EXCLUSIVE: MJUE RIDHIWANI KIKWETE -MTOTO wa RAIS ALIYEPEWA KASHFA ya MADAWA CHINA na KUMILIKI SHELL

  Рет қаралды 24,370

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

2 ай бұрын

#exclusive #cloudsmedia #efm #simulizinasauti #history #wasafimedia #dullysantz #millardayo #santzmedia
USIDANGANYWE TENA FUATILIA MAISHA YA RIDHIWANI KIKWETE A-Z
• MAKALA ZA VIONGOZI🥂

Пікірлер: 58
@danielmadale
@danielmadale 2 ай бұрын
OK, MMEAMUA KUMSAFISHA. HATA JIK HAIWEZI
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kumbe simulizi inaendana na kumsafisha mtu?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 ай бұрын
Mfikishie na hizi comment aliekutuma
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 ай бұрын
Kwann unamsifia kwann et Kuna nn et
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Mtu anasifiwa kutokana na uhodari wake ,Ikitokea amefanya kitu chanya Kwa jamii sifa zake Atapewa Tu kwaiyo nawewe jitahidi Uje usifiwe kama Mhs;
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Haloooo ya Ccm hamna kitu hapo wewe simulia tu ufanye kazi ya kumsifia wala hana nyota ya kupendwa ila upambe tu
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Ndugu wewe ni Mtanzania kweli???
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 2 ай бұрын
Hatuhusu
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 25 күн бұрын
Jamani hebu mwogopeni Mungu,haonekani kwa macho ya nyama lkn yupo
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 9 күн бұрын
Muuza madawa ya kulevya ni nani
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 2 ай бұрын
Mtajua wenyewe huko
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 2 ай бұрын
Sijui utatumia lugha gani ili watu wakuelewe
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kivipi mkuu?
@StephanoMoses
@StephanoMoses 2 ай бұрын
Kumbe siku hizi hamna simulizi zaid ya kumsafisha mtu . Huku anawalipa bei ghali inaonekana
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Ili iweje kwa maelezo haya
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 2 ай бұрын
Huyo mwandishi kahongwa! Ridhiwani Ni Kweli Ni muuza unga na alishikwa China! Pumbavu anajisafisha saa hizi!
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 2 ай бұрын
Yote ya Nini maneno hayo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 ай бұрын
Njaa mbaya. Na democrasia ni ushetani
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Tuendelee kufanya kazi Kwa bidii "Njaa Hakuna
@user-ig6pg6oz9i
@user-ig6pg6oz9i 2 ай бұрын
Upofu wetu atujui unajua wewe ayo tusimulie wtz mazombi wote. Ata majani ya mpapai yanafua nguo
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Ай бұрын
Mwamba flani ivi kutoka chalinze.
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs Ай бұрын
Huyu ni birionea mkubwa sanaa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Baba ,mama na mtoto wote wanakula nchi.
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Ukiongea jaribu kuwa na Fact kidogo 😥
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 ай бұрын
Umelipwa shilingi ngapi
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Tuendelee kuipenda Nchi yetu!!!!!!
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 9 күн бұрын
Hahahah😮
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Mwandishi unatumia fagio gani mbona unasafisha sana atajuana huko mbinguni au motoni
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
😆😆😆😆
@ibrahimmussa1775
@ibrahimmussa1775 5 күн бұрын
Yaylyagayagaglyaylylyagqyqyayqyayl
@Santzmedia
@Santzmedia 5 күн бұрын
🤩🤩
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Tafuta cha kuongelea😮uache uchawa
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Unadhani kuzungumzia Maisha ya mtu Kwa wasiomfahamu ni uchawa !!!!!???🥺🥺🥺
@aishamtaula1959
@aishamtaula1959 Ай бұрын
Jamani huyu bibisikumoja nitienda kwake na bibiangu kimsrimia arikuwa hivi hivi na kanga hii irijitanda arikuwa mkarimi sana na mpendawatu mungu iraze roho yake mahar pema peponi amina kubwa pia tunamshuru mungu kwa kutuzaria mtu huyu mwamba wa charinze mungu mrinde mbunge wetu kwani nichaguo retu
@aishamtaula1959
@aishamtaula1959 Ай бұрын
Pia mumewe nirimkuta barazani umri huuu anasuka jamvi hawana makuu wazee Hawa wawir mtu na mumewe bibiangu bitirajabu msakamar armuita bibi Goya na mumewe arimwita murisho Asante kuturetea makara hii naitwa Aisha mtaura wa charinze miono huna baya aropewa kapewa cheo kinamruhusu kufanya biashara afanye tuu ajira zinaongrzeka Kwa vijana wetu
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
🇹🇿🤝
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 ай бұрын
Kiukweli Ridhiwani hausiki na uuzaji unga anayehusika ni Miraji sio Ridhiwani ni bahati mbaya watu wengi hawamjui Miraji ambaye ni mama tofauti na Ridhiwani
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
👊👊👊
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Ай бұрын
Mkoani RINDI au LINDI,jifunze kwa kiswahili ndio ufanye hii kazi,RIDHIWANI sio LIZIWANI.
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
Sawa mkuu nitabadilika natumai video zijazo sitokuangusha💥📌
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 20 күн бұрын
Wanaokota mananga yasiyojua kitu hata kiswahili ndiyo yawasafishe maana mweye akil😅. timamu hawezi kufanyahii kazi
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Umepewa shilingi ngapi ndugu mwandishi kwa hii propaganda uliyoitoa?
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Kwani wewe sio Mtanzania 🤓
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Siwezi kumjua,bora watoto wa nyerere,huyo ni kibaraka wa wazungu, Rip JPM
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
😂😂😂
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Hivi nani alisababisha bandari ya bagamoyo apewe mchina kwa miaka 132? Kwa maslahi yake na family yake?🤔🤔
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
Embu Tujiulize wote sasa!!!🤔🤔
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 20 күн бұрын
Ndivyo walivofanya ?Jamani watu walirogwa JPM baba hebu rudi kwa namna ya kiMungu ushuhudie viroja vya watanzania
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b 20 күн бұрын
Ndivyo walivofanya ?
@theopisterchalle7059
@theopisterchalle7059 Ай бұрын
Na wewe mwiz
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😢😢😢
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
HUU NI MPANGO WA WATU MAHASIDI!! RIDHIWANI ANATABIA NZURI KAMA ZA BABA YAKE,HANA MAJIVUNO WALA MAJITAMBO!!HILO LINAWAKERA WALE WENYE UHASIDI MNO!! ANAFAA KUWA RAISI WETU MIAKA IJAYO!!
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
🤝
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Kumbe kama za baba Yake bas tumeelewa
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 2 ай бұрын
We ni zombi kweli..
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 ай бұрын
Kafirwe na babaako shoga wewe
@StephanoMoses
@StephanoMoses 2 ай бұрын
Mpuuz mwingine
这是王子儿子吗
00:27
落魄的王子
Рет қаралды 20 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 358 М.
Maandamano ya nane nane, waandamaji wamejitokeza miji tofauti
8:55
KTN News Kenya
Рет қаралды 28 М.
ИСТОРИЯ ПОВТОРЯЕТСЯ🧨
0:16
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 298 М.
Невероятный челлендж
0:51
TanobobaShorts
Рет қаралды 3 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 29 МЛН