NAY WA MITEGO : WIMBO AMKENI MISTARI AMENITUMIA ROMA, MIMI NI FREEMASON

  Рет қаралды 115,585

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 163
@braitonkajugu2676
@braitonkajugu2676 Жыл бұрын
nay and Roma nawakubali ndugu zangu,njoni Kenya mtukusolee hii inje yetu,much love from kenya
@lishuhamisi-ge2zm
@lishuhamisi-ge2zm Жыл бұрын
Broo tunakuombea Sana wanao piga nyimbo yako ambayo iko na ujumbe Kwa watz washindwe wew nikijana unaependa nchi yako ifaa nawengine waige Kazi zako msanii asye kuwa natamaa l love ney❤❤❤❤❤
@festusmgawe8386
@festusmgawe8386 Жыл бұрын
Keep do it Mr ney and Roma god bless you
@sesiliakanyelenge1676
@sesiliakanyelenge1676 Жыл бұрын
❤️♥️♥️my brother langerlover tuliizindua juz msiban iwambi mungu aendelee kubariki kaz ya mikono yako
@MagesaNega
@MagesaNega Жыл бұрын
Ney and Roma you people you're G.O.A.T.S big up my big brothers....much love from kenya
@festusmgawe8386
@festusmgawe8386 Жыл бұрын
Ney wa mitego na Roma Hawa watu ni special sana kwenye hii inch wanatufanya tujue vingi kuhusu inch yetu mungu awabariki sana Hawa watu wawili
@chrissabel3650
@chrissabel3650 Жыл бұрын
for really were praying for you Big brother
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Жыл бұрын
Ney uko sawa sana endelea Naamini Mungu atupatia Ney anamaana kubwa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Media ya kwanza kusikia inazungumzia ngoma ya AMKENI big up tonny16 and EATV
@filiberthkapembwa9702
@filiberthkapembwa9702 Жыл бұрын
Msanii wa dunia big think go higher big kaka
@JulesNtumba-y9q
@JulesNtumba-y9q Жыл бұрын
Kazi nzito juya jaami respect kwa iyo kitu
@NelsoniJuma-fs3eq
@NelsoniJuma-fs3eq Жыл бұрын
Nai me mkenya bana nakutambua sana bro good bless you brother 🎉🎉🎉
@batatukatotolabikay5296
@batatukatotolabikay5296 Жыл бұрын
Kwa kweli mungu akubariki mr nay. Kweli Nay na Roma kweli lazima mujuwe ukweli waluma na nyinyi munatowa ni ushauri siyo kwa Tanzania tu bali ni kwa Africa nzima. Mubarikiwe kwa kweli. God bless you my brothers
@albertsospeter9670
@albertsospeter9670 Жыл бұрын
noma sana mwamba namwelewa kinoma natamani wapige stop ngoma za mapenzi zianze kusikika pini kama hizi wolaaaa
@indexchitanda4477
@indexchitanda4477 Жыл бұрын
Namkubali sana ney wa mitego nd Roma mupo vizul sana❤❤❤
@christopherpablo3676
@christopherpablo3676 Жыл бұрын
ROMA (raisi) STAMINA (waziri mkuu) NAY (makamu wa raisi ) ebana iyo TANZANIA mpaka misiri wange kuja bongo 😂😂
@FrankShatta
@FrankShatta Жыл бұрын
True boy angekuwa Kenya dah tungejiproud sanaa
@petrozakaria3223
@petrozakaria3223 Жыл бұрын
Tunakupenda sana mkaliwetu ney mungu akupe maisha malefu sana
@strangerskenya254
@strangerskenya254 Жыл бұрын
Namkubali huyu mwamba 🙏💪💪
@andrewmasanja7459
@andrewmasanja7459 Жыл бұрын
Hakika watanzania tuamuke tunavyo pelekwa sielewi nikama tumebebwa kwenye jahazi vile tunayumbishwa upepo naupepo natunazama kabisaa watu kama hawa tuwaombee sana wanajitahid kutuokoa tuamuke jamani kaka Ney ,Roma nawakubarisan🇹🇿
@stevenwimbe3113
@stevenwimbe3113 Жыл бұрын
Nakukubari Sana neyi na roma
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Wimbo mzuri
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 Жыл бұрын
Ney na Roma ni wazuri katika nyimbo hususan upinzani si mbaya lakini waache chuki za udini na wamwache mama apige kazi ,kwakuwa huu mkataba wa DP World Ney kaaminishwa tu kwakuwa kuna watu anawaamni kama Slaa( mhuni,hana msimamo)
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 Жыл бұрын
@@nassoroyahaya821 na profesor nao vipi shivji,Lipumba hebu acheni unafiki tunampenda raisi wetu ila anapokosea ashauriwe kwa staha hukumuona kinana na waarabu loliondo?
@phredrichgelwin5845
@phredrichgelwin5845 Жыл бұрын
ney u killed it bruh
@alfredmongo1521
@alfredmongo1521 Жыл бұрын
Keep it up nay from 🇰🇪
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Mungu akubariki, wasio wazalendo tu ndiyo wanaona tatizo. Sisi tunakupenda na utaweza kuwa mkuu
@joselinejonathan8818
@joselinejonathan8818 Жыл бұрын
Nay tunakuombea sana kaka, asante kwa ujumbe mzuri
@jamesmolleljames7336
@jamesmolleljames7336 Жыл бұрын
Broo watanzania tuko kenya na tunaskiliza ngoma ya amkeni big up sana
@JulesNtumba-y9q
@JulesNtumba-y9q Жыл бұрын
Nay Mungu akulinde jili ya afrika❤
@Princelove252
@Princelove252 Жыл бұрын
Nay , Roma and king kaka big up sana 💥
@DirectorYG786
@DirectorYG786 Жыл бұрын
Nay wa mitego -fire🔥🔥 big up sn 💪
@MrDj-e4d
@MrDj-e4d Жыл бұрын
Big up Mr,nyimbo Kali sanaaa
@BalakaKavela
@BalakaKavela Жыл бұрын
Ney umetisha sana kaka mkubwa nakubali sana mwamba!
@DuniaDjuma-ff9rl
@DuniaDjuma-ff9rl Жыл бұрын
Bro tuko pamoja kwenye maombi Mungu yupo ata kusevu tu🙏🙏✌️✌️
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 Жыл бұрын
Dah bro Nay tuko pamoja Xaaana good bless
@SUPERBLACK5000Black
@SUPERBLACK5000Black Жыл бұрын
Aloh bro kipga ngoma kwel unachoma❤❤
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA Жыл бұрын
Tunakuombea sana mkubwa mungu atawapingani uko sahihi endelea kulitetea taifa mungu atawa Linda nyote
@rafamiliyaarafamiliyaa4702
@rafamiliyaarafamiliyaa4702 Жыл бұрын
❤,inchi hii wamejaa lushwa kuazia selekali za mitaa hadi ,gazi za njuu ,lushwa tupu
@Adamntisi
@Adamntisi Жыл бұрын
Rushwa sio lushwa,,serikali sio selekali,,ngazi sio gazi,juu sio njuu,,nchi sio inchi,kuanzia sio kuazia
@obalmussa55
@obalmussa55 Жыл бұрын
Cool pamoja na nay
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Tumuombeeni ney watu wote ili MUNGU amlinde sana nakumusimamia ili wasimuzuru hawa watawala
@samwelimwaim7136
@samwelimwaim7136 Жыл бұрын
Points
@ImmanueliSitta
@ImmanueliSitta Жыл бұрын
Somo somo somo natamaani sana kuonana na wew japo kua sina uwezo ila fanya kwajili yamshabiki wako ambae ni mim nakukubali sana broo
@FrolensPita
@FrolensPita Жыл бұрын
Nakubal sananyimbo zakoko wakumbushe viongoz mafal
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 Жыл бұрын
Thank you Ney
@NelsoniJuma-fs3eq
@NelsoniJuma-fs3eq Жыл бұрын
Napenda sana Nay huyu mwamba ni mkali
@abdurahmankumbe4420
@abdurahmankumbe4420 Жыл бұрын
Ney is true boy❤❤
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe Жыл бұрын
Wimbo msafi watu wanataka kuuchafua
@ebanosafarikenya7390
@ebanosafarikenya7390 Жыл бұрын
Rapper’s from Kenya must learn from you mr nay wa mitego
@agusmileofficial2845
@agusmileofficial2845 Жыл бұрын
Anapigania nemboo ya tanzaniaqq all the best
@melchiadenelson3811
@melchiadenelson3811 Жыл бұрын
mungu akubaliki nay
@SUPERBLACK5000Black
@SUPERBLACK5000Black Жыл бұрын
Bro u did it
@renzel306
@renzel306 Жыл бұрын
Huu uwezo wa kujibu maswali kitaaluma ya hali ya juu sana unaonesha wazi utunzi wa mwana si wa bahati mbaya.
@yusuphshitabo9813
@yusuphshitabo9813 Жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝one love bro u did it
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Shout out to Roma
@simonnyadwera8595
@simonnyadwera8595 Жыл бұрын
Ney,uko Bora sana.Unagusa Rika zote,madaraja yote hata mazingira yote.Msalimie Roma
@IbrahimsalimMae-vo8ly
@IbrahimsalimMae-vo8ly Жыл бұрын
Ywamkubali sana Nay Tena sana man angekua Kenya hakika huyu mtu angekua na cheo kikubwa sana apa
@BHALEEALI
@BHALEEALI Жыл бұрын
mwandishi mchochezi sana unataka amtusi Diamond mfurahi na hizo redio zenu mbovu
@ibrahimkombo9042
@ibrahimkombo9042 Жыл бұрын
Keep it up Ney.
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 Жыл бұрын
Hiii imeenda imeenda sana
@IbrahimsalimMae-vo8ly
@IbrahimsalimMae-vo8ly Жыл бұрын
Salut San Mr nay uko wap khaligraph ukaokoa Kenya yetu hiii ama unaogopa
@KomboD
@KomboD Жыл бұрын
Kaka safiiiii
@EddyMhami
@EddyMhami Жыл бұрын
The true boy mwanaharakati makini
@ReganiSanga
@ReganiSanga Жыл бұрын
Umetisha kaka
@ReganiSanga
@ReganiSanga Жыл бұрын
Umetisha kaka
@DanifordvicentbakoraBakora
@DanifordvicentbakoraBakora Жыл бұрын
Niko nje ya nchi nimekubali Sana NY unaweza endelea kuelimisha wajinga tumia uzalendo wako
@christopherpablo3676
@christopherpablo3676 Жыл бұрын
Acha nitafute pesa mana ROMA, STAMINA na NAY nimoja ya wasanii hatali malengo yangu ni kuwaunganisha na mm ndio nitakuwa doni
@gungake
@gungake Жыл бұрын
Sàana
@athumankinguji5863
@athumankinguji5863 Жыл бұрын
Imeiaha iyo Uahapewa mauw yako Rais wa kitaa.Damu yetu Roma tupe Zawadi zetu sasa achia
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 Жыл бұрын
Dah kwel ngoma inakimbiza ila Trending atuoni kuna ktu hp
@JumaAlly-du1rn
@JumaAlly-du1rn Жыл бұрын
Nakubali Rais wa kitaa umetisha atar mkar
@JulesNtumba-y9q
@JulesNtumba-y9q Жыл бұрын
Kweli bro wey niwa dunia nzima
@OmaryJohn-x8y
@OmaryJohn-x8y Жыл бұрын
True boy
@TwalibuMsharaba-xh5xz
@TwalibuMsharaba-xh5xz Жыл бұрын
Broo big up sana mm uwa mapini yako na roma uwa nayakubali kinoma nyie sio wanafaki uwa mnayoka kula chuma hiyo😅😅😅
@salaita2829
@salaita2829 Жыл бұрын
Angekuwepo john mjema nadhani angekuwa na furaha sana kuona kijana aliyemlea na kumkuza anafanya vyema.
@gloirejeremiekarhendezi5380
@gloirejeremiekarhendezi5380 Жыл бұрын
Naku amini sana tuna Ku miss Congo
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Жыл бұрын
Ingekua namba 1 ofcause
@issakhan260
@issakhan260 Жыл бұрын
#Trending1 #Amkeni 🔥💯
@issakhan260
@issakhan260 Жыл бұрын
#ney_wamitego_Amkeni_trending_one
@philomenadavid9298
@philomenadavid9298 Жыл бұрын
Ni kweli ccm tusiwape kwakwel
@albertbaitu
@albertbaitu Жыл бұрын
poa sana ney auna baya kwa hili
@fransismange1091
@fransismange1091 Жыл бұрын
Hata wakiushusha tumesha download
@MbagaMzirai
@MbagaMzirai Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Жыл бұрын
Eti Spika wa mchongo nimechekaa 😂😂😂😂😂
@clavankalinga734
@clavankalinga734 Жыл бұрын
Sana tu board steg
@bahatitumaini347
@bahatitumaini347 Жыл бұрын
Leo yupo Tunduma songweukumbi Sami namkubali mwamba kwa kupiga show Kali leo 29/7/2023
@EdgerNgota
@EdgerNgota Жыл бұрын
Amejitowa kwajili ya sisi dah kweli ni rais wetu wa kitaaa
@rafamiliyaarafamiliyaa4702
@rafamiliyaarafamiliyaa4702 Жыл бұрын
Wakikosolewa wanakuwa wakali kwann munatunyonya matumbo yenu yanashiba kwa kutuzulumu mali za watanzania ,wakitete watu wanakuwa wabaya kwanin tubadilikeni😢😢😢
@ImmanueliSitta
@ImmanueliSitta Жыл бұрын
Oya oya piga ngoma kamanda
@AdventMtavangu
@AdventMtavangu Жыл бұрын
Rais wetu tuseme🎈🎈🎈
@joachimngereja7608
@joachimngereja7608 Жыл бұрын
Kilicho wakasirishs ni nini?au Mungu ikimpendeza awachukue na hawa!
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Bonge la wimbo
@givenessmitengo789
@givenessmitengo789 Жыл бұрын
Mungu awalinde Ney na Roma kweli nyie ni watetezi wa wanyonge but wakubwa wanaogopa kuambiwa ukweli
@Dogomasai
@Dogomasai Жыл бұрын
Nipowa sanaa kaka naitwa dog masaiii kutoka Simanjiro begp sanaaa
@emmanueltvmwakyesan4858
@emmanueltvmwakyesan4858 Жыл бұрын
duh unajiita mbwa kwann
@laizersam570
@laizersam570 Жыл бұрын
@@emmanueltvmwakyesan4858 labda kataka kuandika Dogo Masai muelewe tu
@laizersam570
@laizersam570 Жыл бұрын
ok
@devidjav3583
@devidjav3583 Жыл бұрын
Shame Kwa eatv kutumia click bait title, wasenge sana
@MuhammadMaulana-p2l
@MuhammadMaulana-p2l Жыл бұрын
Mzee tunakuombea
@issamelanyi4535
@issamelanyi4535 Жыл бұрын
Raisi wa kitaaa,nakukubali sana,wewe na Roma mkatholiki,
@herifilms
@herifilms Жыл бұрын
Ney anajibu kwa tahadhari kubwa sana😅😅😅😅
@EmmaMakalwe
@EmmaMakalwe Жыл бұрын
Naomba wawepo akina Ney 3 tu hii bongo 2naish Kama ulaya
@bobo_jr9535
@bobo_jr9535 Жыл бұрын
Yupo roma bado mmoja
@WilliamNhota
@WilliamNhota Жыл бұрын
Unyama huu unaoendelea na best yake Roma mkatolik
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 Жыл бұрын
Rais
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Ney we una kitu na MTU mwenye kitu daima hupigwa vita
@medtech1020
@medtech1020 Жыл бұрын
Nay
@OscarSaziru-cc2vf
@OscarSaziru-cc2vf Жыл бұрын
Huyo wimbo wa nay angekuw burundi angeuliwa hapo hapo
@gimgimgim4694
@gimgimgim4694 Жыл бұрын
Nay hapaki poda mamaae😂😂
@khalidhamka9567
@khalidhamka9567 Жыл бұрын
Duh
@michaelkitundu1489
@michaelkitundu1489 Жыл бұрын
sasa nyimbo za huyo mjinga ndo ulinganishe na wimbo wa ney wa mitego anatuimbia adi nyimbo za yese yese yese yaah.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 78 МЛН
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 188 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 37 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,1 МЛН
MTU TATU NDANI YA MEZA MOJA HAPA NI VINA NDANI YA MICHANO
23:43
Crown Media
Рет қаралды 6 М.
ROMA AFUNGUKA SIRI YA WIMBO WAKE MPYA | AMKATAA WAKAZI | KURUDI TANZANIA
34:07
Nay wa Mitego Ft Raydiace - Nitasema(Official Music Lyrics)
3:26
BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa
50:28
Millard Ayo
Рет қаралды 204 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 78 МЛН