No video

NDOTO UKIUMWA NA NYOKA NINI MAANA YAKE?

  Рет қаралды 13,232

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

WATU WENGU WAMEUMWA NA NYOKA KWA NDOTO NA IKA SABABISHA MAGONJWA NA HATA KIFO KWA MAISHA YA WENGI. YESU KRISTO AKO TAYARI AKUWEKE HURU.

Пікірлер: 53
@rapandoselfa5557
@rapandoselfa5557 Жыл бұрын
Ameeen katika Jina la Yesu Kristo shetani wa kuumwa na nyoka ashindwe katika Jina la Yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mara saba katika Jina la Yesu Kristo Ameeen Ameeen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Ameeen 💯
@SosisRoti
@SosisRoti Ай бұрын
Naka roho chafu kwa kz yangu pia maisha yangu kwa jina la hyesu
@roseadisa9256
@roseadisa9256 5 ай бұрын
Kwa jina la Yesu nakataa roho za aibu zishindwe katika jina la Yesu kristo
@pahides-pro4989
@pahides-pro4989 3 ай бұрын
Kwajina la yesu kristo nakataha
@CateClare-fb1wk
@CateClare-fb1wk 2 ай бұрын
Nakata roho zagiza Kwa maisha yangu in Jesus name🙏🙏
@KeruboIrene1333
@KeruboIrene1333 7 ай бұрын
*Romans 16:20* The GOD of peace will soon crush Satan under your feet. *The grace of Lord Jesus be with you* Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@OleLucas
@OleLucas 8 күн бұрын
Mimi nimeota nimeng'atwa na nyoka mguuni
@user-ty3qp5yw8m
@user-ty3qp5yw8m 11 ай бұрын
Amen
@irineDancan
@irineDancan 26 күн бұрын
Mimi niliona nilikua nikingoa viazi tamu na nikaumwa mikono na ilikua imejificha na na nilikata shingo na nikaona nilijitibu na mchanga kwenye ndoto na nikapona hivyo aikufura na palenilikua nikitoa viazi ilibaki kiunochake ikiwa hai na sikurudi kutoa hizo viazi
@Vvymakere122-uo5kr
@Vvymakere122-uo5kr Жыл бұрын
Mungu tusaidie
@ZidinaAbbas
@ZidinaAbbas 7 ай бұрын
Mim nmeota nyoka ananing'ata mgui
@eliamsumari7902
@eliamsumari7902 Жыл бұрын
Pastor mm nimeota nyoka alitaka kuning'ata mguun
@kavirachantal2374
@kavirachantal2374 2 жыл бұрын
Jambo pastor ,Mimi nimeota nyoka 3 zinanizunguka wakati zilitaka kuniuma nikalamuka Sasa nyoka wa kwanza alikuwa kama mtu sikumujuwa
@angeladegens7139
@angeladegens7139 Жыл бұрын
kwa jina la yesu kristo ninakataa roho ya Aibu roho ya kushindwa roho ya kukataliwa roho ya kufell maisha roho ya kunyanyaswa roho za kichawi
@user-ej8ss2nf2g
@user-ej8ss2nf2g 4 ай бұрын
Mmi nmeota nmeumwa na nyoka,,,,tena mahana,,,,,na tena huyo nyoka alitokezea ndani ya maskio yangu😢😢
@phibianamsafari8280
@phibianamsafari8280 Жыл бұрын
Na pastor mwingne nilimwambia nliota nimeumwa na nyoka anasema hyo ni ishara ya kushambuliwa na magonjwa sugu;cancer;diabetes and pressure
@irenemwanri3023
@irenemwanri3023 Жыл бұрын
Subscribe kwa channel hii utapata notification utafsiriwe ndoto live.kila siku saa nne na saa mbili usiku saa za Africa Mashariki
@erickbabu4404
@erickbabu4404 2 ай бұрын
Nimeota na Pambana nae nikamuuwa nyoka Kwa kinu akafa ila aliacha sumu mkononi kwenye ndoto nikanawa na sabun Ila bado nikiwa nataka Kwenda hospital
@evahcharles4032
@evahcharles4032 2 жыл бұрын
Pastor. Mimi nimeota nyoka imejifunga kwenye mguu wangu wa kulia wakati Niko ndotoni nikawa natafutakitambaa niitoe kwa hasira nikastuka usingizini Ni nyoka mdogo Lin alikua amejifunga kabisa Nini maana ya ndoto hii?..
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Evah Charles nitakuwa live usiku Saa tatu nitakupa maana yake.
@CmoaFx
@CmoaFx 2 жыл бұрын
Nimeota nyoko mdogo mweuzi akiniuma kwenye mdomo but before iniume nikagutuka . Ina maana gani?.
@sheilahkadenge1581
@sheilahkadenge1581 9 ай бұрын
niliota nimeumwa na nyoka kubwa kwenye mkono wangu wa kulia ukafura😢😢
@user-dn1mx9yh3n
@user-dn1mx9yh3n Жыл бұрын
Jambo pastor ,kuota nyota zinaanguka mikononi
@user-id6fk9hr9q
@user-id6fk9hr9q 10 ай бұрын
Weeee miliota nimeumwa na nyoka mguuun wa kulia😢😢
@syliviachesebe3066
@syliviachesebe3066 8 ай бұрын
hata mimi
@benderatigahwa1949
@benderatigahwa1949 Жыл бұрын
mimi nimeota nimengatw nq nyoka miguu miwili ila katika hiyo ndoto niliitia jiba la yesu sumu ikyeyuka nikawa sawa
@user-ns2js3me3p
@user-ns2js3me3p 7 ай бұрын
Nimeota nyoka mdogo amening'ata mguuni lakini nimemuuwa na mimi maana yake nini?
@user-ty3qp5yw8m
@user-ty3qp5yw8m 11 ай бұрын
Niombeye mimi nasumburiwa naizo ndoto
@user-zh7qz1iy3x
@user-zh7qz1iy3x 11 ай бұрын
Mchungaji mm ni mjamzito ila nimeot ndoto nimeumwa na nyoka mguuni nisaidie kwa maombi na pia ina maana gani
@annmahuthu1506
@annmahuthu1506 Жыл бұрын
Niombe mtumishi wa Mungu nimeota kuumwa na nyoka
@rehemamachela4621
@rehemamachela4621 Жыл бұрын
Niliota ndoto nimwumwa na nyoka mkononi lakin bahadae yule nyoka alihuliwa alikufa na kunamtu akaja kunipukizia kama spley kutoa sumu ya nyoak
@Iano.kamande
@Iano.kamande 8 ай бұрын
Mimi nimeumwa lwe
@salamahassan3384
@salamahassan3384 Жыл бұрын
Habari nimeota usiku mkubwa nyoka aina ya cobra ameniuma kwenye mkono lakini niliwahi kumpiga na nilimkata vimbande viwili
@catepaki7848
@catepaki7848 Жыл бұрын
Mimi niliota nyoka wawili wakubwa mmoja akipita Dani ya maji mtoni na mwingine akipita kando ya maji wakija kwenye Niko
@CarolBosco-hq6ik
@CarolBosco-hq6ik 7 ай бұрын
Nimeota mpenzi wangu ameumwa na nyoka katika mguu maana yake.
@ZidinaAbbas
@ZidinaAbbas 7 ай бұрын
Mtumishi niombee na aliniuma mara tatu
@pendopenias5617
@pendopenias5617 Жыл бұрын
Mchungaji mm Leo usku nimeota nanga'twa nanyoka lkn mda huohuo akatokea kijana mmoja akawa amenifunga sumu isisambae chungaji niombee
@irenemwanri3023
@irenemwanri3023 Жыл бұрын
Subscribe kwenye channel hii utapewa tafsiri ya ndoto zako live.kila siku saa nne asubuhi na saa mbili usiku saa za Africa Mashariki
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Ndiyo mimi niliota ndoto mdogo wangu ameumbwa na nyoka nahata sasa uchumi wangu umeshuka
@ruthgatei7671
@ruthgatei7671 Жыл бұрын
Nashukuru kujua maana ya ndoto hii,nisaidie mchungaji kwa maombi kwa maana nmeota nyoka imeniuma kidole ikafura saana mpaka inaturn red
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Latefa Latefa mdogo wako ako chini ya mashambulizi ya kichawi.
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Nakuombea pia unaweza nipigia tuombe pamoja
@mwajumasalim4315
@mwajumasalim4315 Жыл бұрын
Niliota mwanangu ameng'atwa na nyoka kwenye maji pia nikaota nakinbuzwa na nyoka
@diverally2248
@diverally2248 Жыл бұрын
Niliota ndoto nimeng'atwa na nyoka mkono wa kushoto lkn walikua nyoka wawili mmoja nilimchoma moto nn maana yake
@alvinbaya8673
@alvinbaya8673 2 жыл бұрын
Mi ndo nimeota mwana ameumwa na nyoka
@yellablack2000
@yellablack2000 2 жыл бұрын
Nimeota nyoka kaniuma lakini sumu yake ainidhuru
@vumiliambogela8413
@vumiliambogela8413 Жыл бұрын
Mchungaji miniliota nimegongwa nanyoka ubavuni
@irenemwanri3023
@irenemwanri3023 Жыл бұрын
Ni hatari subscribe kwa channel hii utapata notification uingie live atatafsiri ndoto yako saa nne asubuhi na saa mbili usiku saa za Africa Mashariki
@KankundiyeClement
@KankundiyeClement 4 ай бұрын
Baada yakuwa umeota unachotakiwa kufanya nikitu gani mchungaji
@revpeternjihia
@revpeternjihia 4 ай бұрын
Maombi ya kufungu kuombea hiyo ndoto.
@maglindaanyango
@maglindaanyango Жыл бұрын
Amen
@user-js6po4zo3j
@user-js6po4zo3j 7 ай бұрын
Mimi nimeota nimeng'atwa shingoni na mguuni
@user-ty3qp5yw8m
@user-ty3qp5yw8m 11 ай бұрын
Niombeye mimi nasumburiwa naizo ndoto
NDOTO YA NYOKA INA MANISHA NINI
17:51
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 11 М.
Ndoto 7 Za Nyoka Na Maana Zao|| Na Rev Peter Njihia
1:38:01
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,9 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 28 МЛН
Ukiota Na Nyoka Wa Rangi Hizi 4 Zina Manisha Nini?
1:39:09
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 5 М.
የሱስ ክርስቶስ እስራኤል ተገልጦ ---part 8
1:24:41
The God Kingdom Son
Рет қаралды 45
NDOTO  ZINAZO  WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME  KAMA  KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI
13:27
BINTI CINDERELLA - PART 02 - SIMUILIZI YA MAPENZI
3:14:31
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 81 М.
KUOTA UNAPOKEA PESA INA MANA GANI? +254706945821
1:58:28
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 18 М.
NDOTO za🐍 NYOKA na NYOKA wa Kijani Maana yake ni Hii KIBIBLIA.
9:30
Godfrey Mwalongo
Рет қаралды 1,4 М.
Ndoto mbili hatari
2:12:50
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,1 М.