BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa

  Рет қаралды 200,885

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Msanii Roma Mkatoliki amejitokeza mbele ya Waandishi wa habari leo April 10 2017 akiwa na wenzake ambao walitekwa na watu wasiojulikana akiwa studio za TONGWE RECORDS, hii video inasimulizi yote ya Roma Mkatoliki.

Пікірлер: 260
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
Nape tutakukumbuka sana nataman ungekuwepo ww leo kwenye mkutano huu kikao kingeisha vizur na ungeahd meng mazur juu ya swala hii last ndugu zetu
@fridasulle3989
@fridasulle3989 7 жыл бұрын
maswali gani mnauliza jamani
@edwintelewah288
@edwintelewah288 7 жыл бұрын
Waandishi wa habari wa Tanzania you have along way to go.Aibu ilioje kuwa na tabia za watoto wa chekechea
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
M/mungu anawaona waliohusika wooote ktk hilo tukio zima awaonyeshe hapa hapa dunian na akhera inshaallah
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
kwa M/mungu hayo ni madogo saaana waliofanya hivyo wanaona wamefanya makubwa sana lkn makubwa kwao ila kwa mungu madogo sanaa
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Mungu atawalinda Ndugu zangu poleni sana
@miminiyuledem4208
@miminiyuledem4208 7 жыл бұрын
huyu roma apewe time kwanza akili zake zirudi sawa.. kutekwa na kuteswa sio mchezo, may God give you strenth roma
@habarizauhakika9376
@habarizauhakika9376 7 жыл бұрын
tuliwaomba wamuachie na wamemuachia ni kumshukuru tu mungu
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
thx Ayo Tv Mungu akubark sana akulinde na kukutunza uendeleee kutupa hbr za Taifa letu kwa ss ambao tuko nje ya nchi yetu tunajivunia sana uwepo wako #Millard Ayo ubarikiwe sana
@monicamabula7420
@monicamabula7420 7 жыл бұрын
nakuelewa sana millardayo
@saimonimloka4221
@saimonimloka4221 7 жыл бұрын
asante mr countdown kwakutujali na habari moto moto... keep going bro #Arushaboy
@dianaahdarlingkenya7616
@dianaahdarlingkenya7616 7 жыл бұрын
thanks so Much for Your Great News Respect to u #millardAyo bro wa nguvu Daaa Pole #ROMAmay God guide u
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
ashukuriwe Mungu kwa kuwatoa salama. inauma!! Najaribu kuvaa kiatu chenu najikuta kinanipwaya. polen sana inauma mnooo kupita kias
@FabianMkirikiti-fn9mb
@FabianMkirikiti-fn9mb 3 ай бұрын
Waandishi wetu badilikeni mmekosa elimu ya kutosha kwenye kazi yenu pole roma nakukubali sana ndugu yangu
@wemajumanne5709
@wemajumanne5709 7 жыл бұрын
Jaman n nini hicho mbn hv..waziri majibu yake yamenikera na huyo dada aliyekuwa anatoa mwongozo ndio kaboa kabisaaa yaan dah am speechless wallah
@amanimariki7631
@amanimariki7631 7 жыл бұрын
unafanya kazi nzuri my brother ndo maana napenda sn habari zako bro big up@millard ayo
@smrmb76
@smrmb76 7 жыл бұрын
Poleni sana bro lililobaki kumshukuru Allah awaepushe na mabaya
@totoladinda3028
@totoladinda3028 7 жыл бұрын
apo kuna jambo ziiitoooo, limejificha lkn Inn sha Allah mungu atawalipia
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
asante sana ayotv kwa kutuhabarisha
@EzzySkillz
@EzzySkillz 7 жыл бұрын
ahsante mr countdown .... wide n clear
@millardayoTZA
@millardayoTZA 7 жыл бұрын
shukrani kwako mtu wa nguvu Skillz kwa kutazama.
@danielyzenno2124
@danielyzenno2124 7 жыл бұрын
Millard Ayo safi sana mtu wangu wa nguvu kwa mihabari ya nguvuu
@rajabuabdallah3840
@rajabuabdallah3840 7 жыл бұрын
Millard Ayo Kka ktaka watoa hbr hii wote nimetaza hkuna aliyetoa hbr clear kma wwe na inayo sikilizka upo juu kka Tnakuombea mngu upte vyombo vkali na vy kissa zaid ya hv hongera kwko kka
@emmanuelnyansiro8636
@emmanuelnyansiro8636 7 жыл бұрын
anavifaa vya kisasa wengine wanatumia simu za tochi
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
umenuna nuna tu ukali nao motooo uwiiiii tupitage tu kwa kwel! kesho isijekuwa zamu yangu bure
@joanwacira6464
@joanwacira6464 7 жыл бұрын
this guy is a hero
@lenadimyumbo2826
@lenadimyumbo2826 7 жыл бұрын
Roma usiogope chapa kaz
@ibrahimkihulya8934
@ibrahimkihulya8934 7 жыл бұрын
wangekuwepo waandishi peke yao wangeaza kupotoshana tu. Nafurahia kuwepo kwa waziri.
@mlokozimpesha1448
@mlokozimpesha1448 7 жыл бұрын
bora nikaishi Sudan hii nchi mabaladhuli wamekuwa wengi, mwakyembe naee..!?
@eliafileephata8419
@eliafileephata8419 7 жыл бұрын
Shukurani sana kwako Millard kwa taarifa watu watahukumiwa kwa matendo yao waliofanya huo utekaji jamani utadhani sio binadamu,mungu atawahukumu
@graceyohana1733
@graceyohana1733 7 жыл бұрын
sitaki kuamin kama waziri anashindwa kujibu maswali ya kitoto kiasi hiki. duuuh! hadi mwili unasisimuka aiseee.
@pirminletus7138
@pirminletus7138 7 жыл бұрын
Daaaaah.....! tumshukuru Mungu
@ibnbakr2298
@ibnbakr2298 7 жыл бұрын
ayo uko njema sana brother
@maryamramadhan3192
@maryamramadhan3192 7 жыл бұрын
pole Kamanda wetu. ila hapa kuna kitu kinaendelea aiwezekan Roma ashindwe kutupa japo sababu moja ya kutekwa kwake.. na kwann makyembe anajifanya kukataa maswali yanayoihusu serikali.!! Iko namna hapa.. Na uyo dada msenge tuu anapiga kelele kama yuko leba nyokoooo wee.. Kama mlikua hamuitaj maswali mngelala makwenu... Tanzania ya awamu ya 5 sijui inatupeleka Wapi...
@JerubaalXerxes
@JerubaalXerxes 7 жыл бұрын
Mwakyembe hana point wala hana issue yoyote....Magufuli please fire mwakyembe kabisa hafai kuwa waziri....mfukuze kazi huyu mzee mi sioni kitu anafanya hana tofauti kabisa na mtu wa kawaida asiyeenda darasani. Na ALAANIWE yeyote aliyehusika na aliyetoa oder ya kukamatwa na kuteswa kwa ndugu zetu hawa katika nchi huru ya Tanzania laana hii iende vizazi vyake vyote. kwa machozi ya watanzania na hawa kina Roma wataelewa somo. MH.Raisi please angalia hii mambo sijasikia kabisa umesema chochote....vijana wako wanatekwa wanateswa najuwe wewe unaweza deal na wanaojiona wakubwa juu ya sheria na hawa watekaji na watesaji mi nafkiri hawa ni zaidi ya mafisadi aisee. #tunawaombeaRoma #mwachilieninaSAANANE
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 7 жыл бұрын
your the best Millard Ayo
@emmanuelfrank6906
@emmanuelfrank6906 7 жыл бұрын
Huyo dada ana ongea sana aisee!!!
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
hao wengne walichukuliwa tu lkn mlengwa Roma
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
We mwakiyembe mnafik mbona hukutokea alipokuwa hajaonekana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Thank you Mr Ayo.. very clear video.
@ibrah1989
@ibrah1989 7 жыл бұрын
poleni sana, But Waandishi kama watoto wadogo bhana😳
@benny4345
@benny4345 7 жыл бұрын
Waandishi wa habari kama watoto
@sarah.wangoi.5691
@sarah.wangoi.5691 7 жыл бұрын
pole sana Roma
@intercenscans2884
@intercenscans2884 7 жыл бұрын
kuna kitu roma anakificha, macho yake yanaonyesha.
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 7 жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana kuliko yeyote mtegemee yeye, mwanadamu ni nani mpaka akutie hofu? mwenye hila hatashinda , siku zote mtegemee MUNGU. Pole sana.
@dewmustapher8616
@dewmustapher8616 7 жыл бұрын
duuuh...mungu akusaidie roma
@shaibuhamisi8715
@shaibuhamisi8715 7 жыл бұрын
asante sana bro millard ayo
@stargloria7106
@stargloria7106 7 жыл бұрын
your TV is the best..... no scratches.....so clear with perfect voice
@jasminikinga4839
@jasminikinga4839 7 жыл бұрын
pole Roma mungu ni mwema . utakuwa sawa
@AidanMlay
@AidanMlay 7 жыл бұрын
This is the worst press conference i have ever watched. Mwakyembe anakwepa maswali anasema sio relevant na topic wakati yanahusika 100%..anyways hapa movie imechezwa moja hatari mimi siamini chochote hata akina roma pia wanazingua.
@khalidvova6601
@khalidvova6601 7 жыл бұрын
kujibizana kwa post za ovyo huwapa mwanya viongoz kutufanyia dhihaka juu ya maisha yet kwa sabab wanakuwa tayar washabaini watanzania wanauelewa upi wa mambo na hii kit kibaya sana akil na ufaham wa mt huchunguzana humu humu mitandaoni nawasihi watanzania jipimeni ufaham wa jambo kabla hujatoka na kufumbua mdomo......"mungu ibarik tanzania"
@yuriempress938
@yuriempress938 7 жыл бұрын
shukrani Mr. countdown
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 7 жыл бұрын
Poleni sana kwa yaliyowakuta Mungu yupo nanyi
@emmanuelymtamaduni2951
@emmanuelymtamaduni2951 7 жыл бұрын
Wanaharakat waoga Nao͟o͟ W͟A͟P͟O͟O͟
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 7 жыл бұрын
tatizo ni upuuzi wa watanzania wanawake kwa wanaume wote kusubiria umbeya ndo mana vinavyozungumzwa mnaona si sahihi acheni kua kana kwamba nchi hii hamna wanaume...
@martinanjiku2250
@martinanjiku2250 7 жыл бұрын
Asante kwa kutuhabarisha millard ayo
@kelvindeah341
@kelvindeah341 7 жыл бұрын
maswali wanayoyauliza waandishi ndiyo tunayojiuliza sisi wananchi sa kama hajibu kama ipasavyo anamaana ganu ya kuja hapo ni bora tyu asingekuwepo
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 7 жыл бұрын
Tunaonaga cnn na vituo vikubwa duniani kama kuna press conference kama hii uwa hamna mavurugu ya waandishi wa habari kwetu sasa kama wanafunzi wa chekechea kwenye foleni ya uji😃😃😅😅😃😃
@esgtv5447
@esgtv5447 7 жыл бұрын
we Millard ni noma yan haina haja ya kununua gazet Daaah salute
@ritaabduel4368
@ritaabduel4368 7 жыл бұрын
Jamani I know the feeling pole roma yani ukitokewa na kitu afu useme watu wakuonyeshe kutoamini roho inauma zaidi Ni sawa na mtu awe abused afu jamii Imuone muongo ndo mana watu Wanajiua mwisho
@husseinjongo7588
@husseinjongo7588 7 жыл бұрын
aiseee i'm crying
@al-abadjuma5402
@al-abadjuma5402 7 жыл бұрын
kama sierewierewi au Ndo wanaingiza nahisi muvi iko ktk intermission aisee AA wa Dom Millard broooo
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
mmh wameambiwa wasiseme hao wakisema watatekwa tena wacheni sheria ifanye kazi
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 7 жыл бұрын
Huyo dem ni msenge sana, sasa anakataa maswali utadhan yy ndo Mrs Roma. kumamake.
@conradgotham5092
@conradgotham5092 7 жыл бұрын
I think most of Tanzanian journalists waende tuition.
@wemajumanne5709
@wemajumanne5709 7 жыл бұрын
But ahsante Millard umetuletea video ipo clear kabisa👍👍👍
@tarikj3782
@tarikj3782 7 жыл бұрын
nani uyo mwanamke anapiga kelele "naomba utulivu jamani" alafu yeye ndio anapiga kelele. mh umefanya la maana kuja ila naona kama maswali mengine umeyakwepa.
@hauleckhaule6158
@hauleckhaule6158 7 жыл бұрын
poleni kaka Roma na wengine imeandikwa katka Injili takatifu Kheri yao wale wateteaji haki kwa maana hao ni wataurith ufalme wa mungu.
@chokambaya468
@chokambaya468 7 жыл бұрын
na akimjua nani atafanya nini mbona hasemi nyau we
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
nimewapenda vyombo vya habari
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
hii inshu sio ya ku comment chochote iyache tu ipite iende zake
@kilelgilbert9183
@kilelgilbert9183 7 жыл бұрын
Kwnza nawpa pol wenztuuu kwa waliyoypta, inauuma xnaa kW kiongoziii wa kutegemewa kukaatishaaa mahojianoo ya wanchiiii badalaa ya kufafnaua vzriii, ila Millard asantee wa kutusogezea hbariii, mungu akujalie zaidii ktka kazii ya mikono yakoo.
@mbmussa_fashionstyle9824
@mbmussa_fashionstyle9824 7 жыл бұрын
shukulAni kwako MT anguvu kutupostia habali zote kali
@revocatusgervas3040
@revocatusgervas3040 7 жыл бұрын
waandishi wa nchi hii ni viazi kabisa utadhani memkwa
@allymamlo2868
@allymamlo2868 7 жыл бұрын
hivi huyo mdada anayeruhusu.maswal anamatatizo gan mbona anaboa sana!!
@misswinnie542
@misswinnie542 7 жыл бұрын
Hapo umefata nini mwakyembe majibu utoi unaruka ruka tu kama bata iyo si fani yako rudi kwenye uwanasheria mwenye nafasi yake arudi nape nnauye
@chokambaya468
@chokambaya468 7 жыл бұрын
uyo waziri alokuepo bora lingewekwa jiwe hana hata maana wanahusika wote ao yeye na ao mnowaamini yy kaja apo km kubabaisha tu fala uyo yeye na bashite
@kelvindeah341
@kelvindeah341 7 жыл бұрын
jaman vp mbona mwakyembe anakwepa maswali???yani mm hata cjamuwelewa kabsa
@abdideweezy3492
@abdideweezy3492 7 жыл бұрын
shukran sana ayoo tv
@isayambuba3335
@isayambuba3335 7 жыл бұрын
mungu mkubwa
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 7 жыл бұрын
Gud staff Ayoo bless u bruv
@emmanuelnyansiro8636
@emmanuelnyansiro8636 7 жыл бұрын
hilo Limwakembe kama limetumwa kumzuia Roma asiongee ukweli
@heavenonearthchannel3748
@heavenonearthchannel3748 7 жыл бұрын
nchi imekuwa ya kipumbavu had I roho inauma
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 ай бұрын
Pole sana. Keep doing it bro. Peace.
@bigdad1816
@bigdad1816 7 жыл бұрын
whoo this is a joke what? this is a movie kabisa waziri anataka nini ili swala ni la waziri wa mambo ya ndani na si waziri wa michezo na habari kweli leo nimeamini hii serilkali inachezea WaTanzania kabisa.
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 4 ай бұрын
Waandishi wa Habari tabia gani hizi? I didnt expect such kwa watu kama nyinyi. Peace.
@curiositygenius9207
@curiositygenius9207 7 жыл бұрын
Swali la kujiuliza ni swala la Bashite (makonda) lile la kuvamia kituo cha clous fm limeishia wapi ndio tuunganishe na hili la roma sio kuruka ruka kupoteza boya
@emmanuelnicholaus8795
@emmanuelnicholaus8795 7 жыл бұрын
yaaan kuna mijitu mingine yanamajina mazurii ila hayana aminiii kabisaa
@monicamabula7420
@monicamabula7420 7 жыл бұрын
kazi nzuri millardayo
@samwelintandu790
@samwelintandu790 7 жыл бұрын
poleni sana
@abelmachunda9494
@abelmachunda9494 7 жыл бұрын
mwakyembe daaah ... haukua hivi..! Roma pole subiri hukumu ya nani amfunge paka kengere
@josephtarimo7842
@josephtarimo7842 7 жыл бұрын
bashite majambazi wote hanawajuha hanao tumia risasi kwanini wametumwa hao na bashite mkuu wakoa haondoke kama hitatokea tena
@markomushi1465
@markomushi1465 7 жыл бұрын
pole sana kk
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 7 жыл бұрын
mwakyembe jmn mbona skuelewi! pole sana Roma na wenzio
@marychacha825
@marychacha825 7 жыл бұрын
naona tu case study sijui ni research hii! tena ya madawa ya kulevya kuisha kazi Sana!
@saulomathayo
@saulomathayo 7 жыл бұрын
Ukifuatilia kauli za mwakyembe kwa umakin utagundua serikali imehusika kwa 100%. Kwel usalama wao ni mdogo sana, ndo maana hakusema kila kitu. Cc sote ni wafungwa hapa Tanzania, hatuna haki, mda wowote tunaweza kufanyiwa chochote. Mungu tu ndo atatunusuru na hili.
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 жыл бұрын
waandishi rudini shule
@IbrahimMwakikoti
@IbrahimMwakikoti 7 жыл бұрын
Huyo dada mpuuzi hapo mbele nae K tu
@janetcharles4991
@janetcharles4991 7 жыл бұрын
hahahahaha duuuuh,, ama kwl mwakyembe ni bashite mwngine
@lovelyheaven2027
@lovelyheaven2027 7 жыл бұрын
Yaani waandishi wa Habari wa Tanzania ni mashabiki wa siasa kabisa!!Maswali mengi si ya kitaaluma ni kumkandamiza mtu fulani bahati wamkemkuta waziri ni mtaalamu si wa kukurupuka!! Wengi wanataka majibu ya kile wanachoamini!! #Tanzaniayetu
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
huna akili wewe vitu viko wazi
@BarakaWaya
@BarakaWaya 7 жыл бұрын
Roma kaongea nini sasa! daaah
@yusuphsamwel7949
@yusuphsamwel7949 7 жыл бұрын
NamkumbukaNape, kunaviongozi wengine wanareta mambo ya bashite
@issasaidi1019
@issasaidi1019 7 жыл бұрын
ilizoea kumshika masikio nape huyu hataki maneno Ya kusikia hapo amesikiliza akasema niwape imani mpak jpili watakuwa wamepatikana sasa hakusema nilazima watakuwa wamepatikana mtu akisema niwape imani anawapa moyo wananchi kama mkuu wa ulizi na usalama mkoa wa dar yani nyinyi wandishi wa habar mnatakiwa mbadilike
@monicamabula7420
@monicamabula7420 7 жыл бұрын
pole sana loma
@erickthobias4838
@erickthobias4838 7 жыл бұрын
Mazee kazingua,stori nyiiingi wakati watu wanataka kujua nn kilitokea!
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 жыл бұрын
Poleni sana kina Roma, wako traumatized kwa kweli, huyu mwanamke ni nani? ana kera sana na hayupo professional kwenye kazi yake kama kanywa maji ya chooni
@killerbona5018
@killerbona5018 7 жыл бұрын
Hivi kulikuwa na haja gani ya Mwakyembe kuja??? Japo kajitolea haimanishi kila swali alikimbie Kama asingetaka kuulizwa maswali kaja kufanya nn hapa bado hatujapata waziri wa Sanaa, habari na Michezo Mh. afanye uteuzi mwingine 2
@dr.abdinassir6807
@dr.abdinassir6807 7 жыл бұрын
@Milard Ayo ndugu mwisho sjui ulichomoa mick sjui, video imefoka sanaa daah #umeniumiza_sana_maskio
@allymapinda8804
@allymapinda8804 7 жыл бұрын
Hawa waandishi wa habari ni kama watt wa chekechea! wangefanya kwamba maswali yangeandikwa na kujulikana idadi then.
@jerrudon9638
@jerrudon9638 7 жыл бұрын
Kuanzia Leo sitasikiliza nyimbo ya Roma tena.na sina sababu ya msingi nimeamua tu
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
kuma la mamako kwendaaaaaaa malaya mbwa wewe
@methuselayusto5114
@methuselayusto5114 7 жыл бұрын
I would suggest the victims to access psychological counselling to foster resilience ( one among mentioned to have nightmares that may develop to mental Heath problems if not dealt). May Almighty God protect you.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
UBAYA UBWELA KUZINDULIWA  MBUGA YA MIKUMI,AHMED ALLY(@Katalina691
3:19
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
Rostam - Kaka Tuchati [Official Music Video]
5:00
VIVAROMA
Рет қаралды 5 МЛН
KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe'
15:03
Global TV Online
Рет қаралды 216 М.