Ndugai Amkumbuka Makonda Mbele ya Samia Huyu "Alijiita yeye ni Raisi wa mkoa msijidanganye kama yeye

  Рет қаралды 58,331

Taifa Digital

Taifa Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 3 жыл бұрын
Namkubali sana waziri mkuu Ndugai hatufai sisi maana ni kinyongo huyu na mtu wa namna hii muogopeni sana.
@munakkwangaya5636
@munakkwangaya5636 3 жыл бұрын
Hongera Waziri mkuu huko pamoja sana na wananchi wako balakoa tupa Kuleee hazina nafasi Tanzania yetu tupo salama m/mungu anatusimamia vyema
@nadhiriahmadi3120
@nadhiriahmadi3120 3 жыл бұрын
Hafai kuwa spika wa bunge Ni mnafiki mkubwa kipindi cha hayati magufuli alikuwa wapi
@susankitila8684
@susankitila8684 3 жыл бұрын
Waziri mkuu ana hekima sana. Na Mungu akubariki sana. Mh Majaliwa kweli wewe ulikua pamoja na Rais Magufuli. Ubarikiwe
@tundamasaga9530
@tundamasaga9530 3 жыл бұрын
Sio kweli kwenye utendaji ni lazima ujivishe majukumu yote usimuachie mtu ukipatia au kukosea lawama au sifa ziwe zako ndugai acha fitina 🔥 🔥 🔥 Mkumbuke na sisi tunaakili.
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Sasa je, Acha umbea. Hata mzazi huwa wanasema mimi ndo Rais wa nyumba hii, kwani hapo kuna ubaya gani? Acheni majungu jamani msiwazibie watu riziki zao. Vibaya kama angesema yeye ni Mungu wa mkoa. Lakini kama a nasema yeye ni rais wa mkoa Ana haki ya kusema hayo. Kibinadamu wewe tu ndo umewaelewa vibaya.
@vbnmmnbv5292
@vbnmmnbv5292 3 жыл бұрын
Hamna wa kumfananisha na Makonda japo sasahivi anaonekana hana maana ila Dar tulishazoea amshaamsha za Makonda mis ur Makonda 💪💪💪
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
MAGUFULI KWANGU MM ZAIDI YA KIONGOZI SIJAWAHI KUSIKIA UGULUDOZA WAKE MAKONDA NI KAKA LA MAKAKA HODARI ASIYE NA WOGA MKUU AMBAYE HATUJAWAHI KUMPATA TZ INA JUA MUNGU ANA JUA MABEBERU WANAJUA MAKONDA NI NANI
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 3 жыл бұрын
Wamrudishe alichangamsha sana
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
Unajua kwanin mamlaka yake ya uteuz haikumrudisha kaa kimya
@makamemjeda2938
@makamemjeda2938 3 жыл бұрын
Ndugai ww thaifu sana na bunge lako lenye wabunge covidi 19
@eliajimmy95
@eliajimmy95 3 жыл бұрын
Makonda yupi yule alievamia clouds
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Mwandishi acha ushoga nani hajui Makonda mazuri yaliyoyafanya tangia akiwa DC hadi RC alipambana na madawa ya kulevya nk. Hadi uchumi ukapanda daa
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 жыл бұрын
Makosa kwA binadamu hakuna ambaye yupo sw ila Makonda alikuwa kiongozi makini
@dayanimwamwimbe7966
@dayanimwamwimbe7966 3 жыл бұрын
Umechanganyikiwa wewe
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Yes Mary Manoni wapi ulipo tugonge chea
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
@@marymanoni5536 kabisaaa ndugu yng now dar ipo kam kijiji tu maan kumepoaaaaa waez sema hamn kiongozi lkn enzi za makonda masha allah amsha amsha kam zot had raha aisee jmn wp makonda rudishwa bc baba jiji si jiji ni kajikijiji sasa
@ludoviclimo4153
@ludoviclimo4153 3 жыл бұрын
Mama tunakuku Bali sana.ila tunakuomba barakoa zannje ya nchi zisija hapa nchini. Mitumba ifungiwe isije. Kingjne kikwete asiwe muongeaji sana.kwakua elimu alioileta yeye Leo anaiponda.atumjui kwasasa.
@marcoboniphace8108
@marcoboniphace8108 3 жыл бұрын
NIKIKUMBUKA MANENO YA BABA YETU ALISEMA MTAKUJA KUNIKUMBUKA KWA MAZURI SIYO KWA MABAYA. KWELI TAANZA KUYAONA.
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 3 жыл бұрын
M h: Samia, Huyu Ndungai nayeye ungeli muangalia tungeli mbadilisha maana huu uongozi una mpa batara!!kila siku yeye tu!khaah!!
@pontianrweyongeza6240
@pontianrweyongeza6240 3 жыл бұрын
Ninashukuru mungu kuona taifa retu rinaenderea vizuri,
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 3 жыл бұрын
Mama Sa 100 ndungai ni nyoka wa ndumi la kuwili muogope kama ukoma.
@johannesrwiza
@johannesrwiza 3 жыл бұрын
Hatimae IKULU imerudi Dar Es Salaam. RIP MAGUFULI
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 жыл бұрын
Ndugai kama mama tu huna unachomzidi makonda makonda kazi kazi
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 3 жыл бұрын
True!
@annakisiga889
@annakisiga889 3 жыл бұрын
Hivi ikulu imerud tena dar?
@susankitila8684
@susankitila8684 3 жыл бұрын
Halafu mna ROHO. MBAYA SANA NYIE. kumuondoa. Makonda katika nafasi zooote. Kijana alikua anaweza uongozi au udn. Nini
@salimalaquimane2640
@salimalaquimane2640 3 жыл бұрын
Jeshi chukuen nchi maana awa watu sio
@emmadominic9601
@emmadominic9601 3 жыл бұрын
We,Salima,tulia kidogo kwanza tuangalie mwenendo wa nchi,usiwe na haraka namna hiyo.Tuko imara zaidi ya jana.
@abdulkilala9845
@abdulkilala9845 3 жыл бұрын
Linafiki tuuuuuu spika Gan msaliti nyau tuuuuu ww
@ziadaomeri6058
@ziadaomeri6058 3 жыл бұрын
Makonda alifanya kazi acha kumchafuwa kabisa
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Hasa mpendwa na watu
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 3 жыл бұрын
Maneno sina Mungu ataongea.
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 жыл бұрын
Yani ndugai mungu anakuona.baba angekuwepo ungeongea kweli
@masanjamasaga3758
@masanjamasaga3758 3 жыл бұрын
Makonda alikuwa mchapa kz kafanya kz kwelikweli ktk mkoa wa dar
@eliajimmy95
@eliajimmy95 3 жыл бұрын
Majaliwa uko vizurisana
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa ndiyo smirk jeshi mkuu katika Eneo husika Ndugai acha majungu wewe na msipende kujipendekeza ni dhambi kubwa kwa Mungu.
@hamisikadege5867
@hamisikadege5867 3 жыл бұрын
Umenifurahisha unavoanza kuanza kwa salamu ya Mungu maana hii awamu imehama kabisa kwa Mungu. Naona tunasalimiana kwa Nina la nchi
@godwinhoney4810
@godwinhoney4810 3 жыл бұрын
Ndugai aaache majungu bungeni.
@masanjamasaga3758
@masanjamasaga3758 3 жыл бұрын
Makonda alikuwa vzr sana sana ww unamchafua Bure mtu Wawa watu
@emilykassiano6173
@emilykassiano6173 3 жыл бұрын
Majaliwa anapoongea unaona kabisa anamaanisha Mungu mlinde waziri mkuuu wetu. Na ukipenda mbeleni apate cheo kikubwa zaidi.
@adamkasasa8660
@adamkasasa8660 3 жыл бұрын
heeee Samia amevaa barakoa bahna
@twahambowe6544
@twahambowe6544 3 жыл бұрын
Mnh
@sylivanussyliacus5064
@sylivanussyliacus5064 3 жыл бұрын
Yani Tumwombeetu
@munakkwangaya5636
@munakkwangaya5636 3 жыл бұрын
Limama limevaa libalakoa kubwa hata alijampendeza alafu awezi kupumua vizuri anajikaza tu wazungu wamuone yupo pamoja nao
@noahlarapho4749
@noahlarapho4749 3 жыл бұрын
Hongera Taifa lenyewe
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 3 жыл бұрын
Msizoee masks za nje Zina funza tumia microscope utaona msioene vyanje watu wa huku hawawataki mema. Sijui muabiwe mara ngapi.
@gitu4me
@gitu4me 3 жыл бұрын
Hayasikiagi mama
@mawazokasembe8498
@mawazokasembe8498 3 жыл бұрын
Kila akilaumiwa makonda kunawengine wanasema alifanya kazi vizuri sana eti alidhibiti madawa ya kulevya! Hivi ndo jambo la muhimu alilotumwa akalifanye hilo? Mbona hamuongelei makontena waliyobaini kwamba niyake!? Acheni ujinga bwana na kama alifanya mazuri tu angeendelea kuwa madarakani.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Kwani makontena aliomba msada kwa ajili ya mkoa
@yohanaanton7437
@yohanaanton7437 3 жыл бұрын
Acheni kumlaumu Makonda aliwasaidia madawa ya kulevya kuisha Leo mnamlaumu ksb mmezoea ujambazi na Uwizi. Hata ninyi mna mapungufu yenu jiangalieni
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
NDUGAI BWANA
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Makonda yupo juu chati yake ipo
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 6 ай бұрын
RAIS WA MKOA NI MAKONDA NA SASA YUKO ARUSHA WEWE UKO WAPI😂😂😂WANANCHI WASHASEMA MH RAIS...MH MKOA MAKONDA
@godfreybikukana7727
@godfreybikukana7727 3 жыл бұрын
Mnafiki kweli ndugai
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 3 жыл бұрын
Saanaaaa!
@magufurifofo3130
@magufurifofo3130 3 жыл бұрын
Kweli mnafiki
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Sana anadhani kuwa spika ni cheo cha kudumu
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 3 жыл бұрын
Bora Makon da kuliko wewe ndugaya kwani wewe kazi yako ninini? Hatukuelewi kabisa yani. Makonda babalao.
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Kupika majungu
@asiNGO-yl5xn
@asiNGO-yl5xn 3 жыл бұрын
uPO Sawa KABISA mheshimiwa, speaker umesema ukweli maana hata M ANYARA Mwaka jana tulikuwa na Rais wa mkoa.
@azizabdallah585
@azizabdallah585 3 жыл бұрын
Mh. Ndungai....hapana...hapana... hapana....kila mtu muhusika abebe msalaba wake....siyo Mkurugenzi kaharibu kazi eti Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya wote wawajibishwe! Hivi hapo Bungeni kama Katibu wa Bunge kaharibu kazi...je ni haki wewe Spika na Naibu Spika muwajibishwe
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 3 жыл бұрын
Ogopa sana serikali ambayo kilaanaeongea anapigiwa makofi
@vumiliasulema6306
@vumiliasulema6306 3 жыл бұрын
Tutamkumbuka sana JPM
@lennykiganga4763
@lennykiganga4763 3 жыл бұрын
Hivi hii nchi inarais kweli na kama yupo ni nan mbon sijaona rais wng akijakusikiliza kero kutwa nasia kunampokeaj wa wagen ikl but whatever the case nirud kweny point ya msingi rais anawakilishwa na mkuu wa mkoa akiwa hayupo ndo maana makonda akajiita rais sasa kwan ndungui ilikuwasxh nn
@manenoyusuph4907
@manenoyusuph4907 3 жыл бұрын
acheni unafiki huyo aliejivika joho la raisi kwani nchi ilikuwa haina kiongozi na akamtumbuwa mbona kama unazungumzia uongozi mnaoudhalilisha kwa uuma
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 3 жыл бұрын
Ndungai huna jipya wewe mwenyewe huwajibiki bunge umelivuruga na kila mtu anajuwa Ndungai unajipendekeza lakini siku yako inakaribia na inakuja na majuto makubwa!!
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 3 жыл бұрын
Yaani ningekuwa mchawi ningemfagia huyo na kikwete
@issanmedia4654
@issanmedia4654 3 жыл бұрын
Tumain lang ni kwa majaliwa , hakika ww cio mnafiki nakupenda barakoa kwetyu cio tiba ,ni lulu pekee iliobakia ,hatuwez jua sana lakin hakuna namna hyo nafac ulionayo ni nzuri lakin haitosh kututumikia sisi watanzania naona wavaa barakoa wako tofaut na mawazo yetyy
@maishayamtaani2831
@maishayamtaani2831 3 жыл бұрын
Mbona wewe ujawajibika ulimtukana makam wa rais kuwa akumshauri rais vizuri je ulijiuzuri
@annakisiga889
@annakisiga889 3 жыл бұрын
Wewe ndugai huwez kujifananisha na makonda send kuwa aliwazibia nafas zenu za uuzaji madawa ya kulevy pimbi wewe jimbon kwako hata umeme hauna
@amaniabeli8027
@amaniabeli8027 3 жыл бұрын
Usipo vaabarakowa kaziuna
@emmadominic9601
@emmadominic9601 3 жыл бұрын
Je,yeye kazi anayo?
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 3 жыл бұрын
Bendera fata UPEPO....ndu yai
@brightmackmwaky7968
@brightmackmwaky7968 3 жыл бұрын
Mimi nawaomba wstanzania muwajue mafisi huyu ndugai ni ndumila kuwili nahisi ni asili ya ukwao umatonya. Hebu muangalieni anavyo jipendekeza kwa kuwapiga mawe watenda kazi wa kweli. Nina I asie jua kazi ya Makonda? Huyu yupo na kundi lile lililo muondoa JPM .tuwe makini nao hao
@nassoromsangi1323
@nassoromsangi1323 3 жыл бұрын
Mh!Ndugai mbona umedharau Salamu Mama aliyoianzisha kusalimia kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
@nurumushi2226
@nurumushi2226 3 жыл бұрын
Hiyo ni salamu ya mama na yeye ni boss
@emmanuelkwayu6783
@emmanuelkwayu6783 3 жыл бұрын
Bendera futa upepo
@paulmasansi1815
@paulmasansi1815 3 жыл бұрын
Anawatetea wakurugenzi kwakuwa Mke wake ni Mkurugenzi Wilaya ya BAHI
@yohanalazaro4973
@yohanalazaro4973 3 жыл бұрын
Unaaa tu
@francokamugisa296
@francokamugisa296 3 жыл бұрын
Nchi hii ukisaidia wananchi unawaudhi wakubwa ukila na wakubwa unalaumiwa na wananchi,hapo chagua moja ule na wakubwa uwe salama au usaidie wananchi ufe
@annamwankenja1807
@annamwankenja1807 3 жыл бұрын
Ok
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Nani kama Makonda.Makonda amepambana,leo hii wewe unasema hivyo.walio mchukia Makonda niwale walio kuwa wanauza madawa ya kulevya.Tunamkumbuka saana Makonda.usilete chuki binafsi.
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 3 жыл бұрын
Haya
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 3 жыл бұрын
Wejamaa mbona unamajungu kama limwanamke ivo?
@dula8819
@dula8819 3 жыл бұрын
Yaaaan hiiiii nchi
@kinglubwaza9618
@kinglubwaza9618 3 жыл бұрын
Bashite anakusikia
@audaceleroi1370
@audaceleroi1370 3 жыл бұрын
hivi watanzania hamuoni kama inchi imeshauzwa? Maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake! Ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri?
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 3 жыл бұрын
Dah????? Inchi hii baba wanafiki Sana tutammisi Sana jpm na makonda
@zuwenagwanko3703
@zuwenagwanko3703 3 жыл бұрын
@@zephaniamanembe6929 ulichosema ni sahihi watu sasa hivi tunanyanyasika hasa wanyonge tuliondokewa na jpm mungu amrehem
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Mmmmmmm.
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 3 жыл бұрын
Mmmmmmm!
@lemsanyajoel8360
@lemsanyajoel8360 3 жыл бұрын
Mweshimiwa Ndungai apo umesema ukweli....hao wanaokupigwa wanafiki zao na jao wanaowapigia debe
@eliassamwel5824
@eliassamwel5824 3 жыл бұрын
Nothing
@ropaultv5610
@ropaultv5610 3 жыл бұрын
Hii nchi kwa sasa haina Rais, Haito kuja kutokea tena Tanzania ikawa na Rais mwanamke labda baada ya miaka 1000 kupita, Sioni Nuru katika nchi yangu kwa sasa, Leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. TUTAELEWANA TU.
@dr.amos..ngailomd
@dr.amos..ngailomd 3 жыл бұрын
N mawazo yako t
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 жыл бұрын
Uko sawa mheshimiwa Ndugai ujipe ukubwa ambao huna.
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Nimeipenda kateleza ulimi
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
Ila hiz barakoa😷 Kuna viongozi hawajazoea wamefunika mdomo tu pua wameacha🤣🤣
@eliajimmy95
@eliajimmy95 3 жыл бұрын
Ndugai mpumbavu tu wewe
@damasmaleo4845
@damasmaleo4845 3 жыл бұрын
Zigo la taifa ww
@jamesndondole9483
@jamesndondole9483 3 жыл бұрын
Msituchanganye na mabarakoa mnataka kutuua kwa hofuu!!!!?????
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 3 жыл бұрын
Acha ujinga ndugai, wakuu wa mikoa na wilaya ni wawakilishi wa raisi katika maeneo yao, haimaanishi kwamba wao ni Raisi. Ila ndungai unajipendekeza sana kwa Huyo mama mpaka inachefua...
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
Acha ujinga ww spika kaongea ukweli unakuta mtu anajiona ya ndio kila bila yey hamuez pata maendeleo anamzarau mpaka makamu wa Rais na waziri mkuu hapo kawapa somo ajikwezae atashushwa bali ajishushae atakwezwa wako wapi Sasa hiv.
@hamadihamadiali2033
@hamadihamadiali2033 3 жыл бұрын
Hhhhaahhaa
@fauzhaji7149
@fauzhaji7149 3 жыл бұрын
Inapendeza kuona sasa musk zinavaliwa katika ngazi zajuu ..hopefully tutaona bungeni na sehemu nyingine nyingi na na wananchi kwa ujumla....hapa sasa unaweza kusema mungu ibaribiki tanzania na uwalinde VIONGOZI na wananchi wake kwa ujumla ...why I say this .because mungu anasema Jilinde nikulinde you cannot not taking precautions alafu uombe ulilindwe first take precautions then muombe mungu akulinde ...very simple
@benjaminmollel3005
@benjaminmollel3005 3 жыл бұрын
Wewe unaweza kjilinda ? Acha uongo , bila Mungu huwez chochote.
@titomneja844
@titomneja844 3 жыл бұрын
Jamaaa Kama una hissa na mabeberu na balakoa zenu hatutaki
@titomneja844
@titomneja844 3 жыл бұрын
Jamaaa Kama una hissa na mabeberu na balakoa zenu hatutaki
@fauzhaji7149
@fauzhaji7149 3 жыл бұрын
@@titomneja844 niliona India 🇮🇳 nikakumbuka tanzania. Unaweza kuwa na macho lakini ukawa bado huoni ...utakuwa kipofu maisha .na unaweza kuwa na masikio ya kusikia lakini ikawa bado husikii utakuwa kiziwi maisha...im glad Nina macho na naona kinachoendela India ambacho sitofurai kuona kinatokea tanzania .just piss of advice thsts all ..you can take the horse to the river but you can't force him to drink the water ...remember that
LAVROV's interview with Tucker CARLSON 😁 [Parody]
8:34
Юрий ВЕЛИКИЙ
Рет қаралды 281 М.
HOW GOOD WAS PELÉ?
18:28
Gustavo Marques
Рет қаралды 2,9 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 22 МЛН
Ιωάννης Μάζης: Γεωπολιτικές Δυναμικές στην Μεσόγειο
2:17:56
Σάββας Καλεντερίδης
Рет қаралды 86 М.
Lowassa na Sumaye Wanena Mazito Kwenye Msiba wa Ndesamburo
10:03
Global TV Online
Рет қаралды 143 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”
11:01
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 19 М.