Mm naona Aishi Manula ndio tatizo amechukia kuletewa kipa anae mchallange alizoea mtelemko kwa Ally Salim. Manula alitakiwa apambanie namba aoneshe kua kweli yeye ni Tz one, sasa anamkimbia Ayubu inamana amekata tamaa mapema. kukimbia tatizo sio suluhu, suluhuu ni kutatua tatizo amuoneshe kocha uwezo wake mengine yatafuata sasa yeye akijiona ni no moja tu hataki challange ni kukosa ukomavu.
@ismailhassan520918 күн бұрын
Wewe!!! Simba na Azam wanajua kinachoendelea tit for tat watangazaji msitupigie kelele Azam ndo wamechafuwa hali ya hewa vivo hivyo kwa Coastal union
@vaxminja905314 күн бұрын
Simba wawe na heshima wanapoochana na wachezaji wao
@eddyology730415 күн бұрын
Wasenge hao waondoke. Yeye na chama walikua wanauza mechi wasaliti. Acha waende. Simba ilikuwepo na itaendelea kuwepo
@eddyology730415 күн бұрын
Aende JKT akacheze na boko
@ClassicUsed-jg6ri17 күн бұрын
Manula anaenda yanga
@azizaj77617 күн бұрын
Aishi Manula aende aendako amegeuka DUKA LA TIGO PESA NA AYUB LUNRED YUPO PALE ANAJUWA HAWEZI PATA NAMBA HUSUSA WATU WAMESTUKA TIGO PESA AENDE MWANA AENDAKO OUT MANULA