No video

ALLY BONGE AFOKA NA SAKATA LA MANULA/ MPANZU VIPI! AMPA BARBARA RUNGU SIMBA

  Рет қаралды 11,892

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 13
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Ай бұрын
Ndugu yangu unaujua mpira. Nimewaandikia Viongozi mara 3 kuwaomba walete mgeni kwenye namba 2 lakini hawasikii. Misimu yote mitatu udhaifu wa Simba ulikuwa kwa Shomari. Cha kushangaza leo ati bado yupo Simba kwanini? Hawezi kabisa kukaba ni majanga matupu. Huyo kijiri haitoshi kabisa. Jitafakarini muda bado upo.
@mussachomolla3827
@mussachomolla3827 Ай бұрын
Unaongea vizur lkn kijil anatosha Mzee usijal sana
@MamboMbuli
@MamboMbuli Ай бұрын
NSSF hawana waledi wa maneno yao,,Wana wivu ,,,kusafiri ni kutamu sana
@adelinibrahim9283
@adelinibrahim9283 Ай бұрын
Usijali kijiri mashine kapombe anaweza akakalia bench sana akizuba kidogo
@baracknyerembe2192
@baracknyerembe2192 Ай бұрын
kofi la meno🤣🤣🤣🤣
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey Ай бұрын
Unauhakika anabaki
@mohamedjuma1960
@mohamedjuma1960 Ай бұрын
Kwa onana umenifurahisha
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Unajua ndugu yangu simba inarudishwa nyuma kwa uswahili mwingi na mipango ya hovyo kwa timu zingine.. Otherwise simba as a team are on the right track.. Kuna timu zingine ushindi wao ni mipango mingiii nje ya uwanja... Mfano ni huyu ufunguo wa upande wa pili baada ya kuona hawataweza Bei yake wakamtumia Dada yetu kampumbaza kaacha ofa za hela nyingi wao wanajisifia wametoa hela nyingi kuliko wengine... Safari hii na sisi tusijisahau mipango nje ya uwanja ili twende nao Sawa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Kamwe si choko yule mtoto, azam media ipo kule ingeanza kutoa updates zte kabla mechi
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh Ай бұрын
Awesu mbovu sana Tena Wala hafai Tim kama Simba timzake hizo ndogondogo tu hana lolote
@engyhy1985
@engyhy1985 Ай бұрын
Nakubaliana na Kaka Bonge, kama Onana akipata mwalimu mzuri na kumpa mambo ya kufanya na mambo ya kutofanya atakua mtu hatari sana
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
Midunduka ni midunduka tu --- na akili zao ni za kidunduka tu --- mkigongwa mnatafuta visingizio ---- Hao wavulana wenu mtawakataa wenyewe " Mpira wa kumwomba Mungu ! Hamna kitu "
@user-xl5sv7lz4g
@user-xl5sv7lz4g Ай бұрын
Kwani we Aujawai gongwa
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН