GPS: Pigo zito kwa Hezbollah kifo cha Hassan Nasrallah! Israel yachukua ushindi, IRAN yaaibika tena

  Рет қаралды 14,611

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 421
@aliijumanne8293
@aliijumanne8293 7 сағат бұрын
Hii ya Leo kali AISEI.... Mapema sana.... Congratulations 🎊 🎊 🎊 guys, we love you so much because we are learning alot from you guys... Big up guys.... Tuned in from Mombasa Kenya 🇰🇪
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 5 сағат бұрын
yaani GPS ni noumaa sana alafu imekuwa na wachambuzi woote wazuri wame bobea hongereni sana Bro SKY, DJ Sma,Ally Masubi na Henrly kazi nzuri sana
@Williamstozzo
@Williamstozzo 7 сағат бұрын
Dj Smaaa unachambua kwa hisia sanaa brother
@yasrimambo439
@yasrimambo439 4 сағат бұрын
Kaka ww eleza usiache jambo wenye kuelewa tunaelewa na tunafuatilia wasioelewa watabaki kutoelewa
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 5 сағат бұрын
Leo Gps Yampto Sana Wallahy Ilikuwa Naisubiri Sana Kwa Hamu Na Hamumu
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
"Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika."
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Сағат бұрын
Yaas! If you know, you know. Kama hujui huwezi kuelewa
@aliomarali8890
@aliomarali8890 3 сағат бұрын
Africa hatuna ujanja yaan kilichobaki ni kufanya ibada ili tukapate pepo tu
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 сағат бұрын
Wengine wanafanya Ibada kanisani ili wakafirane wenyewe kwa wenyewe Kanisani wapate pesa ya kununua Bando na Ugali na Dagaa na Pampas ya kuziba mikundu yao iliooooza 😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 сағат бұрын
​@@nasseralhatmi1762 kumbe unapata bando kwa kutatuliwa malinda😂😂 safi sana mbinu😮yako nimependa
@MtumishiNgowi
@MtumishiNgowi 7 сағат бұрын
Hongeren sana nawapongeza kwa kutupa habar nzur
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 3 сағат бұрын
Walipoga ma bomu 8....kweli tone 85 pia boms ni zila za Banker buster bombs ku penatrate chini ya Aridhi meter zaidi 30
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Сағат бұрын
Hv nyie GPS ndo mlisema Israel itakuwa ngumu sana kumuua hiyo jamaa
@wazirihilali635
@wazirihilali635 5 сағат бұрын
Hata museven kinyesi chake kinalindwa na kubebwa na intelligence yake. Yeye anatembea na toilet yake anapokua ziarani
@allynyangehassan5121
@allynyangehassan5121 3 сағат бұрын
Wachambuzi wa sns-gps Sasa munavu juwa urusi wana hizo technology yaku zuwiya ule hu intelligence wakuzidi wa Israel mbona una tisha na sisi ma Africa tuna mukubali murusi kweli kwenye hi style sisi wa fasi wawo tuta tobowa kweli?
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 4 сағат бұрын
😂😂😂😂 Starbucks. KFC. MD donas. Coca-Cola pizza vyote vya Israel
@amanilucy
@amanilucy 2 сағат бұрын
Umesahau vingi adidasi,nike ,
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 48 минут бұрын
Ni nyingi america nzima ni wao tu
@Useri-bn6ye
@Useri-bn6ye 3 сағат бұрын
Kuhus bandari Zanzibar usijal kaka smaa Raisi wetu ashaekeza Tayari tunabandari kama 6 mpya zinatengezwa so ucjal
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 3 сағат бұрын
Maoni yangu ni vzr mtu mmoja azungumze hadi amalize ndio mwengine anaweza kuogea Ila kwa maoni yangu mukianza kuogea kwa kuingiliana itakuwa Kam mupo maskani cause unaweza kikirusha kitu kizur ambacho mtu anataka kukisema, Ila ni maoni tuu
@NathanLukambinga
@NathanLukambinga 7 сағат бұрын
wa kwanza hapa. naomba likes kwa ajili ya GPS team
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 7 сағат бұрын
Kachukue Israel wanatoa like kila kona....
@NathanLukambinga
@NathanLukambinga 6 сағат бұрын
@@ImanSaid-q4i tayar nishaichukua bado yako
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 6 сағат бұрын
@@NathanLukambinga kama umepigwa like mbona hujafa?
@NathanLukambinga
@NathanLukambinga 6 сағат бұрын
​@@ImanSaid-q4inalindwa na comments
@ReyzDon
@ReyzDon 6 сағат бұрын
Ali akiwepo huwa uchambuzi unakuwa umekamilika
@catherinekiwelo826
@catherinekiwelo826 3 сағат бұрын
Sanaaaaa❤
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 23 минут бұрын
Mi sidhani Israel ni tishio kiasi hicho anayeogopewa hapo ni mmarekani kama drone za Iran 300 alisaidiwa kuzitungua mpaka na Jordan ilishiriki kutungua na bado zilifika na Iran alitoa taarifa kabla hajashambulia
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Сағат бұрын
Kuuawa kwa Nasrullah ni pigo kwa hisbullah lakini ndiyo mwanzo wa vita vikari na kubwa na vya hatari vinakuja. Kweli jeuri ya Majeshi ya Israel ni ndege za Kivita na vifaru pamoja na Interejensia waliyo nayo lakini pamoja na hayo hakutakuwa na mshindi Katika vita hii.
@muridundhikri
@muridundhikri 6 сағат бұрын
Utangulizi ambao haupo kwenye mada msiufanye mkubwa
@21899
@21899 Сағат бұрын
Dj smaaa wafundishe wenzio wakizungumza watizame video rekoda kama unavyofanya wewe wachambuzi wazuri ila wanaipa maiki sikio
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 44 минут бұрын
Mefurah kuona dj sma amekubali biblia...utukufu kwan Yesu....❤
@UUWF
@UUWF 2 сағат бұрын
Israel inatumia hadi nguvu za mashetani katika intelligence zao Israeli, America wana nguvu za ziada
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 3 сағат бұрын
Wa Israel wana mfumo wa Electonic war fare....wanapiga picha za 3D
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 Сағат бұрын
Asante kwa uchambuzi ila tumezingirwa kikamilifu ee mungu tuokowe
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 49 минут бұрын
Jamanii pelelezenii habari zilizopo hawajafa wakohaii kwamuungu hakuna kubwa
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 сағат бұрын
Uchambuzi mzuri cku moja 1 tuwe tunachambua nahaya yanayoendlea hapa kwetu
@godcompeter9844
@godcompeter9844 Сағат бұрын
😂😂😂😂 waambie
@aliomarali8890
@aliomarali8890 3 сағат бұрын
wanachofanya ni kuiaminisha tu jamii kua ni vitu visivyowezekana
@AyoubJha-l5j
@AyoubJha-l5j Сағат бұрын
BIG THREE 3 Leo mmechemka sana, kufa kiongozi si tatizo amekufa Mullah omary ,Osama,Alzagawi , Mwisho Taliban bila ya hao wameibuka na ushindi na mataifa hayo yote mnayoyasifia kwa hiyo technology wamekimbia
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 26 минут бұрын
Insha allah hizbullah,hamas ,huthis na wanaharakat wote allah atawapa ushindi kama talibani walivyowasbinda wasoviet na magharibi amin
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 27 минут бұрын
Misaada mingi wanayotoa Wana malengo yao. Na ikionekana watachelewa kufanikisha hutumia kampeni kabisa. Tumechelewa sana kujua mambo mengi. Hebu vitabu vya dini view dira yetu.
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 6 сағат бұрын
Haliwezi na halitoweza Jeshi lao lilokosa maadil kuipiga Hezbullah biidhnillah mpaka kiama kitasimama
@raymrash
@raymrash 3 сағат бұрын
Ninyi Hezbollah ndio hamna maadili ...kwa sababu mliwachokoza wenyewe...usilete madam zingine hapa
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 2 сағат бұрын
@@raymrash Sawa LGBT
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
@@mohamedaley5632 wala siko na sihusiani au kuunga mkono LGBT. Niko katika kuitetea nchi yoyote ile katika kujilinda na sio ugaidi kama wa Hezbollah.
@masweto
@masweto 2 сағат бұрын
Kilio Sasa kwa warabu wa mbangala
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 2 сағат бұрын
@@raymrash ugaidi unaujua au ushajazwa?
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 3 сағат бұрын
Dj Smaa,pole sana bila Shaka Itapita tu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 сағат бұрын
Halafu smaa kila siku unaumwa ww ndugu yetu pole sana
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 2 сағат бұрын
Muonganishi dots hana la kusema la maana na bado hakosisagi sababu na nimejua kwanini yupo upande huo . Hawo wapi wa.Israel achana nao they blessing from God hameexi hata waonganike wote atawsumbua
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 44 минут бұрын
Sawa wao wamebarikiwa na mungu vp wew 😅😅😅😅
@saidmatola8015
@saidmatola8015 25 минут бұрын
Ni rahisi sana, Israel Mosad wanafanya kazi na CIA na FBI. Israel na Marekani wanashare Intelligence, the whole Labanon and Gaza iko chini ya satellite zao. Lebanon hawana satellite, bado wachanga. Ila Irani imeshaweka satellite yao ya kijeshi so its a military power....
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 53 минут бұрын
Kipara ndio msemaji wa ma gaidi duniani kazi nzuri
@AshrafuJuma-sy1up
@AshrafuJuma-sy1up 26 минут бұрын
Amna Israel wanyama wauaji fuatilia wanafadhili isis na al Qaeda.Israel taifa la mashoga
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 7 сағат бұрын
Israili bhana Yan LEBANON/IRAQ/IRANI/TURKEY/YEMEN/EGYP/ SAUD ARABIA woote wana tzama tuu huyo irani anaye ogopesha wa2 marekani wana mtamani kweeli kweeli kwani marekani ali shindwa kuosmnana nae huhusu nyuklia sasa aki nyenyua mkia tuu F35 haita fanya kazi bhali B52 ita stack hapo kwenye anga ya iran itage hadi imalize nyuklia yooote pabakie kama gaza
@goodluckmwamboneke5591
@goodluckmwamboneke5591 4 сағат бұрын
Ndefu tamu fupi inakela
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 сағат бұрын
😂😂😂 duuh
@WilhelmIbaganisa-bx7zj
@WilhelmIbaganisa-bx7zj 2 сағат бұрын
Sky siku moja mkaribishe ibrahim rabhi , huyu nae kabobea kwenye uchambuzi wa haya mambo . Azamtv pia dw na bbc wanamtumia sana
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 17 минут бұрын
Yuh kweli kabisa
@NaimaniPalangyo
@NaimaniPalangyo 7 сағат бұрын
Hendry unachambua vizuri
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 7 сағат бұрын
Muwe mnakubali na uwezo wa Israel
@omysule7118
@omysule7118 7 сағат бұрын
Uwezo wa kuuwa ovyo pia una ushabikia
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 7 сағат бұрын
​@@omysule7118 Hezbollah wao wanapeleka pipi Israel 🇮🇱?
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 7 сағат бұрын
@@omysule7118Uwezo wa kuuwa magaidi
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 7 сағат бұрын
Israel anajitahidi sana ila anatakiwa aizuie Iran kwanza Kisha adili na haya makundi
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 6 сағат бұрын
Ukizungumzia izraeli kuwa ina uwezo nikweli kwanu Marekni ni wao ulaya niwao kwamana iyo netanyahu nkibaraka now kwahili sasa watadhalilika muda kidgo
@IssacNtacho
@IssacNtacho 5 сағат бұрын
Mnajadiri vema,,mnaustarabu,mnapokezana ,wakat mmoja anaongea mwingine anasikiliza na kutafakari ,good job,,
@venancerutta6875
@venancerutta6875 6 сағат бұрын
Mchambuzi uko vizuri Israel teklojia Yao IPO juu watu hawataki kukubali Iran na ulinzi wake wote mpaka anajua kiogoz ismail Israel ni tishio bomu tan 85 kinapenya anatekeleza kusudio lake
@AbdulRaheemKhamis
@AbdulRaheemKhamis 6 сағат бұрын
Leo GPS mume nifurahisha Yan wiki nzima nilikua natamani GPS watoe uchambuzi kwa yanayoendelea
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
Uchambuzi mzuri sama...Iran basi wa yache sana kwendereya kulusha makombola ndani ya Israel
@JonasiSebastiani
@JonasiSebastiani 3 сағат бұрын
Yalitabiliwa katika Ezekiel 38yote ndo ujue,pia soma ufunuo 16.
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
Israel.waiyachetu kuyichokoza.. Na huyo jamaa wamakamu naibu ashampiga pia amewuwawa
@BoboManya
@BoboManya 5 сағат бұрын
Maarabu baesilamu mweye amuwezi waza mbali lakini majini muko nayoo amuwezi waza israeli nitaifa teule ya mungu akuna ishi inaweza kuipinga ya kiarabu mpaka gisi dunia itaishaka ba christo tuko pamoya Na Israël tuuwe mpaka kizazi ya mwisho ya kiesilamu Ama kiarabu
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 6 сағат бұрын
Hizbollah hana uwezo wa Vita na zote inchi za u Arab hawezi kupigana na Israel....na wale ata tueeke mungu pembeni.....israel kama inchi yoyote wala wa Yahudi wana Ujuzi wa Hali ya juu sana
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 6 сағат бұрын
Alokwambia nani kama Israil ana uwezo wa kuipija Hesbullah kwann mpaka leo ameshindwa kuimaliza Hamas na kurejesha mateka wao kijana acheni kupotoshwa
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 3 сағат бұрын
Ila uy Mungu mnaeshirikisha katika uwovu wabinadamu niyupi?😂tuwe tunafkiriya kwanza kutaja ilo jina katika mambo ya siasa naukatili wabinadamu Mungu anapiganiwa kwel?anaitaji ma bomu anaitaji ndege anaitaji ulinzi waanga anaitaji ujasusi😂😂eeeh MUNGU turehemu
@ManusuraWalumona
@ManusuraWalumona 7 сағат бұрын
Huyo ndugu yetu Nasrallah ilikua ni lazima auae kutokana na hali iliopo kule Israël marekani na nchi zote za magharibi ikiwemo ujerumani na uingereza zinaona kua hilo ndio suluhisho la kuinusuru Israël kwa hiyo hiyo ilikua mission yao na target yao muhim😢😢
@HalimaRamadhan-r3q
@HalimaRamadhan-r3q 3 сағат бұрын
Maa Shaa Allah pole DJ smaa Allah akupe shifaa
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 7 сағат бұрын
Nyinyi mabom hisbulla waki yarusha hoo yamelipuka yenyewe juu hayaja ua mtu lakini wao Israeli Ata wakirusha njiti yakibiriti wame ua watu Mia tano acheni kutu tangazia taalifa zamaghalibi acheni bwana
@nahayohamza7090
@nahayohamza7090 4 сағат бұрын
Ila nimegunduwaa na nyinyi haumfai fujo nyingi tuuu kwanini mnaogopa kusema ukweli iyo mosssad lilikuwa kundi lamagaidi ila mnaka kuleta leta fujo nyingi sanaaa tuuu kwani bila inchi za magaribi Israel inauwezo gani?
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 6 сағат бұрын
sma kama anataka kulia hivi...chambua kwa facts zilizopo sio mahaba yoyote, and thats what will set a bar as a prominent analyst!
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 Сағат бұрын
Pole sn djsmaa
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 2 сағат бұрын
Mkubali msikubali izrael inamisaada ndio maana hawawezi kusimamisha vita na nchi zote za nato zinamsaidia ajaribu aoigane peke yake ndio mumsifu hata fisi zikichangilia zinamuua simba
@godlovemariki6302
@godlovemariki6302 6 сағат бұрын
Uchambuzi mzuri ila tumieni KISWAHILI kamili ili kila mtu aweze kuwaelewa kuna wengine wanabaki njiani
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 2 сағат бұрын
Izi nchi zakiarabu technolojia zawo bado ziko chini san inabidi wawekez naapo namarekani wengi kashawanunuwa njo maaana hawana lakufanya mossad wana uwezo kwakuwa budget marekani anawapa nikubwa sana iran njo anatafutwa inabidi asikurupuki ajibane ajiimarishe kwakuwa magharibi wanamtaka sana ila wanakosa sababu njo maana wanamtumia israel aprovoke
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Сағат бұрын
Wayahudi wanataka kujenga hekalu hivi vita vinavyoendelea ni kutaka kujenga hekalu naomba sns nialikeni nije nifafanue hii vita utaishia wapi na kwanini inaendea
@IssacNtacho
@IssacNtacho 6 сағат бұрын
Israel hoyeeeeeeeeee💪💪💪💪
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 Сағат бұрын
Subiri tuu Wa israel watatu vamia hata sisi waafirka watatuwa kama kama wanafiyo wauwa waarabu huko gaza na lebanoni ni wahodari sana kuwauwa Raiya kina Mama na watoto watachukua Ardhi zetu waafrica.
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 48 минут бұрын
Rais wa Turkey Erdogan ndo alisema UN wamefeki na wanadauble standard
@feilymusa3925
@feilymusa3925 6 сағат бұрын
Netanyau ametangaza akiwa U N hii vita, hakuna anayeweza kuzuhia israeli na inamkono mrefu wa kupiga mashariki ya kati yote, pia kiongozi wa uro amekili hawawezi kumzuia netanyau
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 2 сағат бұрын
Kwenye Hamasi Kila mtu alikataa kukaimu mpaka cheo kikamwendea mtu ambaye akaimu au asikaimu lazima afe na ndiye aliyekaimu, wengine waliogopa
@saidjuma7878
@saidjuma7878 7 сағат бұрын
Asante sn, nawapata kutokea zanzibar, mm napata mashaka na kiongozi wa kidini wa iran Ali khomenei, sbb mapinduzi ya iran yaliyoiweka serikali ya khaminei madarakani yalifanyika kwa msaada wa mayahud, wasi wasi wangu hawa akina khaminei wanakwenda kwa maelekezo km ilivyo serikali ya saudi arabia
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 6 сағат бұрын
Israel mamb mengi anashirikian CIA na M16 sio km kil kona wapo
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
Usichokijua hata pale Zanzibar Mossad wapo 😂
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
Sema tu huipendi Israel 😂
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
Awo walitoka ndani niwapizani wa Israel...na aliongea nazani walisoma kwa simu hutuba yake
@BoboManya
@BoboManya 5 сағат бұрын
Auko Saw dungu yangu Israël ilisha shinda kazi mapema sana muarabu ana neno kwa mu yaudi mutakufaa sana baesilamu Na bado
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 7 сағат бұрын
Dj sma ni muongo. Huyo gaidi Nasra hajawahi kuishinda Israel hata mara moja
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 7 сағат бұрын
Tangu lini kigogo kikaelewa
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 6 сағат бұрын
Ww ndo gaidi nchi gani ya kiarabu ilouwa nchi nyengine wazungu ndo wauwaji wakubwa duniani
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 4 сағат бұрын
Wazungu ndio wauwaji wa watu duniani na ndio wameongoza ukandamizaji unyanyasaji na unyonyaji ktk hii Dunia ikiwemo utumwa,ukoloni ubaguzi wa rangi ikiwe Afrika kusini na Marekani enzi za Akina Martin Luther king Jr.Pia ukoloni mambo Leo na kulazimisha watu kukubali ushoga.Wewe hujui kitu.Nenda ukasome.
@shariffally2213
@shariffally2213 7 сағат бұрын
Mimi ninavyoona izrail inasaidiwa na ulinzi wa anga tu, laiti kama c ulinzi huo basi leo vita vikubwa vya ulimwengu vingetokezea.
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 6 сағат бұрын
Wamagaribi na Israeli ni rahisi sana kuwa na makachero kwa sababu wao hawana limit ya masuala ya haramu au halali. Wao vyote ni sawa tu. Ni tofauti na Waislamu ambao wanazingatia sana na kutilia umuhimu wakulinda nafsi dhidi ya vitu haramu. Hivyo, si rahisi sana kuwa na makachero wengi katika mazingira hayo kutokana na kulinda Imani.
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu 5 сағат бұрын
Je unaelewa unachokiongea? Ivi Kuna uharamu zaidi ya ugaidi.
@emmadora7848
@emmadora7848 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 we mwenyewe hapo ulipo ni haramu ,kwenda zako
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 Сағат бұрын
Tukubari wa yahudi wana akili na anauwezo..pia ni matagiri..na ana moyo wa bila uwoga
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 31 минут бұрын
Kbs nikweri from 🇧🇮💐
@swalehhaji7042
@swalehhaji7042 7 сағат бұрын
"He is the only men standing for Palestina people without fear speaking the truth and fighting for them ,while all Muslims leaders fear to say the truth about is Israel and fighting for Palestina he is the winner.May Allah Bless is Soul.
@WilhelmIbaganisa-bx7zj
@WilhelmIbaganisa-bx7zj 6 сағат бұрын
#SKY UKO POWA NA TIMU YAKO , MASUBI BRAVO UNAFANYA KAZI NZURI . ISRAEL HII NCHI PASUA KICHWA . WARABU NAO WANAANZISHA VITA BILA KUWA NA UMOJA WA UMSULI WA VITA .
@joycemalundo1055
@joycemalundo1055 7 сағат бұрын
Bro,.sky, matusi yamezidi umundani skuizi, kila mtu ashabikie anachokiamini bila kumtusi mwingine mbona safi tu. Wanakwaza sana inakuwa kama issue za kidini, sio sawa waambie waache hio tabia , naamini unasoma comment zetu.
@IssacNtacho
@IssacNtacho 5 сағат бұрын
Hahahaaa,,nikweli ,,Mimi ni shabiki wa Israel ,hata kwa gharama ya kifo
@masweto
@masweto 2 сағат бұрын
❤ Israel
@ummukuluthum1355
@ummukuluthum1355 3 сағат бұрын
Bravo 👏
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 5 сағат бұрын
Hawa Iran nimeanza kupata wasiwasi maneno mengi vitendo hamna so nishaanza kutokuwakubali
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 сағат бұрын
Hata mimi🫲
@raymrash
@raymrash 2 сағат бұрын
Acheni chuki na Israel, msiwachokoze, jengeni nchi zenu na kutakuwa na amani kwenu na Duniani.
@RamadanPaul
@RamadanPaul Сағат бұрын
@@raymrash wewe si unaona ramani ya netanyau?. Ardhi yote ya middle East wanataka kuichukua, sasa unataka wafanye nini sasa hao wenye ardhi yao?
@raymrash
@raymrash 58 минут бұрын
@@RamadanPaul kama hiyo ramani ni hoja mbona Saudi Arabia, Jordan wametulia na hawashiriki hii vita!!!? Kaka katika swala zima la vita vya Israel na maadui zake Kuna upotoshaji mkubwa sana. Wayahudi na taifa lao Israel wamekuwa wakichukiwa na kuuawa tangu zamani. Na mbaya zaidi ziko dini zinahalalisha chuki hiyo kidini na kiitikadi kwa kigezo kwamba wamelaaniwa au wengine kusema ni mashoga...ifike hatua ulimwengu utambue kuwa kuwachukia wayahudi au watu wa aina yoyote sio maagizo ya Mungu wa kweli. Waarabu Wana nchi zaidi ya 48 kote wamejaa wao tu kale kanchi ka Israel ni kadogo na Bado wanakataka... sioni kuwa ni busara kuwachokoza waIsrael muwaache ilinkuwe na amani.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 2 сағат бұрын
Mudimpe ushindi israili Jana bado ushindi bado hamasi Moto wavukuta
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 4 сағат бұрын
GPS🔥🔥🔥🔥
@merrymwakunje4108
@merrymwakunje4108 7 сағат бұрын
Ansante sana sky nimesubir Kwa hamu
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 6 сағат бұрын
Na alichakmguwa wamakamu wake...lisaa moja tu nayo amepigwa vibaya wayahudi bwana hatari
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 сағат бұрын
Mayaudi wakiafrica wana msapo mzayuni kuuwa viongoxi wa dini kama yesu.kwa imani ya kikristo.
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Сағат бұрын
Jamaa Mungu amewatumia kuhubiri njiri ya kurudi kwa Yesu ni kweli Yesu anarudi
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 4 сағат бұрын
Hapo kwenye simu ni kweli mtoto akipotea tuu ulaya sms kwenye simu zote na alarm ina lia tena wala sio mziki unayo weka😅😅
@DevidNgosiyo
@DevidNgosiyo 7 сағат бұрын
Dj smaa mchambuzi wa michongo, hupenda kuwatetea magaidi wenzake na kuichukia Israel kwa sababu yeye Dj smaa ni muislam, na Israel inawakilisha Ukristo, Israel oyeee!!❤
@ce-08
@ce-08 6 сағат бұрын
Israel haiwakilishi ukristo Israel dini Yao kubwa ni Judaism(wayahudi) japo wakristo wapo na waislam wapo kwa uchache ila ukristo unatambua Israel kama moja ya sehem takatifu ambayo imetajwa katika kitabu Chao Cha kiimani(biblia) ndiyo maana wakristo wapo upande wa Israel sababu wanaona kama patachukuliwa kwao itakuwa ngumu kupafikia wakati bible inayataja maeneo mengi takatifu yapo Hilo eneo la Israel
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 6 сағат бұрын
Kwelii kabisaaaa
@LeahyMagoso
@LeahyMagoso 6 сағат бұрын
😂😂😂
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 3 сағат бұрын
Israel haimkubali Kristo ata biblia hawaikubali waisramu niwengi kuliko at ukristo ndani ya israel naukristo hawufunzi mawuwaji awo kulipiza apana iy ni kazzi ya MUNGU pekeake aya tunaoyona nikuaribika kwa mwanadamu ila na biblia imeshasema kitambo nyakati zamwisho njo haya matokeo yake.
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 сағат бұрын
​@@ce-08Uongooooooo 😂😂😂😂
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 5 сағат бұрын
Tatizo la Israeli anataka kuivuta Iran ili ampambanishe na Marekani
@emmadora7848
@emmadora7848 5 сағат бұрын
Irani anahusika vipi huko kama sio kiherehere chake tu acha wapigwe
@amosmakabara3024
@amosmakabara3024 Сағат бұрын
Matatizo yanatukuta ili kutukumbusha tulipotoka tulipo na tunapokwenda pia
@ReyzDon
@ReyzDon 5 сағат бұрын
Huyo Naibu karibu mkuu Alisha uwawa labda mmechelewa kutoa tarifa
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 7 сағат бұрын
Kimimi naona huyu kiongozi wa Iran ni mmoja wao mayahudi inakuaje uwe na uwezo wa kijeshi lkn Kila siku mtalipiza tu
@Williamstozzo
@Williamstozzo 7 сағат бұрын
Haha baada ya kulipiza nini kinafuataa,,,?anajua kwanini Iran inasitaaa...ukumbukee israel anamtaka Iran na huko kwingine wanazungukaa tuu
@hameedm8361
@hameedm8361 7 сағат бұрын
Iran atakapo pigana marekani ataingia
@raydanfrenk
@raydanfrenk 7 сағат бұрын
😂😂 iran mnakitu mzee kipara alivyo kuwa anatuaminisha 😅😅😅😅
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 2 сағат бұрын
Ali naisubiri makala yako kwa hamu kubwa,uko vzuri sana Brother
@AbdurahimMohamed-o8f
@AbdurahimMohamed-o8f 5 сағат бұрын
Mm.nisapota.mkubwa.sana.lakiniwananitia.mashaka.sana.lakini.wachatuone
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 6 сағат бұрын
Mi najuwa awa viongozi waaa amassi wako vizur kuliko wa hesbola awa wanachomana wenyewe kwa enyew
@JohnMilulu
@JohnMilulu 2 сағат бұрын
Daa.. Wachambuzi... Alishinda vita gani huyo mbele ya israel? Israel ilisarender? Kilichotokea ni usuluhishi wa kimataifa ili kuondoa majanga kwa lebanon
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Сағат бұрын
GPS kuna namna uwa watuangusha sana. Ila penye ukweli uwongo huwa unajitenga
@Yotekwayangagood5610
@Yotekwayangagood5610 7 сағат бұрын
😢 inasikitisha sana 😅alafu inachekesha nikiwaona wachambuzi wa sns 😢 wanaumia sana
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 3 сағат бұрын
Israel hafny kaz peke yake bila ya CIA na M16 bwana
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Сағат бұрын
Hii habari umeipata wapi? Tuambie na sisi tukaisome. Au una mawasilano ya moja kwa moja nao?😅
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
Sasa Dunia itachaguwa ugaidi wakujificha awu wa ki civilisation? Ugaidi ni baya sana
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj Сағат бұрын
dj smaaa aowe bwana GPS nawakubali xn my brother
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 сағат бұрын
Israel wana Millitary setilites na an ma control GPS pia ana ndege za Electronics....
@raydanfrenk
@raydanfrenk 7 сағат бұрын
Mzee kipara et rais wa zanzr anafanya kaz 😂😂 kwaiy wa kwako umemdhalau 😅😅
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 2 сағат бұрын
Yanii iziraeli kibokoooo sanaaa semeni lakini mambo Yao yandani amuezijua
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
#LIVE: MEZA YA BUSARA  | ISRAEL KATIKA UNABII  |  Urusi Na Iran Vinara.
1:17:10
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 525 М.
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
Kiongozi wa Hamas huko Lebanon auawa kwa shambulio la Israel
2:41
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2,3 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН