No video

Pro/Sheikh: Jafari Mtavassy Ugomvi Katika Ndoto

  Рет қаралды 18,466

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@radhiaally9500
@radhiaally9500 Жыл бұрын
Aslam aleikum shekhe Mimi nimeota nimempiga mgomvi Wang nimemuota sana zaidi ata ya mal3 siku tofauti tofauti
@emanuelgeofrey3859
@emanuelgeofrey3859 6 ай бұрын
Nimeota tunazozana na mama mzazi
@joharrashid2762
@joharrashid2762 2 жыл бұрын
Sheikh naomba nifafanulie mm nimeota baba anataka kumpiga mama tena dhamila yakuua
@SumaiyaAbdallah-tc6id
@SumaiyaAbdallah-tc6id 3 ай бұрын
Aslam alaikum shehe vip hali shehe mimi nimeota ungov makubw mtani mpk wanapigan risas na wanakufa watu wawili na watu wanapita wanalia wanabeba mait zao wanapita nnazo mm naon
@KuterRashidi
@KuterRashidi Ай бұрын
Asalm aleykum nmeota nagombana na mtu wa kazini kwang kisha mchumb angu amesimama kwa pembeni ananiangalia kwa makini
@florentinamichael2782
@florentinamichael2782 2 жыл бұрын
Nimeota ninapigana namme wangu lkn akatokea mama yangu mzazi
@josephinebeibz3561
@josephinebeibz3561 2 жыл бұрын
Mimi kwa dreams ndoto nakanyaka ndawa nataka njibu
@jabasonkaliyae-jd6vu
@jabasonkaliyae-jd6vu Жыл бұрын
Samahani sheikh nisaidie kuitafsiri hii ndoto .nimeota babayangu amenipiga kibao/Kofi kwa upande wa shavuni.
@allylidongo338
@allylidongo338 Жыл бұрын
Nimeota watu wanagombana wakiwa wameshikamapanga mmoja akaingia ndani akajifungia yule mwenzake akaja akfungua mlango, wote wakatoka nje. Na yule alikuwa amejifungia ndani akamuua mwenzake kwa kumkatakata kwa mapanga mikononi.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
kama unawajua isikutishe ndoto huii inakuarifu kudhulimiana dhulma kubwa kubwa hao na hasa huyo muuaji alikuwa tu anajishauri lakini atadhulumu huyo mtu, kama humjui kuwa makini utaddhulumiwa ww
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i Ай бұрын
Shehe mmnimeota nagombana na mtu usingizini simjui eti ni mume wangu nagombana simtaki aniache yy hataki tunagombana mbele za watu yy hataki mm natak tuachane akatokea mwanammke mzuri akaniuliza vipi huondoki tena nikamwambia siondok nishamsamehe basi yule mwanamke akakasirika akalia akasema huondoki kwanini sasa mm nilijua utaondoka
@ashoruanaabdalla3699
@ashoruanaabdalla3699 Жыл бұрын
Sheikh me nimeota nimeachika mara mbili
@yakobosalumu3708
@yakobosalumu3708 6 ай бұрын
Niliota ni lipewa watoto na marafiki zangu alafu wakahanza kugombana wao wawili mimi ni kaanza kuwaamuwa
@rahmahussein682
@rahmahussein682 Жыл бұрын
Asalam aleikum sheikh mi nimeoata boss wangu ananipiga vibao mpaka nikalia 😢
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db Ай бұрын
Umeota ndoto ya fanana na yangu
@kanezaadidja6038
@kanezaadidja6038 2 жыл бұрын
Sheikh naomba unitafsiriye ndoto yakuona damu mimi liona kaka yngu amekuja namtuu wanapigana ikabidi nikacukuwa fimbo kumchapa uyo anae gombana na kaka yngu ile nilimchapa fimbo nikaona damu kichwan nakuliya bila kupigwa wala nini , baadae mama yng nayy akaja ili amchape fimbo uyo anae pigana na kaka yangu ikabid tukamwambia mimi na kaka yngu mama hapana usimpige mimi nilimpiga tu damu nikatoka mimi kichwan kwaiyo nawew ukimpiga utaona damu kichwani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Je kaka yako huyo kuna jambo munamshauri???
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Shukran sheikhe
@kichechemtundu4061
@kichechemtundu4061 2 жыл бұрын
Allaahumma aimiina
@salimmuhunzi5860
@salimmuhunzi5860 11 ай бұрын
Assalaam alaikum mm nimeona ugomvi baina ya shanganzi mma yangu mdogo wamepigana ila nikashudia yule shangzi analia sana hali yakuwa yeye ndio aliyejuruhi nini maana yake naomba ufumbuzi sheikh
@aminasebarua5608
@aminasebarua5608 Жыл бұрын
Mm nimjamzito nikaota nimekaa na mume Wang namjengez mwenzang akaniambia mwanae kafanana na mtoto wa zinaa wamume Wang nikawa nagombana namumewang nikawa simtak tena
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
utaweza kupata mtoto wa kiume inshaallah kama ndoto itasema kweli
@daimamlowezi4868
@daimamlowezi4868 Жыл бұрын
Shekhe asalaam alaikum mimi nimeota nimegombana na mpenzi wangu na nilikua namuomba msamaha kabisa harafu anakataa hataki kabisa hata kuniona na hatunaga maelewano muda mrefu nini maana yake shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Wa,salaamu warahmatullah Anadhana mbaya juu yako
@asiaibrahimasiaibrahim5418
@asiaibrahimasiaibrahim5418 Жыл бұрын
Shekhe mim nimeota nimedumbukia kwenye shimo na wanangu lakini tulifanikiwa kutoka
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Hiyo ni ishara ya kuokoka kutoka kwenye tatizo, dhambi, hali mbaya ya maisha, au kupata suluhu ya magomvi
@mustafasuleiman2146
@mustafasuleiman2146 2 жыл бұрын
Mtavasy punguza nyoyooo,,,
@greatiq7835
@greatiq7835 2 жыл бұрын
Jazaaka Llah khayr
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Allaahumma aamiin
@solsimaniakanam7843
@solsimaniakanam7843 Жыл бұрын
Slam mini nimeota namupinga mwanamuke namwanamuke huyohana andabu alikuwa anarupoka maneno nikamupinga iliakubali ninavyomuonya na mimipiya nimwanamuke
@husnamaulid6088
@husnamaulid6088 Жыл бұрын
Asalam alaykum shekhe Mimi nimeota nimepanda ndege na nikashuka sehem nisiyo ijua Ila palikia pazuri Sana na baada ya siku nne nikaota Tena mchumba wangu kapanda ndege kama Mimi nini maana yake shekhe
@lonathosanga4673
@lonathosanga4673 Жыл бұрын
Asalam alleku Mimi nimeota nafukuza mnyama swala gfra akatokea umbwa akamkamata yule swala je inamanagani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Rafiki yako atakusaidia kupata ahueni kimaisha kuwa na amani
@user-by4oc9cs6j
@user-by4oc9cs6j 6 ай бұрын
Ntafusirie kuota na mashiroom zile kubwa
@ashoruanaabdalla3699
@ashoruanaabdalla3699 Жыл бұрын
Pia nimeota mume wangu kaowa mke mwengine si Mara mja
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Maashaallaah nzuri hii inabashiria yeye kupata pesa au maisha kukaa sawa kiuchumi maashaallaah
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
​@@MTAVASSYTvnimeota nagombana na mke wenza mtarajiwa nini maana yake
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Asalam alykum mimi niko mbali na familia yangu naota napigana na mwanamke ila mume wangu anamtetea nimempiga mpaka kumuumiza mume wangu akampeleka hospital
@gloryshirima4102
@gloryshirima4102 Жыл бұрын
Mimi nimeota nagombana na Babu yangu ambae amesha kufa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Ameshayafikia matendo yake Lakini pia waweza ambiwa kwamba wewe utayaelekea matatizo mengi mengi sana, Mtakae msaada Mola wako hii ndoto sio poa kuona
@waziriali7895
@waziriali7895 11 ай бұрын
Nimeota nipo kwenye limefungwa nimekuta wanawake wawil alaf akaja mwanaume ambae ashakufa zaman lakina kaja aliwa mzima
@waziriali7895
@waziriali7895 11 ай бұрын
Nimeota nipo kwenye duka limefungwa mm nikafungua mlango nikaingia ndan halafu nikatoka nje nikurudisha mlango nkakaa kwenye bench lakin pale nje nilikuta wanaweke wawil waenye duka halaf akaja mwaname ambae alshakufa zaman
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 ай бұрын
Rizki inshaallaah
@user-qs4ij3do9n
@user-qs4ij3do9n 6 ай бұрын
Naitaji kujua ukiota wazazi wanagombana ndotoni
@veronicak6702
@veronicak6702 Жыл бұрын
Nimeota mchungaj wa ngombe analeta ngombe nyumban kwangu. Mimi nikawa namkataza asiingize ngombe ao nyumbn kwangu. Kumkataza ukatokea ugomvi mkubwa Mimi na yeye. Nikamg'ata kwenye paji la USO wake uyo mchungaji wa ngombe. Na yy alipona nimemzid nguvu akaningata mdomoni. Nikasikia maumivu nikamuachia akaondoka na ngombe wake. Cha ajabu nimeamka asubui mdomo wangu umevimba sana Yan sana na inauma sana Yan ad ninakidonda Cha kung'atwa. Nini tafsir yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Haya mambo hutokea inshaallaah nitaongelea hizi mada Huwaga hivi Ukiulalia mkono vibaya na maumivu yakapatikana utapata ndoto hapohapo Kwani neva hupeleka taarifa kwenye ubongo, vivyo hivyo kwenye ukijing'ata utaona hayo mambo uliyoona,wala haujarogwa, na mimi sikushindwa kukuambia umerogwa na mtu/Shetani bali nimeamua kukuambia ukweli usije danganywa japo watu wangu wakaribu nikiwaambiaga hivi wengine naona nyuso zao zapata shaka, 😁😁
@jenithandyetabula3805
@jenithandyetabula3805 Жыл бұрын
Mi nimeota nampiga kijana simfahamu alitaka kuiba ndani, walikuwepo wanawake wengine. Badae huyu kijana akarudi nikawa nimelala chumbani kwangu, nilimruhusu apite dirishani wale wanawake wakawa wananilaumu sana. Nikajitetea wakanielewa.
@gloryshirima4102
@gloryshirima4102 Жыл бұрын
nini maanake
@babycharles4561
@babycharles4561 Жыл бұрын
asalam alleykum' mm nimeota watu wana pigana mke na mume na mm nàsuluhisha na chumba hicho kina dam nikatoka nnje kuita watu na mm kisu kikalushwa na kunichoma begani na dam zikaanza nivuja ila sikujali nikawa nawafuata watu nnje nilipofika nnje watu wapo wengi na wanasikilizia tuu uwo ugomvi wakanivuta na kunipandisha kwenye gari nyeùpe na wanashangilia hao watu ila mm nimeshikwa na mshangao .kwann watu wanashindwa kuwaamlia natamani kuludi nimesituka
@emmaraymond2036
@emmaraymond2036 2 жыл бұрын
Mimi nimeota napgana kisha nmekuta na mto
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Iseme vyema hii ndoto
@kimsophie6109
@kimsophie6109 3 жыл бұрын
Asalam alleykum ..JE na ukiota umekutana na mgomvi wako namilivokutana mkawa mnapatana tu nakupiga story Kama akuna kitu kilichotokea vile nini man ake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pZi0fYmGj82Cp7c
@aishajuma468
@aishajuma468 Жыл бұрын
Asante kaka
@mamamuu8217
@mamamuu8217 2 жыл бұрын
Sheikh Assalamu alaikum, nimeota tunagombana na mume wangu, na amekua hatuna maelewano siku nyingi nini maana yake?
@yusufgagamuhammad2674
@yusufgagamuhammad2674 Жыл бұрын
Mimi nime ota nigipigana na kakaangu mkubwa mara kwamara nae huyo tume wahi kugombana vibaya sana sasa hio ndoto ime kua ikijirudia mara nyigi nini maana ake
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
Shehk kumfunia Mumeo kwenye ndoto hii ina maana gani
@aishatwaarabu8859
@aishatwaarabu8859 2 жыл бұрын
Mimi nimeota nagombana na mtu simjui tunachogombania nikitu kidogo lakini atujapigana tunagombana sokoni
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Aina ya maneno ni ya aina gani ni matusi au kurushiana tu maneno makari bila matusi ?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Na kama ninmatusi nani alikuwa akitukana au kama ni maneno makali nani alikuwa anatoa lugha za kuumiza zaidi
@luenatz6966
@luenatz6966 2 жыл бұрын
Asalam aleykum nimeota nipo kambini kikazi tunavamiwa na watu walio wengi usiku wa manane na nilipokuwa naota nilikuwa nashituka na kuamka na nikilala inaendelea
@user-tp8xr7vk3d
@user-tp8xr7vk3d 7 ай бұрын
Shekhe Mimi nimeota nagomba na mama yangu mzazi sina Ugovi nae. nini maana yake.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 7 ай бұрын
Fanya ibada wewe, pia inaonyesha unaishughurikia dunia kuliko akhera
@user-tp8xr7vk3d
@user-tp8xr7vk3d 7 ай бұрын
@@MTAVASSYTv sina mambo Ayo ya kidunia shekhe Niko arabuni nafanya KAZI nimemaliza nafanya ibada Ayo ya kidunia nayatoa wapi huku
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
​@@user-tp8xr7vk3d😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@perusephares1239
@perusephares1239 2 жыл бұрын
Mm nimeota nimepewa ndizi namachugwa ila walitokea vijana wawili namdada mumoja wakaanza kuninyanganya nikampa mdada anishikie ila machugwa walichukua nikabaki nandizi nn maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
umehusudika lakini inshaallaah utaendelea kuneemeka na usijutie kilichopita kwako, kama itasema kweli inshaallaah
@user-dp1vq7hu5p
@user-dp1vq7hu5p Жыл бұрын
Kuota unakutana na rafik baba yako mdogo na ndungu zako harafu dungu zako wakapigana na ukawaamuwa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Hii inajulisha kuchukiwa na waru wewe pole sana
@user-fn7ru1sc1x
@user-fn7ru1sc1x 6 ай бұрын
Nakama siyo msikitini
@HashmirMohaamad
@HashmirMohaamad 7 ай бұрын
Shekhe asalamualaikum ukiota unazaliwa upya alaf unatamka shahada unamaana gan
@AminaJuma-on1rb
@AminaJuma-on1rb Ай бұрын
Hi inamaanish kifo
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
A.alaykum shekhe niliota asubuh y leo saa kmi n mbili n dkka 32 kna mma mmoja kwke nyumbn klkua n sherehe ilikua y chma mma uyo n mmke mdgo mpenzi wangu bsi usiku wakuamkia iyo sherehe nikienda n bag yngu y nguo nikaiyka alfu nkrd hom coz lkua sjaaga nyumbn nkrd sku yke y pili nja shereh yaendelea kmlza kulkua n nyumba ubavni n ya wifiangu ddke mpenzi wangu mtto w mamkubwa n mmdogo nikawa naongea nae yuwsma tulie nifnyiwe hrc atki mm nsfr coz mm nimsfr akniongsha meng mazur nkaenuka nkaenda kwenye ile shereh kbla sjaingia ndni kna mschna aknfta n kuniulza uyu mma nskia yuko n psa sna nkmwmbia yap ambae mma mwenyewe niuyo mmngu vyaa mdgo bc nikaingia ndani nilipoingia ndni nimkamkuta uyo mma kajitulizal yn alilla m nkamskmia baada y slmu akaniambia mbavi muivyo nkmlza klnkni yuwsma sikja lla n nyumbn pia sikulla nlkua n njia zngu bsi ple nkwa n hsra nikfyoa n kumwambia mnno hya w mma unitfta sna unifnyia mengi sna y siri n dhahiri yte nyjua uku nlia nkamwmbia pmja n yte uliyonfnyia nimekusameh mm lkn nakwmbia ukiketi n familia yko wmbie stki kuolewa kbsa mniache n maisha yngu nlipomwmbia ivyo akawa yuwpandisha uku akisma kigugumizi kua mkono wngu mna lkua wmchza yuwtka knpga dkka ksgo klkja mwanawe w kiume mtto w ddke ambae polic akanipga ngumi moja safi sna y kichwa ikawa nae apndsha yuwasma shereh ikwsha vzr nlta nuks kw nn nmlza mmke mdgo bc kukja yule wifiangu nliongea nae mra kwnza akmshka kkaake n mm nkaponyoa baadae yule wifi aknfta n kuniambia mnno hya mzowee yule mma ndvyo alivyo wifiangu..nkamwmbia kanichkulie bag lngu amblo lililla apo akaniletea kndo kidgo kulikua n waschna 2 ambao nawajua washawai kuolewa lkn wksma icho chma pia wao wako cha psa yule mmoja nlijishtukizia kat y wle wschna mmoja yuwaendesha pkpk alinpndsha kufika krbu n nyumbn klkua n wtu wzba njia derva wngu aktfta mhli kufka area y nyumbn kna wdda 2 nao kila mtu asfsha mhli pke alima n kupapga reki baada ya hpo nkaingia ndni kwtu mna mmngu bbngu n ndugizngu wkla naks naks wakanignyi nkala Alhmdhullillah
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
+255656606014, nitafute whatsapp jitambulishe kisha tuma kwa voice
@emmycalvin5073
@emmycalvin5073 2 жыл бұрын
Habari nimeota rafiki angu anatoka kimapenz na mume wangu.. Hiyo ina maana gani...?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Je kikawaida huwa haumdhanii hilo kuwa anafanya au kumuona ana nja kama hiyo?
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 2 жыл бұрын
Nini maana ya kushona ama kumuona mtu ana shona
ndoto kushambulia/kushambuliwa Pr/Sheikh: Jafari Mtavassy (R.A)
37:51
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 4 М.
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 54 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 23 МЛН
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 6 МЛН
NGUO NAYO INALONGWA (USITUPE NGUO HOVYO)
7:25
KR TV255
Рет қаралды 116
Aliyeota amekuwa na hasira na tafsiri yake
4:16
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 6 М.
Ndoto ya kufanya mapenzi/kuzini  Skh Jafari Mtavassy
6:50
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 37 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН