Hakuna mwanadamu anaeweza kumwingilia mtu kwa masaa 6 mfululizo ni uongo ,ujue tuu mama yako anamaisha yake lakini we binti ndio huna hata maisha hapo usipokua makini utaishi duniani kwa laana na mateso mazito sana kwani mtoto yeyote haruhusiwi kua kinyume na mzazi yeyote awe baba awe mama ,waache na ugomvi wao mlizaliwa mkawakuta na ninyi watoto ni wapita njia tuu kesho mta oa na ku olewa na mtaondoka nyumbani na kuwaacha wazazi peke yao ,jihadhari sana laana ipo na baadae moto wa milele
@faithkaganda-k3s7 ай бұрын
Mara ooh akalala katikati nimelala na mdogo wang mara ooh baada ya kuniingilia ndo nikaenda kwa mdogo wang mh😢na kwann ustoe taarifa tangu mara ya kwanza ulisubir mara ya pili ndo uje kusema ww mtoto omba icjekuwa ya kenya ukarudi kukiri mwenyewe kuwa niuongo😢🙌
@winfridahubert40727 ай бұрын
Ya yule binti mama Yake mlevi 😂😂😂
@timothyraymond69387 ай бұрын
amesema alivyo muachia saa 11 Alienda Kamtext mama ake. Kidogo kasema alitoa tarifa baada ya sku mbili
@faithkaganda-k3s7 ай бұрын
@@timothyraymond6938 ndo maan haeleweki
@Fm-MornStar20147 ай бұрын
Halafu saa 11 kuanzia sijui saa ngapi ina maana hakulala muda wote atoroke? halafu mara ya kwanza mafuta maumivu, mara ya pili tu ikaingia bila shida akapata raha. Acheni uwongo.
@gaspertarimo80527 ай бұрын
Huko wanakoishi kwan ni kisiwa Jaman hakuna hata majirani huu kwel mchongo
@christophermsekena6167 ай бұрын
Hii story haijakaa sawa.... isije ikawa kaama ile ya Kenya.... binti alimzingizia babake amembaka, baba akafungwa baada ya miaka kadhaa ikagundulika ni uongo kwa ukiri wa binti mwenyewe😢
@estakapufi75827 ай бұрын
Yani hata mimi nimeona hii sio kweli maelezo tu yanaonyesha yakutengenenzwa kabisa watoto msiingilie maugomvi ya wazazi mtapata laana jamani.
@Elybwayz7 ай бұрын
Apo kama tatzo la uyo mama na uyo mwanaume ndio chanzo uyo mama analazimisha ampotezee uyo man kupitia mtoto
@sizyathom-qq5cx7 ай бұрын
Mm na wew atujuhii tumwachiye mungu yeye ndiye atukumu kwa haki
@jizzotheking92387 ай бұрын
Hii ni story ya kutengeneza ili mwanaume afungwe, lakin pia serikali niwaombe wasimsumbue huyo mwanaume, kwasabab mla chake hana deni, anakula tunda lake😀😀😀
@Fm-MornStar20147 ай бұрын
Kwa kifupi daktari hakugundua kwamba amebakwa!
@msuyajunior98747 ай бұрын
Mama macho makavu ivo kwa mkasa wa mwanae.....uchunguzi ufanywe kwa makini mama kasuka ishu yote😢😢
@Kabwela7767 ай бұрын
Kwa hiyo ulitaka aliye muda wote si anachunguzwa na ushahidi unapatikana
@philemornmutta15977 ай бұрын
Hata Mimi Nina mashaka na hili baba Kwa mwanae hili siyo jepesi hata kidogo
@nicodemuswidambe51327 ай бұрын
Kuingiliwa siyo shida nani kamwilingilia??! Acheni ushetani nyie wanawake!! Hapa hamna kitu ni uhuni tu.
@nicodemuswidambe51327 ай бұрын
Mama huyu ni mwongo!!! Dr alitakiwa kusema mtu aliyemwingilia alitumia njia nyingi siyo baba alitumia njia nyingine, alihuaje ni baba? Anafuata uongo wa huyu mama. Wanawake acheni uongo serikali iwamulike wanawake kama hawa ni waongo.
@HamisMghuna-fj3vz7 ай бұрын
Miaka 18 n mke lkn huo ugomvi unatupa wasiwasi mama ,njia zp, punguza rohooo mbaya,
@ashurajengela39267 ай бұрын
Duh mbona kama ni mchongo 😢😢😢 isije kuwa hasira za mama ndio kampanga Binti ili amkomoe mumewake 😢😢
@Elybwayz7 ай бұрын
Kabisa
@Kachuba-w9p7 ай бұрын
Saa 10usiku ana chat na mama yake .mama naye anasema alikua hana simu hii imekaje ki science 😢😢
@martharichard82047 ай бұрын
Ww nae elewa kiswahili alimpigia kaka ake ambaye all kuwa karibu na mama ake🤔
@josephatevarist18227 ай бұрын
Mwanzoni kasema alimchartia mama yake saa 11 Alfajiri ile siku ya kuingiliwa😊. Baadaye anasema kampa taarifa baada ya sikumbili.🤔
@hamispazia97 ай бұрын
Daktari naye haoni tatizo anadai labda imetumika njia nyingine 😂😂😂😂bas tukapige ramli😅😅😅
@MohamedSaleh-q7w4 ай бұрын
Ki chemia hii ni physical change
@MohamedSaleh-q7w4 ай бұрын
Mzee wa miaka 60 anachapa 7hrs,,, kunyangisi, wotatenane mie 😅😅😅
@ifmknowledgepower73337 ай бұрын
Pawepo na dawati la kutetea wanaume pia, mbona kama hii habari ni mchongoko tu.
@japhetkavishe23477 ай бұрын
Kwakweli
@mr.yahzadochuno79147 ай бұрын
Hii story ni ya uwongo mtto anabadilisha maongezi hapa uwongo mwingi mama kasuka mchongo
@Allybinamour7 ай бұрын
nikweli kuna kila dalili kua ni mchongo
@RahimaMct-ik8mr7 ай бұрын
Kweli mana kuingiriwa lakin hakuna Dalili
@deogratiusyudatadei56587 ай бұрын
😂😂😂😂 au mtoto amekubuu ni mzoefu aseme tu kosa ni kumlaa bila makubaliono na nikwavile ni baba yake😂😂
@chrisekonga90927 ай бұрын
Kaka hii story ya uongo naungana nawe, maelezo ya mtoto ni ya tofauti
@awamiabbas2227 ай бұрын
Kwa macho ya huyu mama naona hiyo kitu imwtengenezwa kuna wanawake wwngine ni manyoka
@stellajoseph93347 ай бұрын
Hiyo ni mipango ya mama na mtoto, kwanini basi alivyobakwa siku ya kwanza asitoe taarifa hadi anabakwa siku ya pili ndio atoe taarifa kwa mama yake ? Kwanini hakwenda polisi hiyo siku ya kwanza maana Binti form four ni mkubwa na anajitabua ,tuseme tu kwamba huyo ni mchongo mama anataka kulipiza kisasi Cha kupigwa na mume wake kupitia njia hiyo.
@jackiefredrick5867 ай бұрын
@@stellajoseph9334unahukumu moja kwa moja. Vipi kama ni kweli
@elizabethcharles65277 ай бұрын
We nimsenge NN kazingiziwa NN au nawew ndio tabia yako NN unawangiliaga wako ndio maana unatetea
@Njeriii5367 ай бұрын
@@elizabethcharles6527😂😂😂mbona povu
@drcharlestz7 ай бұрын
Ila sie wanawake kwa Uongo jamani Kha! Hapa hamna ukweli wowote me nasimama Upande wa Baba.
@georgejackson44307 ай бұрын
Asante EvaWaJuaKali
@hamoudcreator63437 ай бұрын
Duhhh!!!! Mungu Tunusuru... Japo hii story me sielewi..
@ibvisions43217 ай бұрын
😂😂😂 They will let us know ila hii story kuna chuki ipo kati
@Elybwayz7 ай бұрын
Kabisa mama ndio tatzo amemjenga mtt wampote baba
@jovinathaphilipo63857 ай бұрын
Inavyoonekana maana hata maelezo hayana ushirikiano
@Smart_package7 ай бұрын
Uongo Mtupu huu. Lugha mbili tofauti kati ya mama na mwanae
@CHARITYKUMBERFIELD-uz9os7 ай бұрын
Kwanini hukupiga kelele na kwanini asubuhi asiwajulishe watu
@Hongkong-765ul7 ай бұрын
Asubuh alinipelek chumbn kwake jion 😂😂😂😂😂
@hamispazia97 ай бұрын
Yaani..kaingiliwa kisha akapiga kelele akaenda chumbani kwa mdogo wake😂😂😂😂😂
@jonnyfranco53187 ай бұрын
Mamaee 🤣🤣🤣
@ngomuotvonline58147 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@frenkfarm11397 ай бұрын
dunia ya sasa inamkataaaa kabisa mwanaume kwakweli mungu atuteteee asimame nasisi
@HildaMjema7 ай бұрын
Mungu ndiye anajua kama kweli kafanya hivi kwa mwanae Mungu achelewi kujibu
@florianhashimu13707 ай бұрын
Mtoto angalia usije ukapata laana ambao ni mzigo mpaka kifo kwa sababu ya mama yako.hukumu ya MUNGU ni zaidi ya hukumu ya mahakama.jitasmini
@GeofreyMtensa7 ай бұрын
Km nimekuelewa ivi, Kenya imewai kutokea hadi mbaba akafungwa lkn baadae mtt nafsi ikamuuma akabidi awe mkweli...kumbe ulikuwa mpango wa mamaake
@aishawhite11077 ай бұрын
Kakika Tena mtoto wa miaka 18 Leo hii anadai kaingiliwa 😮kwahy alikuwa bikira?? Au mnataka kumozesha Mzee jela😢
@simbarajabu41577 ай бұрын
Huyo mama na huyo mtoto ni waongo sana mungu anawaona ,waende kwa kiboko ya wachawi wataumbuka na mungu atafanya kitu
@rosemarynyombi93717 ай бұрын
Sasa hapo kuna watu wawili, kiboko ya wachawi na Mungu unatuchanganya love
@adolphmwangoje28877 ай бұрын
Binadamu wamekataaaaa Hili swala 😢😢😢
@katotopesaofficial6 ай бұрын
HAWA WAKIBOSHO HAWA wanafiki sana Ww Uingiliwe masaa 7 Mwanaume gan Anauwezo huo
@beipoaquality91596 ай бұрын
Hii dunia mwanaume hapewi nafasi na anachukiwa sana sijui kwann tumuombe Mungu atusaidie 🙏 huyu mtoto na mama wnapishana sana
@mboneamalaki56747 ай бұрын
Duh! Mungu atusaidie
@zahararamadhanisalmu3957 ай бұрын
😢😢😢 hi story mbona inaenda mbele nakurudi nyuma
@dotytydo23427 ай бұрын
Mmmm Mungu ndio shaidi hila binti muogope Mungu sana
@abuuthauran99337 ай бұрын
Watu hawana Imani, mwenye Imani ya kweli hawezi fanya jambo hilo, kuweni na khofu ya Allah.
@jeunajuatv8177 ай бұрын
😂😂😂Ukiwa na migogoro na mke wanashirikiana kuunda kesi kama hizi
@firerescueforce7 ай бұрын
kabla sijamaliza kuangalia hii dakik moja imetosha kusema mtoto ni mwongo mwongo mwongo
@viclamtz34737 ай бұрын
Mh subhanna llah
@RahmaAwadh-ul9yu7 ай бұрын
Uchu huo uchu gani jamani ...Ndio maana maisha yanazidi kua magumu khaaaaa😢😢😢
@Immahjr6 ай бұрын
Ana miaka 18 alafu atumie mafuta kwaiyo hiyo sehem yake ya siri alikuwa ameitunza kwa nan miaka yote hiyo🙌😂 huu ni mchongo naona maelezo yanapindia pindia hewan bila kifika chini
@tariqdasulley7 ай бұрын
Hii Habari imekaa kimchongo sana. Mtoto alinogewa huyo 😂😂😂
@neemareuben3117 ай бұрын
Mmmmmmh mbona ajui kujieleza vzr mbele nyuma mbele aisee aibuuu hii iyo baba anyongwee😢😢😢
@rumdeesonsoa18117 ай бұрын
Ushahidi haujitoshelezi
@IreneMacha-d5q7 ай бұрын
Basi ulinogewa😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kipara_brand7 ай бұрын
😅😅😅MTOTO amenogewa
@IreneMacha-d5q7 ай бұрын
@@Kipara_brand na kibaridi Cha Moshi yn ilikuwa nomaaaaa
@husseinhemedi93147 ай бұрын
Litoto lenyewe likubwa mungu atakuijibu wewe na mama yako mtabakwa kwapamoja
@janifajani88757 ай бұрын
Nasimama na baba binti wa mika 18 eti adi una vuliwa nguo unafanywa ndounastuka eti nimesha ingiliwa wamama tuachr kutumia wasichana kwenye maugimvi yenu mnamuaibisha binti yako
@marymanoni55367 ай бұрын
Dada omba yasikukute tumuombe Mungu tu tuweze kulea watoto wetu wenyewe
@juliuslengai50897 ай бұрын
Huu ni uongo dr@@marymanoni5536
@Oldskulgemini99917 ай бұрын
@@marymanoni5536acha kushabikia vitu vya uongo Hivi! Mtu mwenye akili ya kawaida tu utaona hakuna ukweli hapa ni mchongo tu huu
@kayagoAziza-z2c7 ай бұрын
Mi pia
@noelapanga7 ай бұрын
Mnaomsema huyu binti kuwa inaweza kuwa mchongo na mamake chungeni!.. tuna watoto na kama hatuna tutapata asee, kikubwa uchunguzi ufanyike
@UpendoNdosi7 ай бұрын
😭😭😭tobaa moshi tuna nini jmn mungu tunusuru moshi jmn
@MercySalmon6 ай бұрын
Sio kweli
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s6 ай бұрын
WEWE MTOTO NA MAMAYAKO WOTEE HAMNA HAKILI KENGE NYIE MIMI NDO NINGEKUWA NIRAIS WA ICHI NINGEKUA NAKAMATA MPAKA MAMA WA MROTO JERAAA WASENGE NYIE WAGA MNATUONEA SANA SISI WANAIMEE KUMAMAKEE ZENUUUUUUUUUUUUUUUU
@JosephNdwanga7 ай бұрын
Sio kweli kabisa.
@twalibupembe7 ай бұрын
Mungu utuongoze na neema yako iwe juu yetu. Maana sio kwa yatokeayo siku hizi
@BakariAdamu-h1k7 ай бұрын
Yani hapo mama kagombana na baba watoto anataka agombanishe familia baba akafungwe mama achukue mali uchunguzi ufanyike vizuri
@esterabonga79477 ай бұрын
Mmh binti yuko mbele yuko nyuma mara alivomaliza na saa kumi na moja nikamtumia mama meseji saa kumi na mbili mara ohh nilimjulisha mama baada ya siku mbili 😂😂mbona kama stori ya uongo 😂😂
@pacomezouzoua91757 ай бұрын
Mara ya pili hakuumia sana Yani alisikia Raha so eti jaman😊😅
@gaspertarimo80527 ай бұрын
Cha kushangaza hapo Kwa kweli na anaongea mkavu kabisa et mara ya pili sikusikia maumivu huyu mama Kuna kitu anakifaham yeye na Binti yake huyu
@aminathaabubakarmasoud5657 ай бұрын
Wametengeneza issue sio kweli jamani 😢😢😢
@officialdaudipaul11997 ай бұрын
Wanawake ni mashetaniiiii😢😢 hapa wanamsingizia mzee
@ISSACKRICHARD7 ай бұрын
Mtu wa miaka 18 anawezaje kukamatwa kwa nguvu 😂😂😂😂😂 si angepiga kelele mpaka uku arusha tusikie uyu ni. Mwizi na mchawii mtoto mdogo mchawi kuoga ahaaaaaaaa😅😅😅😅😅
@ConsalvaMumbara7 ай бұрын
Mungu tusaidie
@Dogoooo1427 ай бұрын
Kwa maelezo ya mtoto na jinsi alivyosema mama kakosana na baba %kubwa mchezo umechezwa.
@Abuushaymaatz7 ай бұрын
Ududu ni mwingi sanaaa Arusha
@arttilioemiliam24197 ай бұрын
Mwongo huyu amesema siku hiyo alituma sms kwa mamake halafu Tena alitoa taarifa kwa mamake baada ya siku mbili. Polis wafuatilie vizuri maama Kuna ugomvi
@castoagust70737 ай бұрын
We jamaa unatufaa sana
@sharifanyumayo63147 ай бұрын
Masaa yote hayo we ungeamka salama kweli? Hebu fanyen uchunguz vzr ni babayko mzazi huyo? Na mama Kwa nn unaacha watoto pekeyao? We mtoto jieleze vzr
@abiaslimadyanse18427 ай бұрын
Ila mafuta jamani Daah naomba serikali ifungie mafuta ya aina yoyote isipokuwa petroli , diesel na kerosene 😂😂😂 Hii ngoma imechezwa 💯 naomba wanaume tuunde Meza ya jinsia wao si wana Dawati 😂
@nsiamasawe45787 ай бұрын
😂😂😂
@judyngowi3917 ай бұрын
Usinivunje mbavu jamani mie naumwa😊
@abiaslimadyanse18427 ай бұрын
@@judyngowi391 muone 🤣🤣🤣
@judyngowi3917 ай бұрын
@@abiaslimadyanse1842 mbona sisi enzi zetu hatukuwa tunapaka mafuta,
Hahaha 😂 eti mzee alitumia mafuta hahaha 😂 dàaaaah 🥺 ukubwa wote huo mpaka mafuta kwa bongo hii Dàaaaah 🥺 Ila jmn Mungu ndo Anae juwa 😢😢namafuta tena yalitumika jmn
@Tariqxxtenations5 ай бұрын
😢😢ungeoiga kelele daaa
@epifaniakavishe92827 ай бұрын
Saa tano mpaka saa 11 mmmmh
@mushimadege7 ай бұрын
Mzee wa miaka 60 😂😂😂
@bazillawerism25817 ай бұрын
Mimi nachekaaa😂😂 maana angetoa hy nguo usoni maana macho yanaongea ukweli
@barakalema43587 ай бұрын
wamama wa skuiz ni noma iskute baba anawekelewa kesi hapa
@ayoublowlance46457 ай бұрын
Aaah hii mbona imekaa kimchongo mchongo
@Kimjongun49967 ай бұрын
Safi sana mama wewe umeongea ukweli tutajuaje km kweli huyo mtoto kabakwa na babaake mzazi sawa hayo mambo sa zingine yanakuepo ila Kwa huyu mtoto Kwa maelezo yake na mama yake inaonekana Kuna kitu kipo nyuma ya pazia akihojiwa vizuri atatoa ushirikiano.
@liberatusjackson50457 ай бұрын
Wewe msicha.na mama yako mtaraniwa hadiii kufaaa😂😂😂😂😂😂hapo hakuna ukweli
@patriciacarlo72367 ай бұрын
Wanawake wa kichaga ni kiboko,Tena wakibosho,mama kapiga mchongo hapa
@karimallymrisho15657 ай бұрын
mara baba alivyo niingilia akaniachia saa 11 asubuhi nikamtumia mama ujumbe wa sms, Mara nilimpa taarifa mama baada ya siku 2😀😀 mpaka sasa mission failed
@husseinhemedi93147 ай бұрын
Wanawake wanaroho mbaya xana
@ngadumbishi14057 ай бұрын
Mara ya pili mambo yashakubali 😂
@LucyNgowi-r2oАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kibombi2 ай бұрын
Waongo
@idinado-wk3lx7 ай бұрын
Wewe na mama Yako wahuni njie pumbavu zenu 😊😊😊😊
@living_creature997 ай бұрын
HAWA watu wa bongo sijui hata wamekutwa na kitu gani , wanapenda umalaya , ukahaba, udhalilishaji.. hatari sana .. jamiii tayari imeshaharibika 😢
@Fm-MornStar20147 ай бұрын
Sasa mwenye akili zake ataaminije maana siku ya kwanza wakati wametumia mafuta hakusikia maumivu, mara ya pili TU hakuna maumivu. Halafu ripoti ya daktari wanaichanganya, mara ameingiliwa, mara daktari hakukuta nanihii! Kaha!😮
@annagipson65287 ай бұрын
Kwa hali ya kawaida tu hajabakwa mtoto katoka kwa boyfiend wake 😅😅😅😅😅 sio kweli mtoto anaongea kwa wasiwasi anauma maneno
@fellyvoicetv44337 ай бұрын
Embu niulize swali kwan MIMBA inaonekana siku mbili uwiiiii😂😂😂😂 Mmetisha Kwakweli mbona izi story mala kwa mala zinatokea nn shida et tukaenda kupima mimba🙌🙌😂
@YunisJerald7 ай бұрын
Mara ya 2 hakupata maumivu makali du .
@ngwacahnyagwaswa99797 ай бұрын
😂
@ibvisions43217 ай бұрын
18 years mostly of them ni walimu wazuri tu kwa bed....😂
@YunisJerald7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AzamMapikipikiOG7 ай бұрын
Wanataka kumpoteza Mzee wa watu tu hao lengo wachukuwe Mari za Mzee huyu wanawake ni majeuri sana
@FredMwamgogwa-td6ni7 ай бұрын
Saa tano mpaka saa 11 daaaah uchunguzi ufanyike
@ShazmaRamadhan-w4o7 ай бұрын
Kiama
@nicksonlyimo15627 ай бұрын
Hizi ni stail za wakenya ,mama akikosana na mumewe anapanga uongo na mamaake ili baba akomeshwe, hii story iangaliwe sana jamani ,ni mchongo .
@ShekiyaoHussein-ki4ty7 ай бұрын
Mama mwenyewe anavyo elezee ni mchongo njia nyingi alizo tumia hii imekaaje hebu wana comment semeni neno
@hosianamosha3897 ай бұрын
Hapo kuna maswali mengi Sana , ningekua Jaji Mimi la Kwanza ningemuuliza alijuaje ilikua ni SA tano na alipomuachia alijuaje ilikua ni sa Kumi na moja , alipatawapi huo ufahamu WA kukimbilia kuanhalia Sana😳😳😳
@rosemanga12277 ай бұрын
Mh mbona kama niuongo
@ismailsanga32337 ай бұрын
Baba anapumua kuanzia saa Tano mpaka saa kumi na Moja na ana miaka 60 vijana nendeni kibosho😂😂😂
@dheGamingking17 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aluteonlinemedia55747 ай бұрын
Duuuh duniani hatar😢😢😢😢😢
@GarzaBreeze7 ай бұрын
daah noma sn
@DJJIMYTZ7 ай бұрын
Mbona story Inakuwa mbele nyuma Sana haielewekiii, yani uwongo huu mamakeeee walai
@margarethpolepole74387 ай бұрын
Kweli jamani Baba anambaka mwanae mungu wangu hana hata hofu ya Mungu
@nickmkude75717 ай бұрын
Siku ya kwanza hadi ya pili sio kweli😂😂 yani hizi issue zipo sana wababa wanatengenezewa kesi
@JohnsonBagambi7 ай бұрын
Ni atali sana
@nickmkude75717 ай бұрын
@@JohnsonBagambi noma sana
@anordlaurent87517 ай бұрын
Mwanamme anamiaka 60 Ahahahahahhahaha😂😂😂😂😂😂😂
@kgchippy7 ай бұрын
Saa tano mpka saa kumi na moja!!! Na siku ya pili pia😂😂😂😂😂😂
@Christmasjanja7 ай бұрын
pole sana huyo mtu nibinidamu waina ngani
@NancyMatuli-fb5jp7 ай бұрын
Jamani Jamani tunaenda wapi binti wa miaka 18 anakubali kuingiliwa na Baba mara mbili yote wakati ni binti anayejitambua Ee Bwana Yesu tusaidie
@suzymeck62797 ай бұрын
There is no justification for rape....ht km huyu msichana angekua amekaa uchi
@rumdeesonsoa18117 ай бұрын
@@suzymeck6279Ushahidi ndio kitu cha muhimu. Ushahidi uko wapi kuwa alibakwa?
@Legends_Interviews7 ай бұрын
Jamani dah😢😢😢
@BakariAdamu-h1k7 ай бұрын
Hivi kweli binti wa miaka 18 mpaka leo hajaingiliwa kutoka msingi mpaka sekondari eti mara ya kwanza alisikia maumivu 😅😅 inamana ilikua ndio mara ya kwanza kuingiliwa 😅
@Devissalumruyagazaruyagaza7 ай бұрын
Ayse
@MasterLasway7 ай бұрын
😂😂😂yan hii story yakutunga kabisaa yan
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Siku zote mbona hakutoa taarifa tangia siku ya kwanza ?? Kimsingi nayeye alipenda
@Bilioneabichwa3316 ай бұрын
Kaingiliwa mara ya kwanza, ya pili, mtoto kAnogewa, du! Hatar sn