people ndio wanaongea ukweli bila uwonga
@janmaty3624
@janmaty3624 2 жыл бұрын
Like nyingi kwangu
@luckyngumbi4243
@luckyngumbi4243 2 жыл бұрын
💪💪💪💥🔥🔥🔥
@nayoneplatnumz3311
@nayoneplatnumz3311 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💛💛
@ainesndubula8361
@ainesndubula8361 2 жыл бұрын
Inshi ilikuwa katiba mpya. Mmekuja na kk za stv nyelele. Kutupotezea kwa ujinga ujinga
@moyomwekundu503
@moyomwekundu503 2 жыл бұрын
Ney ni mkweli
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Ney nakukubali sana wewe sio muoga
@kadito-kenya
@kadito-kenya 2 жыл бұрын
Baba yaga anaongea ukweli ndio maana wengi wanamchukia na siku zote ukweli unauma lakini unadumu
@williamdungumaro6668
@williamdungumaro6668 2 жыл бұрын
Duu
@mchagashop1342
@mchagashop1342 2 жыл бұрын
We VIDO UKISHAANDIKA KICHWA CHA HABARI INATOSHA UNAONGEA ONGEA NINI
@veriusechrispin9971
@veriusechrispin9971 2 жыл бұрын
Ney bhana nae sasa hata ukijitoa ndugu yangu lini ulishapata tuzo kwa nyimbo zako zisizo na utamaduni mzuri kwa jamii jifunze kuimba nuimbo za kuelimisha nasiyo ujinga ili upate tuzo
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
We kw Karne ya saiv nyimbo gan inayoelimisha
@komboomar8275
@komboomar8275 2 жыл бұрын
*Wenye akili pumba kama ww ndio huongea utopolo kama huo*
@baltazarlucas5000
@baltazarlucas5000 2 жыл бұрын
Hapo ndiko akili zako ziliko ishia
@crystalrhymesofficial3379
@crystalrhymesofficial3379 2 жыл бұрын
Ulitak tu watu wareply kwnye comment yko màan unajua fik unachkiandk hakiko saw
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Mtu anamchana hadi rais . Huyu ndo anaelimisha jamii kuliko wasanii wote tz . Wewe hujui2 Free nation
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Tuzo zipo kwa ajili ya waimbaji tu tuzo za Malaya hakuna hivo ukiona mtu kajitoa ujue tuzo zako humo hazipo 😄😄😄😄😄
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Tuzo za Malaya zpo tena saiv ndo hbr ya mjin Malay ili utmbee nae si lazma uumpe Hela ndo tuzo yenyewe iyo au ulznia mpk upewe medali ya dhahabu medali unapewa na Malaya km ulkuw hjui ndo Ivo ss
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
@@hamidmweusiii35 nimekuelewa baada ya masaa kadhaa
@ibrakiongozi4096
@ibrakiongozi4096 2 жыл бұрын
True Boy
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 1,2 МЛН
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 18-10-2024
21:21
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 38 М.
P diddy w iburundi ngo ninde😳/twumiweeee.....
43:34
Dan Tv Show
Рет қаралды 630
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН