No video

Maiti Akiongea Ndotoni

  Рет қаралды 9,264

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
Nawapenda sana kwaajili ya Allah Naombeni mue pamoja in shaa llah
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Waleykumuslamu warahmatullah wabarakatu,hongera kwa kupata maghalimu saghiri ulikuwa unachoka sana ,nauliza muda mwingine wa kupiga simu ili niulize mambo yangu leo sijabahatika ALLAH awape masikizano ktk kueneza nuru muende mkono kwa mkono mpaka jannah
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Jajidi jajidi, mashaallah maghalimu JAfARI kapata mdogo wake nilikuwa namhurumia sana kwa kucheka sasa👍
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Dah kumbe unaweza kumuota mtu usiku na yakawa kweli subhanalah
@minaahmohamed3660
@minaahmohamed3660 Жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota namuuliza babu yangu anataka zawadi gani na kasha kufa na nilipo muuliza akasema anataka mswak tu na mimi nikamwambia nitakupa na mswaki kutoka makha iwe miwili na haikuendelea tena
@sharifasuleiman8297
@sharifasuleiman8297 9 ай бұрын
Ostazi nimemuota shangazi yangu alifariki mda ananiambia rudu nyumbn sasa mmi nikawa nakimbia nikanawe mikono yangu nilimshika mikono yake ilikua na mafuta nilivyorudi nyumbani nikamkuta mdogo wangu amerud mdogo wangu alipotea miaka ming sana amerudi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 9 ай бұрын
Danya ibada lakini pia waombee wafu, kikubwa humu naona kwamba unatakiwa kurudi kwa Mola wako kimatendo n.k
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 7 ай бұрын
Naaaam
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 3 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota maiti ananiambia yeye hajafa yupo mzima nakunamengimene nashindwa kuyaeleza hapa
@mwanamkasimdigo2454
@mwanamkasimdigo2454 2 жыл бұрын
Assalam aleikum ustadh naomba unipe tafsiri y hii ndoto me nlimuota mchumba wngu ambae alifarika tumekumbatiana
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 2 жыл бұрын
Hongera sana mimi niliota na ongea na baba njia panda na yeye alisha kufa nini maana yake nisaidie
@daifaibrahim1975
@daifaibrahim1975 3 жыл бұрын
Namba ya simu ipitiswe kwenye skin ili tuone kuliko kuitaja pekeako ,mwengine wagumu kusuka
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
0656606014
@fzafza6746
@fzafza6746 3 жыл бұрын
Asalam alaykum shkhe Mimi NIMEOTA wazazi WAMEFARIKI ila WALISHAFARIKI kitamboo ila sasa ivi NIMEOTA WAMEFARIKI Tena BAHARINI WAKAOLEWA WASHAKUFA
@user-xq6sf2rg5j
@user-xq6sf2rg5j Жыл бұрын
Nimeota mwanangu aliekufa aniambia baba natakiowa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Utapata rizki inshaallaah ila kama ipo mbali kidogo naona
@judithfred2366
@judithfred2366 Жыл бұрын
kuot mama yako aliyekwisha kuga anakulisha uji wa bamia kwa kijiko
@adidjaadidja2578
@adidjaadidja2578 3 жыл бұрын
Walhum Salam walhum tulah wabalkath chehe mm nimeota naza arafu nikauka niko natoka dam mukinwa n sin mimba inamana gani?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
sijaelewa tafadhali
@adidjaadidja2578
@adidjaadidja2578 3 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv samahan giswahili caburundi kigum yan nimeota najifungua mutoto n sin mimba araf niripo amuka nikajikuta ninatoka damu kweny meno nirikua napenda kujua tafusir yake
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 Жыл бұрын
Mimi naomba muniombee naumwa kifua sana na mgongo
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
Mimi nasumbuliwa na Ganzi mguu wa kulia ila niko mbali naomba mutaisaidiaje?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Ingia google chrome pale andika Mtavassy ukisha click kutafuta utaona umeletewa business profile utaingia pale ndio utauliza kule utapata maelekezo vipi utapata msaada au tumia namba hii hapa ingia whatsapp +255656606014
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Asalam alykum mi nimeota nimeona maiti kwenye nyumba ya Baba yangu
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 3 жыл бұрын
Mimi nimeoto namlilia kuna mkaka alifaliki siyo mda sana babu yangu akacheka sana nayeye babu alisha faliki miaka 5 sasa imesha pita aka niuliza una mfaham vp nika mwambia nilikuwa namuona tuu akipit akacheka tena kwasaut akasema sasa unamlilia mtu ambaye siyo ndugu yako watu wote wakanichek sijui maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Pole utapata huzuni kwa jambo ambalo utaona ni bahati mbaya, au ikawa utapata huzuni kwa jambo usilolitarajia
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 2 жыл бұрын
asalam alyekhum!? Shekhe mm nimeota mpangaji mwenza ngu amekufa na ck akiwa anaagwa akaamka ktk jeneza na kuanza kuniongelesha lkn maneno ckyaelewa .na kikweli ukiachilia ndoto hajafa yuko hai.ila ndo hivyo nimemuotea kafa
@florentinamichael2782
@florentinamichael2782 3 жыл бұрын
Marakwamara namuota marehem dada yng nimgonjwa ananiomba dawa au anakuja kwangu akiwa mgonjwa,nisaidie tafisiri tafadhari
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Sheikh nimeota mjomba wangu anamuomba mkewe pesa, lkn akasisitiza saana, na asipewe mtoto wake, mie nikamsikia wakati anazungumza nini maana yake?
@faizajingu5933
@faizajingu5933 2 жыл бұрын
Asalamu alaikum mm nameota dada yang aliyefariki mda kidogo sasa lakini naota anakufa tena nn maana yake?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Muombeeni dua yahitajika hilo maiti hafi mara mbili isipokuwa husemwa hali mbaya katika maisha yake ya huko muombeeni sana dua
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh ,mimi namota mama yangu wakambo mara nyingi tu ,sasa majuzi nilimuota ana nipa vitu kama jus hivi ila sikujuwa ni jus gani nikanywa kisha nika shtuka usingizini,kisha asubui yake nikamuota ananipa maziwa nikanywa inamaana gani chekh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
ndoto njema hii rizki au mimba utapata mtoto inshaallaa
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv shukran
@shadiaissa7631
@shadiaissa7631 3 жыл бұрын
Nimeota maiti ila sijui inaswaliwa nkapita kalibu yake maiti ikaamka na kuaza kuongea uku inainuka na kunikimbiza Inaniambia nakupenda natak nikuowe mashehe wakaisomea Ndio ikatulia Iyo inamana gani
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
Asalam alykm nimeota nimeenda kwa babu yangu nikamkuta nje nikampa mkono asalam alykm kisha nikaweka mkono kifuani akaniuliza mbona hujaja na Ramani nikamwmbia ipo kwny cm, nn maan yake?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Unayo maarifa ila pokea ushauri
@daifaibrahim1975
@daifaibrahim1975 3 жыл бұрын
Asalam aleik shekh nimeota marehemu baba angu kanipa pesa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
zingatia maneno yake
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Asalam aleykum sheh
@mariamsombo5766
@mariamsombo5766 Жыл бұрын
sema tena hzo number
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
0656606014/0766465664 whatsap usipige kawaida tafadhali
MAANA 25 ZA NJOZI | UKIOTA MELI, JAHAZI AU BOTI | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
28:24
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
WITO/KUITWA KATIKA NDOTO NA MAANA ZAKE PR/SHEIKH: JAFARI MTAVASSY (R.A)
30:36
Adui katika ndoto :Ndoto zetu na skh Mtavassy
29:05
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 3,2 М.
DC Mayeka Mayeka afunga Mafunzo ya Jeshi la akiba 'Mgambo' kata ya Lupa
12:28
KUOTA NA MBOGA (VEGETABLES) INAMANA GANI ? +254706945821
26:51
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 17 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 226 М.
Ndoto za Uwendawazimu Na Skh :Mtavassy
30:38
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA MATUNDA EP 1 / Imamu Mponda
12:07
Mponda Media
Рет қаралды 8 М.
Aliyeona viatu Buti/Sandroz kwenye ndoto
10:25
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 23 М.
Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy                        mfasiri bingwa wa ndoto
14:20
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН