Huyu ndie msanii pekee muhimu katika nchi yetu kwangu mimi 🎉
@Mrlastborne3Ай бұрын
Kabisaaa
@chusseboywcb2808Ай бұрын
Hata mimi
@deniccgabriel6153Ай бұрын
Uyu sio chawa au ni msanii anaegusia haki sio akina konde
@Mrlastborne3Ай бұрын
@@deniccgabriel6153 🫢🐰
@godlistengodlisten7552Ай бұрын
Wasanii Wengi Wanajisahau Kuwa Wao Ni Kioo Cha Jamii Wanatakiwa Waseme Ili Kukemea Mambo Hayo,Hivi Kama Wasanii Wanategemea Watu Wanaotekwa Kwenda Kwenye Shoo Zao Watu Wakiisha Wakifanya Shoo Nani Ataenda?
@GodfreyMakalaАй бұрын
Wewe ndo kioo Cha jamii katika wasanii
@frankitumbwi7537Ай бұрын
Uzuri wa ney huwa mkweli ndo ninacho mkubali💪
@fdizzoАй бұрын
Mwana music Kama uyu ndio anastaili support yetu Big Up bro unajitambua
@AmisamauridNgagadaАй бұрын
Umeongea point kubwa xana mzee wengi wao wasanii wengi wanatetea matumbo
@glorymoshi2552Ай бұрын
Kweli kaka nimekuelewa sana unakitu cha ziada
@MjuniLaulianАй бұрын
Uyu ni nabii wa kisanii
@KidoBanksАй бұрын
Daaah kweri kaka umeongea point mpk nmelia 😭😭 at hii coment nmejkaz kaka tunaogopa sio tanzania yetu hii saiz imebadlika mno ukiongea neno la msng na la point tyr unatekwa jamii tuangalie na upande wa pili 😭😭❤🇹🇿 naipenda nchi yangu san
@chusseboywcb2808Ай бұрын
Umeongea madini sanaaa💪💪🙏🙏wasanii wabongo wengi nivibaraka
@DottoLwamboАй бұрын
Fact mr true boy aka Nay wa mitego take gift🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉and love so much best artist in country
Umeongea vema sana Ney,hongera sana kwa kukemea maovu na mauaji.
@elidiustudoy2640Ай бұрын
Ukweli. Mtupu tatizo ugali njaa mbaya 😢😢 alafu uwe na ndoto za kuwa tajiri namba moja dunian 😅
@ramadhanihudhaifani4376Ай бұрын
Diamond ashaanza kuwehuka yule! Dangote ni Tajiri namba 2 Africa kwa sasa. Duniani,yupo namba 159, kwa sasa! Kama sijakosea. Alafu kijana wetu mtumikia Iblis,yeye ana ndoto ya kuwa Tajiri no. 1 Duniani! Aisee...😅 Hiyo ndoto inatia huruma sana! Asije tu akauza figo zake zote ili kutimiza ndoto yake hii. Maana tutamkosa!!!
@ZainaboKarungaАй бұрын
Umejua kunivunja mbavu@@ramadhanihudhaifani4376
@priscamrekoni3451Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@athumanimtajihАй бұрын
😂😂😂@@ramadhanihudhaifani4376
@melanialeonard4031Ай бұрын
@@ramadhanihudhaifani4376hata auze figo zake na ukoo wake wote bado hawezi kuwa tajiri namba 1 dunian
@hchriss7930Ай бұрын
Respected 2 him #RaisiWakitaa
@MsNajma-j7eАй бұрын
Kabsaa unacho kisema kka wasani mbwa sana wasani wa ssm kweri watu wamebakwa wapo kmya,,,yule binti wa yombo kesi yake wapo kmya hata apatungi nyimbo ila juz warimtungia laisi lkn yanayo enderea mbaka sasa kam wao wapo dunia yao iv na mma hakizi mkazi wanaenjoy kabsaa uku watu wanauriwa
@eliusobadia8683Ай бұрын
Respect Man of Jah.....Haiirrrrrree to Ney ,Jah bless u.
@JacobMwanyumba-m4iАй бұрын
Watanzania wenzangu tujiulize; aliekuwa dc wa wilaya ya longido aliongea mambo mazito sana!! Pia alisema nae alihusika kwny matukio yaliotokea huko maporini yaani kwenye kuua wapinzani!!! Ukijumlisha na hili la hayati kibao mnapata picha gani??????......
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
Nami nachangia oja so wasanii tu ata we ayo una tofauti na ao wasani ambao true boy kawachana
@reginaedward4883Ай бұрын
Big up bro wewe ndio msanii pekee huogopi anything and your speak the truth . Shout out ,stand up for each other .here in Kenya we are not afraid of anything Hakuna mwenye ako above the law😊😊
@kassimabussa6583Ай бұрын
Tusimlaum Roma kwanini harudi nibora abaki uko uko alipo ninchi yetu tunaipenda ila kwasasa inatisha 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@FgldesignsАй бұрын
Mimi mwenyewe nikinipata nasepa na sirudi tena
@JafaryamilyАй бұрын
Msanii wa ukweli na anayejitambua sana big up broo. Hao wengine mzigo tu
@HabibuabdiAmiri-xi4fiАй бұрын
Watanzania upole wetu na uwoga wetu utatufanya tutauzwa siku moja😢
@abedysteven4930Ай бұрын
Dah xaxa 2fanye nn jaman mana 2kiandamana 2napigwa risas na katiba inatakiwa ibadilixhwe
@JohnKipalile-bq9ecАй бұрын
Adui mkubwa wa hii nch ni CCM
@JumanneGibsonАй бұрын
Tulishauzwa tyr
@storytownTvАй бұрын
Mama Abdul ndo kwanza anazurura, na kudeal na mambo ya ovyo na huku nchi inazama
@saumuabdallah198Ай бұрын
kwan ana uchungu na Tanzania? 🤔🤔💔💔💔
@kelvinjoseph4545Ай бұрын
Nay Hana uchawa kabisa,Mungu akupe maisha marefu sana
@AlouiseNgenDanDumweАй бұрын
Kaka mimi nimekuelewa ipo siku yatawakuta big up bro ubarikiwe sawa
@OscaramandusvicentHokororoАй бұрын
Tuachie na nyimbo kabisa mkuuu
@HolloJumaАй бұрын
We ney Loma tunajua uko pamoja Sana nawananchi🎉 mungu akusimie Sana🙏🙏🤝
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Wasanii wenyewe wanakuwa na wasiwasi wakitunga nyimbo za kuirekebisha Serikali wanatekwa na wengine wamewatukana Viongozi wa dini Wakatoliki wamefuata ubwabwa kisa walipinga Mkataba wa Dpworld kazi zao Uchawa tu
@misomisomisoji7722Ай бұрын
Hii serikari ya kihuni na ya kidikteta inawanyamazisha raia wake.
@directorabiero340Ай бұрын
Ney mungu akupe maisha marefu ipo siku ya mamlaka. Inakuja hapo ndipo wao watakuwa sisi na sisi tutakuwa basata.
@bobjoy9279Ай бұрын
Huyo ndio msani msema kweli mungu akubariki Dula makabila akupe tunzo loko haraka saana
@azizasaid5255Ай бұрын
Huyu sio dulla makabila, ni NEY WA MITEGO, HUPO.
@linnusaloyce6559Ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu na ulinzi wa kiroho ukuzunguke daima cku moja uje kuwa sehemu ya utumishi wa taifa letu bro
@raajtz8073Ай бұрын
Sasa hii Ndo maana ya TRUE BOY,, KWA waliokua hawajui🎉
@neemanziku5403Ай бұрын
Ww sio chawa kama wengi ww ni mpenda haki na keli ya Mungu
@AppetizertzАй бұрын
Nakukubali Sana ndugu, hufanan na mamluki wengine mungu akulinde 🙏🙏🙏🙏
@calvinmwabungulu9672Ай бұрын
Aminia Sana Rais wetu wa kitaa
@LeonardPhilimon-p2uАй бұрын
Umesema kaka vizuri sana hakuna alie salama tena ukiwa agents
@AdamChezeАй бұрын
Sema Ndgu Mana Kwa Wakat Huu Ujumbe Utafika Vzr Tu Na Watu Watakuelewa Lkn Si Unajua Nchi Imejaa Wanafki
@sadiqadam7971Ай бұрын
That's right bro, umetisha sana blood. Ukweli mchungu 👊🏾✌🏾
@imanuelzakayo8703Ай бұрын
Asante sana wajina wangu imanueli elibariki au ney wamitego umeongea ukweli kabisaa yaani Mungu akuweke vyemaa
@LensonMwaigombeАй бұрын
Nay salute kwako hakunamsanii wa kweli Tanzania ispokuwa wewe tu! Wengine wote ni wasanii wa kuhubiri ngono.
@IshengomaRugemalilaАй бұрын
Iyo ndomaana kiocha jamii,ney uko sawa
@YonaRajabuАй бұрын
Wajibu wa msanii nikufikisha ujumbe kwajamii ikiwa nipamoja na kuelimisha jamii .huyu jamaa ndie msanii pekee Tanzania anae tambua
@LucasMasalu-dd3nzАй бұрын
🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako
@DicksonLyimo-ie7md26 күн бұрын
Rais wa kitaa upo vizuri tupambanie maskin we zako Mungu atakulinda hawata kuteka big up sana bro
@josephmlazier1391Ай бұрын
Huyu ndiyo msanii mwenye nimetoka kumkubali muda sana anakuwaga mtu haswaa 🌹
@Alfafute-fp2ezАй бұрын
Pamoja Nay mitego ❤❤❤
@PhilomenaPaul-c1yАй бұрын
Hauko kwaajili ya usanii peke yake Mungu anakutumia pia , ni wachache wenye uthubutu wakusimama n kuongea wengi wao wanaogopa kutekwa na wasiojulikana
@AbdullahJuma-e4vАй бұрын
Big up sana ney mungu azidi kukuweka salama daima
@AmaniNasoniАй бұрын
Siku zote ukisema ukweli hasa kumrenga anaeh tuhumiwa kwa ukweli huyo razim uchukiwe to na watu wenye kupindisha ukweli asante Nay kwa kujitokeza kusema ukweli ❤
@vero57Ай бұрын
Tuaze maadamano nasisi kama kenya maana hao watu wako wapii tuambieni!!!
@eunho9529Ай бұрын
Ney ndiye msanii pekee Tanzania ambaye anaishi kwenye nadharia halisi ya usanii, wengine ni washehereshaji tu. Mungu akupe maisha marefu wamitego.
@MasumbukoCharles-w5mАй бұрын
Really appreciated point to live it
@DavalsonMarlonyАй бұрын
big up kwake bro nay ndyo nmekja kuamin dili zako unasainig angani ww ni shujaa
@NasraDadiubaАй бұрын
Hii nchi ya maajabu sana aliepewa nafasi yakukusimamia usalama wako ndio wamekua wakichafua aman kiukwel wanasau kua kwamba maisha mapito wanaona labda wataishi milele
@ChrissJoel-t1cАй бұрын
*SAUTI YA WATU* WASANII ni wawili tu hii nchi wengine ni machawa
@rajabumtuga7372Ай бұрын
Nan amewah kumsikia Mwijaku akikemea utekaji, Nandi, Dokii, Diamond, Harmonize, hao ni mifano tu. Nani amewah kusikia kiongoz wa serikali amekemea utekaji. Wao ndio wanao sema kuw hakuna utekaji.
@kingvikey4682Ай бұрын
..appreciate ue brooh
@paulremigiuspaul3293Ай бұрын
Big up Nay wa Mitego
@ludovickizack9812Ай бұрын
Nakuomba mwakani ngombea kaka 'akupenda mmno❤❤
@richkaja3317Ай бұрын
Mungu akulinde mitengo
@JohanithaAlexАй бұрын
Nakupenda sana mdogo wangu uko sawa mungu azidi kukutunza
@mr.yahzadochuno7914Ай бұрын
Raisi wa ajabu badala ya kutoa speech eti anaandika intagram i hate my president
@mrsinia3064Ай бұрын
Safi sana Nay umebonga vyema sana big up 👊👊
@rukayyaaliy9713Ай бұрын
Tunakupenda.sana nay
@LeonardMwambika-zn6onАй бұрын
Hatari sanaah
@bilalfaki5199Ай бұрын
Appreciate your effort
@KishaKisha-ux4ulАй бұрын
Ney wa mitego mungu akusimamie Kwa Kila jambo. Mungu. Azidi kukulinda unaongea ukweli mtupu.
@BenjaminTz-fg1luАй бұрын
Ao wasani wengine nimachoko kama choko wengine ila nay wamitego raisi wakitaa💯💯💯💯💯💯💯💯💯💪💪💪💪💪💪
@GeorgeLaiton-d4dАй бұрын
Big up ney
@starlonejadamskp8224Ай бұрын
Ishi sanaah ney
@HusseinKalima-q2gАй бұрын
Umeongea point sana
@Gentanyisenior254Ай бұрын
Ney forever
@JohnMabustarАй бұрын
Sanaa ni uzalendo tosha much respect kakamkubwa 😊😊
@jonassamwelyАй бұрын
Hongera Sana bro mungu akulinde
@NestoemanuelАй бұрын
Chawa wa cc hao😂😂
@christinapaul4134Ай бұрын
Usijali utalindwa na Mungu brother
@vincentcharles4385Ай бұрын
Salami zenu watekaji,what goes around comes around:
@mwajumaanthony5470Ай бұрын
Nilikua najisifia inchi yangu ya Tanzania ni ichi ya Amani sasa naona Amani ime kwisha Mwenyezi Mungu tuna kuomba utusitili waja wako uturudishie Amani katika nchi yetu bado tunaipenda Mungu ibariki Tanzania yetu
@ezekielimungure3007Ай бұрын
Nakubali saña bro endelea na ujasiri huo huo ❤
@asumaathuman6094Ай бұрын
True boy wewe uko powa❤
@mtakatifutv2101Ай бұрын
Dah!!😢😢😢😢
@ramasmall8462Ай бұрын
P moj kk
@taaonlinetv1820Ай бұрын
wanadau nay mtu mzur tumpe support sanaaaaaa
@FaridiSalimАй бұрын
MUNGU IRINDE NCHI YETU INSHALLAH🙏🙏🙏
@JulianaPantonyАй бұрын
Umeongea vizuri sana❤
@johnnzumbeАй бұрын
Barikiwa sana Emmanuel
@EdgerMbuyaАй бұрын
Ukweli broo
@AlikoAbsalomАй бұрын
Lais wakitaa ❤❤ miaka ming sana kwako kaka
@tumainilaizer6517Ай бұрын
Mm nawashangaà wasanii kipindi cha uchaguzi mnajua kutunga nyimbo za kampeni lkn hili mmeshindwa kutungia ata nyimboo😮😮
@RamseykingGeniusАй бұрын
The true boy then apsree🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💪🏿🙅🏿♂️💀☠️
@paulremigiuspaul3293Ай бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people (Qur'an 4:135)
@goldenmaduhumedia4681Ай бұрын
Nay wa mitego ndo rais wetu wa kitaa
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Safi sana rais wa kitaa, na rais wa tz yapo wapo aongee maneno ya hekima kama yaha😊
@BenjaminTz-fg1luАй бұрын
Brother nay nime amin wewe ni zaidi ya mama Samia unaongea ukwel ila siku zote muongea ukwl ndoo anachukiwa ila yot Tisa Mungu anawaona
@adambakari9276Ай бұрын
Daaaah Ney we ndo kioo hebu tuwen colobp moja kaliiii ww na roma inayo husu hii serikali