Рет қаралды 3,970
Hii ndiyo taswira iliyompa msukumo msichana mmoja kutoka Meru kubandika picha zake katika picha za maeneo ya kitalii nchini China kwa kutumia mbinu inayojulikana kwa kimombo kama photoshop. Seveline Kinya amekuwa akitamani kutembea nchini humo kwa muda mrefu lakini hakuwa na uwezo. Kwahivyo akaamua kubandika picha hizo na kuziweka katika mtandao wake wa facebook ili ajihisi kama ambaye ametembea nchini uchina. Hatua hiyo ilisababisha kuvuma kwake katika mitandao ya kijamii. Na huku wengi wakimcheka, mfanyibiashara mmoja mjini Nairobi aliamua kumsaidia kutimiza ndoto yake.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya