No video

ndoto kushambulia/kushambuliwa Pr/Sheikh: Jafari Mtavassy (R.A)

  Рет қаралды 4,031

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

As, alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh lillaahilhamdu maashaallaah baarakallahu fiikum na ni furaha leo pamoja kuwa tena live tukiulizana kuhusu ndoto tafadhali share na wengine link wapate kuuliza ndoto zao na majibu ya papo hapo kwa coment na kesho tutakuwa live mara mbili inshaallaah maramoja katika ndoto na maranyingine katika dua

Пікірлер: 52
@jubiercib3074
@jubiercib3074 2 жыл бұрын
Wingi wao hawajui kutfsir hizi ndoto
@user-xi5cx1dg4d
@user-xi5cx1dg4d 2 ай бұрын
Shehe mimi nimeota nashambuliwa na risasi tumboni na mtu mgeni
@user-xi5cx1dg4d
@user-xi5cx1dg4d 2 ай бұрын
Na hata sikufa na nikajificha na akajua nimekufa ila sikufa
@teddykaundarevo9321
@teddykaundarevo9321 2 жыл бұрын
Shekhe mm niliota nawafukuza wanaume wawili mmoja kikafanikiwa kumponda na kipande cha tofari he inamaana gan
@esthergeorge369
@esthergeorge369 Жыл бұрын
Asante kwa kazi nzur naomba unisaidie niliota mumewangu amechomwa mkuki tumbon na mwanamke lkn yule mwanamke alivyo niona alichomoa mkuki akakimbia lkn damu hazikutoka nilimshika mumewangu tukaondoka hii inamanisha nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
maashaallaah huyo ni mchepuko ameachanana mume wako
@TKd-kf6lc
@TKd-kf6lc 2 ай бұрын
Shekh mimi nilota mtu anataka kunipora simu nkapambana lakini hakuipata nkaingia kwa duka lamama mmoja akaniambi kaa hapa lakini nmekatika ulimi
@ashurafundi2873
@ashurafundi2873 2 жыл бұрын
Sheikh mimi nimeota anko wangu ananichoma sindano ubavuni kanichoma mara tatu nikakasirika alivyotaka kunirudia tena nikamchoma kisu tumbon wakajalibu kuokoa maisha yake lakin ikashindikana naogopa sana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Duh hii ndoto inaonyesha mipango ya kufanya zinaa🤔🤔
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota leo nimemuona ndugu yangu wakike smekatwa shingo na damu zinsmwagika nyingi sana naaliyemfanyia hivo akawa ananifata namimi nikawa namuomba msamaha yule mtu alinisamehee je hii nini maana yake
@najma3268
@najma3268 3 жыл бұрын
Niliota mamaangu akipigwa Na wanawake wawili halafu nikagombelezea ugomvi nikamng’ata mama mmoja mdomo wa chini nadamu zikamtoka , shkekhe inamaana gani
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul 8 ай бұрын
Shekh, mimi ndio ndoto zangu ni mbaya. Sasa nisaindia hapa. Mimi niliona nikiwa nimechelewa kutoka mahali na ni usiku, so nilikuwa jiani nikirudi home,na hapo jiani nikaona mapolisi kama nne hivi wakipatrol wakija,so nilipo waona nikaingia msituni na hiyo mstuni hilikuwa ya nyazi, sasa niko lala huko ndani nikijificha nikaona kama kuna mama mwingine pia amejificha pia na huku ndani nilikuwa naona mwangaza kidogo.wale mapolisi walikuwa wanapita na mwingine akamuona, nikasikia alisema kuna mtu hapa, wakasema saa singine kwake nikaribu na hapa anawesa ingawa amechelewa kidogo wacha tuongee na yeye.wakaniita..nikaona juu nilisikia kama wanaweza nisaindia, nikatoka so kutaka nikaona walikubali kuni sidi kwa nyumba. Na kando na mahali tulisimama kulikuwa na nyumba ambaye hilianzwa kunjengwa na ni ghorofa moja na hilikuwa ni machumatu hilifungwa hadi juu.sasa vile tulianza safari na hawa mapolisi kuna wengine pia wakatokea wakaanza kusema, hawa wakiona tunamsindikisa huyu mwana dada hata sisi watatu Malisa, hawa mapolisi wakapanda kwa vile nyumba nami pia nikapanda.sasa wale polisi walikuwa wametoka upande mwingine walikuwa wawili tu wakzaniona nikiwa juu, na wakataka kunipiga, na walikuwa na hasira sana wali anza kupanda juu, mimi nikashuka na wale mapolisi wengine pia wakasimama chini, sasa wale polisi walikuwa na hasira na mimi nikasema nikona mimba hili waniache, kusikia hiyo mmoja akakimbia kununua mafuta anichome, sasa juu nilisimama na hawa maaskari wengine wakaniambia wewe toroka siunaona mwenzako pia asha toroka. kuanzatu hivi nikaona yule mama alijificha na mimi akikimbia mbele yangu lakini baadaye sikumuona,hule polisi alienda kununua mafuta alinikimbisa nikachoka na tokea jasho. baada ya kuchoka nikaangalia nyumba nikaona Ako karibu kunishika, nikasikia roho yangu hikiniambia si ukimbie vile ulikuwa unakimbianga ukiwa mdogo, hapo nikaanza kuona mwangaza kidogo kama ya asubuhi hivi na nikaanza kukimbia kama sungura, kidogo tu nikaona nimepaa kama ndege nikasimama kwenye nyumba nzuri wa ghorofa moja na imefanyiwa fence, nilisimama juu ya hile Nyumba na hiyo nyumba niliona niya mabati ya colour red,sasa yule polisi nikiwa juu ya hile nyumba nikaona bado akikimbia, sasa kulikuwa na mwangaza nikaona mama mwingine akipita karibu na hule Nyumba, wakakutana na yule polisi, sasa vile walikutana nikaona aki simama wakiongea, na huyu polisi pia sasa nikamwona wakiwa sasa ni wamama na sasile alikuwa mwanaume, nikaona yule polisi akibeba ndio zile za chuma, nikaona nimepaa nilikuwa naona niko ka ndege mdogo hivi,sasa nikapaaa na kuchukua hile ndoo aliweka kwa kichwa nikamgonga naye Aka anguka kidogo nikaona mwingine upende yake pia nika mgongo naye mwingine hikatoklesea nika mgongo pia, kumaliza nikaona hule alie nikimbisa alikuwa mmoja na wakati na mgongo akawa watatu, niliacha wakilala hapo chini na yule mama alitoka side ingine niliona akitaka kuniuliza mbona hivi but yeye alibaki akisimama na nilianza safari yangu step moja hivi nikakuta barabara kubwa ya kutoka kwa mlima huenda chini, nikastuka before nijui naelekea wapi, after hayo yote nilikuwa na upesi ingine sijui, lakini kuamka kwangu nilijikuta jasho mingi sana yaani maji kwa pili yangu. yaani kama mwenye ametoka vita
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
0656606014 whatsapp no
@HatkaIssa
@HatkaIssa 9 ай бұрын
Asalam aryekum sheh mimi nilala mchana nimeota apa kwetu kuna mzinga umejaa maji sasa nimeota np na kaka zang ila gali ilipita alfu kwa uwasilia apa nyumban ata pikpik apiti je ina maana gani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
wa,salaamu warahmatullahi , binti Issa nakukumbuka vyema kabisa, ndotoni umeona bahati yako na pesa lakini mambo bado hayaendi dumu na dua sana kuna shaitwaan anakusumbua
@babershop3102
@babershop3102 3 жыл бұрын
Asalam alaikum sheikh. Shukran jazila.samahn sheikh nini maanaya kuona kuku ndotoni sheikh. Maana niliwahi kuona kam ndani ya mguu wangu .zinatokemo kuku zinaruka n si moja .
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
+255656606014,nitafute whatsapp
@semenisadiki5842
@semenisadiki5842 Жыл бұрын
Asalam alykum shekhe .Mimi nimeota kuna mwanaume mara ananikimbiza kwa gongo lakin napambana nae.akaondoka nikaota tena ananikimbiza kwakisu nikapambana nae tena lakin mara hii alikuja nyumbani akanikuta nimelala nawanangu mwanangu mmoja akaniamsha mama mtu huyo nikastuka nikamuona tena nakisu nikamuomba msamaha huyo mtu kwamagoti nikastuka usingizini.
@user-tn7mq5ur2p
@user-tn7mq5ur2p 7 ай бұрын
Shekhe naomba nisaidie nijue napata shida mno, nna mama yangu mdogo alofariki ananiijia ndotoni ananiambia nifunue chini ya godoro Kuna kitambaa kimefungwa mara 4 hivyo nichukue nifungue, na mpaka majina ya vifungo hivyo akanitajia na wakat anataja majina ya vifungo nilikuwa namwambia mamdogo subir nichukue cm niandike ntasahau majina ya vifungo lkn nikastuka sikuandika majina ya vifungo hivyo nikawa nimesahau majina alonitajia,, cku nyingine tena nikamuota huyo huyo mama yangu mdogo marehemu kaja ananiambia twende njia panda Kuna vitu tukatupe nikawa nataka kwenda lkn Kuna mtu cmfahamu akaniambia usiende basi ckwenda yule mama mdogo aliondoka mwenyewe!!! Please naomba nisaidie kujua nakosa amani
@elizansokoro2077
@elizansokoro2077 Жыл бұрын
habari shehe nimeota nimeota mke mwenzangu kampiga mume wangu mume wangu akazimia kisha kaamka nn maana?
@djamspices
@djamspices Ай бұрын
Assalam alaikum warahmatu llahi ww Shekh mimi nime ota mtu asiye julikana ana tushambuliya na ankishika kisu mkononi ikaonakana ame uwa wa wili ila damu haiku onekana kwenye ndoto so nika jaribu ku kimbia ila kwaku kimbia kwangu nika jikuta nime rudi huko huko alokuwa adui
@zahordida6034
@zahordida6034 2 жыл бұрын
Salam aleykum warahma tullah wabarakatu.vp sheh ukiota una chomwa chomwa na kisu na ndugu yako au kakupiga risasi zaidi ya sita
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Unarogwa/unafanyiwa uzinifu/jambo la laana moja ya hayo kuna mtu anakufanyia, na kama itajulisha kwa ndugu yako huyo huyo basi yeye atakuwa anakueleza maneno makari tu ila ikijulisha kwa mtu wa nje basi ni moja ya hayo niliyotangulia kuyasema jichunguze na watubwako wa karibu
@zainabumdambo2905
@zainabumdambo2905 Жыл бұрын
Mimi shehe niliingia kwa chumba na mwenzangu ambaye simjui aka hukua marashi akajipulizia na Mimi nikajipulizia marashi lakini Mimi nikajipulizia marashi ya aina mbili tofauti nini maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Allaahu taala akufanyie wepesi unaambiwa wewe unajijengea tabia/sifa njema maashaaallah
@user-bc9bn5fy9k
@user-bc9bn5fy9k 3 ай бұрын
Mimi nimeota napigwa mguuni na nikakimbia nikaokolewa na mwanamke
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 ай бұрын
wewe utanusurika kutapeliwa au jambo baya Alah akuwafikishe kwenye mazuri na akulinde na mabaya
@HashmirMohaamad
@HashmirMohaamad 7 ай бұрын
Shekhe nmeota napigana na mtu tena nampiga mala mbili inamaana gan
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 7 ай бұрын
utamshinda adui au utamaliza matatizo
@khadijaabdu6532
@khadijaabdu6532 2 жыл бұрын
A/alaykum sheh Jafary naomba unitafsirie ndo hii siku ya alhamis tareh 9 usk wakuamkia skukuu ya Eidy Al adha niliots kaj mwizi dirisha akawa anavuta pazia aliibe nikamuona. Analivuta nikamwambia liache akaenda sehemu nyenwine napiqa kelel ila watu hawanisikii akaja dirishani lamlanqon nikamuon Sasa yule mwizi nilikua namjua nikamwambia nishakujua mtu Fulani ww nikapiqa kelel mwizi sauti ikatoka . hii ndoto inamanisha Nina sheh naomba unitafsirie
@ummulkheirmashjary1579
@ummulkheirmashjary1579 2 жыл бұрын
Shekh nimeota ndoto haieleweki nata nashambuliwa na mara akaja mume wangu kunisaidia mara naona nihuyohuyo mumewangu anaenishambulia niniaana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Unarogwa wewe, pole sana jiombee dua jifanyie ruqya pia. Hapo kuna mkono wa shaytwaan khaadimus sihri
@biirazainabu3513
@biirazainabu3513 2 жыл бұрын
Assalam alaikm,nimeota nashambuliwa na boss wangu mara tatu,lakini huyo mama alinipisha vibaya sana sheikh nini yatatokea
@afidamwinyi8198
@afidamwinyi8198 2 жыл бұрын
Asalam alaykum mume wangu ameota amempiga mtu fimbo 1 tu nini maana yake
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Na hii niliota MTU Moja kanambiya nimpe Maji to hara nikampa kidogo anasema mengi kidogo nikampa Kisha kuna jini kaja akapandisha na kuanza kumwambiya yule MTU nani nilikuwepo akan za kusema nichukuwe Maji Kisha akaeleza nini tufanye kuhusu ndugu Yangu aumwa ili as pone lakini nilipoamka sikumbuki pale pamwisho
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
+255656606014 Nifuate whatsap kunahutaji utaalamu zaidi kwenye maelezo yako
@aishatwaarabu8859
@aishatwaarabu8859 2 жыл бұрын
Mimi nimeota nahamkiwa na mama mtu mzima huku anapiga magoti nikaitika alafu nikamwamkia yeye akuitika nikapita nimekua mnene alafu mweupe wakati mimi mweusi
@yakobokipamba2347
@yakobokipamba2347 2 жыл бұрын
Shekh mm jusi nilitoa nikimpiga mke wangu fimbo sana tavasiri yake ni nini?
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Hii kinyume take Ni vip
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Kinyume chake ukisikia tumetumia lugha hiyo hakika tunakusudia kinyume cha hiyo ndoto ulivyoona au baada ya kuitafsiri sasa unaifanya kinyume hapo panahitaji fununu za ufasiri kwa mujibu wa kalenda
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Asalam aleykum Sheh. Jafar
@khasmamtega5963
@khasmamtega5963 Жыл бұрын
Ukiota unachomwa visu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Utadhulumiwa au utaziniwa jichunge
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 3 жыл бұрын
Asante sana
@elizakeleme73
@elizakeleme73 2 ай бұрын
Ukiota unapingwa mawe na wanaume wawili ninihiyo
@abdallahmapila7939
@abdallahmapila7939 2 жыл бұрын
Kuswali iatikhara juu ya bint fulani ambae unataka kumuoa kisha majibu yake ukaona bui bui kitandani au ndani na ukarudia majibu yakawa hayo hayo nn tafsiri yake aheikh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Huyo ni mtu dhaifu anaehitaji kusaidiwa muoe
@ruthpeter1666
@ruthpeter1666 2 жыл бұрын
Sasa kama ananifukuza nikampiga akafa je
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Utakupata mtihani lakini utaushinda baada ya mbiringe mbiringe kidogo,(taabu)
Pro/Sheikh: Jafari Mtavassy Ugomvi Katika Ndoto
17:55
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 18 М.
Ndoto ya kiama na Sheikh:Jafari mtavasi +255656606014
8:50
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 4,3 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 6 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Maiti Akiongea Ndotoni
30:52
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 9 М.
UKIOTA MBWA MWITU.
9:05
Prophet Joseph Minja
Рет қаралды 541
MAANA 25 ZA NJOZI | UKIOTA MELI, JAHAZI AU BOTI | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
28:24
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
Ndoto ya kupakatika nywele na maana zake(@Mtavassy Tv Tanzania)
10:20
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 4,1 М.
NDOTO Kuota Unapigwa na fimbo au    viboko Maana yake ni hii.
8:13
Godfrey Mwalongo
Рет қаралды 2,9 М.
Ndoto ya Kuchinja :Shaikh :Jafari Mtavas
13:47
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН