NDOTO KATIKA UHALISIA (MAANA ZA NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 9,071

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 7 ай бұрын
Amen Mm hua naota kila mara niko shulen lkn hua kuna mazingira tu kufnya kz apa n pe mara nyingine hua niko n watoto alfu mara nyingine kuona watu wakimba n kucheza
@kisubisumahili7307
@kisubisumahili7307 7 ай бұрын
MTUMISHI DRC CONGO, tuna kufatilia, natunakuhitaji, ujekututembelea please... From : EVangelist ISMAËL
@DanielMtaulwa
@DanielMtaulwa 7 ай бұрын
Hakika tunapata maarifa na ufahamu wa kutupeleka hatua nyingine tunashukuru Masihi wa Bwana Yesu
@christinecredo7945
@christinecredo7945 7 ай бұрын
Asante Yesu nimeisubir Sana hii sehemu ya tatu
@starluzenja9861
@starluzenja9861 7 ай бұрын
Namshukuru Mungu.Nimesubiri sana.Asante pia Mtumishi
@dianawebala9381
@dianawebala9381 7 ай бұрын
amen
@FaridaSilwani
@FaridaSilwani 7 ай бұрын
Mimi uwa naota nipo shulen iyo ndoto uwa inajirudia sana naota nafanya mtian tena mara nyingi uwa uwo mtiana nashindwa kuujaza
@graceaugustine1542
@graceaugustine1542 7 ай бұрын
Eeh Mungu nitetee na ndoto hii
@wnnieamos9944
@wnnieamos9944 7 ай бұрын
Mim huwa naota nafanya mtihani lakini huwa simalizagi mtihani na sijawah kukusanya hata nikipewa nigelezee majibu kwa mtu huwa nashindwa kumaliza mitihani yangu inajirudia mara kwa mara😥
@FaridaSilwani
@FaridaSilwani 7 ай бұрын
Mdogo wangu alikuwa anaamka kitandani analala chini au anafungu kabati apo anakuwa amelala
@upendolaizer4775
@upendolaizer4775 7 ай бұрын
Shalom Mimi nimewahi kuota nipo shule na kipindi cha kufanya mtihani imefika lakin sijajianda na hii ndoto imekuwa ikijirudia Pia nimekuwa nikiota nimekuwa kipofu kila ninapojaribu kufikia hatma yangu
@latifachilala2015
@latifachilala2015 2 күн бұрын
Mimi niliota Niko shule ya msingi nilimkimbia mwalimu alitaka nifanye mtihani nikatoroka
@FaridaSilwani
@FaridaSilwani 7 ай бұрын
Dada yangu alikuwa anaamka anafungu mlango anakimbi
@nyendowissy8130
@nyendowissy8130 7 ай бұрын
Mchungaji Mimi Mara nyingi huwa naota nipo na ndugu waliokufa
@HellenOndicho
@HellenOndicho 7 ай бұрын
Tulikua Mzee mmoja tulikua tunakaa naye kwa plot moja , siku Ile anaota anamka anatoka inches akipata gate kiko wazi anatembea Tu mpaka Mahalia ataipata MTU amuongeleze hapo ndio atamkia. Lakini kama gate kimefungwa akiguza pate kimefungwa Anamika hapo.
@nyendowissy8130
@nyendowissy8130 7 ай бұрын
Na baba alikua anaota anaamka anaenda shamba kukagua na anarud kulala lakin haelew chochote
NYOTA YANGU SEMINA |DAY ONE | -   PASTOR SUNBELLA KYANDO
57:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 12 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA (MAAMUZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
39:57
Reality of Christ Church
Рет қаралды 5 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 84 М.
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 347 М.
NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:23
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 3,4 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA SEHEMU YA KWANZA
20:09
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 1,8 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 11 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA ( NAFSI ) PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:52
Reality of Christ Church
Рет қаралды 8 М.
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 16 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН