NDUGU WA MSELE WACHARUKA MAHAKAMANI,WASHANGAA MKE ANAYEDAIWA KUMUUA MUME ALIVYOVAA "KININJA".

  Рет қаралды 41,741

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 224
@DeusNkunga
@DeusNkunga 2 ай бұрын
Get the best lawyer so as to win the case! Mtuhumiwa amevaa Vipi, these are trivial matters!
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 ай бұрын
Dada get the best lawyer, kweli umefanya kosa but inaelekea mwanaume alikuwa mkorofi
@matronamwacha4949
@matronamwacha4949 2 ай бұрын
@@patriciacarlo7236 kigezo gani kinakufanya unaona Huyu mwanaume alikuwa mkorofi. Chunga ulimi usikupeleke motoni kwa kusoma na kuhukuma unavyoona social media. Em fuatilia kwa makini umjue huyo mwanamke? Au aliyeuawa? Ukijua ukweli wa maisha yao utafuta hii comment yako
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 ай бұрын
Pole kwa wafiwa, maumivu bado mabichi masikini Mungu awatie nguvu, msali sana kesi ya mada ni ya mamiaka hata kumi ishirini, akiwa na mwanaaheria mjanja wa kutetea mtashangaa watasema kaua bila kukusudia na hata akihukumiwa kifungo cha maisha mtasikia kapewa msamaha na Raisi, mkashitaki kwa mola wenu kesi za mauaji zitawazidisha machungu, poleni sana
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Ila Mimi ninachoamini damu ya MTU inauma sana hata ukirudi uraiani utahisi marehemu anakukimbiza utaishi Kwa hofu sana
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 2 ай бұрын
Amtafute mtaalamu wa izo kesi bwana Peter madeleka
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Mungu atakutoa dada! Mtu anakudharau,kwanxa pambaneni na huyo kahaba mwixi alosababisha,linaiba mume wa m2 halafu linamkosesha na mke.Jambaxi km lingine.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
kwani kuna nguo za kikilisto zinauzwa wap izo mbona wazee Niwapumbavu ivo nguo Ninguo2 Nakama yesu alishawah kuvaa kipensi Nijulishe
@enockdismas5127
@enockdismas5127 2 ай бұрын
Majungu hao
@monalisapaschal7362
@monalisapaschal7362 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 2 ай бұрын
😂😂😂kipensi ety😅
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
Kweli hii kesi ina mahakimu wengi mnataka mumtoe roho na yy au em mwachen coz na nyie mlisikia tu kauwa na hamjui kwa upande wake nin kilimfanya auwe huenda ilikua fight defenc kaen kimya uko
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 2 ай бұрын
Tunashangaaa kweli .inauma kumpotenza ndugu yao ila wajipe moyo na kumwachia Mungu .huyo mama mahakama itatenda haki ila hakukusudia jamani😢😢😢
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 2 ай бұрын
Acheni kutetea ujinga sawa angekuwa baba yako kauwawa ungefulahi
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
@@AbuuThabiti shida mnang'ang'ana na kuuawa mbona hamtaki kusubiri ijulikane chanzo nini pia ilikuaje mpaks ikatokea maana hakuna uhakika bado ni mashtaka tu utulivu unahitajika ili kupata majibu sahih na ya uhakika
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 ай бұрын
Halafu hao ndugu ukute wakati ndugu yao anasumbua mke wake walikuwa wanaona sawa. Hawa ndugu hawa.
@mgayan1222
@mgayan1222 2 ай бұрын
Kwahiyo ni SAWA alivyomuua. Tuwe na akina ya Maneno. UHAI WA MTU NI MUHIMU. Katika haya Maisha Tujifunze Kukubali Kukabiliana na Changamoto Zetu kwa WELEDI. Inawezekana Marehemu Alimkwaza Mno LAKINI Kilichopo Mbele yake Kwasasa ni MKWAMO Kupita Maelezo 😢 #Godforbid
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 2 ай бұрын
Kwa hiyo wewe ukiteswa ndio uuwe si uanze upya na Maisha Yako Sasa kikwapi unawatesa watoto wako bure
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Sasa SARAH HATA UNGEKUWA WEWE,KWELI UTAAÇHA KUWA UPANDE WA NDUGU YAKO? HATA KAMA ANAMAPUNGUFU YA VIPI,NITASIMAMA NA NDUGU ZANGU MAISHA YANGU YOTE.
@aishathkalugira3296
@aishathkalugira3296 2 ай бұрын
wanataka mke apotee ili wachukue vizuri mali za ndugu yao
@janethgenes1074
@janethgenes1074 2 ай бұрын
Huyo aliye ua angejiuliza tu swali kua je? Angekua kijana wake kauawa na mkwewe angesamehee huyo mwali wake?
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Jamani leo nimeshangaa sana ndugu zangu kujificha ni sw kabisa maana aliua pia mkisema marehemu mungu hakupanga kifo chake mnakosea km hakikupangwa mungu angemwepusha maana anawenza yote km kimepangwa mzee hata gari itahama barabarani ikufuate eleweni hilo muda ukifika itafanyika njia yoyote ili tuu uondoke mmeanza kumpangia mungu mnakosea
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 2 ай бұрын
Hakukusudia kaua kwa bahati mbaya wamsamehe..kwani hata akinyongwa au ukifungwa maisha je ndugu yao atarudi..wamsamehe alee watoto wake...pia wababa mtulie hayo ndo matokeo ya dhambi ya uzinzi...
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
Asante mamy
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Kabisa point
@MauaDumba
@MauaDumba 2 ай бұрын
Ukwe na undugu ushakufa hapo✋
@RahisaLovely-zs1zl
@RahisaLovely-zs1zl 2 ай бұрын
Saaana ushakufaga alivomuua ndugu yao
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Cha msingi watt wapate mtu maalum wa kuwa tunza lakini Kwa mzazi ni Bora zaidi Kwa hiyo akitoka hawatampa wtt? Hata wasipompa watt wakiwa wakubwa watamrudisha mama yao yaani hata angekuwa mchawi watamrudisha mama ni mama tuu subirieni
@chikujuma18
@chikujuma18 2 ай бұрын
Wanao tafuta wanaume hawawapati wanaopata wanawaua kweli upele umpatae asiye kuwa na kucha😢😢😢
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 2 ай бұрын
Mkiambiwa ndoa ngumu muelewe. Ya ndani mengi mpaka ilifikia hapo.si sawa kuua ila huenda amejutia baada yaa
@olivermwanjisi7261
@olivermwanjisi7261 2 ай бұрын
Kwakweli chiku
@ubongosahihi
@ubongosahihi 2 ай бұрын
Kinyume na Taratibu au mipango haieleweki na pia muombe sana Mungu awasaidie bila Mungu hakuna kitu 😮😢😢
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 2 ай бұрын
Familia imeshaharibika tayari watoto ndo watatengana na ndugu itakuwa kama familia ya msuya
@rosemkama6629
@rosemkama6629 2 ай бұрын
Umeona
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 2 ай бұрын
Sanaaa yaani daaah
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Kwakweli ni shida sana, angetulia kiakili badala ya maamuzi aliyochukua angewazia watoto wake na ndugu wa marehemu. Kwani inaonyesha toka awali walikua hawampendi.Ndugu wa marehemu subirini muone maamuzi ya Serekali
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
​@@leokamil6284hapo mimi naona hata mahakama iamuwe vipi,kwa ninavyowasikiliza hawa ndugu,na ni wachaga,hawa lazima wachinjanee sana tu,kama kwa akina msuya japo huyu mama atatoka tu ni swala la muda tu.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Huyu mama nae jamani katimiza ule msemo usemao usidili na mchepuko dili na mumeo duh
@amnemanangwa4450
@amnemanangwa4450 2 ай бұрын
Mababa wadogo wa kichaga sasa. Watajitokeza hata ambao hawakuwahi kujua marehemu na mkewe wana watoto wangapi. Na ukizingatia kuna suala la mali nyingi - mpaka mashangazi wa kujitolea kusimamia malezi ya watoto wa marehemu watajazana.
@user-kw4yn3vq2v
@user-kw4yn3vq2v 2 ай бұрын
Aiseeee we mama nakupa pole hapo ndio utajua tabia ya kila mtu ungemwacha tu Yan hapo duuuuh umemwaga damu ya ndugu Yao hata kama walikuwa wanakupenda sahz itakuwa adui Yao mkubwa usingemuua ungemwacha wanaume hawachungiki ndugu yangu akiamua ameamua hata ufanyaje lakn wakitembea huko nje wakimaliza huwa wanaludi wenyewe japo inauma lakn ilitakiwa kumwomba tu mungu
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 2 ай бұрын
Nyie ndugu za marehemu mnasema mume anauma wameanza maisha ya chini af anaanza umalaya kama alitaka kuoa mke wa pili angeweka wazi tuu...huyo mama kaua bila kukusudia marehemu ndo mbaya alitakiwa amtambulisge mke bi mkubwa amjue azoee wako wawili..pia ndoa za mitaala waachiwe wasukuma wanyantuzi na wakulya tuuu
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 comment zako nazielewa cz unawaza km mimi
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 2 ай бұрын
Unafiki tu ulitaka wamtembeze kwa kichwa
@rosemkama6629
@rosemkama6629 2 ай бұрын
Kaharibu familiy yake kwa mikono yake .mwenyewe wtt watapata shida
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 2 ай бұрын
Yaani hapo anamchukia hataa alie mpa umbea
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 ай бұрын
@@ShukranMwakyamboalafu ni mshkaji wa Mume wake
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Watakuwa wanaitwa watoto Wa muuaji Wa kike wataolewa Kwa mbinde afadhali Wa kiume kidoogo
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 2 ай бұрын
Uharibifu ulianza na baba wa familia.... Angetuliza kidudu chake nyumbani au angekua malaya tu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
@@kanankirannko6174 usiwanene mabaya watoto mungu atafanya njia wataolewa wataoa bila shida na mama yao atatoka tuu akalele wtt wake mzazi ni mzazi tuu hata km aliua ni kichaga ni mchawi ni mlevi yaani vyovyote vile ni mzazi hasa mama Iko ck atatoka akalele familia yake hakuna upendo wa dhati km wa aliekuzaa
@ednagodson7540
@ednagodson7540 2 ай бұрын
Wanapenda mahakaman wanataka mbalii tu wanajua mama akifungwa watajifanya mali zinalindwa kimilaa na mzee wa ukoo😂😂
@SubiraKimaro
@SubiraKimaro 2 ай бұрын
Bora alijifinika maana wanoko ni wengi. Na pia siku ya kufa mtu huandikwa tangu kuzaliwa.hata sis hatujui hatima yetu.tunawezafia hata gest
@user-to6bf2jk8n
@user-to6bf2jk8n 2 ай бұрын
Wanawake wenzangu ukiona usaliti umezidi na huwezi kuzuia hasira zako , bora ufungashe watoto wako uondoke nao kuliko kuua unaacha watoto wanateseka , sibariki swala la kuuana lakini nna uhakika kesi za huyu mwanamke kuhusu usaliti wa mumewe ndugu walishapelekewa mara nyingi, mpaka kutokea haya migogoro ilikua mingi, ndo maana sitakagi mazoea na mashemeji wala mawifi wanafki sanaaa
@matronamwacha4949
@matronamwacha4949 2 ай бұрын
Ni kweli ndugu hasa wa upande wa mke wamehusishwa sana ila kwa ukatili wa mwanamke. Hakusalitiwa, alimsukuma mumewe kwenda kutuliza roho yake kwa mke atakayemsikiliza. Mwanamke ni mkatili kwa ndugu wote. Mume alikuwa mvumilivu.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Bora niwe nackilicia pande xote
@naombaelsebastian6917
@naombaelsebastian6917 2 ай бұрын
Aondoke yeye kama ameshindwa kukituliza
@AnnSanga-eo6ii
@AnnSanga-eo6ii 2 ай бұрын
Wedada mungu akusaidie vitatu vysko nilivipitia ila Mimi nilimzalau kwanzia huyo mume wangu Hadi hawara. Mpaka waliomba poo
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Safi sana Anna.
@hassansaid3833
@hassansaid3833 2 ай бұрын
Daaah kwahiyo mlitaka aletwe akiwa uchi anaburutwa kwa maana hapa sijaelewa malalamiko hayo yanahusu nn
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
wakitaka aje akiwa ameharibika mwili wote hehe hata simlaumu huuu mama
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Nashangaa mimi pia
@machakuroger7068
@machakuroger7068 2 ай бұрын
Angeuliwa kaka yako usingesema hivyo bro
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Hii familia ya mume kwa kauli zao kutoka mwanzo ukisikiliza kwa makini unagundua hawakuwa wakimpenda huyo mwanamke na inawezekana wao kutokana na kushindwa kuwaweka sawa pande hizo mbili ndio kumepelekea yote hayo.Inaonyesha baada ya wao kuona ndugu yao kashakuwa na uwezo basi wakawa upande wake kwa kila kitu bila kumpa ushauri juu ya familia yake na wakamchukia huyo mwanamke. Vuta taswira utaona,huyo mwanamke alikosa washauri asingeenda huko kumfumania mume wake na yakatokea mauti.Angemuwekea ushahidi kisha wakaachana tu akabaki na wanae.Japo kuna wanaumme wakatili husema kama unaona vipi ondoka kama ulivyokuja wakisahau mpaka kufika alipo huyo mwanamke kachangia mchango wa aina tofauti. Tubadilikeni tuache kuambizana kauli za kuvunja moyo mwenza wako
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
Dah polen sn ndugu
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Amekuwa mwislamu sasa shida ipo wapi hataki kuvaa nguo za kikristo nakumbe kunanguo zakikristo skuwahi kujua kiukweli now naona mridhike alivyo vaa kwatafsri kuwa ni muislamu. Kifupi nkuwa kujifunika ni heshima kwawafiwa na maombolezo kwake kwakua yeye ni muhuska kwenye hy ajali
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 ай бұрын
Dahh kwani kuvaa vile ina shida gani??issue ni kesi acheni kuzungumzia nguo
@kolumanialoyce4623
@kolumanialoyce4623 2 ай бұрын
poleni sana wasele niseme kitu kimoja jamani MUNGU aziakiwi apandacho mtu ndicho atakacho vuna sheria zipo wazi zinajuwa kilicho tendeka tuiachie jamuhuri ya muungano wa Tanzania ifanye kazi yake ?? Wagalatia 6..7 haya nimaneno ya MUNGU.......
@elizabethmalongo6113
@elizabethmalongo6113 2 ай бұрын
Ndg wa marehemu punguzeni hasira muangalie na watoto kauli zenu zinaleta mpasuko zaidi ht iweje watoto watabaki na mama yao tu msidhani watamchukia ila nyinyi ndio watawachukia tu kesi iwepo lkn punguzeni ukali wa maneno sheria ifate mkondo Wake
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
Msilaumu sana acha sheria ichukue mkondo wake wao sio wajinga kumweka katika hali ile na kumbukeni hukumu bado haijatolewa acheni wenge pale ye katuhumiwa tu akishasomewa mashtaka mengine yote ndo yatajulikana ila kwa sasa kuweni watulivu wanasheria wafanye kazi yao ayo mengine yote achaneni nayo kuomba msaada sa iz wakati wanasheria hawajatamka kitu ni kama kusema wanasheria hawawezi kitu
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 2 ай бұрын
Anyongwe kabisa ili iwe fundisho kwa wanawake wakibosho na tz nzima
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@AbuuThabitina kwa wanaume waouwa wake zao je wafanywe nini
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Hawa ndugu wa mume inaonekana hawakumpenda huyo mama
@jkuser7593
@jkuser7593 2 ай бұрын
Wanafiki
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
HIYO SIO TANZANIA DUNIANI KOTE MTU MWENYE KESI YA MAUAJI ANAWEZA KUJA MAKAMANI KWA ĶUZIBWA USIKA WAKE KWA USALAMA MUSILAUMU KUFUNIKWA VILE HIYO KESI SIO KESI YA KUIBA KUKU YOTE SHELIA YA ULIMWENGU ULIOFANYIKA😢
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
Jamani mpeni ushirikiano alee watoto dunia ya leo salama ya mtoto ni mzazi pekee
@JosephineMegora
@JosephineMegora 2 ай бұрын
Familia imeharibika MUNGU baba saidia huyu mama atoke maana ndg wamemvaa huyu mama.
@faidahalisi2083
@faidahalisi2083 2 ай бұрын
Jamani mkumbuke labda uyo mama alikula mkongoto wa mbwa mwizi akajitetea hatujui
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 2 ай бұрын
Sasa unajifunika nn.kwa nn ulimuuua kijana wa watu.sura yako imeshaenea kote duniani
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
Majuto ni mjukuu,,,hasira ni hasara
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 2 ай бұрын
Kujifunika sio big issue,ila familia ya marehemu wana tension kubwa ya kuondokewa na ndugu yao.kesi za mauaji haziishi kama kesi ya mtu mzururaji zinakwenda mpaka miaka 10 ndo judgement inaweza toka.
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 2 ай бұрын
Washenzi nini walitak avae vip wapuuzi hao
@janethgenes1074
@janethgenes1074 2 ай бұрын
Usiwaite washenz kuna uchungu kuondokewa na ndugu,uchungu waweza kuona kila kitu ni kibaya tu. Ukiondokewa na mume au mke waweza oa tena au kuolewa tena ila ndugu haji tena. Je angekua mwanao kauwawa na mkewe wewe ungejisikiaje?
@reginaamadeus4866
@reginaamadeus4866 2 ай бұрын
​@@janethgenes1074Mungu atuepushe tu lkn hii kitu inaweza kumpata yoyote ktk maisha! Hatujui ilikuwaje mpaka kufika hapo! Huenda kulikuwa na lugha ya kuudhi n.k! Ni ukweli usiopingika kufumania kunauma! Hao ni wawili kifo kimewatenganisha imeisha
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 ай бұрын
Binafsi sijaolewa ila kusema ukweli wanawake wezangu ukiona yamekushinda kusanya watoto wako toka kwenye hiyo ndoa siyo dhambi jamanii
@user-kw4yn3vq2v
@user-kw4yn3vq2v 2 ай бұрын
Aheri ukafanya hivo uondoke tu japo inauma lakn kuepukana na hizi kesi mama wa watu jaman Yan hapo atakonda kisa mawazo ya ndugu bad mahakaman Kuna msubilu
@joycefrances4516
@joycefrances4516 2 ай бұрын
Kwa alichomsaliti mkewe,inauma,msimlaumu mwanamke,wanaume mmezidi,tulieni na ndoa zenu kusalitiwa kunauma,poleni pia,nii funzo
@ludovicaemily5533
@ludovicaemily5533 2 ай бұрын
Yaani hawa ndugu wa mume hawa
@user-sx7yy8qn9u
@user-sx7yy8qn9u 2 ай бұрын
Usimbe yakakukuta na pia usitoe hukum kwa upande wowote maana huujui ukweli
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 2 ай бұрын
Hapana kwa usalama wake ndugu wana asila ila muwe na subra jamani hii hali ni ngumu sana
@judyngowi391
@judyngowi391 2 ай бұрын
Mimi mume wangu navyompenda hata azae watoto 900, atajua mwenyewe acha ajaze dunia
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q 2 ай бұрын
Ubarikiwe kwa kuona hilo mpendwa Mume ni kitu kingine mpenzi. Mimi hata nikimkuta mahali namshika mkono tunaenda nyumbani tuongee Kiutu uzima na Mungu atatusaidia
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 ай бұрын
Mwanamke na nusu wewe, kunywa pepsi hapo nalipa😅
@shabanponera2895
@shabanponera2895 2 ай бұрын
Duuh
@husna34562
@husna34562 2 ай бұрын
Sidhan kama unae 😅😅usifanye masihara na hasira za kusalitiwa
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 2 ай бұрын
@@twiseghekisilu8845 🙏
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt 2 ай бұрын
Humu kuna watu hawajui uchungu wa kufiwa.
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 2 ай бұрын
Sheria inamkono wake hawa ndugu tayari wameshaamin kwa % 100 kuwa ameuliwa na mumewe na jinsi ya maelezo yako inaonesha wao wanamajibu na ukum yao kichwan hapo wazo lao nimoja tu kufungwa uyo dada
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 2 ай бұрын
Sio kufungwa ni kunyongwa
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 ай бұрын
Ungee ni muuwaji ikibidi auwawe KBS
@ElizabethNdalahwa
@ElizabethNdalahwa 2 ай бұрын
Huyo ni muuaji kama wauaji wengine anyongwe tu.
@rhamlaally6930
@rhamlaally6930 2 ай бұрын
Wanaongea nn hawa nao
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 2 ай бұрын
Yaani hekima ni kitu Cha MSingi saana hapa duniani ukiona umeshindwa katika ndoa jii ondokee, watoto wajue baba na mama wametengana. Sasa hiyo misukosuko yote ni ya nini jamani, mnasahau kuwa Dunia hii tunapita
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 2 ай бұрын
Poleni familia ya msele ,ila Hilo ni Jambo zito mno kuua sio Jambo pepesi hata Mimi na ngevaa hivyo hivyo kwa usalama wangu,maana nyuso zenu zina hasira Kali ,chochote chaweza tokea,kwa habari ya kujificha tuweni wakweli Aibu ni Aibu Tu hakuna Aibu ndogo ,unapotaka ajifunue unataka uone nini ili muanze tena kumsimanga kuwa macho meupe Hana Aibu,kwa kweli ukweli usemwe ,ndio inauma ila hata Mimi ningekuwa ninja mara moja
@salomefaith2410
@salomefaith2410 2 ай бұрын
Kwan si case ipo mahakamani na mhusika ni yeye. Avae nguo ya ndani au nje kuweni na subra mahakama itatenda haki acheni kuipangia mahakama na kuichokoa mahakama na kelele nyingi. Kuweni na imani na mahakama. Ina maana mnataka kupanga mambo yaweje ili iweje?
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 2 ай бұрын
Jamani wivu Gani wa hivyo na kwanini ajifunike wakati nimhatifu huyo mtu ni miuwaji anyongwe
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Kashamua mumewe pengine kisa Mali tuu achen hzo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Na nyie mavazi yanahusiana nn na dini sasa? Mnataka aletwe vipi awe na minyororo inavuja damu au?
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 2 ай бұрын
Umesema kweli rafiki yani
@romanambelle6356
@romanambelle6356 2 ай бұрын
Kwa mkristu ukisha tenda dhambi unajitenga na Kristu ndo maan kajificha. Shetani
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 2 ай бұрын
Wamuache jamani hata huyo mtoto wenu hajafanya vzuri dhambi ya uzinzi
@GloryD-ky5nf
@GloryD-ky5nf 2 ай бұрын
Malaya wote wanaonuka uzinzi dawa yao some tyu Wala sio kisu,kata kata mpaka awe kama sisimizi aliegongwa na tandamu
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 2 ай бұрын
Tufikiye wakati tuheshimu Sheria Yule nimtuhumiwa bado msilazimishe mpaka mumuone machoni mwenu ili kwani hapo nyuma mlikua amumuone mnaanza kutaka msaada wanini simuweke wakili
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
Wanataka sheria zao ndo zitumike bila kujua process zilizopo na hapohapo hawajui kwamba yaweza ikawa huyo mama huenda ilikua ni fight defence ili aokoe maisha yake yote yanaweza kutokea pia
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
​@@DM.2200Ndugu wa marehemu wanauchungu hatukatai ,lakini wanahukumu kabla ya hukumu na bila kujua ukweli ilikuwaje na ndio hata watu humu wanahukumu kwa kujua tu kaua chanzo hawataki kujua.Nadhani ingesubiriwa kesi ianze rasmi watu wasikie yote .Maana mashahidi watakuwepo hivyo tutajua ukweli halisi
@DM.2200
@DM.2200 2 ай бұрын
@@leokamil6284 kabisa
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 ай бұрын
HUYU MAMA ASINGE MFATILIA MUME TENA AMEBEBA KISU. HIYO INALETA SHIDA
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 2 ай бұрын
Mmm
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 2 ай бұрын
Acheni maneno mingi 😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 ай бұрын
Wakwende uko hapo mimamcho imewatoka kutaka mali tu uku kwenye utafutaji wake uyo marehem ukute ata hawaja wahi kwenda mtembelea muachen marehem Kuna kuuwa bila kukusudia, nyau nyie, na nyie waandishi muache kuwarecod watt wa marehem bila idhini yao kisheria wanaweza kuwashitak kuwapost bila idhini Yao Kwan alitaka kuonekana kuwa wao ndo watt wa marehem
@lilylema5292
@lilylema5292 2 ай бұрын
Huyu manzi anashida hii keshi nimekaa paleee
@manmill2444
@manmill2444 2 ай бұрын
Sioi sioi sioi sioi sioi sioi sioi ng'ooo⚫⚫⚫⚫
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
Mmmmh
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 2 ай бұрын
Mama hakutumia hekima, angalia sasa watoto wake ndio watateseka wa mke mwenzie wako na mama yao.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Kwa hawara ni mmoja
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
😪😪
@monicaalute3143
@monicaalute3143 2 ай бұрын
Mdomo utawaponza ndugu WA marehemu mtakosa haki yenu, mambo mengine waachieni mahakama ifanye kz yake😊
@victorcephas3618
@victorcephas3618 2 ай бұрын
Wakibosho wanaongoza kuua waume zao sana. #WananguMsioeWachaga
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 2 ай бұрын
Asamehewe tuuu....hasira tuu
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 2 ай бұрын
KHAAA WANAUME WANA MIDOMO HIVI.SASA MAVAZI YANAKUJAJE HAPO.??MSISAHA KUZUNGUMZIA UZINZI.
@joycekaje8755
@joycekaje8755 2 ай бұрын
Acheni kulalamikia vazi alilolivaa,kesi yenu sio vazi???Tena alikozaliwa haijalushi,nyie fuatilieni kesi halisi.Mambo ya dini hayana uhusiano na vazi.Tena kama mahakama imemruhusu kuvaa hivo ,ni kwa ajili ya usalama wake pia
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa kidini ndio nahiyo ya kuzaz nje yandowa nayo imekaaje hapo
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 2 ай бұрын
Sio sawa ni tukio baya sana ila haikupi haki au sababu kumuua mtu
@fetyalmas698
@fetyalmas698 2 ай бұрын
Ila nyie manokomenti ujinga sema hamjui tu machungu tunayopitia wamama jamaan pengine ilikua ni hasira tu ndo cku yake ukawa imefika yaan Hawa wanaume Hawa sikia km hayajakukuta
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 ай бұрын
Wakibosho wote waliowengi wauwaji KBS
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
Maninaaaa sasa izo nguo nyeusi na kujigunika aonekane anamsiba kweli uyu mwanamke mwenzetu kapotea apo alipo ata uyo aliokuja kumletea umbea ana mchukia 😂😂 serikari wafanye kweli wakakutane mbinguni ili wawe peke yao nacheka kama mazuri
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 2 ай бұрын
Haya kuhusu kuvaa ninja mwenzeno baada ya kuuwa akaslim kwa hyo mwacheni na imani yake
@user-dy8yc5ml1p
@user-dy8yc5ml1p 2 ай бұрын
Ukiwa napesa ukoo mzima watafika mahakamani.😂😂😂Hapo watoto watabaki wanahangaika ndugu wanajipatia pesa
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 2 ай бұрын
Kujifinika kapenda mwenyewe bwana kama akikataa alazimishwi
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 ай бұрын
Usiseme halazimishwi.Atajifunika huku nje lkn mbele ya hakimu lazima ajifunue japo sura ili ndugu wajiridhishe kuwa ni yeye
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 2 ай бұрын
Dada angeuwa wote tu na uyo mchepuko wake
@leonilamarandu6640
@leonilamarandu6640 2 ай бұрын
Msameheni tu
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 2 ай бұрын
Jipeni moyo ila tumcheni Mungu jamani
@Kabwela776
@Kabwela776 2 ай бұрын
Tanzania ya Mavi kunuka ukute anatoa uroda kwa maaskari na wanamsaidia kuonga Hakimu mwisho wa siku hana hatia anaachiwa na wachaga wengine wanaangaika kuonga hakimu
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 2 ай бұрын
Huyu mama mshenxi, anajifunika ili iweje??
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Naakijufunua ili iwenje
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 2 ай бұрын
Asila asala mke mjinga kabisa ukiona mke anachinja kuku mwenyewe bila kuogopa kaana kwa mbali sana
@julianamasato5655
@julianamasato5655 2 ай бұрын
mtuhumiwa wa kuuwa huwa hateswi .ndugu wamarehemu simamieni kupata haki yandugu yenu aliye uwawa kuanza kuhoji kwanini mtuhumiwa karetwa amejifunika mara ameretwa tofauti na wengine simamieni jambo lamsingi
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 2 ай бұрын
Wakimuacha huru watamuua wawe makini
@emmykundy4273
@emmykundy4273 2 ай бұрын
Sasa mtuhumiwa kujifucha inashida gani? Kuletwa magakamani si ni kazi ya vyombo vya dola? Ipeni mahakama nafasi ifanye kazi yake.
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 2 ай бұрын
Auaye kwa upanga naye hufa Kwa upanga
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 2 ай бұрын
Ni shetani tu jaman hautegemea
@user-oq1zv2nv8n
@user-oq1zv2nv8n 2 ай бұрын
Kwanini.katumia.nguo.flani.za.dini.flani.huunikuizalilisha.dini.flan.dini.yetu.aiko.ivyo
@lainogiftcentre5843
@lainogiftcentre5843 2 ай бұрын
Unajua sote hasira ni hasara haya yeye anajitutia sana siyo kitendo Cha mzaha hicho wamama jifunzeni kuwa na uvumilivu unapokuwa kwenye ndoa na kumshirikisha mungu?
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 2 ай бұрын
Nguo za kikiristo ni zipi? au ni zile za nusu nyonyo na mapaja wazi dunia nzima ione?
@enockdismas5127
@enockdismas5127 2 ай бұрын
Binadamu kwa kulalamika? Looohhh😢
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 2 ай бұрын
Watu bado mna hasira ndio maana illi msilete tena uvunjifu wa amani,nyie mmeepushiwa shida nyingine isiweze kutokea maana kila mmoja hapo ana mawazo yake .
@ibrahimdaudi5823
@ibrahimdaudi5823 2 ай бұрын
kesi niya jamuhuri kaeni kwa kukutulia.mmeanza kulalamika hata kesi haija kusikilizwa
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 2 ай бұрын
Hasira hasara wivu wa kuzidi huo watoto ndo watateseka
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Kumbe mkibosho kweli lisemwalo lipo duh
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Kyaba kyandu,jichanganye uone,wachaga tuuuuuuuu,tupa kule😂
@annamashauri7421
@annamashauri7421 2 ай бұрын
Afungwe kakatisha maisha ya baba wa watu kaleta shida kwa watoto
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 2 ай бұрын
Afe kwa kunyongwa, kitanzi kikifeli apigwe risasi
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 2 ай бұрын
Usihukumu huna uhakika km kweli ndiye kaua una sikia tu! Tulia sikiliza ushahidi na upelelezi ukamilike, mwisho wa sku anasingiziwa 🤔
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 ай бұрын
Hyo mwanamke shuguli anayo
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Kila kitu kina mwisho wake hakuna kinachoshindikana juu ya jua hili
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 ай бұрын
Kaacha prado jumba la maana sasa anaenda kunyea debe
@Sajdayusuf
@Sajdayusuf 2 ай бұрын
Pesa inaongea hapo hafungwi mtu hapo
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5
7:36
Global TV Online
Рет қаралды 90 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН